fa
Feedback

فریب کلاهبرداران را نخورید! تل‌متریو این کانال‌ها را شناسایی و برچسب‌گذاری می‌کند 👉 برای مشاهده برچسب، اشتراک تهیه کنید

E-PLUS MEDIA

E-PLUS MEDIA

رفتن به کانال در Telegram

Get the latest news,videos,and more everyday.

نمایش بیشتر
1 307
مشترکین
+124 ساعت
-27 روز
-1330 روز
آرشیو پست ها
"Siwezi kujichubua najikubali na rangi yangu ya Kitanzania, kwanza naanzaje kujichubua? Kama una sura ya mjomba ni ya mjomba
"Siwezi kujichubua najikubali na rangi yangu ya Kitanzania, kwanza naanzaje kujichubua? Kama una sura ya mjomba ni ya mjomba tu, na kama una sura ya shangazi ni ya shangazi tu hakuna namna hata ufanye nini hauwezi kubadilisha kitu. Pamoja na sura yangu hii lakini nimewakalisha watoto wa 2000, watoto wa 2000 hawajui kuoga, hawajui kujisafisha" "Watoto wa 2000 sura zimewakomaa mikorogo imewaunguza sura wanaonekana wazee kabla hawajazeeka, kwahiyo mimi siwezi kujichubua kwasababu hata mume wangu kanipenda nikiwa hivi, natongozwa na weusi wangu huu huu hiyo inatosha kwamba mimi ni mzuri"- Malkia Mweusi

Patrick Kanumba na mama yake
Patrick Kanumba na mama yake

SHETTA SHETANI ANATAFUTWA Pichani ni mfanyakazi Mfanyakazi wa Mgahawa Maarufu wa Chakula wa ‘Sele Bonge’ uliopo Kinondoni Dar
SHETTA SHETANI ANATAFUTWA Pichani ni mfanyakazi Mfanyakazi wa Mgahawa Maarufu wa Chakula wa ‘Sele Bonge’ uliopo Kinondoni Dar es Salaam. Anaitwa Suleiman Issah Bakari almaarufu ‘Shetta Shetani’ amepotea. Ndugu na wafanyakazi wenzake wamemtafuta bila mafanikio. Yeyote atakayemuona au kuwa na taarifa kuhusu yeye anaombwa kutoa taarifa kwa mawasiliano ya simu na. 0713229835 na 0686121881.

Mwavuli huu unaitwa "Full Body Umbrella" tofauti na mwavuli wa kawaida, huu hufunika mwili wako wote wakati wa mvua ☔ Mwamvul
+1
Mwavuli huu unaitwa "Full Body Umbrella" tofauti na mwavuli wa kawaida, huu hufunika mwili wako wote wakati wa mvua ☔ Mwamvuli Huu Una Karatasi/skrini yenye uwazi Inayoangaza inayoweza kutolewa, inaweza kutumika kama mwavuli wa mwili mzima wakati wa mvua🌧️au kama mwavuli wa kawaida ili kujikinga na mwanga wa jua☀! Vipi Mdau Unapatikana wapi Tukuletee au Unabaki na Mwamvuli wako Unaokulowanisha Miguu...!? Nini Maoni Yako...!

#KAMA UNAIKUBALI KAMA MIMI HII COUPLE YA NAVYKENZO GONGA LIKE TUWAPE MAUA YAO 💕💕💕❤️
#KAMA UNAIKUBALI KAMA MIMI HII COUPLE YA NAVYKENZO GONGA LIKE TUWAPE MAUA YAO 💕💕💕❤️

#Clouds360 | - Wallace Karia “Miundombinu ni jambo ambalo lilikuwa na changamoto sana ,sasa hivi viwanja mmeona vinapendeza l
#Clouds360 | - Wallace Karia “Miundombinu ni jambo ambalo lilikuwa na changamoto sana ,sasa hivi viwanja mmeona vinapendeza lakini uwanja wa Taifa ni uwanja wa serikali. Sisi tunachoangalia ni kuhakikisha uwanja hatuuzidishii matumizi “ “Ikiwezekana ligi zetu ichezwe mechi ya Simba na Yanga tu ,kuhusu ligi mechi zinazoihusu Simba au Yanga zitachezwa sehemu nyingine ,ila wanapocheza wao wenyewe sawa na hata timu ya Taifa tunataka tuangalie sehemu nyingine ya kucheza ili uwanja upumue “ Rais wa shirikisho la soka Tanzania (TFF ) Wallace Karia akielezea mipango ya kuufanya uwanja wa Taifa (Benjamin Mkapa ) uweze kudumu kwa muda mrefu kwa ubora.

