E-PLUS MEDIA
رفتن به کانال در Telegram
1 307
مشترکین
+124 ساعت
-27 روز
-1330 روز
آرشیو پست ها
1 307
Wahanga wamesema.hawakuwa wakiruhusiwa mawasiliano ya simu wala ya email ambayo yangekuwa rahisi kuwasiliana na ndugu na marafiki zao. Wahanga wa Uingereza wamesema walijaribu kuripoti kwa ofisi yao nchini humo lakini hakuna kilichofanyika
Aliyekuwa nabii katika synagogue hiyo amesema yeye tangu 2009 alitaka kupaza sauti kuileza jamii hali halisi kinachoendelea kwa mtu wanayemuona ni mtumishi wa Mungu lakini amesema alijaribu kuzibwa mdomo na kuaza kufuatiliwa na watu wa TB Joshua na wafuasi wake kindakindaki wakiwa wanadhani anataka kumchafua tu mtumishi wao kwa chuki binafsi, baada ya hapo amesema kwa miaka 8 akawa kwenye maisha ya kujifichaficha
Wahanga wengine wamekiri nguvu kutumika kuwanyamazisha kila walipotaka kuweka wazi kinachoendelea kwa muda mrefu
Wamesema TB joshua aliaminika kirahisi machoni pa wengi kwasababu ya kuisadia jamii misaada mbalimbi japo watu hawakujua kinachoendelea nyuma ya pazia
Uchunguzi huo pia umeangazia kwa undani kuporomoka kwa jengo la gorofa 6 mwaka 2014 lililotumika kulaza wafuasi wa nchi za kigeni hasa kutoka Ulaya na America ambalo mmiliki alikuwa TB Joshua..Watu 116 walitajwa kufariki kwa wakati huo lilipoporomoka ingawa wahanga waliohojiwa sasa wamesema idadi ni zaidi.ya waliotajwa uchunguzi huru ukifanywa tena, kwa wakati huo TB Joshu alidaiwa kutotoa ushirikiano wa kutosha kwa mamlaka za kiuchunguzi jengo lilipoporomoka na vyombo vingine vya habari vilihisi kuna kitu kinafichwa
Yaliyoelezwa ni mengi, kwenye uchunguzi, ila wengine wamemkingia kifua TB Joshua kuwa anasimgiziwa tu akiwemo Vimbai mtangazaji maarufu wa Zimbabwe aleyedai TB alikuwa mtu mzuri sana alimsaidia wakati wa msiba wa dada yake
TB Joshua aliyekuwa na wafuasi wengi nchi nyingi, hata hivyo enzi za uhai wake ilikuwa ikielezwa jumuiya za kikiristo nchini Nigeria ni kama zilikuwa zimejitenga nae muda mrefu hata kwenye mazishi yake
Baada ya uchunguzi wa BBC Africa Eye, mhadhiri wa kike kwa jina la Gloria toka chuo kikiuu kimojawapo Nigeria amesema kuna siku yeye aliwahi kulala katika viunga vya kanisa la TB Joshua lakini hata yeye alihisi kuna mambo ya kutilia shaka hayapo sawa hivyo haishangai sana taafifa ya kiuchunguzi ya BBC
Hata hivyo, wafuasi wa TB Joshua wanasema anasingiziwa na kuchaguliwa yanayosemwa hayana ukweli
Kanisa hilo kwasasa linaongozwa na mke wake, halijajibu madai ya ukatili na unyanyasaji yaliyoibuliwa na BBC Africa Eye kupitia mahojiano na wahanga ila kanisa limekana TB Joshua kuhusika na yaliyoelezwa kwa maelezo kuwa nabii huyo alishasemwa kwa mengi mabaya hata enzi za uhai wake
1 307
⚠️ TB Joshua ahusishwa na skendo nzito ya unyanysaji, ubakaji, kuwapa mimba na kuwatoa mimba kinguvu wafuasi wake, vipigo na kutengeneza miujiza feki na shuhuda za uongo za uponyaji ili kuhadaa umma kwa miaka mingi
BBC Africa Eye ndio imeachia uchunguzi maalum kwa ushirikiano na media platform ya kimataifa Open Demecracy, documentary ya zaidi ya dakika 150 yenye sehemu tatu imeunganishwa pia na baadhi ya live videos, imesema imeufanya uchunguzi kwa miaka miwili kuhusu nabii huyo maarufu wa Nigeria wa kanisa la Synagogue Church Of All Nations
BBC Africa Eye imeweka wazi kuwa uchunguzi wao na interviews na wahanga mbalimbali ulianza mapema tu ila haukupita muda mrefu ndio Nabii huyo akafariki bila kutarajiwa 2021
BBC imefanya mahojiano na watu si chini ya 25 waliokuwa wafuasi wa karibu sana wa TB Joshua aliokuwa akiishi nao pamoja na wafanyakazi wa zamani wa kanisa hilo maarufu ambao wametoka nchi za Nigeria, Namibia, S.Africa, Ghana, Uingereza, Marekani na Ujerumani japokuwa TB Joshua alikuwa na wafuasi hao maalum wa karibu alioishi nao takribani 150
