fa
Feedback

فریب کلاهبرداران را نخورید! تل‌متریو این کانال‌ها را شناسایی و برچسب‌گذاری می‌کند 👉 برای مشاهده برچسب، اشتراک تهیه کنید 👈

E-PLUS MEDIA

E-PLUS MEDIA

رفتن به کانال در Telegram

Get the latest news,videos,and more everyday.

نمایش بیشتر
1 307
مشترکین
+124 ساعت
-27 روز
-1330 روز
آرشیو پست ها
Sonia Monalisa akiwa nchini Netherlands na marafiki zake
Sonia Monalisa akiwa nchini Netherlands na marafiki zake

Ulitamani kusema nini kuhusu Lowassa? #riplowassa
Ulitamani kusema nini kuhusu Lowassa? #riplowassa

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimfariji Mama Regina Lowassa ambaye ni mjane wa Hayati Edward Ngoyai Lowassa, baada ya mazishi
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimfariji Mama Regina Lowassa ambaye ni mjane wa Hayati Edward Ngoyai Lowassa, baada ya mazishi yaliyofanyika, Kijijini Ngarash, Monduli mkoani Arusha.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akitoa maelekezo kuhusu shughuli za uratibu kwa Waziri wa
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akitoa maelekezo kuhusu shughuli za uratibu kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe Jenista Mhagama mbele ya Viongozi Wakuu wakati wa ibada ya Mazishi ya Hayati Edward Lowassa Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nyumbani kwake Ngarash Wilaya ya Monduli Mkoani Arusha tarehe 17 Februari, 2024

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe Jenista Mhagama akizungumza na Kiongozi wa Chama cha ACT Waz
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe Jenista Mhagama akizungumza na Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Mhe. Zitto Kabwe wakati wa ibada ya Mazishi ya Hayati Edward Lowassa Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nyumbani kwake Ngarash Wilaya ya Monduli Mkoani Arusha tarehe 17 Februari, 2024.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe Jenista Mhagama akizungumza na Mwenyekiti wa Chama cha Demok
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe Jenista Mhagama akizungumza na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Mheshimiwa Freeman Mbowe wakati wa ibada ya Mazishi ya Hayati Edward Lowassa Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nyumbani kwake Ngarash Wilaya ya Monduli Mkoani Arusha tarehe 17 Februari, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Rais wa Kenya Mhe. William Ruto, Rais Mstaafu Dkt.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Rais wa Kenya Mhe. William Ruto, Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na Viongozi mbalimbali wakati wakielekea kwenye hafla ya uzinduzi wa Sanamu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere iliyopo katika Makao Makuu ya Umoja wa Afrika (AU), Addis Ababa nchini Ethiopia tarehe 18 Februari, 2024.

MAVI NI BIASHARA NCHINI MONGOLIA Kama ulikua haujui kuwa MAVI ni biashara wacha nikufahamishe:- Ndio namaanisha MAVI tena ya binaadamu, Wakati watu wengi wakiamini kuwa MAVI ya binaadamu ni uchafu,Nchini MONGOLIA nchi iliyopo barani ASIA, MAVI ni bidhaa muhimu sana na huuzwa madukani Unaweza kujiuliza MAVI ni bidhaa wakati ni uchafu, Sasa nikuambie tu duniani hakuna uchafu, Kila kitu kina matumizi yake hutegemeana na wewe na akili yako inakichukuliaje kitu hicho. Katika nchi ya MONGOLIA ndugu yangu MAVI sio uchafu ni bidhaa, Hukusanywa halafu kupelekwa viwandani Yakifika kiwandani huchanganywa na vitu kadhaa, Halafu hugeuka kuwa chakula cha binaadamu, Na hupakiwa vizuri kwenye vifuko kama unavyo ona hapo chini Na kuuzwa madukani mfano wa keki kama unavyo ona hapo chini ! Kwa lugha nyengine unaweza kusema hiyo ni keki ya MAVI, Keki moja ya MAVI huuzwa TUGRIK 2500. TUGRIKI ni jina la pesa ya nchi ya MONGOLIA Ni moja ya bidhaa tamu na wenyeji wa nchi hiyo wanaipenda sana,TUGRIKI moja ni sawa na Pesa ya Tanzania shilingi 0.6789, Kwahiyo unaweza kujua kwa pesa ya kitanzania, Keki moja ya MAVI ni sawa na bei gani. Vipi upo Tayari kununua hii keki 😄 Imeandikwa na Mahmudu suleiman ✍️ Follow Ukurasa Wetu wa Instagram

