E-PLUS MEDIA
Ir al canal en Telegram
1 307
Suscriptores
+124 horas
-27 días
-1330 días
Archivo de publicaciones
1 307
FULL VIDEO NA MATUKIO MAZIMA UTAYAPATA KWA KU BONYEZA HAPA KWENYE INSTAGRAM LINK:-https://instagram.com/e_plus_media?utm_medium=copy_link
FACEBOOK PAGE FOLLOW:-https://www.facebook.com/eplusmediatv/
1 307
Mchezaji wa klabu ya Real Madrid, Vinicius ameshinda Tuzo ya "Socrates" kwa kazi kubwa aliyoifanya Nchini kwao Brazil kusaidia Watoto wasiojiweza.
Ukihitaji matangazo ya biashara yako au Promotion ya nyimbo zako, filamu, mitandao yako ya kijamii (facebook na YouTube), njoo inbox 📥
Toa maoni yako
1 307
Mchezaji wa klabu ya Real Madrid, Jude Bellingham (21) ameshinda Tuzo ya Mchezaji bora mwenye umri mdogo (U21) wa Dunia maarufu "Kopa Trophy" kwenye Tuzo za Ballon d’Or 2023.
Waliokuwa wanashindana:
1. 🏴 Jude Bellingham 🏆
2. 🇩🇪 Jamal Musiala
3. 🇪🇸 Pedri
4. 🇫🇷 Eduardo Camavinga
5. 🇪🇸 Gavi
6. 🇳🇱 Xavi Simons
7. 🇪🇸 Alejandro Baldé
8. 🇵🇹 António Silva
9. 🇩🇰 Rasmus Højlund
9. 🇫🇷 Elye Wahi
Ukihitaji matangazo ya biashara yako au Promotion ya nyimbo zako, filamu, mitandao yako ya kijamii (facebook na YouTube), njoo inbox 📥
Toa maoni yako
1 307
"...Haaland na Mbappe watashinda siku moja Ballon Dior " Haaland alistahili pia kushinda ameshinda Ligi ya Mabingwa, Ligi ya Premier na mfungaji bora wa kila kitu tuzo hii inaweza kuwa yako pia Leo,ninahakika katika miaka ijayo atashinda" - Lionel Messi Mshambuliaji wa klabu ya Inter Miami ya Marekani 🇺🇸.
