fa
Feedback

فریب کلاهبرداران را نخورید! تل‌متریو این کانال‌ها را شناسایی و برچسب‌گذاری می‌کند 👉 برای مشاهده برچسب، اشتراک تهیه کنید

E-PLUS MEDIA

E-PLUS MEDIA

رفتن به کانال در Telegram

Get the latest news,videos,and more everyday.

نمایش بیشتر
1 307
مشترکین
+124 ساعت
-27 روز
-1330 روز
آرشیو پست ها
"Kauli ya Papa Francis ya kuwabariki wapenzi wa jinsi moja kweli ni Kauli iliyoshtua ulimwengu mzima, hususani ulimwengu unao
"Kauli ya Papa Francis ya kuwabariki wapenzi wa jinsi moja kweli ni Kauli iliyoshtua ulimwengu mzima, hususani ulimwengu unaoamini kwenye Mungu lakini ni makosa kuwahukumu Wakristo wote kwa kauli ya Kiongozi mmoja Na bado ni kosa pia kuwabeza Wakatoliki kwasababu tunajua misimamo ya Wakatoliki wengi na uhafidhina wao kuhusu ndoa za jinsia moja. Ni kama akitokea Sheikh akaongea vitu vya ajabu kisha ulaumiwe Uislamu wote, tunajua now ndio tunakaribia mwisho wa dunia na tunajua huu ni mpango kabambe wa kimagharibi, lazima Waafrika tusimamie tamaduni zetu zisizoruhusu lawiti na usagaji na tusione haya kukemea. Tusiposimama kama Waafrika nakuhakikishieni siku sio nyingi tutakuwa tumegawana mifumo, nusu watafata misingi yetu imala ya dini na tamaduni zetu lakini nusu watakuwa wasagaji na mashoga. Eeh Mungu tusaidie na dhambi hii ya kikatili"- ameandika Hajji Manara

GRACE MAPUNDA AREJEA KATIKA HALI YAKE YA KAWAIDA. "Nina Baba yangu asieshindwa kamwe. Asante kwa Uzima, Pumnzi, Afya na kibal
GRACE MAPUNDA AREJEA KATIKA HALI YAKE YA KAWAIDA. "Nina Baba yangu asieshindwa kamwe. Asante kwa Uzima, Pumnzi, Afya na kibali🙏🙏🙏"- Grace Mapunda ameposti picha hiyo kisha kuambatanisha na maneno hayo. Ikumbukwe siku za hivi karibuni Picha za Mwigizaji huyo mkongwe wa Filamu zilisambaa mtandaoni zikimuonyesha akiwa amedhoofika, jambo ambalo lilizua maswali mengi na kuacha sintofahamu kwa mashabiki zake na wapenzi wa Tamthilia ya Huba.

Simba Jerry Silaa Mtoto wa Waziri wa Ardhi Jerry Silaa ( ) amechaguliwa kuwa Mjumbe wa Kamati ya Uendeshaji Chipukizi Taifa y
Simba Jerry Silaa Mtoto wa Waziri wa Ardhi Jerry Silaa ( ) amechaguliwa kuwa Mjumbe wa Kamati ya Uendeshaji Chipukizi Taifa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kutoka Tanzania Bara akiwashinda wenzake wanane. Katika uchaguzi huo uliofanyika ndani ya mkutano wa tisa wa Chipukizi Taifa katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma, Simba Jerry Silaa aliongoza kwa kupata kura 155 kati ya 431 zilizopigwa.

"Kuna watu wengi wanafikia ili upate mume bora au mke bora basi ukae naye miaka Mitatu au Mitano haiko hivyo. Kinachohitajika
"Kuna watu wengi wanafikia ili upate mume bora au mke bora basi ukae naye miaka Mitatu au Mitano haiko hivyo. Kinachohitajika kuna mambo ya kuangalia katika Saikolojia tunaamini kama unakutana na binti au kijana ambaye baba na mama yake waliachana akiwa mdogo ni lazima uongeze umakini wa kumchunguza kwa sababu huyo mtu yeye fikra yake anaamini kwamba kama mama na Baba yake waliachana akiwa mdogo hata ukimzingua inakuwa rahisi kuachana" Dismas Lyassa, Mtaalam wa Saikolojia Source CloudsFM Radio

