fa
Feedback
E-PLUS MEDIA

E-PLUS MEDIA

رفتن به کانال در Telegram

Get the latest news,videos,and more everyday.

نمایش بیشتر
1 307
مشترکین
+124 ساعت
-27 روز
-1330 روز
آرشیو پست ها
photo content

KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Twitter👇 https://twitter.com/EplusMediaTv?t=OOCtdqDd1L27Uq8rLZ1UJg&s=09
+5
KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Twitter👇 https://twitter.com/EplusMediaTv?t=OOCtdqDd1L27Uq8rLZ1UJg&s=09

FULL VIDEO NA MATUKIO MAZIMA UTAYAPATA KWA KU BONYEZA HAPA KWENYE INSTAGRAM LINK:-https://instagram.com/e_plus_media?utm_medi
+2
FULL VIDEO NA MATUKIO MAZIMA UTAYAPATA KWA KU BONYEZA HAPA KWENYE INSTAGRAM LINK:-https://instagram.com/e_plus_media?utm_medium=copy_link FACEBOOK PAGE FOLLOW:-https://www.facebook.com/eplusmediatv/

Mr Blue na Familia yake...❤️❤️❤️❤️
Mr Blue na Familia yake...❤️❤️❤️❤️

MOBETO: MAJIZO YUPO VIZURI _ Mwanamziki na Mfanyabiashara Mahili Hapa Tanzania (@mobettohtothetop ) Ambaye Alifanikiwa Kupata
MOBETO: MAJIZO YUPO VIZURI _ Mwanamziki na Mfanyabiashara Mahili Hapa Tanzania (@mobettohtothetop ) Ambaye Alifanikiwa Kupata Mtoto Na CEO wa Efm na E-TV (@majizzo ) Amemsifu Mzazi Mwenzake Kuwa makini Kwenye Malezi ya Mtoto Wao. "Ukijua Kuzalisha Basi Kumbuka na Kulea Vizuri Watoto wako, Ongera Sana Baba F (@babyfansy ) Kwa Kuwa Makini Kwenye Malezi ya mwanao"-Ameongea (@mobettohtothetop )

NAMKUMBUKA SANA KANUMBA _ Muigizaji maarufu hapa Tanzania Batuli amefunguka kuwa bado anamkumbuka Marehem Steven Kanumba Kuto
NAMKUMBUKA SANA KANUMBA _ Muigizaji maarufu hapa Tanzania Batuli amefunguka kuwa bado anamkumbuka Marehem Steven Kanumba Kutokana na Moyo wake na Msaada aliompa Kwani bila Yeye Mambo yasingekuwa Kama leo. Ikumbukwe Tuuu Batuli alifanya Vyema kwenye Movie ya FAKE SMILE aliyopewa Shavu na kanumba

KITUO KIFUATACHO PAULA NA MARIOO - Tuwaombeeee tuuu 🙆🏽‍♀️🙆🏽‍♀️🙆🏽‍♀️🙆🏽‍♀️🙆🏽‍♀️🙆🏽‍♀️🙆🏽‍♀️
KITUO KIFUATACHO PAULA NA MARIOO - Tuwaombeeee tuuu 🙆🏽‍♀️🙆🏽‍♀️🙆🏽‍♀️🙆🏽‍♀️🙆🏽‍♀️🙆🏽‍♀️🙆🏽‍♀️

TUJIKUMBUSHE KIDOGO - Ukiliona Cover la Movie hiii Jambo Gani linakujia kichwani na tukio Gani lilikuvutia zaidi kwenye Huu M
TUJIKUMBUSHE KIDOGO - Ukiliona Cover la Movie hiii Jambo Gani linakujia kichwani na tukio Gani lilikuvutia zaidi kwenye Huu Mkanda...??😂😂😂😂

Picha ya Siku 📸 @jokatemwegelo_
Picha ya Siku 📸 @jokatemwegelo_

Manara na zaylissa
Manara na zaylissa

Khadija Kopa amesema mwanaume anaye mtaka asiwe mnene wala si mwembamba, asiwe mfupi zaidi yake kwani atapata taabu, hana uba
Khadija Kopa amesema mwanaume anaye mtaka asiwe mnene wala si mwembamba, asiwe mfupi zaidi yake kwani atapata taabu, hana ubaguzi wa rangi wala kabila. "Natafuta mume lakini naishi kutongozwa na vijana wadogo tu", Msanii mkongwe na mamake Zuchu Khadija Kopa asema.

WANAWAKE WENYE KIPATO WASAIDIENI WAUME ZENU “Akina mama ukijaaliwa una senti zako mbili njoo uweke mezani na wewe, nyumba ya
WANAWAKE WENYE KIPATO WASAIDIENI WAUME ZENU “Akina mama ukijaaliwa una senti zako mbili njoo uweke mezani na wewe, nyumba ya hivyo huo ugomvi hakuna. Lakini pia ukiona wewe unazo zaidi kumzidi baba, mara moja moja unamtoa out halafu wakati unamtoa out unampa hela nyumbani kabla hamjaondoka baba ndio anaenda kulipa bili, usimtie aibu.” – Mkuu wa Wilaya ya Mbozi, Ester Mahawe akizungumza katika Siku ya Kimataifa ya Wanawake

DRAKE ALIWA BILLION 1.5 KWENYE KUBETI Drake Alibet kitita cha Dollar $ 615,000 sawa na Tsh 1.5 Billion, akimpa ushindi Fransi
DRAKE ALIWA BILLION 1.5 KWENYE KUBETI Drake Alibet kitita cha Dollar $ 615,000 sawa na Tsh 1.5 Billion, akimpa ushindi Fransis Ng'annou dhidi ya Anthony Joshua. Pambano Hilo limemalizika na Anthony Joshua Amemchapa Francis Ng'annou, Hivyo Drake Ameliwa Pesa Hiyo Drake Amekuwa Akibet kwa kuweka mzigo mkubwa katika mapambano mbalimbali ...