- Orodha ya kamili ya Wachezaji bora wa Tuzo za Ballon D'Or 2023.
1. 𝗟𝗶𝗼𝗻𝗲𝗹 𝗠𝗘𝗦𝗦𝗜 🇦🇷
2. 𝗘𝗿𝗹𝗶𝗻𝗴 𝗛𝗔𝗔𝗟𝗔𝗡𝗗 🇳🇴
3. 𝗞𝘆𝗹𝗶𝗮𝗻 𝗠𝗕𝗔𝗣𝗣𝗘́ 🇫🇷
4. 𝗞𝗲𝘃𝗶𝗻 𝗗𝗘 𝗕𝗥𝗨𝗬𝗡𝗘 🇧🇪
5. 𝗥𝗢𝗗𝗥𝗜 🇪🇸
6. 𝗩𝗜𝗡𝗜𝗖𝗜𝗨𝗦 𝗝𝗥 🇧🇷
7. 𝗝𝘂𝗹𝗶𝗮𝗻 𝗔𝗟𝗩𝗔𝗥𝗘𝗭 🇦🇷
8. 𝗩𝗶𝗰𝘁𝗼𝗿 𝗢𝗦𝗜𝗠𝗛𝗘𝗡 🇳🇬
9. 𝗕𝗘𝗥𝗡𝗔𝗗𝗢 𝗦𝗜𝗟𝗩𝗔 🇵🇹
10. 𝗟𝘂𝗸𝗮 𝗠𝗢𝗗𝗥𝗜𝗖 🇭🇷
11. 𝗠𝗼𝗵𝗮𝗺𝗲𝗱 𝗦𝗔𝗟𝗔𝗛 🇪🇬
12. 𝗥𝗼𝗯𝗲𝗿𝘁 𝗟𝗘𝗪𝗔𝗡𝗗𝗢𝗪𝗦𝗞𝗜 🇵🇱
13. 𝗬𝗮𝘀𝘀𝗶𝗻𝗲 𝗕𝗢𝗨𝗡𝗢𝗨 🇲🇦
14. 𝗜̇𝗹𝗸𝗮𝘆 𝗚𝗨𝗡𝗗𝗢𝗚𝗔𝗡 🇩🇪
15. 𝗘𝗺𝗶𝗹𝗶𝗮𝗻𝗼 𝗠𝗔𝗥𝗧𝗜𝗡𝗘𝗭 🇦🇷
16. 𝗞𝗮𝗿𝗶𝗺 𝗕𝗘𝗡𝗭𝗘𝗠𝗔 🇫🇷
17. 𝗞𝗵𝘃𝗶𝗰𝗵𝗮 𝗞𝗩𝗔𝗥𝗔𝗧𝗦𝗞𝗛𝗘𝗟𝗜𝗔 🇬🇪
18. 𝗝𝘂𝗱𝗲 𝗕𝗘𝗟𝗟𝗜𝗡𝗚𝗛𝗔𝗠 🏴
19. 𝗛𝗮𝗿𝗿𝘆 𝗞𝗔𝗡𝗘 🏴
20. 𝗟𝗮𝘂𝘁𝗮𝗿𝗼 𝗠𝗔𝗥𝗧𝗜𝗡𝗘𝗭 🇦🇷
21. 𝗔𝗻𝘁𝗼𝗶𝗻𝗲 𝗚𝗥𝗜𝗘𝗭𝗠𝗔𝗡𝗡 🇫🇷
22. 𝗞𝗶𝗺 𝗠𝗜𝗡-𝗝𝗘𝗔 🇰🇷
23. 𝗔𝗻𝗱𝗿𝗲́ 𝗢𝗡𝗔𝗡𝗔 🇨🇲
24. 𝗕𝘂𝗸𝗮𝘆𝗼 𝗦𝗔𝗞𝗔 🏴
25. 𝗝𝗼𝘀𝗸𝗼 𝗚𝗩𝗔𝗥𝗗𝗜𝗢𝗟 🇭🇷
26. 𝗝𝗮𝗺𝗮𝗹 𝗠𝗨𝗦𝗜𝗔𝗟𝗔 🇩🇪
27. 𝗡𝗶𝗰𝗼𝗹𝗼 𝗕𝗔𝗥𝗘𝗟𝗟𝗔 🇮🇹
28. 𝗠𝗮𝗿𝘁𝗶𝗻 𝗢𝗗𝗘𝗚𝗔𝗔𝗥𝗗 🇳🇴
29. 𝗥𝗮𝗻𝗱𝗮𝗹 𝗞𝗢𝗟𝗢-𝗠𝗨𝗔𝗡𝗜 🇫🇷
30. 𝗥𝘂𝗯𝗲𝗻 𝗗𝗜𝗔𝗦 🇵🇹
Ukihitaji matangazo ya biashara yako au Promotion ya nyimbo zako, filamu, mitandao yako ya kijamii (facebook na YouTube), njoo inbox 📥
Toa maoni yako
1 307
Mchezaji wa klabu ya Inter Miami, Lionel Messi 🇦🇷 (36) amechaguliwa kuwa Mchezaji bora wa Dunia kwa mara ya nne (8) kwenye Tuzo za Ballon D'Or 2023.
* Messi ameweka rekodi ambayo huenda isivunjike labda kwa miaka mingi ijayo.
1. Lionel Messi 🇦🇷: Ballon D'Or 8
2. Cristiano Ronaldo 🇵🇹: Ballon D'Or 5
3. Michel Platini 🇫🇷: Ballon D'Or 3
3. Johan Cruyff 🇳🇱: Ballon D'Or 3
3. Marco van Basten 🇳🇱: Ballon D'Or 3
* Rekodi ya Messi
- Michezo: 56
- Mabao: 41
- Assist: 26
- Kusaidia mabao : 67 (Taifa na Vilabu)
- Kusaidia Timu ya Taifa lake la Argentina kushinda kombe la Dunia la tatu (3) katika historia ya Taifa hilo.