Wakihojiwa na waandishi 15 wa BBC kutoka nchi mbalimbali kwa nyakati tofauti tofauti katika uchunguzi huo wa muda mrefu, Wahanga wamesema kijuujuu watu wanaweza wasiwaamini ila wamedai kuwa TB Joshua hakuwa mtumishi wa kweli wa Mungu kama wengi walivyodhani machoni
Wahanga mbalimbali ambao ni wa kike wamesema walianza kufika kanisani hapo na kunyanyaswa kingono wakiwa bado hata hawajafikisha miaka 18, walibakwa na kutolewa mimba kinguvu zaidi ya mara moja na TB Joshua. wahanga wengine hawakutaka utambulisho wao kuwa wazi kwa sababu za kiusalama ila mhanga kwa jina la Jesca kutoka Namibia huku akilia amesema alianza kunyanyaswa akiwa na miaka 17 na hatimaye alitolewa mimba tano
Wengine wamesema walishajaribu kutaka kujiua walipokuwa katika himaya ya TB Joshua kwasababu ya ukatili waliopitia. Mmoja wa wahanga aliyetaka kukiua amesema kinachomuuma zaidi ni kuwa ashafariki bila sheria kuchukua mkondo wake
Paul aliyekuwa mmoja watu wa karibu sana wa TB Joshua amesema yeye alikuwa miongoni mwa manabii wa mwanzo wa kanisa hilo tangu 1995 hadi 2006 amedai TB Joshua moja ya mikakati yake mikubwa ilikuwa kuwavuta na kuwapata wafuasi wa kizungu kutoka mataifa ya nje ili kuzidi kuaminisha watu uponyaji wake kwani wengi wanaamini kuvuta mzungu karibu ni mafanikio ya kuvuta watu wengi zaidi waamini, amesema TB Joshua miaka hiyo alipata mgeni mchungaji wa S.Africa na wakati akiondoka alimpa mikanda ya VHS ya videos 200 wakaigawe nchi za kigeni ili watu waone miujiza
Na baadhi wahanga wa kigeni waliohojiwa na wao wakiwa bado vijana wengine miaka 17 wakati huo wamesema walianza kuona videos za maombi ya miujiza na shuhuda watu wakidai kupona magonjwa mbalimbali yakiwemo kansa, HIV na me ngineyo na ndio na wao wakaja, wahanga na baadhi ya wafanyakazi wa kanisa wamesema kimsimgi miujiza ya uponyaji iliyokuwa ikioneshwa kwa watu ni ya uongo wakieleza kwamba watu waliitwa kufunzwa kuigiza na kulipwa ili wahadae watu kuwa wamepona magonjwa hatari kama kansa, HIV
Wafuasi wa kigeni waliokuja Nigeria kwa wakati huo ambao ni sehemu ya wahanga wamesema pesa za nauli hawakutoa wao bali ziligharamiwa na TB Joshua na washirika wake wa makanisa mengine ya nje ikiwemo Uingereza ambao walisaidia kuwaleta hao wafuasi wa kizungu kwa TB joshua ambao wengi walikaa huko si chini ya miaka 10
Waliotolewa mimba mara kwa mara wamesema waliweza kuendelea kunusurika kwasababu nyuma ya pazia dawa zilitumika wakapewa kunywa wapone sio miujiza
Kwanini walishindwa kutoroka mapema?
wamesema ni kama walikuwa wamezubaishwa na kuvurugwa kisaikolojia wakawa sio wao, pia wamesmesa walikuwa wakipewa vitisho vikali na wengine kupigwa na kujeruhiwa watoto waliopelekwa na wazazi ili wapate mafunzo ya kiroho nao imeelezwa walipihwa na mikanda
Raia wa kigeni wamesema walitolewa bastola na walinzi wa maeneo ya kanisani kwa TB Joshua na wengine kutuma videos za ushahidi
Mwandishi wa habari BBC alijaribu kurekodi moja ya matukio alidakwa na kuwekwa kizuizini kwa masaa kadhaa na walinzi wa nabii huyo
1 307
⚠️😳 Papa Francis akatataa kupata mtoto kwa njia ya kubebeana mimba(surrogacy)
"Mtoto siku zote ni zawadi na sio msingi wa mkataba wa kibiashara."-Papa Francis ametoa wito wa kupigwa marufuku hatua ya wanawake kukubali kubeba na kuzaa mtoto kwa niaba ya mtu mwingine au wanandoa 'Surrogacy' na kuita kitendo hicho kuwa "cha kusikitisha" katika hotuba yake huko Vatican siku ya Jumatatu
"Ninaona tabia ya kusikitisha ya kile kinachoitwa uzazi wa 'surrogate' ambayo inawakilisha ukiukwaji mkubwa wa utu wa mwanamke na mtoto," Papa amesema
Papa Francis alisema ana imani kwamba jumuiya ya kimataifa itafanya jitihada za "kupiga marufuku tabia hii duniani kote."
