fa
Feedback

فریب کلاهبرداران را نخورید! تل‌متریو این کانال‌ها را شناسایی و برچسب‌گذاری می‌کند 👉 برای مشاهده برچسب، اشتراک تهیه کنید

E-PLUS MEDIA

E-PLUS MEDIA

رفتن به کانال در Telegram

Get the latest news,videos,and more everyday.

نمایش بیشتر
1 307
مشترکین
+124 ساعت
-27 روز
-1330 روز
آرشیو پست ها
Kamishna Jenerali Mamlaka ya Kupambana na Kudhibiti Dawa za Kulevya (DCEA), Aretas Lymo amesema wanayo orodha ya majina ya wa
Kamishna Jenerali Mamlaka ya Kupambana na Kudhibiti Dawa za Kulevya (DCEA), Aretas Lymo amesema wanayo orodha ya majina ya wasanii wanaotumia madawa ya kulevya, na kuwataka wajirekebishe kabla mamlaka haijachukua hatua ikiwemo kuwafikisha mahakamani. Amesema mamlaka itatumia sheria zilizopo kuwafikisha kwenye vyombo vya sheria baada ya kuthibitisha.

Unamkubali nani hapa mdau 😄😄
Unamkubali nani hapa mdau 😄😄

Wachache watawajua hawa..😃
Wachache watawajua hawa..😃

photo content

Wachache watamjua huyu..😄
Wachache watamjua huyu..😄

😃😃🤣
😃😃🤣

Wachache watamjua huyu
+1
Wachache watamjua huyu

"Natamani kupandikiza ndoto yangu kwa mwanangu, kipindi nasoma nilikuwa natamani kuja kuwa Daktari mkubwa lakini sikufanikiwa
"Natamani kupandikiza ndoto yangu kwa mwanangu, kipindi nasoma nilikuwa natamani kuja kuwa Daktari mkubwa lakini sikufanikiwa, natamani mwanangu aiendeleze ndoto hii awe Daktari mkubwa"- Tunda Cappuccino.

SIMJUI DULLA MAKABILA ; ZAIYLISSA Ukistaajabu ya Musa.... Msanii wa Tamthilia ya Juakali Zainabu Said, maarufu kama Zaiylissa
SIMJUI DULLA MAKABILA ; ZAIYLISSA Ukistaajabu ya Musa.... Msanii wa Tamthilia ya Juakali Zainabu Said, maarufu kama Zaiylissa ametoa kali ya mwaka baada ya kusema kwamba hamjui aliyekuwa mumewe, Dulla Makabila na wala hana kumbukumbu zozote kuhusu Makabila. Amesema anachokumbuka yeye ni mahusiano yake mengine aliyowahi kuwa nayo lakini siyo Dulla. Ikumbukwe, Zaiylissa na Dulla Makabila walifunga ndoa mwezi wa tano mwaka huu (2023), hata hivyo ndoa yao ilimomonyoka baada ya muda mfupi hali iliyopelekea kuachana njiapanda kila mmoja akaenda kujipachika kwenye mahusiano mengine.

NILIFURAHI NILIPOONA PATRICK ANA MPENZI, MAANA KWA KIZAZI CHA SASA MWANAO ASIPOJIHUSISHA NA WANAWAKE MZAZI LAZIMA UWAZE MARA
NILIFURAHI NILIPOONA PATRICK ANA MPENZI, MAANA KWA KIZAZI CHA SASA MWANAO ASIPOJIHUSISHA NA WANAWAKE MZAZI LAZIMA UWAZE MARA MBILI; HIDAYA NJAIDI "Mimi Siwezi kumchagulia mtoto wangu Patrick mpenzi wa kuwa nae, amekuwa mtu mzima ana maamuzi yake. Kiukweli siwajui wakwe zangu wote ambao yuko nao lakini tangu mwanangu akue nimemjua mpenzi wake mmoja tu na nilimpenda sana japokuwa alidumu kwa muda mfupi, ila nilimpenda sana mkwe wangu na nilienda dukani kwake kumuungisha kwasababu pia anauza nguo za kinamama" "Tangu nimemzaa Patrick hajawahi kuniletea msichana, hana michezo ya kuwachezea wasichana kutokana na misimamo yangu nilivyomlea. Sasa hivi kuna wimbi baya kabisa limeingia kwahiyo sisi wenye watoto wa kiume kuna vitu flani vikitokea kidogo unaweza utasema Alhamdulillah"- Amesema Hidaya Njaidi ambaye ni mama mzazi wa msanii Othman Njaidi maarufu kama Patrick Kanumba.

photo content
+9

FULL VIDEO NA MATUKIO MAZIMA UTAYAPATA KWA KU BONYEZA HAPA KWENYE INSTAGRAM LINK:-https://instagram.com/e_plus_media?utm_medi
+9
FULL VIDEO NA MATUKIO MAZIMA UTAYAPATA KWA KU BONYEZA HAPA KWENYE INSTAGRAM LINK:-https://instagram.com/e_plus_media?utm_medium=copy_link FACEBOOK PAGE FOLLOW:-https://www.facebook.com/eplusmediatv/

MAKALA HURU:-TOP 10: KAULI ZA JPM ZILIZOTIKISA, TAZAMA UNIAMBIE IPI ILIKUKOSHA ZAIDI!

