E-PLUS MEDIA
رفتن به کانال در Telegram
1 307
مشترکین
+124 ساعت
-27 روز
-1330 روز
آرشیو پست ها
1 307
INAFAA TUMUONGEZEE JINA LINGINE "MAMA WA TAIFA"
Ameandika Msanii Diamondplatnumz ✍️
"Kwa Heshima ya Kuwa Mwanamke wa Kwanza kuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa namna Anavyoongoza Taifa kwa Maono Makubwa, Uadilifu, Uchapakazi, Hekma, Upendo na kuhakikisha Watanzania Tunavuka toka sehem moja kwenda nyingine, Tukiwa tunaelekea Kuadhimisha Miaka Mitatu ya Uongozi Bora na Makini wa Dr @samia_suluhu_hassan
nadhani inafaa sasa Rais Wetu kumuongeza na jina lingine la “MAMA WA TAIFA” Yes #MamaWaTaifa #Sababu1095ZaSamia .
1 307
"Wapendwa Wakenya, tafadhali mnisaidie kuungana tena na baba yangu Elon Musk, Mapema miaka ya 90 mama yangu alikuwa meneja wa hoteli ya JW Marriot Masai Mara Lodge, wakati Elon Musk alipotembelea hapa. Sasa ninaishi katika umaskini uliokithiri licha ya baba yangu kuwa bilionea wa dola." amesema Kijana huyo kutoka Nchini Kenya 🇰🇪.
Toa
1 307
KUTOKA MITANDAONI
Kwa habari zaidi SUBSCRIBE kupitia YOUTUBE channel yetu kwa ku bonyeza hapa chini.👇.kwenye link
https://youtube.com/@E-PlusMediaTv?si=JjehK80_nkzrHGNK
1 307
Chukua hii
Ripoti ya Mental State of the World ya mwaka 2023 imeitaja Tanzania kama Nchi ya tatu (3) kwa furaha zaidi Duniani ikiwa na alama (88), baada ya Jamhuri ya Dominica na Sri Lanka zenye alama (91) na (89) mtawalia.
Utafiti huo umehusisha Watu zaidi ya (400,000) katika Nchini (71) ikiangazia hali zao za afya ya akili, ambapo umebaini kuendelea kudorora kwa afya ya akili kwa Watu wengi kulikochangiwa na janga la UVIKO-19 tangu mwaka 2019.
Aidha, utafiti umeonesha kuwa Nchi zinazoendelea zinaweza kuwa na hali nzuri afya ya akili na kwamba simu janja, vyakula vya viwandani na kuvunjika kwa familia vina athiri kubwa kwenye maisha.
Nchi zilizoshika nafasi tano za chini ni Tajikistan, Brazil, Afrika Kusini, Uingereza na Uzbekistan, huku Marekani ikishika nafasi ya (29) kwenye orodha hiyo.
Toa maoni yako
1 307
Mitaani kuna watu wanazitafuta hizi noti za 500 kwa hali na mali, nini kimejificha kwenye hizi noti?
1 307
Pichani ni Mama Kiba akiwa na mwane Alikiba pamoja na Mstaafu Jakaya Kikwete walipokutana kwenye kusherehekea miaka 20 ya Alikiba kwenye muziki.
1 307
SIJAFANYA MAPENZI MWAKA MZIMA
-
"Nimekaa siku 365 (mwaka) bila kuwa kwenye mahusiano na sijafanya mapenzi na mwanaume yeyote, naomba Mungu anijalie na huu mwaka upite hivyo hivyo"- amesema Lulu Diva
1 307
Sina sababu ya kujikweza Wala siwezi kujikweza na Mimi siishi ki star nikisema niishi ki star hata nyie mtaniogopa mfano mzuri unapoimiliki pesa Aina haja ya kulingishia mitandaoni kumbuka hizo Hela tunapewa na mashabiki Ambao Asilimia nyingi wanamaisha ya chini saa ya Nini kumlingishia muda uo yeye amelala njaa ila ameamua kukusapoti wewe ko aina haja ya kulingishia pesa uo ni ushamba
Alikiba.
1 307
KUTOKA MITANDAONI
Follow ukurasa wetu wa Twitter👇
https://twitter.com/EplusMediaTv?t=OOCtdqDd1L27Uq8rLZ1UJg&s=09
1 307
Kwahiyo Riz One alimpeleka Timbulo kufanya show Mikoani kwa niaba ya Alikiba 😂. Kipindi hicho Alikiba alikuwa hana video ila alikuwa anafahamika kwa jina lake tu.
Alafu kuna taarifa nyingine ya miezi kadhaa iliopita kuhusu Riz One kutumia akaunti ya Instagram ya Juma Nature (Kiroboto) ambapo ilidaiwa kuwa One ndiye "aliyecoment" kupitia akaunti ya Juma kuhusiana lile swala la Juma kupewa Shilingi laki tano (500.000) za kitanzania kwa ajili ya show za Wasafi Festival kitu ambacho kilikuja kukanushwa na Watu wa karibu wa WCB Wasafi akiwemo Baba Levo.
Hivi huyu Mwamba anafanana kweli na Alikiba?
Toa maoni
1 307
KUTOKA MITANDAONI
Kwa habari zaidi SUBSCRIBE kupitia YOUTUBE channel yetu kwa ku bonyeza hapa chini.👇.kwenye link
https://youtube.com/@E-PlusMediaTv?si=JjehK80_nkzrHGNK
1 307
KUTOKA MITANDAONI
Follow ukurasa wetu wa Twitter👇
https://twitter.com/EplusMediaTv?t=OOCtdqDd1L27Uq8rLZ1UJg&s=09
1 307
Hatimaye Alikiba nae azindua kituo chake cha habari kiitwacho Crown FM/TV.
Toa maoni yako
1 307
Joseph Kusaga (Clouds Media) ni Mfanyabiashara kwelikweli.
MB: Tusubiri na ya Harmonize, tunaambiwa kila kitu kashaweka sawa.
1 307
TULIKUTANA NA P-FANK CLUB.
__________
""Tulikutana na P-Fank Majani Club Tuliondoka nae tukaenda kwake Tulikaa wiki Ila Baba mdogo alituona akatupeleka police Tlitoka kwa Onyo kali Lakini Kesho Yake nililala kwake Tena Baada ya Hapo Mama alikuja kugundua nikiwa na Mimba ya Paula"-Amefunguka Kajara Masanja
