fa
Feedback

فریب کلاهبرداران را نخورید! تل‌متریو این کانال‌ها را شناسایی و برچسب‌گذاری می‌کند 👉 برای مشاهده برچسب، اشتراک تهیه کنید

E-PLUS MEDIA

E-PLUS MEDIA

رفتن به کانال در Telegram

Get the latest news,videos,and more everyday.

نمایش بیشتر
1 307
مشترکین
+124 ساعت
-27 روز
-1330 روز
آرشیو پست ها
photo content

Idadi ya vifo vya Wapalestina kutokana na mashambulizi ya Israel kwenye Ukanda wa Gaza imeongezeka hadi 8,525, Wizara ya Afya
+2
Idadi ya vifo vya Wapalestina kutokana na mashambulizi ya Israel kwenye Ukanda wa Gaza imeongezeka hadi 8,525, Wizara ya Afya inayoongozwa na Hamas ilisema Jumanne. Miongoni mwa wahasiriwa, 3,542 walikuwa watoto na 2,187 walikuwa wanawake, msemaji wa wizara Ashraf al-Qedra alisema katika taarifa yake kwa vyombo vya habari. Wakati huo huo, zaidi ya Wapalestina 21,000 walijeruhiwa na mashambulizi ya anga yanayoendelea ya Israel, iliongeza.

USIBISHANE NA WADANGAJI MWANANGU HAO WAMELAANIWA; MANGE KIMAMBI Baada ya Paula kufanyiwa mahojiano na wanahabari na kusema kw
USIBISHANE NA WADANGAJI MWANANGU HAO WAMELAANIWA; MANGE KIMAMBI Baada ya Paula kufanyiwa mahojiano na wanahabari na kusema kwamba hamjui Abby Chams wala hajawahi kumsikia wakati wawili hao zamani walikuwa ni marafiki wa karibu. Kauli hiyo ilimkwanza Abby Chams ambaye kupitia ukurasa wake wa Instagram alimjibu Paula kiaina kwa kuandika "Tai huwa hapotezi usingizi kwasababu ya hisia za kuku" Mange baada ya kuona mtifuano huo aliposti maneno hayo aliyoandika Chams kisha akaandika "Alafu kweli mwanangu, wewe ni mpambanaji, unatoka familia bora na bado unapambana kwa kutumia kipaji chako. Sasa upande wa pili katoka kwenye tumbo la kupambana kwa kudanga na yeye mwenyewe anapambana kwa kudanga, laana juu ya laana, wakuache mwanangu"- aliandika Kimambi. Mara nyingi Mange amekuwa mstari wa mbele kumkingia kifua Abby Chams na amejitolea kupambana na kila adui atakayeingia kwenye 18 za Abby Chams.

"Afadhali mimba ya mzungu ilitoka ningeleaje mtoto peke yangu na huu umri wangu wa miaka zaidi ya 40? Asante Mungu nimegundua
"Afadhali mimba ya mzungu ilitoka ningeleaje mtoto peke yangu na huu umri wangu wa miaka zaidi ya 40? Asante Mungu nimegundua lilikuwa kusudi lako mimba yangu kutoka"- Akothee. Maneno hayo ya Akothee yamekuja baada ya mzungu wake kutangaza yupo kwenye mahusiano mapya. Akothee na Muzungu wake anayefahamika kama Omoshi, waliachana miezi miwili iliyopita baada ya ndoa yao kudumu kwa muda mfupi.

HUYU NDIYE DIAMOND PLATNUMZ; MAMA DANGOTE Kupitia Instagram story yake, Mama wa Mwanamuziki nguli Bongo Diamond Platnumz, Mam
HUYU NDIYE DIAMOND PLATNUMZ; MAMA DANGOTE Kupitia Instagram story yake, Mama wa Mwanamuziki nguli Bongo Diamond Platnumz, Mama Dangote, ameshare kwa kuziunganisha picha ya Diamond akiwa mdogo na picha ya mjukuu wake Naseeb Junior ambaye ni mtoto wa mwisho wa Diamond kisha kuandika. "Huyu ndiye Diamond Platnumz" Si mara ya kwanza wala ya pili kwa Mama Dangote kuonyesha mahaba zaidi kwa Naseeb Junior na mara kadhaa amewahi kukaririwa akisema anawapenda wajukuu zake wote watatu lakini Naseeb ana kitu cha kitofauti.

"Nimemzidi Marioo miaka 13, ananiamkia Shkamoo mama, kwa kifupi yule mtoto ana heshima hata kama angekuwa hana mahusiano na P
"Nimemzidi Marioo miaka 13, ananiamkia Shkamoo mama, kwa kifupi yule mtoto ana heshima hata kama angekuwa hana mahusiano na Paula mimi ningeendelea kuwa shabiki yake kwasababu ana nidhamu binafsi na ya kipekee"- Kajala, Mwigizaji wa filamu Tanzania. Ukihitaji matangazo ya biashara yako au Promotion ya nyimbo zako, filamu, mitandao yako ya kijamii (facebook na YouTube), njoo inbox 📥 Toa maoni yako

Baadhi ya watu wa Dar kwao maji sio shida yanawafata yenyewe mpaka vyumbani mwao
Baadhi ya watu wa Dar kwao maji sio shida yanawafata yenyewe mpaka vyumbani mwao

KUTOKA MITANDAONI Jiunge ukurasa wetu wa what's up hapa kwenye link.👇 https://whatsapp.com/channel/0029VaD9yM1D8SE3Brlapz1l
+6
KUTOKA MITANDAONI Jiunge ukurasa wetu wa what's up hapa kwenye link.👇 https://whatsapp.com/channel/0029VaD9yM1D8SE3Brlapz1l

photo content
+3