E-PLUS MEDIA
رفتن به کانال در Telegram
1 307
مشترکین
+124 ساعت
-27 روز
-1330 روز
آرشیو پست ها
1 307
FULL VIDEO NA MATUKIO MAZIMA UTAYAPATA KWA KU TU FOLLOW HAPA KWENYE INSTAGRAM LINK:-https://instagram.com/e_plus_media?utm_medium=copy_link
FACEBOOK PAGE FOLLOW:-https://www.facebook.com/eplusmediatv/
1 307
KUTOKA MITANDAONI
Kwa habari zaidi SUBSCRIBE kupitia YOUTUBE channel yetu kwa ku bonyeza hapa chini.👇.kwenye link
https://youtube.com/@E-PlusMediaTv?si=JjehK80_nkzrHGNK
1 307
KUTOKA MITANDAONI
Follow ukurasa wetu wa Twitter👇
https://twitter.com/EplusMediaTv?t=OOCtdqDd1L27Uq8rLZ1UJg&s=09
1 307
KUTOKA MITANDAONI
Kwa habari zaidi SUBSCRIBE kupitia YOUTUBE channel yetu kwa ku bonyeza hapa chini.👇.kwenye link
https://youtube.com/@E-PlusMediaTv?si=JjehK80_nkzrHGNK
1 307
FULL VIDEO NA MATUKIO MAZIMA UTAYAPATA KWA KU TU FOLLOW HAPA KWENYE INSTAGRAM LINK:-https://instagram.com/e_plus_media?utm_medium=copy_link
FACEBOOK PAGE FOLLOW:-https://www.facebook.com/eplusmediatv/
1 307
KUTOKA MITANDAONI
Kwa habari zaidi SUBSCRIBE kupitia YOUTUBE channel yetu kwa ku bonyeza hapa chini.👇.kwenye link
https://youtube.com/@E-PlusMediaTv?si=JjehK80_nkzrHGNK
1 307
Picha ni Cristiano Ronaldo akiwa na mpenzi wake wa zamani ambaye waliachana baada ya kudumu kwenye mahusiano kwa miaka 2.
Cristiano Ronaldo akitoa sababu ya kuachana na mrembo huyo Irina Shayk.
🗣️Tulipendana sana, lakini alikuwa na tabia ya" kusema : 'kwanini unamleta mama yako kila Mahali tunakokwenda ? Cristiano lazima uchague kati yangu au mama yako
Mimi nilimjibu kuwa sitoweza kamwe kumtelekeza mama yangu kwa sababu ya mwanamke mwingine
Mwamba Cristiano Ronaldo aliamua kuachana na Irina Shayk kwa sababu Mrembo huyo hakutaka Ronaldo awee na mama yake Kila sehemu kitu ambacho kwa mwamba ilikua ngumu kwani mama yake ndiye chanzo cha yeye kufikia hapo alipo.
RESPECT FOR CRISTIANO RONALDO
1 307
"Kweli uzee upo ndugu zangu msidanganyike na uzuri wa ubinti, hivi mimi ndio wa kuondoka Club wakati ndio kumeanza kuchangamka kweli? tena na kusinzia juu😭 hakika nimeanza kuzeeka"- Elizabeth Michael Lulu
1 307
YAJUE YA TANGA MJINI NA MAAJABU YAKE
1 - Saa 3 usiku hakuna daladala barabarani.
2-Saa 4 usiku huoni watu nje na usiulize kwanini. Jiongeze bro!
3-Ugali wa 1500 unapata mboga 7, usisahau uono (dagaa mchele) buree.
4- Ndio jiji lenye baiskeli za kukodi kama bodaboda na kiti chenye sponji.
5- Disco wanapiga taarabu.
6- Hakuna kelele wala vurugu ni kimyaaa hadi raha.
7 - Kijana akishakuwa na uhakika wa kula na kulala anaoa hata wake watatu kwa mpigo.
8- Binti wa Kitanga mwambie apande pikipiki utalipa. Akifika mnunulie chips yai na soda. Kwisha!
9 - Ndio jiji lenye soda zake. 'Healtho' au 'Anjari'. Huko Bakhresa na Mo hawasikiki.
10 - Ukiishi na watu vizuri kuoa na kuolewa hupati shida wao ndo wanamaliza kazi.
11-Raskazone, Donge,Tanga Beach ndio ushuani kwa mafogo.
