fa
Feedback

فریب کلاهبرداران را نخورید! تل‌متریو این کانال‌ها را شناسایی و برچسب‌گذاری می‌کند 👉 برای مشاهده برچسب، اشتراک تهیه کنید

E-PLUS MEDIA

E-PLUS MEDIA

رفتن به کانال در Telegram

Get the latest news,videos,and more everyday.

نمایش بیشتر
1 307
مشترکین
+124 ساعت
-27 روز
-1330 روز
آرشیو پست ها
MUNGU TUSAIDIE WANAWAKE TAMAA ZINATUPOTEZA; TINA ROGAT "Heshima ya wanawake na ile thamani inashuka kila siku kwa baadhi ya m
MUNGU TUSAIDIE WANAWAKE TAMAA ZINATUPOTEZA; TINA ROGAT "Heshima ya wanawake na ile thamani inashuka kila siku kwa baadhi ya matukio na life style zetu wadada, yaani hata wale watulivu wanaotamani ndoa au tu mahusiano tulivu au kuheshimika ni ngumu kupata heshima na kuaminika kwa ajili ya kujirahisisha wanawake na lifestyle Mungu tusaidie wanawake, hasa katika utaftaji wetu, sawa tunapitia mengi ila mengine ni ya kujitakia tu kwa tamaa zetu"- Tina Rogat

Nauli Mpya za Bus Kutokea Dar es salaam kwenda Katika Baadhi ya Mikoa Nauli Hizi zitaanza Tarehe 8/12/2023
Nauli Mpya za Bus Kutokea Dar es salaam kwenda Katika Baadhi ya Mikoa Nauli Hizi zitaanza Tarehe 8/12/2023

Usichokijua ni kuwa hela na upendo Mungu kaviweka kwenye mili ya wanaume wenye muonekano wa ovyo hata kwa sura. Lakini pia ma
Usichokijua ni kuwa hela na upendo Mungu kaviweka kwenye mili ya wanaume wenye muonekano wa ovyo hata kwa sura. Lakini pia mapenzi na heshima akaviweka kwenye mili ya wanawake wasiovutia kabisa. Usitaraji mapenzi na heshima mbele ya mwanamke mzuri anaevutia ukiwa unataka mke. Lakini pia usitaraji upendo na hela mbele ya mwanaume anaevutia ukiwa unataka mume. Abdulrazaki issa.

Shirika la msalaba mwekundu linasema kuwa limefanikisha zoezi la kuachiwa na kuwahamisha mateka 11 wa Israel waliokuwa wanash
Shirika la msalaba mwekundu linasema kuwa limefanikisha zoezi la kuachiwa na kuwahamisha mateka 11 wa Israel waliokuwa wanashikiliwa huko Gaza. Katika hatua nyengine, wanawake watatu raia wa Palestina na watoto 30 waliachiliwa kutoka magereza ya Israel katika mabadilishano ya siku ya nne tangu mapatano ya usitishwaji wa mapigano kuanza kutekelezwa wiki iliyopita.

Israel imesema mateka wengine 11 walioachiwa huru na wapiganaji wa Hamas katika Ukanda wa Gaza wamerejea nyumbani salama. Waf
Israel imesema mateka wengine 11 walioachiwa huru na wapiganaji wa Hamas katika Ukanda wa Gaza wamerejea nyumbani salama. Wafungwa 33 wa Palestina pia wameachiwa. Mabadilishano hayo yanakuja wakati huu mapatano ya muda kati ya Hamas na Israel yakiongezwa kwa siku mbili zaidi.

Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Dkt. Tulia Ackson, tarehe 27 Novemba, 2023 amewasili Mashariki ya Kati kwa ziara
+1
Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Dkt. Tulia Ackson, tarehe 27 Novemba, 2023 amewasili Mashariki ya Kati kwa ziara ya siku mbili lenye lengo la kujadili jinsi jumuiya ya kimataifa kupitia IPU inaweza kuunga mkono juhudi za kupata suluhu ya mgogoro unaoendelea baina ya Israel na Palestina. Katika ziara hiyo ya kidiplomasia, Dkt Tulia anatarajia kukutana na Viongozi wa pande zote mbili kwa lengo la kutafuta amani katika eneo hilo.