1 307
Pichani ni Nandy na Mfirisi wa Hajji Manara walipokuwa studio kurekodi wimbo wa (Zay wa Buga) wimbo ambao umegharimu milioni 50.
1 307
KANISA LINACHAFULIWA NA WAKRISTO TUMEKAA KIMYA; TRICY
"Watu wako busy tu kulichafua KANISA na Wakristo hata hatushtuki, hakuna kukua kiroho bila kusanyiko na ili kulipiga kanisa watadeal na wanaowakusanya, ni huzuni. Naongea na Wakristo siongei kuhusu TB, nimeongea leo kwasababu kila siku stori kuhusu wahubiri wa dini yangu zimekuwa nyingi, wao waseme au wasiseme mimi nimeona ni vyema kusema"- Tricy
Maneno hayo ya Tricy yamekuja baada ya hivi karibuni kuwepo kwa tetesi kwamba TB Joshua (Marehemu kwa sasa) ambaye alikuwa ni nabii mkubwa Afrika na duniani kote alikuwa akiwanyanyasa wanaume na wanawake kwa kulala nao na kuwataka watoe mimba hata ambazo walipewa na wapenzi/waume zao. Inaelezwa TB Joshua alitumia kigezo cha dini kufanya unyama na ukatili wa kishetani kwa mamilioni ya waumini wake.
1 307
MUME WANGU HAJAWAHI KUNIPIGA/KUNIFOKEA, NIKIMUUDHI ANANICHAPA NA KIPANDE CHA DOLLA; SALMA
"Tangu niolewe sijawahi kupigwa mume wangu sio mtu wa kupiga, simuoni huko kabisa hata kufoka hafoki, sijawahi kumuona hata ana hasira za kupiga na tangu tuoane ni muda sasa ndoa yetu ina miezi mitano, nikimuudhi ananichapa na kipande cha noti ya dolla"- Salma Dakota, Mtangazaji wa Wasafi fm
1 307
“Hospitali hii [ya Rufaa ya Mkoa Mjini Magharibi (Lumumba)] haina tofauti yoyote na hospitali kubwa tulizokuwa tukizifuata kule nje ya nchi, India na kwingineko. Nimetembea na nimeona mambo mazuri humo ndani.” – Rais Samia Suluhu katika uzinduzi wa hosipitali hiyo
1 307
Zeylissa (Mpenzi mpya wa Haji Manara) akimshambulia aliyekuwa Mke wa Haji, Rushayna 🤔
1 307
Dulla Makabila ✍️
"Tangu Nipo Mtaani Naitwa Abdallah Mpaka Leo Nimekuwa Dullamakabila Nimekuwa Nikishuhudia Mastar Wengi Wakiwapost Watoto Wao Na Kuonesha Ni Jinsi Gani Wanawapenda Na Kuwaonesha Pia Mashabiki Zao Jinsi Wanavowathamini Watoto Wao Na Namna Ambavyo Wanawachukulia Kama Zawadi Kutoka Kwa Mungu
Ila HAWA Niliowapost Ni Baadhi Ya Watoto Wa Mastar Ambao Wameonesha Kuwa Na Akili Kubwa Mno Haina Maana Kwamba Ambao Hawapo Hawana Akili Laa Hasha Kuna Mawili Uwenda ikawa Wazazi Wao Hawajataka Tuwajue Au Labda Bado Wadogo Kiasi Cha Kutojua Kilichopo Ndani Yao Ila Niliowapost Ni Watoto Ambao Wameonesha Kuwa Mbali Na Kuwa Na Elimu Ya Darasani Wao Binafsi Wana Akili Kubwa Mno Kuna Tofauti Kubwa Kati Ya Akili Na Elimu Na Kikubwa Nachopenda Pia Kutoka Kwao Ni Kwamba Na Elimu Wanaendelea Kupata Binafsi Nawatizama Kama Future Ya Taifa Hili Na Naamini Miaka ijayo Watakuja Kufanya Mambo Makubwa Sana Ambayo Yataleta Tija Kwenye Taifa Letu 🇹🇿 Na Sio Kwa Kupitia Wazazi Wao Kwa Sababu Labda Wazazi Wao Mastar Hapana Ila Kwa Kupitia Akili Zao Na Support Za Wazazi Wao Pia Nikiwa Kama Kingofsingeli Binafsi Ningeiomba Selikali Yangu Tukufu iwatizame Hawa Watoto Kwa Jicho La Tatu Wana Kitu Kikubwa Sana Ndani Yao Yani Sio Watoto Wa Kawaida Ni Zaidi Magenius Na la Mwisho Wasanii Ambao Watoto Wenu Hawapo Kwenye iyo List Kabda Hamjajiskia Vibaya Niwakumbushe tu Kwamba Ata Mtoto Wangu Hayupo Hapo ina Maana Waliopo Ndio Ambao Wanaodeserve Kuwepo✊🏾
SOON NITASHUSHA LIST NYINGINE !! "
Toa maoni
1 307
Hatimaye Haji Manara amejibiwa baada ya kuhoji fedha inayochangishwa zinaenda wapi na kwa kazi gani, kama ni kwa ajili ya Taifa Stars, haji alikuwa ameuliza fedha dola millioni moja ambazo zimetolewa na CAF kwa ajili ya maandalizi ya AFCON 2023 zinafanya kazi gani?