Hakuna Msanii hata mmoja "Francophone" kutoka barani Afrika (wanaotumia lugha ya Kifaransa) aliyechaguliwa kuwania Tuzo za Gr
Hakuna Msanii hata mmoja "Francophone" kutoka barani Afrika (wanaotumia lugha ya Kifaransa) aliyechaguliwa kuwania Tuzo za Grammy Awards mwaka 2024. 1. Burna Boy 🇳🇬 2. Davido 🇳🇬 3. Ayra Starr 🇳🇬 4. Olamide 🇳🇬 5. Fireboy DML 🇳🇬 6. Asake 🇳🇬 7. Seun Anikulapo Kuti 🇳🇬 8. C Kay 🇳🇬 9. Tyla 🇿🇦 10. Musa Keys 🇿🇦 11. Sey Vibes 🇳🇬 NB : Ni Nchi za Nigeria 🇳🇬 (9) na Afrika Kusini 🇿🇦 (2) pekee ndizo zilizofanikiwa kuingiza Wasanii wake kwenye Tuzo za Grammy Awards mwaka huu. Ukihitaji matangazo ya biashara yako au Promotion ya nyimbo zako, filamu, mitandao yako ya kijamii (facebook na YouTube), njoo inbox 📥 Toa maoni yako

"Mume sina na mchumba sina, labda wananiogopa maana hatokei mtu wa kuniambia ananipenda nahisi wananiogopa. Sijaolewa na mtu
"Mume sina na mchumba sina, labda wananiogopa maana hatokei mtu wa kuniambia ananipenda nahisi wananiogopa. Sijaolewa na mtu akija why not?" "Nataka kubadili dini nitoke kwenye ukristo niwe muislam, na sitabadili kwasababu ya mwanaume, ni mimi mwenyewe nimeamua kwasababu napenda mambo ya kiislamu" "kufua sijui na hii itakuwa ngumu kidogo kwangu kwasababu dada yupo ananifulia, lakini pia kuna mashine za kufulia ila kupika niko vizuri kiasi" - Madam Ritha, Jaji Mkuu wa Bongo Stars Search (BSS) ambaye ni Mama wa Mtoto mmoja. Ukihitaji matangazo ya biashara yako au Promotion ya nyimbo zako, filamu, mitandao yako ya kijamii (facebook na YouTube), njoo inbox 📥 Toa maoni yako

Msanii Mkongwe wa Muziki Nchini Uganda 🇺🇬 na Afrika Mashariki kwa ujumla, Jose Chameleone amesema licha ya muziki wa Uganda
Msanii Mkongwe wa Muziki Nchini Uganda 🇺🇬 na Afrika Mashariki kwa ujumla, Jose Chameleone amesema licha ya muziki wa Uganda kuachwa nyuma na Nchi za Kenya na Tanzania, Nchi hiyo (Uganda) inajivunia uwezo wa kuimba walionao Wasanii wake ambapo hakuna Msanii wa Tanzania wala Kenya anayefikia kiwango chao. Hata hivyo, ameweka wazi kuwa Muziki wa Uganda 🇺🇬 umerudi nyuma kiasi fulani kutokana na Wasanii kushindwa gharama akitolewa mfano wakati Nchi ya Kenya ikiwa na Studio (50) Uganda walikuwa na Studio tatu (3) huku Tanzania Mashabiki waliwachukulia Wasanii wake kama Wafalme (Wasanii wakubwa). Ukihitaji matangazo ya biashara yako au Promotion ya nyimbo zako, filamu, mitandao yako ya kijamii (facebook na YouTube), njoo inbox 📥 Toa maoni yako

⚠️ Batuli na Mrisho Mpoto wakutana kuteta jambo Picha zaidi kwenye comments section
⚠️ Batuli na Mrisho Mpoto wakutana kuteta jambo Picha zaidi kwenye comments section

MAKONDA AINGIA KWA USAFIRI WA TREKTA - MARA Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Cde. Paul Mako
MAKONDA AINGIA KWA USAFIRI WA TREKTA - MARA Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Cde. Paul Makonda amepokelewa Kwa Usafiri wa Trekta Bunda Mkoani Mara Makonda amewasili Mkoani Mara akitokea Mkoani Simiyu ikiwa ni muendelezo wa ziara yake.

PAUL MAKONDA APOKELEWA NA PUNDA SIMIYU Msafara wa Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi CCM Paul Makonda (@baba_keagan)alivyopokel
PAUL MAKONDA APOKELEWA NA PUNDA SIMIYU Msafara wa Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi CCM Paul Makonda (@baba_keagan)alivyopokelewa na Usafiri wa Punda Mkoani Simuya Wilaya Ya Busega ambapo Novemba 13, 2023 ameendelea na Ziara yake mkoani Hapo.

AFUNGA NDOA NA WANAWAKE 30 NDANI YA SIKU MOJA. Mwimbaji Harrysong, nyota wa Afrobeat kutoka Nigeria, amekuwa gumzo baada ya k
+1
AFUNGA NDOA NA WANAWAKE 30 NDANI YA SIKU MOJA. Mwimbaji Harrysong, nyota wa Afrobeat kutoka Nigeria, amekuwa gumzo baada ya kuvunja rekodi ya kihistoria kwa kuoa wanawake 30 ndani ya siku moja, awali rekodi hiyo ilikuwa ikishikiliwa na gwiji Fela Anikulapo Kuti ambaye alioa wanawake 27 kwa siku.