MAGUFULI LEGACY
MAGUFULI LEGACY

Kwa Mujibu wa Crown FM ALIKIBA anatambulika Kwa Cheo Cha Rais wa Crown Media na Sio Mkurugenzi
Kwa Mujibu wa Crown FM ALIKIBA anatambulika Kwa Cheo Cha Rais wa Crown Media na Sio Mkurugenzi

WAZIRI KASSIM MAJALIWA ASISITIZA ‘FOMU YA URAIS 2025 NI MOJA TU’ Waziri Mkuu wa Tanzania Mh Kassim Majaliwa Ameongoza harambe
WAZIRI KASSIM MAJALIWA ASISITIZA ‘FOMU YA URAIS 2025 NI MOJA TU’ Waziri Mkuu wa Tanzania Mh Kassim Majaliwa Ameongoza harambee ya wanawake kuchanga Milioni 120 kwa ajili ya kumchukulia fomu ya Urais Rais Samia Suluhu Hassan kwa ajili ya kumuwezesha Rais Dkt. Samia kuchukua fomu ya kugombea Urais mwaka 2025. Fedha hizo zimechangwa wakati wa mkutano wa Wanawake wa kumpongeza Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwa Kinara wa Nishati Safi ya kupikia, Mazingira na Afya ya Mama na Mtoto. 📍 Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam 🗓️ Machi 10, 2024

ORODHA YA WATU 20 MATAJIRI ZAIDI BARANI AFRIKA 1. Aliko Dangote (Nigeria) – $13.9b 2. Johann Rupert (S. Africa) – $10.1b 3. N
ORODHA YA WATU 20 MATAJIRI ZAIDI BARANI AFRIKA 1. Aliko Dangote (Nigeria) – $13.9b 2. Johann Rupert (S. Africa) – $10.1b 3. Nicky Oppenheimer (S. Africa) – $9.4b 4. Nassef Sawiris (Egypt) – $8.7b 5. Mike Adenuga (Nigeria) – $6.9b 6. Abdulsamad Rabiu (Nigeria) – $5.9b 7. Naguib Sawiris (Egypt) – $3.8b 8. Mohamed Mansour (Egypt) – $3.2b 9. Koos Bekker (S. Africa) – $2.7b 10. Patrice Motsepe (S. Africa) – $2.7b 11. Issad Rebrab (Algeria) – $2.5b 12. Mohammed Dewji (Tanzania) – $1.8b 13. Strive Masiyiwa (Zimbabwe) – $1.8b 14. Aziz Akhannouch (Morocco) – $1.7b 15. Othman Benjelloun (Morocco) – $1.4b 16. Youssef Mansour – (Egypt) $1.3b 17. Yasseen Mansour (Egypt) – $1.2b 18. Christoffel Wiese (S. Africa) – $1.2b 19. Michiel Le Roux (S. Africa) – $1.1b 20. Femi Otedola (Nigeria) – $1.1b Source: Forbes Follow Now on our Instagram https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW40cmNtdXV0OWZ2

Licha ya udogo wake kijografia lakini Rwanda inabaki kuwa moja ya mataifa yenye nguvu kubwa Afrika Mashariki kuanzia kiuchumi
Licha ya udogo wake kijografia lakini Rwanda inabaki kuwa moja ya mataifa yenye nguvu kubwa Afrika Mashariki kuanzia kiuchumi,kisiasa hata kijasusi Nguvu za Rwanda zinatokana na nguvu za Kagame ni kama ambavyo nguvu za Libya zilitokana na nguvu za Gaddafi, Rwanda bora iliyostawi inamuhitaji Kagame na hakuna shaka atashinda kwa kishindo uchaguzi mkuu ujao Uongozi wa Kagame kwa kiasi fulani unafanana na wa Putin sababu moja kubwa ni kuwa wote walikuwa majasusi wenye cheo cha High profile mission,unapopata marais wa nanma hii ni wazi kuwa nguvu za nchi zitatokana na nguvu zao moja kwa moja Viongozi wa aina ya Kagame wana njia 3 tu za kuachia madaraka mosi atakapopata mrithi sahihi anayemuamini , au mapinduzi jambo ambalo ni gumu kutokea kwa nchi kama Rwanda , ama majaliwa ya Mungu ALL THE BEST PAUL KIPENZI CHA RWANDA,MWAMBA KUTOKA AFRIKA MASHARIKI Zungu ✍️

Wadau wanauliza hawa ni wauza madafu kweli
Wadau wanauliza hawa ni wauza madafu kweli

Roma Zimbabwe ✍️ "Muwa 1 Mzima Unauzwa 2500, Muwa Huo Mmoja Unaweza Kutoa Juice Glass 7 Sawa Na Tsh 7000/= Kwa Bei Ya Buku Bu
Roma Zimbabwe ✍️ "Muwa 1 Mzima Unauzwa 2500, Muwa Huo Mmoja Unaweza Kutoa Juice Glass 7 Sawa Na Tsh 7000/= Kwa Bei Ya Buku Buku, Faida 4500/=. Ukiuza Juice Ya Miwa 100 Unapata 700,000/= Faida 450,000/= Hiyo Ni Kwa Siku Moja Tu😁 Kwa Mwezi Una 13.5M Kwa Mwaka Ni 162M 😁😁😁😁, " Follow our Instagram account 👇 https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW40cmNtdXV0OWZ2