fa
Feedback

فریب کلاهبرداران را نخورید! تل‌متریو این کانال‌ها را شناسایی و برچسب‌گذاری می‌کند 👉 برای مشاهده برچسب، اشتراک تهیه کنید

E-PLUS MEDIA

E-PLUS MEDIA

رفتن به کانال در Telegram

Get the latest news,videos,and more everyday.

نمایش بیشتر
1 307
مشترکین
+124 ساعت
-27 روز
-1330 روز
آرشیو پست ها
Mchezaji Wa Azam Fc Ayoub Lyanga Na Mkewe
Mchezaji Wa Azam Fc Ayoub Lyanga Na Mkewe

DJ anaefanya vizuri sana kwa sasa MISSO MISONDO󱢏 ameweka wazi kuwa show yake aliyoifanya uwanja wa Benjamin Mkapa katika mec
DJ anaefanya vizuri sana kwa sasa MISSO MISONDO󱢏 ameweka wazi kuwa show yake aliyoifanya uwanja wa Benjamin Mkapa katika mechi ya Simba dhidi ya Wydad Casablanca Desemba 19 mwaka huu inaingia katika rekodi kulingana na mkwanja mrefu aliotia kibindoni. Katika mahojiano aliyoyafanya na #AyoTv, Misso alieleza kuwa pesa aliyoipata katika show ile ni kubwa kulinganisha na show zingine alizowahi kuzifanya lakini pia ata katika show alizofanyiwa booking bado hazijafika kiwango cha show ya Simba. Katika kufanya ulinganifu kwa swali alioulizwa na Mtangazaji kama kiwango cha pesa hiyo kinaweza kuzidi Milioni 10, Misso aliweka wazi kuwa pesa aliyolipwa ni zaidi ya milioni 5 na haizidi milioni 10.

Mitandao mbalimbali ya kijamii, imekuwa ikiripoti kwamba mtu tajiri zaidi duniani na mwanzilishi wa SpaceX, Elon Musk anatazamiwa kuzindua uwekezaji wake wa hivi karibuni wa hoteli huko katika Sayari ya Mars. Taarifa hizo, zimekuwa zikiambatana na baadhi ya picha za hoteli hiyo yenye mandhari nzuri na inayodaiwa kuwa, usiku mmoja wa malazi utamgharimu mteja kiasi cha dola milioni 5, bila kufafanua uhalisia wa maisha ya huko kijiografia na maisha halisi. Uthibitisho. Mtu mmoja Mfaransa, asubuhi ya Julai 27, 2022 alitweet kupitia mpini wa @mcphils_ alitweet kuwa nanukuu, "Hoteli ya Kwanza huko Mars na Elon Musk inatazamiwa kufunguliwa hivi karibuni kwa $ 5 Milioni kwa usiku." Tweet ambayo ilipata zaidi ya retweets 5,000 na likes 18,000 kwa wakati huo. Chapisho hilo pia lilisambazwa sana kwenye Facebook na African Report Files, Rockreal TV, na mitandao mingine ya kijamii ikiwemo Blogu za mataifa mbalimbali ya Afrika na Ulaya na hapa kwetu Tanzania pia kuna baadhi ya Blogu na kurasa mbalimbali za mitandao ya kijamii za mtu mmoja mmoja zilichapiasha habari hii. Dai la awali la Musk Mwaka 2020, Musk alikuwa amedai kuwa SpaceX itawapeleka watu milioni moja kwenye sayari ya Mars ifikapo 2050. Hesabu za Mask zilitegemea kuwa na chombo kinachoitwa Starship ya kuendesha takriban safari tatu kwa siku na kwa hivyo kuwa na takriban safari 1,000 kwa mwaka. Awali Musk alikuwa ameelezea mipango ya kufika Mars wa Mars Base Alpha ambapo pia alizungumzia kuhusu mradi huu na maelezo machache yanayokusudiwa lakini picha zilizotolewa na Musk 2018, zilionesha tovuti za kutua kwa roketi ya Falcon Heavy na miundombinu yake jinsi itakavyoendeshwa na shamba kubwa la kuzalisha mionzi ya jua. Kuhusu Mars. Kulingana na Wanasayansi wa Mamlaka ya Taifa ya Hali ya Hewa na Anga Nchini Marekani - NASA, wanasema Mars ni sayari ya nne kutoka kwenye Jua na huko kuna vumbi, baridi, jangwa na anga nyembamba. Ni sayari inayobadilika-badilika kimisimu, ikiwa na sehemu za barafu, makorongo, volkeno mfu na utulivu usiotabirika.

photo content

Director Maarufu wa Filamu Toka Afrika Kusini Mbongeni Ngema (68) Afariki dunia, Moja ya kazi zilizompa umaarufu kwenye ulimw
Director Maarufu wa Filamu Toka Afrika Kusini Mbongeni Ngema (68) Afariki dunia, Moja ya kazi zilizompa umaarufu kwenye ulimwengu wa sanaa ni filamu ya Sarafina ambayo ndani yake walikuwemo Leleti Khumalo (sarafina) na Somizi Mhlongo.

