E-PLUS MEDIA
رفتن به کانال در Telegram
1 307
مشترکین
+124 ساعت
-27 روز
-1330 روز
آرشیو پست ها
1 307
FULL VIDEO NA MATUKIO MAZIMA UTAYAPATA KWA KU BONYEZA HAPA KWENYE INSTAGRAM LINK:-https://instagram.com/e_plus_media?utm_medium=copy_link
FACEBOOK PAGE FOLLOW:-https://www.facebook.com/eplusmediatv/
1 307
👀 Cristiano Ronaldo kupitia ukurasa wa Instagram ame-like na ku-comment kwenye chapisho linaonesha kutoridhishwa na Messi kushinda Ballon d'or ya 8.
Chapisho hilo linasema: "Niaje marafiki. tulichojua kimetokea, Messi amepewa Ballon d'Or nyingine tena. alienda kustaafu huko Miami, ingawa tayari alionekana kama amestaafu akiwa PSG. wakati wa kombe la dunia alishinda kombe la dunia ndio ila kwa penati 6... Messi ana Ballon d'Or 8 lakini alipaswa kuwa na 5 pekee. ana Ballon d'Or ya Iniesta/Xavi, Lewandowski ambaye alishinda mataji 6 kwa msimu mmoja na Haaland ambaye alikuwa mfungaji bora..."
Cristiano Ronaldo ame-like post hiyo na ku-comment emoji nne za kucheka. 😂
🤗Kuna watu wanateseka kuona ndoto zao wengine ndo wanazoishi 😂 😂
Acheni wivu bhana 😂 😂 😂
Benjamin Abiles
1 307
⚠️😳 "Mimi sina mimba na nikiwa nayo mtaona kwasababu mimba haijifichi, kwahiyo mimi sina mimba na kwakuwa mimba ni mipango ya Mungu nikiwa nayo lazima mtaona"- Paula Kajala
Aidha, Paula ameeleza pia kwamba tayari Marioo ameshamtambulisha nyumbani kwao na mama yake anampenda sana.
Paula amesema duka kubwa la nguo alilofungua amesapotiwa na mama yake pamoja na Marioo
1 307
Bilionea Namba Moja Duniani Elon musk Ambae pia ni mmiliki wa Mtandao wa X zamani (Twitter) amesema kuwa ana Concept Mbili ambazo ana taka zifanye Kazi Katika Mtandao Huo ifikapo Mwaka 2024
Malengo yake ya kwanza ni Kuubadilisha Mtandao Huo kuwa (Dating Sites) sehemu maalumu itakayowakutanisha watu ambao wanatafuta wapenzi pia Malengo yake ya pili ni Kuubadilisha Mtandao Huo kuwa Benki ya Kidijitali
1 307
KUFUZU OLIMPIKI 2024.
FT: BOTSWANA (W) 🇧🇼 0-1 🇹🇿 TANZANIA (W)
25'—⚽️ Aisha Masaka
AGG 0-3
1 307
Baada ya Vinicius kuongeza mkataba kunako klabu ya Real Madrid, Klabu hiyo imepanga kuwaongezea mikataba wachezaji Eder Militão, Rodrygo, Eduardo Camavinga & Fede Valverde mpaka 2027,Ambapo ili kuvunja mkataba wa mchezaji mmoja inatakiwa uwe na $1B
#FutbalPlanetUpdates
1 307
Nyota wa JKT Tanzania,Hassan Dilunga hapo jana alipata majeraha ya mguu yaliyomfanya kutolewa Uwanjani na nafasi yake kuchukuliwa na Said Ndemla.
Hii leo nyota huyo kupitia ukurasa wake wa Instagram,Dilunga ameandika haya
"Wakati mgumu kwa mara nyingine tena,Mungu nipe nguvu zaidi"
Get well soon @hassan_dilungahd
1 307
Ishara aliyoionyesha Cristiano Ronaldo 🇵🇹 baada ya mashabiki wa Al Ettifaq kuimba jina la Lionel Messi 🇦🇷 wakati wa mechi ya King Cup of Champions usiku huu.
FT: Al Nassr 1️⃣ ➖ 0️⃣ Al Ettifaq
⚽ 107' Sadio Mane
1 307
Utafiti mpya umegundua kuwa nzi wa kiume hutumia pombe/kilevi kama sehemu ya kupunguza maumivu pindi wanapokataliwa kushiriki kimahusiano (kujamiiana) na nzi wa kike.
1 307
USIKUBALI KUPELEKWA MAJI MAREFU
"Mtu yeyote anayekuambia twende maji marefu huyo siyo muokoaji ana nia yake mbaya, ukifika kwenye ofisi za fukwe utapata huduma na utapewa uangalizi mzuri na usije beach na mtu ambaye umemuokota njiani na ukakubali mkaogelee naye wakati tabia yake hauijui" - Musa Kidami.
1 307
#HABARI Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza limesema linafuatilia watu wanaoweka miungurumo ya milipuko katika magari na pikipiki zao na kupelekea kuleta hofu na kushtua jamii.
Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani humo Wilbroad Mutafungwa amesema wamepokea taarifa kutoka kwa raia wakieleza kukerwa na milipuko hiyo ambapo amesema hadi sasa wamefanikiwa kuwakamata vijana wawili waliofanya matukio hayo kupitia magari yao.
Aidha, Kamanda Mutafungwa ametoa onyo kali kwa vijana wanaofanya hivyo kuacha mara moja kwani ni kinyume sheria ya usalama barabarani kifungu namba 39 (1), na zoezi la kuwasaka wanaofanya hivyo linaendelea.
"Katika kufanya hivyo wanaleta usumbufu kwa watu na kuvichanganya vyombo vya ulinzi na usalama, maana yake yanavyounguruma huwezi kutofautisha kama ni bomu au risasi kwahiyo hata tukio la kihalifu likitokea wananchi wanaweza kudhani ni magari, kwahiyo sisi tumeamua kuwakamata na kuwachukulia hatua za kisheria" - Kamanda Mutafungwa.