FUNDI AUZA MAGARI MAWILI AHAMISHIWE CANADA LAKINI WAKALA KAMTAPELI NA KUMPELEKA IVORY COAST... Mwanaume mmoja raia wa Ghana ambaye anafanya kazi ya ufundi wa magari, amekumbana na kipingamizi kikubwa kwenye mipango yake ya kuhamia Canada ili kupata fursa nzuri zaidi za kujikwamua kimaisha. Unaambiwa kulingana na ripoti, ndoto yake imeonekena kuwa ni bahati mbaya. Katika video iliyosambaa kwenye mitandao ya kijamii, mwanaume huyo alionekana kukasirika alipokuwa akisimulia hadithi yake. Hayo yote yalianza pale rafiki yake wa muda mrefu, ambaye alikuwa akifanya kazi kama wakala, alipowasiliana naye kupitia ujumbe wa Facebook akidai kuwa yuko Canada na kumwalika ajiunge nae kutafuta maisha huko Canada, kwa sababu maisha ya huko yalikuwa mazuri na ya kushangaza. Akiwa na shauku ya kutafuta mustakabali mzuri zaidi, kijana huyo asiye na mashaka hakusita na akaamua kuuza magari yake mawili na kulipa dola elfu tatu za Canada, ambazo ni sawa na shilingi milioni 5.4 za Tanzania, na Kisha akaanza safari ya kuelekea Ivory Coast, ambako aliahidiwa mahojiano ambayo hatimaye yangempeleka katika nchi yake ya ndoto. Alipofika Ivory Coast, alipata mshtuko wa maisha yake baada ya kugundua kuwa rafiki yake alikuwa amemlaghai. “Nilipofika huko, rafiki yangu aliyedai kuwa Canada alinitembelea baada ya kwenda kwenye mahojiano hayo Ivory Coast, alikiri kuwa kuna fursa ya biashara nchini Ivory Coast na sio Canada na alinitaka nijiunge nayo. Nilihuzunika sana na kumwambia rafiki yangu kwamba udanganyifu wake ulikuwa umeniathiri vibaya." Umejifunza nini kupitia stori hii? Follow.

photo content

Jeshi la Polisi Mkoa wa Manyara limemhoji Mbunge wa Babati Mjini, Pauline Gekul kufuatia tuhuma zinazomkabili za ukatili na u
Jeshi la Polisi Mkoa wa Manyara limemhoji Mbunge wa Babati Mjini, Pauline Gekul kufuatia tuhuma zinazomkabili za ukatili na unyanyasaji dhidi ya mfanyakazi wake, Hashim Ally. Gekul anatuhumiwa kutoa maelekezo kwa kundi la vijana wake kumwingizia chupa sehemu ya haja kubwa mfanyakazi wake, Hashim Ally au kumpiga risasi kwa madai kwamba alitumwa kimkakati kwenda kwenye hoteli yake ya Paleii Lake View Garden. Sakata hilo lilibuka baada ya video kusambaa mitandaoni ikimwonyesha Hashim akieleza jinsi alivyofanyiwa ukatili huo na Gekul ambaye hadi jana, alikuwa ni Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, kabla ya uteuzi wake kutenguliwa na Rais Samia Suluhu Hassan, jana usiku. Gekul amehojiwa na Jeshi la Polisi mkoani Manyara kufuatia tuhuma hizo zilizoibua mjadala mkali kwenye mitandao ya kijamii huku watu wakitoa maoni tofauti. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Manyara, George Katabazi amekiri mbunge huyo kufika kituo cha polisi Babati leo saa 10 jioni kwa ajili ya kutoa maelezo juu ya suala hilo na kisha kuruhusiwa kuondoka.