"Utawala wa awamu ya tano siasa ilikuwa ngumu sana hii kuliminywa, watu walikuwa hawawezi kuongea tulikuwa kiukweli hatusikik
"Utawala wa awamu ya tano siasa ilikuwa ngumu sana hii kuliminywa, watu walikuwa hawawezi kuongea tulikuwa kiukweli hatusikiki lakini sasa ili siasa irudi kwenye mrengo wake mahala pake lazima ipatikane amani, amani inazaa kila kitu maendeleo mafanikio na kila kitu kinakuwepo” “Kwahiyo ili tuweze kufanikiwa sote Rais akagundua ni kukaa pamoja ndo maana akaita machifu, wazee wakimila, viongozi wa kisiasa ,viongozi wa dini makundi mbalimbali ,asasi za kiraia kuhoji wanaonaje mambo yanavyo kwenda kila mtu akatoa maoni yake ndio maana tukafikia maridhiano na ndio maan vikao vyote unavyoona vinafanyika kwa sasa hakuna kundi linalosahaulika” - David Daudi Mwaijojele,Mwenyekiti Chama cha CCK Source East Africa Radio

😂😁
😂😁

Huu Uchaguzi wa Chipukizi Ccm Umejaa Watoto wa matajili wanasiasa wakongwe na wasanii Inshot hii haijaletwa Kwa lengo La Kute
Huu Uchaguzi wa Chipukizi Ccm Umejaa Watoto wa matajili wanasiasa wakongwe na wasanii Inshot hii haijaletwa Kwa lengo La Kutengeneza viongozi wajao Bali Kuna wamba Kuna kao project wanakaandaa Kwa kuzuga na hii Niwe Tu mkweli navutiwa Uwezo wa propaganda na kuunda tukio Kwa Ccm na kuwafanya Watu wawaze tukio kuliko changamoto za uraiani

HATUJASAHAU: FIFA ilipowakamata wanaume wanne wakichezea timu ya taifa ya wanawake ya Iran. 🇮🇷 Mtazame vizuri tu huyo namba
HATUJASAHAU: FIFA ilipowakamata wanaume wanne wakichezea timu ya taifa ya wanawake ya Iran. 🇮🇷 Mtazame vizuri tu huyo namba 10. 😂

#HABARI Isack Mwigulu Nchemba ambaye ni mtoto wa Waziri wa Fedha ametangazwa kuwa mshindi wa Ujumbe wa Baraza Kuu La UVCCM Ta
#HABARI Isack Mwigulu Nchemba ambaye ni mtoto wa Waziri wa Fedha ametangazwa kuwa mshindi wa Ujumbe wa Baraza Kuu La UVCCM Taifa, kwenye Mkutano Mkuu wa 09 wa Chipukizi wa CCM Taifa.

1. Osha eneo lililong'atwa kwa maji safi na sabuni kwa uangalifu ili kuzuia maambukizi. 2. Usijaribu kuondoa sumu kwa kutumia
1. Osha eneo lililong'atwa kwa maji safi na sabuni kwa uangalifu ili kuzuia maambukizi. 2. Usijaribu kuondoa sumu kwa kutumia mdomo. 3. Weka barafu juu ya eneo lililong'atwa ili kupunguza maumivu na kuvimba. 4. Tumia dawa za kupunguza maumivu kama vile paracetamol, epuka aspirini na ibuprofen (Advil, Motrin) zinaweza kuchangia matatizo mengine. 5. Fika kituo cha afya kwa matibabu zaidi.

Wachache wataikumbuka hii movie..😀
Wachache wataikumbuka hii movie..😀

photo content

FULL VIDEO NA MATUKIO MAZIMA UTAYAPATA KWA KU BONYEZA HAPA KWENYE INSTAGRAM LINK:-https://instagram.com/e_plus_media?utm_medi
+9
FULL VIDEO NA MATUKIO MAZIMA UTAYAPATA KWA KU BONYEZA HAPA KWENYE INSTAGRAM LINK:-https://instagram.com/e_plus_media?utm_medium=copy_link FACEBOOK PAGE FOLLOW:-https://www.facebook.com/eplusmediatv/

