E-PLUS MEDIA
رفتن به کانال در Telegram
1 307
مشترکین
+124 ساعت
-27 روز
-1330 روز
آرشیو پست ها
1 307
KUTOKA MITANDAONI
Follow ukurasa wetu wa Twitter👇
https://twitter.com/EplusMediaTv?t=OOCtdqDd1L27Uq8rLZ1UJg&s=09
1 307
FULL VIDEO NA MATUKIO MAZIMA UTAYAPATA KWA KU BONYEZA HAPA KWENYE INSTAGRAM LINK:-https://instagram.com/e_plus_media?utm_medium=copy_link
FACEBOOK PAGE FOLLOW:-https://www.facebook.com/eplusmediatv/
1 307
HARMONIZE ASHANGAZWA NA WANAOMJAJI KUPELEKWA KANISANI NA MPENZI WAKE
Mwanamuziki Rajabu Abdulkahal almaarufu @harmonize_tz ameshangazwa na watu wanaomjaji kwamba sio sawa yeye kama muislamu kupelekwa kanisani na Mpenzi wake @poshyqueeen
@harmonize_tz kupitia Insta Story ameandika kwamba inachekesha sana kuona watu wameshangaa na yeye kwenda Kanisani Siku ya Leo wakati Wasichana wao huwa wanawapeleka Sehemu za Starehe ambazo hazina uwepo wa Mungu, hivyo kwanini Washangae yeye kupelekwa kanisani ambapo kuna uwepo wa Mungu?
Harmonize amefunguka kwamba yeye anaamini katika Mungu mmoja na Haamini Katika Dini Moja.
#halisimediatz
1 307
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi mbalimbali katika uzinduzi wa Sanamu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kwenye Makao Makuu ya Umoja wa Afrika (AU), Addis Ababa nchini Ethiopia tarehe 18 Februari, 2024.
1 307
Taswira ya Sanamu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere iliyowekwa kwenye Makao Makuu ya Umoja wa Afrika (AU), Addis Ababa kwa ajili ya kutambua mchango wake katika masuala ya ukombozi Barani Afrika tarehe 18 Februari, 2024.
1 307
DIAMOND PLATNUMZ ANAROHO MBAYA MNO
-
Mwanamziki Steve Rnb aliyewahi kufanya Makubwa Sana Kwenye Mziki Wa Bongo Fleva "RNB", Licha ya kupotea kwenye game Kwa Sasa Ila Ngoma za Steve Zinaendelea kuishi.
Steve Rnb aweke wazi hisia zake juu Diamond platnumz kuwa ni Msanii Mwenye roho mgumu sana kutokana na mambo aliyopitia Kipindi anajitafuta kimziki.
"Kipindi sisi tunafanya Vizuri kwenye mziki tulikuwa tunategemea sana Media Baada ya Kuona Diamond platnumz ameingia kwenye mgogoro na baadhi ya media Hapa Nchini Nilijua Kabisa Kijana hataweza Kudumu Kwetu Game Cha ajabu dogo Hadi Leo Yupo kwenye Game Jamaa anaroho Ngumu Sana Kama paka"- Amefunguka Steve Rnb
TOA MAONI YAKO HAPA
1 307
Muhimbili kuotesha nywele kwenye kipara
Watalaam wa upasuaji Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kwa kushirikiana na wenzao kutoka nchini Marekani wamekamilisha kambi maalum ya siku tano iliyohusisha upasuaji wa urembo na upasuaji wa matibabu (Cosmetic and Reconstructive Surgery) kwa wagonjwa nane.
Akizungumza wakati wa kuhitimisha kambi hiyo na kwa niaba ya timu nzima iliyoshiriki, Daktari Bingwa wa Upasuaji wa MNH, Dkt. Ibrahim Mkoma, amesema upasuaji uliofanyika ni wa matibabu kwa wagonjwa waliokuwa na changamoto mbalimbali ikiwemo waliopata ajali ya kuungua moto na wenye misuli iliyokakamaa kutokana na majeraha n.k.Amesema,
kuna mtoto ambaye kichwa chake kilizaliwa kikiwa na vinundu vidogo vidogo mithili ya visunzua (skin tag) ambavyo viliondolewa na kufanya sehemu kubwa ya kichwa chake kuwa na kipara, hivyo amefanyiwa upasuaji wa kuwekewa puto (tissue expander) kwenye kichwa sehemu yenye nywele karibu na kipara ili ngozi ya eneo hilo iweze kuongezeka na kukuza nywele ambazo baada ya mwezi mmoja zitakuwa zimeota sehemu kubwa na kuruhusu kufanyiwa upasuaji wa kuvuta ngozi hiyo ikiwa na nywele na kufunika sehemu yenye kipara hivyo kumwezesha mtoto huyo kurudi katika hali yake ya kawaida.
Upasuaji huo umefanyika kwa kushirikiana na Watalaam wa Upasuaji kutoka Shirika lisilo la Kiserikali la Marekani ReSurge International ambao wana uzoefu mkubwa duniani katika kujenga uwezo wa kufanya upasuaji wa matibabu na urembo."
1 307
"Si mliniita mgumba siwezi kuzaa, sasa nataka niwashangaze, hao wawili hawanitoshi mpaka wafike sita, na sitawaonyesha mimba mtakuwa mnashangaa watoto hao"- Wolper
1 307
"Lakini niombe kwa sababu ya rekodi, niweke kumbukumbu sahihi. Huwezi kuandika historia ya Lowassa ukaliacha neno Chadema. Ni kujidanganya tu na kujaribu kuua historia ambayo huwezi kuiua," Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
1 307
"Ruby anajua kuimba kuliko Lady Jaydee"- Aunty Ezekiel
Ezekiel ameyasema hayo alipokuwa anajibu swali la Juma Lokole alilouliza kwamba kati ya Lady Jaydee na Ruby yupi ni mkali zaidi kwenye kuimba?
1 307
KUTOKA MITANDAONI
Follow ukurasa wetu wa Twitter👇
https://twitter.com/EplusMediaTv?t=OOCtdqDd1L27Uq8rLZ1UJg&s=09