"Mimi ni Mtanzania na always nimeiunga mkono Nchi yangu na Team za Taifa na hata Maswali yangu niliyouliza leo yalilenga kutaka kupata ufafanuzi kama huu ambao Good luck umetoka kwa mtendaji Mkuu wa Wizara husika.
Nipinge nini tena kama Mchango wetu utaelekezwa kwa Wabeba Bendera wengine wa Nchi? Na kwa nini nipinge wakati Mh Msigwa umeshatoa maelezo yanayoeleweka!!
Binafsi mimi na Familia yangu tutachangia pia Team zetu nyingine za Taifa na Nawaomba Watanzania tuendelee kuchangia pia kwa michezo mingine 🙏🙏 " ameandika Haji Manara.
Toa maoni yako
1 307
"Na mtaokoka sana mwaka huu, na sio kuokoka tu mtakomboka pia, yani mtakomboka haswa nyie wenye nyota zenu mtaimba sana nyimbo za Injili huu mwaka"- amesema Dida Shaibu (Mtangazaji wa Wasafi FM) baada ya kuona kuwa Wolper ameamua kuokoka na kuanza kuimba nyimbo za Injili ambapo leo yeye na Mwimbaji Peter Lubango wametoa wimbo wao unaoitwa "Nikomboe"
Toa maoni yako
1 307
Jarida la Vudaf limetoa orodha ya Wanamuziki wa Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo 🇨🇩 wenye utajiri mkubwa kwa mwaka 2023.
1. Fally Ipupa : Dola milioni 13,6
2. Koffi Olomide : Dola milioni 12,2
3. Ferré Gola : Dola milioni 3
4. JB Mpiana : Dola milioni 2,5
5. Inoss'B : Dola milioni 2,3
6. Werrason : Dola milioni 2,2
7. Héritier Wata Dola milioni 1,2
8. Lokua Kanza : Dola Laki tisa (900 000)
9. Félix Wazekwa : Dola 860 000
10. Fabregas Le métis Noir : Dola 450 000
NB : Ni dola ya Kimarekani 🇺🇸
Toa maoni yako
1 307
Kipi kati ya hivi kikipanda bei kinaathiri kabisa utaratibu wako wa maisha ya kila siku?
1. Nauli ya daladala
2. Unga
3. Sukari
4. Mafuta ya taa
5. ____________
1 307
Kipi ungefurahi kama kingeshushwa Bei!?
1.Petroli
2.Umeme
3.Unga
4.Mafuta ya taa
5.Mchele
6.Bia
7.Sukari
8.Sigara
9.Soda
1 307
POMBE NA IBRAH VILIPOTEZA PENZI LETU
-
Mwanadada Happier Tarmo ambaye ni mama wa mtoto wa Beka Flavor ameweka wazi chanzo kilicho sababisha kuachana na Baba wa mtoto wake.
Katika mahojiano amesema Beka Flavor baada ya kushuka kimziki alianza kutumia pombe kupitiliza kitendo hicho kilimchukiza sana mwanadada huyo kutopendezwa Kabisa tabia hiyo ya Baka flavor.
Pia ameongeza kwa kusema Kuwa Beka Flavor alichukizwa sana na kitendo cha happier kuonekana kwenye Video ya Mwanamziki Ibrah, jambo hilo lilifanya Mwanadada huyo kutimuliwa Kama mbwa na kukosa sehemu ya kuishi na kuanza kuishi ofisini kwake