JUKUMU LA UJERUMANI KATIKA MATUKIO YA SIKU ZA MWISHO. Katika somo hili tutakwenda kuona matukio ya ujerumani kutokana na kitabu kitakatifu Biblia. Somo hili lina vipengele Kama vinne au vitano ,so nakusii ndugu msomaji uweze kunifuata hadi kipengele cha mwisho. 👉 Uvamizi wa urusi katika nchi ya Ukraine mwaka 2022 umeshangaza ulimwengu . Tishio LA Putin LA kutumia mabomu ya nuclear limesmsha hofu ya vita ya tatu ya dunia. Hivi karibuni kansela wa ujerumani amehaidi kutenga Euro billion 100 kwa ajili ya kuimarisha Jeshi nzima LA nchi yake. Mataifa mengi ya ulaya yameanza kutafuta kujiunga na umoja wa ulaya na NATO. 👉 Matukio haya yanaelekea wapi na je unabii katika biblia unasemaje kuhusu wakati ujao wa ulaya, Urusi na dunia. ?? 1. SIKU ZA MWISHO NA BABELI. Babeli maana yake nini ?? Mwanzo wake ni wapi na ninani mwanzilishi wake ?? Soma mwanzo (11:1-9) 👉Babeli au babiloni iliazishwa na mwindaji mkuu hodari aliyeitwa kwa majina NIMRODI, Mjukuu wa mwana wa Nuhu. 👉Nimrodi ndiye mwanzilishi wa The World first super power soma kitabu cha mwanzo (10:8-10). 👉Babiloni maana yake mahali pa mchangayo mahali pachafu. Mwanzo wa siasa na mwanzo wa dini ya uongo. Hapa nikuweke wazi ndugu msomaji Babiloni ndio mwanzo na kitovu cha maovu yote na machafuko ya dunia hii. 👉Lengo kuu LA Nimrodi alitaka watu wasitawanyike katika uso wadunia ,alitaka watu wawe na dini yao wenyewe yenye mafundisho hayo hpo juu. Wawe na mfalme wao na Mungu wao tofauti na Mungu muumba. Wawe na serekali yenye kujitegemea yenyewe. 👉Kama nilivyo sema first,second na third world super power zote zilitokana na Nimrod katika miji aliyoijenga kwa mikono yake. Babiloni inawakilisha nguvu ya kisiasa ,dini na uchumi, ambayo itakuja kuutawala ulimwengu mara kabla ya Kristo Yesu kurudi (ufunuo 18). 👉babeli yawakati waleo ipo sehemu gani ?? Je utawala huu wenye nguvu ya kisiasa kidini na uchumi utatokea lini kwenye uso wa dunia ??. 2. KWANINI UNABII HUU UPO KWENYE BIBLIA ??. MWENDELEZO 👇👇