photo content

***💙🌍Ganvie ni kijiji cha kipekee kilichopo huko Benin, West Africa na wanakiita "Venice of Africa" , watu wamejenga nyumba
***💙🌍Ganvie ni kijiji cha kipekee kilichopo huko Benin, West Africa na wanakiita "Venice of Africa" , watu wamejenga nyumba zinazoelea juu kwenye maji sababu wanasema ni eneo salama toka enzi zile za biashara ya watumwa** kijiji kimejengwa juu ya maji ya Ziwa Nokoué, na kila mtu ufika na kutoka kijijini hapo kwa kutumia boat(boti) na mitumbwi* Pia kijiji hiki kina soko ambalo nalo linaelea juu ya maji ya ziwa hilo na wakazi utumia boti kwenye soko hilo kupata mahitaji yao💙🌍*** #AfricaYetu...

Picha Kutoka Meza kuu 😊
Picha Kutoka Meza kuu 😊

Rest in peace Eddo...💔
Rest in peace Eddo...💔

VYUO 20 BORA NCHINI TANZANIA 1. University Of Dar es Salaam (UDSM) 2. Sokoine University of Agriculture (SUA) 3.Muhimbili Uni
VYUO 20 BORA NCHINI TANZANIA 1. University Of Dar es Salaam (UDSM) 2. Sokoine University of Agriculture (SUA) 3.Muhimbili University of Health and Allied Science (MUHAS) 4. University of Dodoma (UDOM) 5. Catholic University of Health and Allied Science (BUGANDO) 6. Open University of Tanzania 7. Ardhi University 8. Mzumbe University 9. Tumaini University Makumira 10. State University of Zanzibar 11. Mkwawa University College of Education 12. Nelson Mandela African Institute of Science and Technology 13. Hurbert Kairuki Memorial University 14. Dar es Salaam Institute of Technology (DIT) 15. St Joseph University in Tanzania 16. College of Business Education (CBE) 17. Institute of Finance Management (IFM) 18. Kilimanjaro Christian Medical University College (KCMC) 19. Moshi Co-operative University (MOCU) 20. Saint Augustine University of Tanzania (SAUT) Source: IREG Observatory CHUO ulichosoma Kipo Namba Ngapi Kwenye List??

Waacheni waimbe nani kama Mama kwakuwa hakuna anayeweza kuvaa viatu vya Baba, waambieni maisha mkononi, roho rehani tena njiani kwa ajili ya kuyapa maisha yetu ahueni. Hizi ni picha ambazo haziwezi kutrend kwenye status zao, hizi ni picha ambazo huwezi kuwasikia “Baby kuwa kama huyu” hizi ni picha ambazo Wanaume tumezitunza kwa wivu mkubwa na siri kuliko video za ngono, amini nakwambia. Hizi ni picha ambazo zinakwambia Mshua hakuzaliwa familia ya Kitajiri, ila Mshua alihakikisha tunasoma, hatukuwahi kulala njaa kwa Mshua na tulienda kutibiwa kila tulipokuwa na homa kwa Mshua, katikati ya yote ni mapambano kama haya. Kwenye vijiwe vyao utasikia “Shoga Mwanaume hawezi show, acha nisake damu changa” anasahau Mwanaume kazi mia mzigo, hajala na mwili kama jalala, anasahau Simba katoka mawindoni, sio kwamba haipendi michezo ya jandoni. Itapigwa simu katikati mwa harakati za Kamanda, katikati ya msitu mkubwa wa mapambano haitopokelewa na Mwanamke atamwambia “Endelea na Malaya zako” malaya ndio hizi gunia za mkaa na kitanda ndio pikipiki yake, sad story. Simulizi ngumu ya yule Mwanamke kiruka njia huenda atampa Kamanda alee mimba sio yake, katikati ya mapambano Mwanamke yule atamsaliti Mchizi kuwa hana muda nae, atahitaji mwenye time nae. Kuna wakati tunakaa kimya sio kwamba hatuna cha kuongea ila hakuna wa kutuelewa lugha yetu, sisi ndio wale tuliochagua kucheka wakati wa shida kuonesha kila kitu kipo sawa, tunyime kila kitu na tutese uwezavyo ila tunazo dakika chache za kukuonesha sisi ni Wanaume. Life is not fair! Itabidi tuchunguzane upstairs! Kamanda kimbiza Mwanangu, hatujaja kulalamika duniani, Wanaotuamini waache wabaki, ambao hawataki waache waende! NA KESHO TENA. SHARE NA WENGINE -Farhan Kihamu

