es
Feedback

¡No caigas en manos de tramposos! Telemetrio encuentra y marca estos canales 👉 Si quieres ver la etiqueta, suscríbete

E-PLUS MEDIA

E-PLUS MEDIA

Ir al canal en Telegram

Get the latest news,videos,and more everyday.

Mostrar más
1 307
Suscriptores
+124 horas
-27 días
-1330 días
Archivo de publicaciones
Klabu ya FC Barcelona (Wanawake) imechaguliwa kuwa Klabu bora ya Wanawake Duniani kwenye Tuzo za Ballon d’Or 2023. Toa maoni
Klabu ya FC Barcelona (Wanawake) imechaguliwa kuwa Klabu bora ya Wanawake Duniani kwenye Tuzo za Ballon d’Or 2023. Toa maoni yako

Golkipa wa Timu ya Taifa ya Argentina, Emiliano Martinez ameshinda Tuzo ya "Yachine" ambayo hupewa Golkipa bora Duniani kweny
Golkipa wa Timu ya Taifa ya Argentina, Emiliano Martinez ameshinda Tuzo ya "Yachine" ambayo hupewa Golkipa bora Duniani kwenye Tuzo za Ballon d’Or 2023. Ukihitaji matangazo ya biashara yako au Promotion ya nyimbo zako, filamu, mitandao yako ya kijamii (facebook na YouTube), njoo inbox 📥 Toa maoni yako

"Ni mwaka wa Kombe la Dunia na Lionel Messi alikuwa na maonesho mazuri sana, anastahili kushinda Ballon d'Or". “Nataka kuwash
"Ni mwaka wa Kombe la Dunia na Lionel Messi alikuwa na maonesho mazuri sana, anastahili kushinda Ballon d'Or". “Nataka kuwashukuru wote walioniunga mkono katika safari yangu. Kutoka Birmingham, hadi Dortmund, sasa hadi Real Madrid ” - Jude Bellingham Ukihitaji matangazo ya biashara yako au Promotion ya nyimbo zako, filamu, mitandao yako ya kijamii (facebook na YouTube), njoo inbox 📥 Toa maoni yako

MAIsha hayaitaji kukata tamaa
MAIsha hayaitaji kukata tamaa

Baada ya Diamond Platnumz kudai kwamba alitapeliwa takribani Shiling Bilioni nne (4) kwenye sakata la ununuzi wa Ndege yake b
Baada ya Diamond Platnumz kudai kwamba alitapeliwa takribani Shiling Bilioni nne (4) kwenye sakata la ununuzi wa Ndege yake binafsi (Private Jet). Toa maoni yako

Star ✴️ wa Bongofleva Msanii Diamondplatnumz amekutana uso Kwa uso na Diamond Feki Unadhani Diamond halisi ni yupi apa? 🤔
Star ✴️ wa Bongofleva Msanii Diamondplatnumz amekutana uso Kwa uso na Diamond Feki Unadhani Diamond halisi ni yupi apa? 🤔

"Mbwa wangu anamiliki Gari Mbili, ana Vitz na Crown, najua unatamani kuwa Mbwa wangu, ila hauwezi kuwa Mbwa Wangu" - Chief Go
"Mbwa wangu anamiliki Gari Mbili, ana Vitz na Crown, najua unatamani kuwa Mbwa wangu, ila hauwezi kuwa Mbwa Wangu" - Chief Godlove.

⚠️😳 Nilikuwa nachukuliwa mademu zangu sababu sikuwa na pesa wala muonekano - Diamond Platnumz "Niwaambie kitu wanangu matati
⚠️😳 Nilikuwa nachukuliwa mademu zangu sababu sikuwa na pesa wala muonekano - Diamond Platnumz "Niwaambie kitu wanangu matatizo kama haya ya mademu kuchukuliwa yanatokanaga kwa sasabu sisi tunakuwa tunapambana kwahiyo akija mtu mwenye hela anachukua demu, mimi wameshanichukulia sana mademu zangu halafu ukiangalia sina hela wala muonekano ndio maana nilipambana mpaka sasa hivi hakuna anaweweza kunichukulia demu wangu yani mtu akigusa demu wangu anakutana ni Simba la Masimba Dangote" - Amesema Mond katika stage ya Wasafi

⚠️😳 Jamaa huyo ameibuka kusherehekea kufanyiwa sajari ya kupandikizwa nywele na kufurahia matokeo Alichukua hatua ya kufanyi
⚠️😳 Jamaa huyo ameibuka kusherehekea kufanyiwa sajari ya kupandikizwa nywele na kufurahia matokeo Alichukua hatua ya kufanyiwa sajari baada ya kuanza kunyonyoka nywele kisha kupata upara katika umri wa kijana mdogo. hali ambaye ilikuwa inampa masononeko muda mwingi na kukosa furaha Amesema tatizo lake ni la kurithi kwani hata baba yake na kaka yake wameng'oka nywele mapema wamebaki na mapara Sajari amefanyiwa nchini Uturuki kwa gharama ya dola za Kimarekani $6,000 ambazo ni milioni 14.9 za Kitanzania Amesema Marekani gharama ya sajari hiyo gharama ni kubwa takribani mara mbili ya pesa aliyotoa Uturuki