photo content

The Pentagon. Leo tuongelee kuhusu huu mjengo tata wenye sifa Kama zote duniani. Pentagon ni mjengo wa offisi za idara kuu ya ulinzi wa marekani. Lilijengwa tarehe 11/09/1941 na ilipofika tarehe 15/01/1943 mjengo huo ulikuwa umekamilika. Kwa ufupi lilijengwa kwa miezi kumi na sita 16. Yaani mwaka na miezi NNE. Pentagon lilidizainiwa na bwana George Bergstrom na kujengwa na bwana John Mcshain. 👉 Pentagon Ina ukubwa wa mita za mraba 620.000 yaani futi ( 6.636 360 ). Na heka 27 za parking ya magari. 👉 Pentagon Ina orofa 7 tano za juu ya ardhi na mbili chino ya ardhi. Ina pembe tano na kila pembe Ina urefu wa mita 281 . pembe zake tano ndiomana ikaitwa The Pentagon. 👉 The pentagon iligharimu serekali ya marekani dollar za kimarekani million 83 miaka iyo sawa na dollar billion 1.19 mwaka 2021. 👉 The Pentagon Ina waajiriwa wa kijeshi 45.000 na 3000 RAIA wakawaida. 👉 The Pentagon imekuwa Mjengo mkubwa zaidi duniani kiofissi kwa miaka 80. Na hapo nibaada ya India kuzindua mjengo wao wa kioffissi za serekali hapo juni 20 mwaka huu. BACKGROUND YAKE. Vita kuu vya dunia vilipotokea pale ulaya Idara ya ulinzi ya marekani ilijikuta kupungukiwa na offisi kutokana na harakati zake nyingi za kijeshi. Hivyo aliekuwa the Secretary of state kipindi iko alitoa ombi kwenye bunge lawatu wazima lakutaka kuongezwa kwa offisi za kijeshi. 👉 Hivyo ombi lilikubalika bila kipingamizi na kusema Idara ya ulinzi kuu Ijengwe pale Arlington Virginia washington karibu na mtoni. MATUKIO PENTAGON. Tarehe 15/02/1967 Pentagon lilikabiliwa na waandamanaji zidi ya vita vya Vietnam. Kundi LA wanawake 2.500 walizingira eneo hilo uku wakishikilia mabango yaliohashiria amani Kati ya watu wazima USA na Vietnam. 👉 Tarehe 21 /10/1967 kundi LA anti war prontester wapatao 35.000 waliandamana kwenye offisi ya mkuu wa idara ya ulinzi uku wa kipigwa vimbola vya kutoa machozi. 👉 mwaka 19/05/1972 shirika LA hali ya hewa LA chini ya ardhi lilishambulia orofa ya NNE ya mapumzikio ya mjengo wa The Pentagon mwishoni mwa vita yao na Vietnam. 👉 mwaka 17/03/2007 watu wapatao 15.000 walihandamana zidi ya vita Kati ya USA na Iraq. Huku msafara wao ukianzia kutoka kwenye jengo LA ukumbusho LA lincolin hadi kwenye ukingo wa the Pentagon. 👉 11/09/2001 siku ya kusherekea miaka 60 ya The Pentagon Jengo hili lilishambuliwa na wanaume watano walioiteka ndege ya the american air line 77 na kuipigisha kwenye ukuta wa magharibi wa The Pentagon. 👉 Tukio hili lilitokea majira ya asubuhi 09;45 na kusababisha vifo vya watu 3000 na kuanguka kwa mijengo miwili ya the world trade center. 👉Hili limekuwa tukio lakwanza kuwai kutokea ndani ya marekani tangu taifa ilo kujinyakulia Uhuru wake 1776, ambalo limesababishwa na Sera za nje. 2👉 Pamoja na kwamba ndilo jengo lenye ulinzi tata duniani baada ya The white house waajiriwa wengi siku iyo hawakukuwa kwenye offisi zao. Maana badala ya waajiriwa 45.000 siku hiyo walikuwepo waajiriwa 800 pekee hivyo wale ma alqaida wakapata mwanya na kupenya katika radari za ulinzi za The Pentagon. 👉 ikumbukwe mbali nakwamba baada tu ya uchaguzi wa urais huko Misri, Cairo watazindua offisi yao ya ulinzi mpya kubwa zaidi duniani itakayoitwa The Octagon yenye pembe nane , Ilisikika waziri wa ulinzi wa misri akitamka yakwamba The Pentagon itabaki kuwa Unbeaten katika nyanya zote maana imejengwa kwa ustadi usio wakaida. 👉Mwaka 2011 The pentagon liliboreshwa upya katika miundo mbinu ya hali ya juu yakisasa ya kuistamili makombora ya aina yoypte ikiwemo hata Yale yanayobeba vichwa vya nuclear. Marekani imekuwa inachukuwa sifa nyingi katika maswala ya ulinzi nikutokana na uchokozi wake pamoja wivu anaowekewa na nchi jerani pamoja na nchi zenye utawala wa kimabavu. USA ndio imekuwa nchi namba moja katika maswala ya ulinzi katika idara zote hadi The withe house pamoja na msafara wa rais wake unaojulikana Kama The Beast. Umeambiwa hapo ikulu yake bomo LA nuclear halipenye 60 km angani. Imepenya hii au niongezee nyundo.??.

photo content
+1

Wakati kina gigy money na mademu zetu wakibongo wakihangaika kutafuta trending kwa kurekodi clips za ngono ,kujipiga picha ku
Wakati kina gigy money na mademu zetu wakibongo wakihangaika kutafuta trending kwa kurekodi clips za ngono ,kujipiga picha kujionesha shepu na kujipost wakila Bata viwanja tofauti wapo wengine kina Hawa hapa ambao maisha yao wameamua kujikita kwenye taaluma mbali mbali za kuongoza majeshi Pichani ni mrembo askari wa Jeshi la anga la Israel akiwa ameishika ndege anayofanyia kazi kwa mahaba na mazingatio makubwa kupanga ni kuchagua She choose 🦅