CHRISTINA SHUSHO NI DHAHABU KWA WAKENYA. Haipingiki kwamba leo hii ukiwauliza Raia wa nchini Kenya kuwa ni Mwimbaji gani mkubwa Afrika Mashariki, au hata nchini kwao Kenya, basi asilimia kubwa watakwambia ni Christina Shusho. Tangu lilipotangazwa Tamasha la kufungia mwaka la (Churchill Show Cross Over) litakalofanyika 31 Disemba 2023. Wakenya wamekuwa wakiziimba na kumsifia Shusho kwa kila aina ya maneno mazuri. Tangu kuanza kwake huduma ya uimbaji, Christina Shusho alipata bahati ya kupendwa na Wakenya ambapo kwa asilimia kubwa ugali wake umekuwa ukipatikana huko kutokana na uwingi wa mialiko anayoalikwa. Wakenya wanamuona Shusho kama Dhahabu hususani kipindi hiki ambacho linatangazwa Tamasha lake ambalo huenda ndio likawa Tamasha kubwa kuwahi kufanyika nchini Kenya kutokana na muitikio wa watu kama wanavyoonekana mtandaoni. Nyimbo za Christina Shusho kama Unikumbuke, Shusha Nyavu, Ning'are, Bwana umenichunguza ni miongoni mwa nyimbo tamu na zenye kutia faraja ambazo zimesaidia kumpa jina Shusho nchini Kenya na mataifa mengine mengi.

photo content

Habari zilizotufikia kutoka kwenye familia ya Mwanamuziki kutoka kenya #Nazizihirji, kupitia kwenye instastory (Instagram) ya
Habari zilizotufikia kutoka kwenye familia ya Mwanamuziki kutoka kenya #Nazizihirji, kupitia kwenye instastory (Instagram) yake wamethibitisha kufariki kwa mtoto wao pendwa wa kiume #Jazeeladam Taarifa kamili kutoka kwenye familia hiyo wanasema mtoto huyo alifariki kwa kupata ajali hotelini nchini Tanzania wakati akiwa na mama yake #Nazizihirji wakiwa wanasheherekea sikukuu ya Christmas tarehe 25/Desemba/2023 . Lakini bado awajaweka wazi chanzo pamoja na Ajali ambayo imepelekea kifo chake kwani Enzi za uhai wake Jazeel alikuwa na changamoto ya kusikia ila hivi karibuni alipandikizwa kifaa aina ya "Cochlea" kwa ajili ya kuongeza uwezo wake wa kusikia ..

BENDERA CHUMA MLINGOTI CHUMA TWAHA 🔰 KIBWANA 🔰
BENDERA CHUMA MLINGOTI CHUMA TWAHA 🔰 KIBWANA 🔰

Old is Gold (Vya Kale ni Dhahabu) Kwenye Hiyo Picha ni Siku Ambayo Harmonize Anakutana na Diamond Kwa Mara ya Kwanza, Ilikuwa
Old is Gold (Vya Kale ni Dhahabu) Kwenye Hiyo Picha ni Siku Ambayo Harmonize Anakutana na Diamond Kwa Mara ya Kwanza, Ilikuwa Kwenye Ukumbi wa Dar Live Hapo....😥🙌👊 Sidhani Kama HARMONIZE Anaweza Kuisahau Hii Siku Maana Ndio Siku Iliyobadilisha Maisha yake yote Kwa Ujumla....😎🙌👊🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️

Ushamtambua..😀
Ushamtambua..😀

Kilimanjaro, Tanzania 🇹🇿
Kilimanjaro, Tanzania 🇹🇿

Aliyekuwa mfanyabiashara na muanzilishi wa kampuni ya utengenezaji wa #bunduki mwenye umri wa miaka 94, kutoka nchini #Austri
Aliyekuwa mfanyabiashara na muanzilishi wa kampuni ya utengenezaji wa #bunduki mwenye umri wa miaka 94, kutoka nchini #Austria, Gaston Glock amefariki dunia jana Jumatano, Disemba 27. #Glock alianzisha kampuni ya kutengeneza silaha hizo mwaka 1963 katika kijiji cha Deutsch-Wagram kilichopo nchini humo na hadi sasa kampuni hiyo imeendelea kufahamika ulimwenguni.