HUYU ALIKUWA NDIYE MTAFASIRI PICHA ZA KIZUNGU,KICHINA NA KIHINDI ENZI YA MABANDA YA VIDEO Marehemu Mkandalla Rufufu Je Unakum
HUYU ALIKUWA NDIYE MTAFASIRI PICHA ZA KIZUNGU,KICHINA NA KIHINDI ENZI YA MABANDA YA VIDEO Marehemu Mkandalla Rufufu Je Unakumbuka Maneno Yake Alikuwa Anatumia ? Movie Gani Unaipenda Ambayo Ametafasili Huyu Mkandala ? Je una Neno La Kusema Kuhusu Huyu Legend Rufufu Mkandala

| - “Mohammed Dewj hana shida na mimi ,mimi na yeye hatukuwahi kuwa na shida kwanza Dewji anapenda watu wa aina yangu ,watu w
| - “Mohammed Dewj hana shida na mimi ,mimi na yeye hatukuwahi kuwa na shida kwanza Dewji anapenda watu wa aina yangu ,watu wanaoprotect timu lakini sasa wakawa wanamjaza kwamba Haji anakuwa maarufu kuliko wewe “ “Tukienda uwanjani mimi nnambwembe na najua kujibrand ,siwezi kuingia uwanjani kabla uwanja haujajaa ,sasa ile wakawa wanamjaza kwamba wewe ndio unatoa hela lakini anasifiwa Haji ,Mimi nilimwambia hawa wanakujaza” Cc Clouds TV

"Haji wa social media na Haji real ni vitu viwili tofauti. Mimi naweza kucheza tu na mitandao lakini ki-uhalisia. Mimi sipo k
"Haji wa social media na Haji real ni vitu viwili tofauti. Mimi naweza kucheza tu na mitandao lakini ki-uhalisia. Mimi sipo kama watu wanavyoniona na huwa sipendi kujielezea acha watu wanihukumu wanavyojua wao lakini mimi na familia yangu na marafiki zangu wanaonijua vizuri au wa karibu wanajua Haji nina tabu kidogo. Mfano nikiwa mbele ya kamera naweza kuwa mzungumzaji mzuri sana nje ya hapo tunasafiri au tuko mahali tumekaa unaweza ukakaa masaa mawili hujanisikia naongea na kama sijakuzoea ndio kabisa hutanisikia" - @hajismanara Credit CloudsTv

"Asubuhi naingia ofisi za Yanga, nikitoka naenda Manara Tv ikifika saa 8 naondoka naenda nyumbani na sitoki tena mpaka kesho
"Asubuhi naingia ofisi za Yanga, nikitoka naenda Manara Tv ikifika saa 8 naondoka naenda nyumbani na sitoki tena mpaka kesho labda kuwe na kuna rafiki yangu ana-party atanialika nachagua je nikienda inaathari gani? Nikienda lazima niache alama je itakuwa na impact? Itanifaidisha mimi kibiashara? Mimi sifanyi kitu kumfurahisha mtu maana mimi bado maskini. Nasomesha watoto, nina familia kubwa ya kiafrika majukumu ni mengi hivyo mimi kwangu nje ya mitandao siko kama wengi wanavyodhani." - @hajismanara

WAZIRI AWESO NA MKEWE DC ZAINABU WAADHIMISHA MIAKA MITANO YA NDOA... Kutoka kwenye ukurasa wa Mkuu wa Wilaya ya Pangani Bi. Z
+2
WAZIRI AWESO NA MKEWE DC ZAINABU WAADHIMISHA MIAKA MITANO YA NDOA... Kutoka kwenye ukurasa wa Mkuu wa Wilaya ya Pangani Bi. Zainab Abdallah amepakia picha mbalimbali akiwa na mumewe Waziri wa Maji Mh. Jumaa Aweso pamoja na watoto wao wakiasherehekea miaka mitano ya Ndoa yao ambapo ameandika ujumbe huu "I never knew that true love existed until i met you. They say; through sickness and in health; i call it in life and after life. HAPPY 5th ANNIVERSARY MY LIFE Jumaa_aweso #Mitano Tena #Kazilendelee" Picha zaidi 👇