MAMBO MAKUBWA AMBAYO WENGI HAWAYAJUI KUMHUSU NABII IBRAHIM. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Licha ya Umashuhuri wa jina lake, ambao mpaka leo hakuna mzee wa nyakati zake ambaye anamfikia kwa umaarufu na umashuhuri. Umashuhuri wa jina lake umebebwa na Ufuasi wa kufa kuzikana, machozi, jasho na damu kwa waumini wa dini zenye Chimbo lake ambazo ni Wayahudi, Wakristo, Waislam ambazo ndizo dini zenye ushawishi katika ulimwengu huu. Pamoja na umashuhuri huo lakini Watu wengi kuna mambo makubwa yanayomhusu Nabii Ibrahim ambayo Wafuasi wake hawayajui. Na hicho ndicho nitakachofafanua leo kwa ufupi kama ifuatavyo; 1. Mama yake(Edina) Ibrahimu alikuwa Tasa; Hii ilimfanya Baba yake Ibrahim aitwaye Tera kuoa mke wa pili ambaye alikuwa mtoto wa Mfalme wa Haran. Kumbuka Tera ametokea Uru ya ukaldayo(Iraq ya Leo). Pia Haran(ambayo leo ni Uturuki) ilikuwa sehemu ya Dola la Mesopotamia (Iraq ya leo). Tera akiwa na miaka 39 akazaa mtoto wa kiume kwanza kwa huyo mke wa pili, mtoto hiyo akaitwa Haran akichukua jina la Babu mzaa Mamaake. Kisha ndipo Mke mkubwa akamzaa Nahori alafu akamzaa na Ibrahimu kwa kuchelewa. Alafu mke mdogo akamzaa binti aitwaye Sara. 2. Ibrahimu na Sara ni Mtu na Dadaake. Baba mmoja Mama Mbalimbali. Ibrahim kazaliwa kutoka kwa mke mkubwa wakati Sarah akiwa amezaliwa kutoka kwa Mke Mdogo. 3. Ibrahim alifukuzwa kwa Sababu Hakuwa Mrithi Halali wa Mali kutoka kwa Baba yake. Ibrahim alikuwa mtoto wa pili, na kwa sheria za zamani mtoto wa pili sio mrithi isipokuwa mtoto wa kwanza ambaye ni Kakaàke aliyeitwa Nahori. Weka Akilini pia Mrithi wa mali sharti atoke kwa mke Mkubwa(wakwanza) hivyo Haran naye hakuwa sehemu ya Warithi ingawaje alikuwa mtoto wa kwanza kwa Tera hii ni kutokana na kuwa mama yake alikuwa mke mdogo. Hata hivyo Haran alitarajiwa arithi kiti cha ufalme cha Babu yake aliyekuwa mfalme wa Haran. Lakini kwa bahati mbaya Haran alikufa mapema kabisa akiwa ameacha mtoto mdogo ambaye aliitwa Lutu. Ibrahim alipewa tuu zawadi za kubeba kisha akaambiwa aondoke. Kama yeye baadaye alivyomfanyia ISHMAEL mtoto wake. 4. Ibrahimu alikuwa Uzao wa Shemu "sem"(uzao wa Semites) lakini alizaa pia na Hamites(Uzao wa Hamu) kupitia Hajiri Mmisri. Wengi waliowahi kuzaa na Hamites ni pamoja na Nabii Musa alizaa na muethiopia aitwaye Sipora akazaa watoto wawili. Pia Suleiman naye alizaa na Malkia wa Sheba. 5. Ibrahimu kuondoka Uru wa ukaldayo ilikuwa ni lazima na wala sio Optional. Sababu kubwa ilikuwa ni Mambo ya Urithi na wala sio Mambo ya kiiimani kama inavyosimuliwa. Ni kama Ishmael alivyoondolewa yeye na Mamaake, Hajiri pale Canaan. 6. MKE wa Sarah alikuwa Mzuri kwa sababu Baba yake Terah alizaa na Watu wa Haran. 7. Ibrahim baada ya kifo cha Sarah Mkewe alimuoa tena, binamu yake aitwaye Ketura. Huyu alimzalia watoto sita (wakiume), kati yao kuna mtoto anaitwa Midiani ambaye ndiye anatoa taifa la Wamidiani. Ishmael alizaa watoto ambao pia walioa na kuoleana na Wamidiani ambao wanatoa sehemu ya Waarabu wa Saudi Arabia. Wamidiani ndio waliomnunua Yusufu kutoka kwa wana wa Yakobo (Waisraeli) Esau(Edom) alioa moja ya mabinti wa ISHMAEL(baba yao Mkubwa) katika watoto aliowazaa mmoja anaitwa Amaleki ambaye ndiye Baba wa Waamaleki. 8. Jumla ya watoto wa Ibrahim ni nane(hawa ni wakiume pekee waliohesabika). Na hao ndio wanaunda mataifa yaliyopo hapo Mashariki ya kati hivi leo. Na hiyo ndio inabeba maana ya jina la Ibrahim "Baba wa Mataifa" kama alivyoahidiwa na Mungu wake. Nipumzike sasa. Robert Heriel Taikon wa Fasihi Kwa sasa Dar es salaam #RobertHampton #ibrahimtatlises

photo content

Kwenye daladala kuna wakati konda anaweza kusahau kukudai nauli, Je ikitokea hali hiyo utampa wewe mwenyewe kwa hiyari au ita
Kwenye daladala kuna wakati konda anaweza kusahau kukudai nauli, Je ikitokea hali hiyo utampa wewe mwenyewe kwa hiyari au itakuwa imekula kwake?