⚠️😳 Ex akinukisha ukumbini kwa kuwamwagia maharusi kinyesi Katika hali isiyo ya kawaida na ambayo haikutegemewa na kila mtu, maharusi hao wa nchini Bolvia wamepatwa na tukio la kufedhehesha ukumbini wakati harusi yao ikiendelea Ambapo, katika clips husika zilizosambaa waliposema tu "I do", ndipo ex wa bwanaharusi aliyekuwa kajipanga vilivyo na kindoo cha kinyesi akaanza kuwarushia zaidi ya mara tatu ambapo kinyesi kimeonekana kuchafua sana vazi la kijeshi alilokuwa amevaa bwana harusi Hiyo tisa, kumi bibi harusi aliyekuwa kavaa gauni jeupe ndie ameneonekana kuchafuliwa zaidi kwa kinyesi kwenye nguo, katika nywele na usoni ambapo kingi kimeonekana kumpata usoni zaidi ya mara moja mdomoni kabisa lakini hata hivyo bibi harusi bado ameonekana kujikaza kisabuni tukio limalizike huku taharuki ikitanda watu wengine kuanza kukimbia huku na huko wasije kupatwa mafungu ya kinyesi Kwa mujibu wa vyombo vya habari nchini Bolvia, mwanadada aliyerusha kinyesi haijulikani hasa aliwezaje kuingia ukumbini akiwa na kindoo cha "silaha" hiyo ambacho alikitupa chini baada ya kujihakikisha ameimaliza kazi aliyokuwa ameikusudia, ila ametajwa ni ex wa bwana harusi na amefanya hivyo kuivuruga harusi kulipa kisasi cha kusalitiwa na kuachwa solemba kisha mwanaume akaoa mwanamke huyo mwingine Baada ya kilichotokea ukumbini, bibi harusi huyo ameweza kujitokeza mtandaoni na kuandika maneno yasemayo kwamba, ana imani baada ya ex wa mume wake kulipiza kisasi alichowafanyia ukumbini, basi kuanzia sasa ataawacha waishi kwa amani Kinachoonekana cheusi ikiwemo mdomoni kwa bibi harusi ndicjo kinyesi chenyewe alichotupiwa na ex wa mume Picha zaidi kwenye comments section

photo content

"Nilipofunga duka langu la kwanza maneno yalikuwa mengi sana, kejeli, na wengine wakasema nimefulia, lakini nilikuwa navumilia kwasababu nilikuwa najua naenda kufungua duka kubwa zaidi ya lile. Duka la sasa hivi ni zaidi ya flem tatu na nimesapotiwa na mama yangu pamoja na Marioo. Ndoto ya kufungua duka nilikuwa nayo tangu zamani kwasababu mimi napenda sana nguo, kwahiyo nilikuwa nasema nikifika umri flani lazima nitakuwa na duka langu la nguo niwape watu vitu vizuri wapendeze" "Mimi ni mchumi sana, naweza nikawa na elfu 50 mfukoni nikatamani mkate lakini nikasikia uchungu kutoa pesa yangu kwasababu itapungua nikaamua kukaa njaa. Mimi sina mimba na nikiwa nayo mtaona kwasababu mimba haijifichi, kwahiyo mimi sina mimba na kwakuwa mimba ni mipango ya Mungu nikiwa nayo lazima mtaona"- Paula Kajala Lakini pia Paula ameongeza kuwa tayari Marioo ameshamtambulisha nyumbani kwao na mama yake anampenda sana. Kuhusu kutokujua kupika, bidada huyo amejitetea kwamba kwa sasa anajua kupika kila kitu kwani mama yake amemfundisha ili akienda kuwa mwandani wa Marioo asiharibu mambo.

photo content

FIFA imemfungia Luis Rubiales kujihusisha na soka kwa kipindi cha miaka mitatu. Luis Rubiales alimbusu mdomoni mchezaji wa ti
FIFA imemfungia Luis Rubiales kujihusisha na soka kwa kipindi cha miaka mitatu. Luis Rubiales alimbusu mdomoni mchezaji wa timu ya Wanawake ya Spain 🇪🇸 Jenni Hermoso wakati wa hafla ya utoaji tuzo huko Sydney mnamo Agosti 20.