photo content

Vp huko hali ipoje sasa hivi...
Vp huko hali ipoje sasa hivi...

Elisabeth Michael maarufu Lulu ameonyesha Mtoto wake aliyemzaa na Mume wake ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa EFM/TV, Francis
Elisabeth Michael maarufu Lulu ameonyesha Mtoto wake aliyemzaa na Mume wake ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa EFM/TV, Francis Ciza maarufu Majizzo. NB : Watu wanasema Mtoto huyo ni "Copy"

Madebe lidai..🫣
Madebe lidai..🫣

⚠️😳 "Mimi ni nyota mkubwa sana hata Shah Rukh Khan ananijua ndio mana aliwahi kupost video yangu kwenye akaunti yake ya X, lakini Watanzania wananichukulia kawaida tu" - amesema Kili Paul Kili Paul na Neema Paul ambao ni ndugu wamejizoelea umaarufu nchi mbalimbali hasa India kwa kuigizia kuimba nyimbo za kihindi na kucheza. Mwaka jana waliachia clip wakicheza wimbo wa Not Ramaiya Vastavaiya kutoka kwenye filamu maarufu ya Jawan(2023) iliyoigizwa na Shah Rukh Khan na Nayanthara, ambapo page moja ya shabiki wa Shah Rukh Khan ilipost clip ya Kili na Neema katika mtandao wa X zamani Twitter kisha kuuliza "do you love it" Haukupita muda mrefu Shah Rukh Khan aliona clip na caption kisha kujibu kwa kuandika "Yes I love it. Thank you!!! This is amazing!!! They are very good.” Ndugu hao wameweza kupata attention hata kwa mastaa mbalimbali wa India, mwaka jana Kili Paul alialikwa kama mgeni maalum katika Big Boss(Big Brother) ambayo ni show kubwa India mtangazaji akiwa ni Salman Khan. Kabla Kili alialikwa ubalozi wa India nchini Tanzania Kwasasa kili ana zaidi ya followers milioni 5.8 katika mtandao wa TikTok. Instagram ana follwers milioni 7.2 wakati YouTube akiwa na subscribers milioni 5.23 Kwa upande wa Neema Paul ambaye alichelewa kidogo kuwa na page binafsi yeye kwasasa ana followers zaidi ya laki 8 instagram Pamoja na hayo, 90% ya followers wao ni kutoka India na diaspora wenye asili hiyo. Kukubalika kwao kumepelekea wapate dili mbalimbali za kipesa mbali na kuingiza pesa kupitia pages zao za mitandaoni. Kili amejenga nyumba nzuri ya kisasa Licha kukubalika zaidi kwa raia wa kigeni kuliko Watanzania lakini bado asililia 99% ya mavazi yao kwenye clip wanazoachia wamevaa mavazi asilia ya kimasai hivyo kulitangaza zaidi kabila hilo maarufu linalopatikana Tanzania na Kenya

photo content