"Mimi nimezaliwa kwa ajili ya Muziki wa Singeri, kuna watu wananipiga vita wananitengenezea magogo njiani nisiendelee wanahis
"Mimi nimezaliwa kwa ajili ya Muziki wa Singeri, kuna watu wananipiga vita wananitengenezea magogo njiani nisiendelee wanahisi mimi ni noma au ni mchawi sana, haiko hivyo. Mungu ndiye aliyeniwezesha mimi kufika hapa ukishindana na mimi unashindana na Mungu" "Watu wengi sana wananizuia kuendelea na kazi yangu, kuna watu tumeishi nao tukajaribu hata kuwa chawa wao lakini ukipofika wakati wa kurejesha fadhira ili na sisi tusonge mbele wakabadilika, wakatutengenezea matukio tukaonekana wabaya na hiyo ndio ikawa njia ya kutukataa, lakini Mungu wetu yupo"- Dulla Makabila

"Hii ni kweli kabisa sio stori, kuna ex wangu nilishawahi kumfumania live akinichiti na mwamba mwingine, but nilishindwa kumu
"Hii ni kweli kabisa sio stori, kuna ex wangu nilishawahi kumfumania live akinichiti na mwamba mwingine, but nilishindwa kumuacha nikamsamehe kwasababu alikuwa anapendwa sana na mama yangu, kwa ajili ya mapenzi na furaha ya mama yangu ilinibidi nimsamehe"- Nay Wamitego

Muonekano wa Lady Jaydee mwaka 2010, picha ina miaka 13. Funzo kubwa alilonalo Jide ni kwamba huenda akawa ndiye msanii pekee
Muonekano wa Lady Jaydee mwaka 2010, picha ina miaka 13. Funzo kubwa alilonalo Jide ni kwamba huenda akawa ndiye msanii pekee Tanzania ambaye hakudanga ili apate pesa, lakini pia hakuna anayejua Jide anaishi wapi, anamiliki nini. Amefanikiwa kutenganisha kati ya maisha ya usanii na maisha ya kawaida.

⚠️ Filamu ya "Dodoma" ya nchini Kenya iliyoongozwa na director Mtanzania Honey Mohammed Aljabri yapendekezwa kuwania vipengele 5 katika Universal Movie Awards huku ikichuana na filamu za nchini Italy, India, U.S.A, Morocco, Lithuani Dodoma katika tuzo hizo zitakazofanyika 22 December 2023 Lagos, Niigeria inawania vipengele vya filamu bora ya mwaka, director bora wa mwaka(Honey Aljabri), Muigizaji bora wa kike(Tumi Morake), pia inawania vipengele vya best screenplay nabest cast director Waigizaji wengine wakuu wa filamu hiyo ni pamoja na Van Vicker na Faiza Ally Filamu hiyo kabla tayari ilishatwaa tuzo karibia tano katika matamasha mengine nchin mbalimbali Dodoma imeshutiwa jijini Dodoma na maeneo mengineyo ya Tanzania Miongoni mwa filamu inayochuana nazo katika tuzo hizo kwa mujibu wa list rasmi ya nominees iliyotolewa katika webisite ya waandaji wa tuzo hizo ni pamoja na The Divorcees Of Casablanca(Morocco) Michael Gaysmayr(Italy) Kamsi(Nigeria) I Know A Stranger II(U.S.A) Spring Tide(India) Karamoja(Uganda) No(Iran) Naam Badal Dena((Canada) Silver Lining(Zambia) Na nyinginezo....

photo content

Taarifa ya Serikali ya Maendeleo ya Hali Baada ya Maafa Yaliyotokea wilaya ya Hanang' mkoani Manyara.
+1
Taarifa ya Serikali ya Maendeleo ya Hali Baada ya Maafa Yaliyotokea wilaya ya Hanang' mkoani Manyara.

Beki wa Fc Barcelona Jules Koundé raia wa Ufaransa 🇫🇷 ametajwa kama mwanasoka aliyevaa vizuri zaidi mwaka wa 2023. Hii ni k
+2
Beki wa Fc Barcelona Jules Koundé raia wa Ufaransa 🇫🇷 ametajwa kama mwanasoka aliyevaa vizuri zaidi mwaka wa 2023. Hii ni kwa mujibu wa jarida la mitindo la London Outlander.