| - “Simba walikuwa wananilipa mshahara usiokuwa na mkataba maalumu ,Yanga wamemiwekea mzigo mezani ,mapenzi ya mashabiki wa
| - “Simba walikuwa wananilipa mshahara usiokuwa na mkataba maalumu ,Yanga wamemiwekea mzigo mezani ,mapenzi ya mashabiki wa Yanga ni makubwa kuliko yale ya Simba sasa kwanini hiyo timu mimi nisiipende “ “Barbara wakati anateuliwa kuwa mjumbe wa bodi ,wakati huo CEO wetu alikuwa Senzo na Senzo alikosa raha kwa sababu ya kuingiliwa majukumu yake ,baadae Senzo akaenda Yanga Barbara akawa CEO na mimi nilishaona huyu hatuwezi kufanya kazi pamoja “ “Alivyoteuliwa tu nikampigia simu Dewji kumueleza kwamba nataka kuacha kazi ,siwezi kufanya kazi na Barbara tutagombana ,wakatuitishia vikao zaidi ya saba, kuna siku uongozi ukasema umeshindwa na wote wanatuhitaji kakaeni wenyewe “ “Nilikaa kikao na Barbara toka saa 10 jioni mpaka saa 7 usiku ,shida kubwa Barbara aliingia pale na kutaka kuonyesha power yangu ni ndogo" Cc Clouds TV

"Watu mtandaoni hawataki tu ile kazi yako unayoifanya, lakini wanataka na kitu gani cha ziada cha kuwauzia bidhaa zao. Mimi n
"Watu mtandaoni hawataki tu ile kazi yako unayoifanya, lakini wanataka na kitu gani cha ziada cha kuwauzia bidhaa zao. Mimi ninavyotumia social media kuna mtu anaweza kuona kwamba huyu Haji nitumie jina hili malaya kweli kumbe mimi niko katika drama zangu tu na zinakwenda, zinanisaidia. Na ndio maana huwezi kukuta labda baba au mama yangu au ndugu wa karibu au viongozi wangu labda wa Yanga wanapata shida kwa sababu wanajua ninachokifanya na kwamba niko 'smart' kwenye kichwa changu" - @hajismanara Credit Clouds TV

"Athari ya mimi kuwa Albino naiona mara chache sana na siku hizi labda mtu anaweza kukutukana tu kwenye social media na haini
"Athari ya mimi kuwa Albino naiona mara chache sana na siku hizi labda mtu anaweza kukutukana tu kwenye social media na hainiathiri kabisa na sijawahi kushitaki. Kuna mmoja juzi kanitukana tena msanii sijahifadhi jina lake, wasaidizi wangu wakanitumia wakasema tudili nae. Nikamuangalia nikamwandikia tu Dm baada ya siku mbili tatu utanikuta na dada yako au mama yako na mimi nikawaambia watu wanitafutie mawasiliano ya mama yake halafu nimuonyeshe kwa kunitukana na ulemavu wangu mama yako huyu niko nae hapa" - @hajismanara Cc: @babbiekabae

MANARA “Kwanza TFF wananidhulumu wao wanajua ,nchi inajua na kila mtu anajua lile tukio nilifanya mbele ya watu sikumtukana n
MANARA “Kwanza TFF wananidhulumu wao wanajua ,nchi inajua na kila mtu anajua lile tukio nilifanya mbele ya watu sikumtukana nimemwambia siondoki hili unanifanyia mara nyingi ,nilimjibu hivyo Karia ule ni mradi tu na mimi nakwambia nimefungiwa kwa sababu ya Simba “ “Hata ripoti yao inaeleza hakukuwa na matusi ,majibizano ndio umfungie mtu miaka miwili na milioni 20 ,mimi ni muungwana sijakukosea lakini nikaenda kumuomba radhi nyumbani kwake” Majibu ya SEMAJI Haji S Manara juu ya sakata lake la kufungiwa ,alipoulizwa swali na ni ipi ilikuwa sababu hasa ya kufungiwa kwake .

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Paul Makonda amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Ma
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Paul Makonda amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Majeshi Mstaafu Generali Venance Mabeyo Jijini Dar es salaam. Huu ni mfufulizo wa Paul Makonda kukutana na viongozi wa kada mbalimbali toka alipoteuliwa na Chama Cha Mapinduzi kukitumikia chama hicho hivi karibuni.

MANARA - “Ghalib aliniambia kama utani kwamba mimi nikikupata wewe ! yaani hawa Simba hawajui kabisa kukutumia , na mimi huyu
MANARA - “Ghalib aliniambia kama utani kwamba mimi nikikupata wewe ! yaani hawa Simba hawajui kabisa kukutumia , na mimi huyu Ghalib nafahamiana nae tangu tupo Kariakoo “ “Kwenye mazungumzo Ghalib akanitania kama atafurahi tukifanya kazi pamoja ,mimi nikawa naona utani lakini baada ya yale matukio ndio ikawa hivyo , kwahiyo siku niliyotoka Simba ndio siku nilianza kuichukia Simba” Cc Clouds TV