Unafahamu Eli Dunker alie cheza kwenye filamu ya undisputed 2 ndie aliye cheza kwenye filamu ya Jesus kama Yuda Eskariot?
Unafahamu Eli Dunker alie cheza kwenye filamu ya undisputed 2 ndie aliye cheza kwenye filamu ya Jesus kama Yuda Eskariot?

Shirikisho la Ngumi za Kulipwa Tanzania (TPBRC) limemfutia adhabu Bondia Hassan Mwakinyo baada ya kukiri na kuomba msamaha kw
Shirikisho la Ngumi za Kulipwa Tanzania (TPBRC) limemfutia adhabu Bondia Hassan Mwakinyo baada ya kukiri na kuomba msamaha kwa kukiuka mkataba kwa kushindwa kupanda ulingoni. Mwakinyo alifungiwa mwaka mmoja kutoshiriki pambanano ndani na nje ya Tanzania pamoja na kutozwa faini ya TZS milioni 1, Oktoba 10 mwaka huu.

KUNA WATU WAWILI HAPA WANATUMIKA KIBIASHARA; MANGE KIMAMBI "This is not going to end well, mtakuja kuniambia, Diamond na Zari
KUNA WATU WAWILI HAPA WANATUMIKA KIBIASHARA; MANGE KIMAMBI "This is not going to end well, mtakuja kuniambia, Diamond na Zari wanatengeneza story line ya show yao ya Young Famous and African. This is just content ya show yao, kuna watu wawili hapo this will end in premium tears. Mtakuja kuniambia, kuna mtu ataanzia na kuishia hiyohiyo season 3, season 4 atapokelewa na mwenzie, mtakuja kuniambia"- Ameandika Mange Kimambi baada ya picha na video zinazowaonyesha Zuchu, Diamond, Zari na Shakib wakiwa pamoja.

AUNTY EZEKIEL AKOSOLEWA NA MASHABIKI KISA KUMFUNDISHA MTOTO WAKE AMKATAE BABA YAKE IYOBO. Staa wa Filamu nchini, Aunty Ezekiel amejikuta akishambuliwa kwa matusi mazito kutoka kwa mashabiki mbalimbali, hii imekuja baada ya moja ya video ikimuonyesha akimfundisha mtoto wake Cookie kwamba baba yake ni Kusah na mama yake ni Aunty Ezekiel wakati baba halisi wa mtoto huyo ni Mose Iyobo. Kitendo hicho kimechukuliwa kwa mtazamo tofauti kutoka kwa watu mbalimbali huku watu wengi wakimlaumu Ezekiel kwamba si kitendo cha kiungwana kumfundisha mtoto amtambue baba wa kambo kama baba yake mzazi huku baba yake halisi akiondolewa kwenye orodha hiyo. Mjadala umekuwa mzito wapo wanaosema anachokifanya Aunty Ezekiel pengine ni huenda Mose Iyobo hatoi matumizi kwa mwanae ndio maana Aunty haoni umuhimu wa kuendelea kumpa hadhi ya ubaba. Lakini pia wapo wanaosema kuzaa pekee haitoshi kumfanya mtu aitwe baba, baba ni matunzo ya kutosha kwa mtoto wake. Kama hiyo haitoshi kuna waliomtaka Aunty Ezekiel aache kupandikiza chuki ya mtoto na baba kwani kwa kufanya hivyo anamjengea mawazo mabaya mtoto ambayo yatamfanya aanze kumchukia baba yake. Sio vyema kumfundisha mtoto amtambue baba mwingine tofauti na baba yake mzazi hata kama huduma za matunzo zimesitishwa. Kwa upande wako una mtazamo gani juu ya hili?

photo content

Pichani ni Diamond Platnumz, Zuchu, Zari the Boss Lady na Shakib wakiwa kwenye picha ya pamoja huku Afrika Kusini.
Pichani ni Diamond Platnumz, Zuchu, Zari the Boss Lady na Shakib wakiwa kwenye picha ya pamoja huku Afrika Kusini.