12- Maji ya kunywa siyo ya kununua dukani, ya bomba tu yanakata kiu, safi hadi raha.
13- Kwa mabinti uwe na pumzi, ukijiroga bro utatolewa jasho ujute.
14 - Kuna traffic light mbili tu pale Toyota na Mombo Hospitali.
15- Machimbo yetu yaleee ni nenda Sabasaba na Kwa Chichi. Hii ni code kwa wakware.
16 - Daladala ipo radhi kumsubiri mtu hata ikibidi kupiga rivasi kumfuata alipo.
17- Ni jiji lililopangika vizuri uswahilini, mjini mpaka ushuani.
18 - Kule madem wanaenda bar au club na madera na ushungi kichwani.
19 - Tanga kila binti anajua mapenzi na wanaheshimu wanaume.
20 - Mabinti wa Tanga wanapenda ndoa na wanajua kulea waume.
Ongeza nyingine ✍️
1 307
" Sawa dini ya Kiislamu inasema ni sahihi mwanaume kuoa wanawake mpaka wanne lakini hapa kwangu hiyo sitaikubali na siitambui, mimi ndio mke wa kwanza na wa mwisho hatoki mtu haingii mtu "- Raya, Mke wa Barnaba
1 307
Unadhani ni Lini Tanzania 🇹🇿 itaamini Vijana Katika Nafasi Kubwa ya Urais??
Bassirou Diomaye FAYE 📸 (Senegal President Elect)
1 307
Pichani ni Afisa mtendaji mkuu wakala wa taifa wa hifadhi ya chakula, Dkt. Andrew Komba akiwa standby kuelezea mwenendo wa chakula nchini Tanzania.
1 307
Huko nchini Cambodia kuna kabila la Kreung ambalo linautamaduni wa wazazi huwajengea vijumba maalum mabinti zao pindi wakifikia umri wa kuolewa.
Vijumba hivi ni kwa ajili ya kukutana kimwili na wavulana mbalimbali mpaka binti atakapopata mvulana anayemfaa.
Jambo hili huenda likaonekana kama kichocheo cha mimba zisizotarajiwa, lakini kabila hilo linaamini kuwa hii ndiyo njia bora zaidi ya wasichana wao kupata mume bora na rijali.
1 307
Saudi Arabia kwa mara ya kwanza katika historia kushiriki mashindano ya urembo ya Miss Universe 2024 ambapo itawakilishwa na mwanadada Rumy Alqahtani(27)
Mrembo huyo kutoka mji mkuu wa Riyadh amesema ana furaha kupata nafasi ya kuliwakilisha taifa lake na moja ya mchango wake katika kushiriki mashindano hayo maarufu ni kujifunza tamaduni za jamii za mataifa mengine na pia kuueneza utamaduni wa Saudi Arabia ujulikane kwa mataifa mengine
Chini ya uongozi wa sasa wa Crown Prince Mohammed Bin Salman(38), Saudi Arabia imefanya marekebisho mbalimbali ikiwemo kuwapa uhuru zaidi wanawake waweze kuendesha magari, kukata paspoti wenyewe bila kuongozwa na mwanaume, kuhudhuria matamasha ya jinsia tofauti na mengineyo
Pia taifa hilo miaka ya karibuni limeanza mikakati mizito kuikiuza haraka sekta ya burudani nchini humo pamoja na utalii viwe miongoni mwa mikakati ya kulitangaza zaidi taifa hilo na kuingiza pesa nyingi za kigeni
Kwenye comments section kuona picha zaidi za mrembo huyo, pia kumuona kiongozi wa sasa wa Saudi Arabia aliyefanya marekebisho kadhaa kutowanyima sana uhuru raia wa taifa hilo kama ilivyokuwa mwanzo kwa watawala wengine
1 307
*Hizi nondo zimefungwa na cable ties za plastick badala ya binding wire, je ni sahihi ,or huu ndo ule uhandisi wa kisasa au ubahili na wizi?*
#UjenziWaGhorofa....
1 307
"Siku hizi kumeibuka tabia ya wanawake wengi kuwaheshimu wababa wa kiroho kuliko waume zao. Sio sahihi kwasababu Mungu alimuweka mwanamke awe chini ya Mwanamume (Mume wake) na sio chini ya baba wa kiroho"- Louise Issabu, ambaye pia ni Mke wa Mchungaji