KUTOKA MITANDAONI Kwa habari zaidi SUBSCRIBE kupitia YOUTUBE channel yetu kwa ku bonyeza hapa chini.👇.kwenye link https://yo
+3
KUTOKA MITANDAONI Kwa habari zaidi SUBSCRIBE kupitia YOUTUBE channel yetu kwa ku bonyeza hapa chini.👇.kwenye link https://youtube.com/@E-PlusMediaTv?si=JjehK80_nkzrHGNK

Tumalize Utata Sasa iPhone Au Samsung?
Tumalize Utata Sasa iPhone Au Samsung?

Unakubaliana na utafiti huu wa orodha ya Wasanii wa muziki Tanzania watano (5) ambao hawana tatizo na Mtu.
Unakubaliana na utafiti huu wa orodha ya Wasanii wa muziki Tanzania watano (5) ambao hawana tatizo na Mtu.

⚠️😳 Mwanadada huyo kwa jina la Sonja(45) anasema yupo kwenye mahusiano ya kimapenzi na mti huo na huwa anapata hisia za kima
⚠️😳 Mwanadada huyo kwa jina la Sonja(45) anasema yupo kwenye mahusiano ya kimapenzi na mti huo na huwa anapata hisia za kimapenzi akiuona, anasema.myi huo una kila kitu alichokitamani kwa mwanaume binadamu Anasema mwaka 2020 alihamia maeneo ya British Columbia nchini Canada karibia kila wiki akawa anapita kwenye njia iliyo karibu na mti huo na ambapo baadaye alianza kupatwa na hisia za kuupenda na hadi kufikia 2021 akadumbukia kimahusiano na mti huo aina ya oak Anasema akiugemea au kuulalia kwa mgongo anajisikia raha murua. Kiujumla anasema yeye ni ecosexual katika upekee wa aina yake ingawa ameweka wazi kuwa hafanyi tena la ndoa kimwili na mti huo ila wanapendana

⚠️😳😢 Familia yapatwa na mshituko wa aina yake Xmas hii huko Queensburgh nchini S.Africa baada ya nyoka huyo hatari aina ya
⚠️😳😢 Familia yapatwa na mshituko wa aina yake Xmas hii huko Queensburgh nchini S.Africa baada ya nyoka huyo hatari aina ya black mamba mwenye urefu wa futi sita kuonekana katika mti wa mkirismasi akitambaa kwa ndani ya mti huo wa pambo na kujivingisha kisha kwenda kujificha katika spika Familia husika hata hailewi nyoka huyo alifikaje hapo ila waliweza kumuita mtaalam wa kukamata nyoka kwa jina la Nick Evans aweze kumtoa ambapo Nick amefanikiwa kumkamata na kumtoa kisha kupost mtandaoni huku na yeye Nick akisema kwa kutania kuwa inachekesha namna alipoonekana nyoka huyo anayetajwa kuwa hatari zaidi kuliko Baadhi ya wachangiaji katika post ya Nick, mmoja amesema yeye kusherehekea sikukuu ndio kungeishia hapo, huku mchangiaji mwingine akisema yeye na familia yake wasingeishi tena hapo wangehama

"💔Leo niko hapa kuna kitu kimeniumiza kidogo, nimepata shida kwenye chanel yangu ya YouTube na hii siyo mara ya kwanza kutok
"💔Leo niko hapa kuna kitu kimeniumiza kidogo, nimepata shida kwenye chanel yangu ya YouTube na hii siyo mara ya kwanza kutokea, kuna watu wanataka ku-haki account yangu, wamevuruga views wangu hawaongezeki kwenye wimbo wangu mpya nilioutoa hivi karibuni. Sasa katika hali ya kufatilia ikaonyesha kuna mtu alikuwa anataka kuhaki account na kujaribu kupambana na wimbo ambao nimeachia" "Unajua unapomfanyia mtu hila, unapomfanyia mtu mabaya elewa kabisa hayo mabaya yatakurudia mwenyewe, kadri unavyochimba shimo kwa ajili ya mtu ndivyo unajichimbia mwenyewe. Leo hii mimi Martha kuwa hapa ni Mungu ametaka, ninapomtumikia anakuwa pamoja na mimi, unapojaribu kunifanyia vibaya ilimradi tu nionekane niko mdhaifu jua kabisa unagombana na Mungu mwenyewe" "Kuna vitu mtu anakufanyia ambaye hata kumuwaza, nilipokuja kumjua nikawaza kwanini mtu kama huyu ananifanyia hivi💔? "- Martha Mwaipaja

Vinicius Jr. X LeBron James kwenye mtoko wa siku ya Christmas ⚽🤝🏀
+2
Vinicius Jr. X LeBron James kwenye mtoko wa siku ya Christmas ⚽🤝🏀