- Mchezaji bora wa kombe la Dunia 2022 !
- Kiatu cha fedha Kombe la Dunia (2022) akiwa na mabao saba (7).
- Ligi Kuu 🏆🇫🇷 Ligue 1
- Kombe la Ligi 🏆(🇺🇸 League Cup)
- Super Cup 🏆🇫🇷
- Mchezaji bora wa Super Cup (🇫🇷 MVP)
- Mabao 820 na Assist 361 katika historia yake ya mpira wa miguu.
- Mchezaji mwenye Vikombe vingi katika historia ya mpira wake wa mpira (Vikombe binafsi, Timu ya Taifa na Vilabu).
Ukihitaji matangazo ya biashara yako au Promotion ya nyimbo zako, filamu, mitandao yako ya kijamii (facebook na YouTube), njoo inbox 📥
Toa maoni yako
1 307
Kabla ya Leo Messi hajashinda Tuzo ya Ballon D'Or.
- Hakuna Mchezaji aliyeshinda Ballon d'Or 4
- Hakuna Mchezaji aliyeshinda Ballon d'Or 5
- Hakuna Mchezaji aliyeshinda Ballon d'Or 6
- Hakuna Mchezaji aliyeshinda Ballon d'Or 7
- Hakuna Mchezaji aliyeshinda Ballon d'Or 8 ⏳
Ni Mchezaji pekee kutoka Nchini Argentina aliyeshinda kwa mara ya nane (8) katika maisha yake ya mpira wa miguu huku akizipita Nchi bora Duniani katika historia. Huyo ni Lionel Andrés Messi Cuccittini La Pulga.
- Ufaransa 🇫🇷 ina Ballon d'Or saba (7) kutoka kwa Wachezaji watano (5)
- Ujerumani 🇩🇪 ina Ballon d'Or saba (7) kutoka kwa Wachezaji watano (5).
- Ureno 🇵🇹 ina Ballon d'Or saba (7) kutoka kwa Wachezaji watatu (3).
- Uholanzi 🇳🇱 ina Ballon d'Or Saba (7) kutoka kwa Wachezaji watatu (3).
- Argentina 🇦🇷 ina Ballon d'Or nane (8) kutoka kwa Mchezaji mmoja pekee (1).
- Leo Messi anakuwa Mchezaji wa kwanza katika historia ya mpira wa miguu kushinda Ballon d'Or akiwa na vilabu vitatu (3) tofauti (FC Barcelona, PSG na Inter Miami).
* Lio Messi tangu ashinda Kombe la Dunia🏆:
- Mchezaji Bora wa pili (2) barani Ulaya (UEFA)
- Mchezaji bora Duniani (BBC)
- Mchezaji Bora (kombe la Dunia)
- Mchezaji Bora Duniani (IFFHS)
- Mwanariadha bora Duniani (L'équipe)
- Mchezaji bora Duniani (The Guardian)
- wanariadha bora Duniani (LAUREUS)
Ukihitaji matangazo ya biashara yako au Promotion ya nyimbo zako, filamu, mitandao yako ya kijamii (facebook na YouTube), njoo inbox 📥
1 307
Mchezaji wa klabu ya FC Barcelona, Aitana Bonmati ameshinda Tuzo ya Mchezaji bora wa Kike wa Dunia wa mwaka 2023 kwenye Tuzo za Ballon D'Or 2023.
Toa maoni yako
1 307
Msanii wa muziki kutoka Nchini Nigeria 🇳🇬, Rema akitumbuiza kwenye kilele cha utoaji wa Tuzo za Ballon D'Or 2023.
Msanii huyo mwenye umri wa miaka 23, ametumbuiza mbele ya umati wa Wadau wa michezo Duniani bila kusahau Wachezaji.
Toa maoni yako
1 307
Mchezaji wa klabu ya Manchester City, Erling Haaland ameshinda Tuzo ya Gerd Müller ambayo hupewa Mchezaji aliyefunga mabao mengi ndani ya msimu mmoja.
Ikumbukwe kwamba Haaland 🇳🇴 amefanikiwa kufunga mabao (56) msimu uliopita.