PACOME,AZIZI KI NI MAJERUHI YANGA VIUNGO wa Yanga Azizi Ki na Pacome Zouzoua wamezua hofu kuelekea mchezo dhidi ya Simba kuto
PACOME,AZIZI KI NI MAJERUHI YANGA   VIUNGO wa Yanga Azizi Ki na Pacome Zouzoua wamezua hofu kuelekea mchezo dhidi ya Simba kutokana na majeraha ambayo waliyapata.   Viungo hao wote walipata majeraha katika mchezo dhidi ya Singida Fountain ambapo walionekana wakitoka wakiwa wanachechemea.   Afisa Habari wa Yanga Ally Kamwe amethibitisha kuumia kwa wachezaji hao ambapo amesema kuwa wanasubiri ripoti ya daktari juu wao Moses Etutu kufahamu ukubwa wa majeraha yao.   Mechi ijayo ni Simba vs Yanga,itawezekana bila Aziz KI na Pacome...?

Siku moja Makonda aliwahi kuandika hivi namnukuuu... "Siku moja YESU alitoka na wanafunzi wake kwenda mjini,njiani akaona njaa,akauona mtini akauendea akidhani ataona matunda pale,alipofika akakuta mtini hauna matunda kwamba watu walirusha mawe ukakata kuzaa matunda,mara Yesu akaulaani akasema tangu sasa na milele yasipatikane matunda tena,na ghafla mtini ukanyauka mara" Sasa, concept yangu ni hiii,inawezekana Ile methai ya mti wenye matunda ndio hupigwa mawe, correct,lakini kama kuna laana kubwa nikuacha kuzaa matunda kwakigezo cha kurushiwa mawe na maadui. Ikiwa mtini mwema unaweza kustahimili nyakati zote hata ukatoa mtini wakati ambao sio mtini,tegemea kuinuliwa Sana na Mungu na zaidi.Mawe yaweza kuwa maneno,kashfa za uongo,vita, hustling unazopitia,hizo zote ni mawe.. Mtini(tunda Kwa asili ya kiyahudi) yaweza kuwa Ile potential yako ambayo Mungu ameweka ndani yako,ukishindwa kufanya vema kwasababu ya mawe ya watu ni laana mbele za Mungu kwasababu huwenda wewe ndie Mungu aliyekuchagua kwaajili ya kusaidia wengine.. Mungu anapokuja kwako anategemea apate(tunda) mtini kwako,haijalishi unayopitia anategemea ufanye Jambo kwake.Rais mmoja wa Marekani alipata kusema"Jiulize utaifanyia nini America usijiiulize America itakufanyia nini wewe"~John Kennedy Nami nasema"Jiulize utamfanyia nini Mungu,usijiiulize Mungu atakufanyia nini wewe"ndio maana neno lake linasema utafuteni Kwanza ufalme wa mbinguni na yote ya duniani mtazidishiwa huku akituhakikishia kuwa.. "Mmebarikiwa baraka zote za rohoni na mwilini pia" kumbe utakapoweza kujua WAJIBU WAKO KWA MUNGU wewe sasa sio binadamu wa kawaida.. shaloom shaloom!!

photo content

***Mfanyabiashara Mary Phadi (Pichani) wa afrika kusini alianzisha kampuni ya Usafirishaji mwaka 2007 akiwa na Lorry 1 aina y
***Mfanyabiashara Mary Phadi (Pichani) wa afrika kusini alianzisha kampuni ya Usafirishaji mwaka 2007 akiwa na Lorry 1 aina ya Tipper*** **Kwa Sasa kampuni yake ina malorry 53 ambazo ni side tippers, flat decks na tankers ambazo zinafanya kazi ya kusafirisha makaa ya mawe, Lami, Mahindi, n.k*Ni mwasisi na mmiliki wa kampuni ya usafirishaji inayoitwa Basadi Logistics, iliyopo pale Emalahleni (Witbank) bondeni*** #BravoAfrika...

Bondia Mtanzania Pius Mpenda ameshinda ubingwa wa 'WBC Peace Champion' usiku wa kuamkia leo katika pambano lililopigwa Jijini
Bondia Mtanzania Pius Mpenda ameshinda ubingwa wa 'WBC Peace Champion' usiku wa kuamkia leo katika pambano lililopigwa Jijini Istanbul Uturuki. Mpenda ameshinda pambano hilo dhidi ya Dauren Yeleussionov raia wa Kazakhstan kwa pointi za majaji wote. Utakumbuka January mwaka huu Mpenda alishinda mkanda wa ubingwa wa Dunia wa WBU dhidi ya Faruku Daku wa Uganda katika pambano lililopigwa nchini Uganda.

Waziri mkuu wa isreal, Benjamin Netanyahu, amesema kwamba usitishaji wamapigano na hamas, katika ukanda wa Gaza ni suala amba
Waziri mkuu wa isreal, Benjamin Netanyahu, amesema kwamba usitishaji wamapigano na hamas, katika ukanda wa Gaza ni suala ambalo haliwezi kufanyika, akisema kufanya hivyo ni sawa na kujisalimisha kwa Hamas. Matamshi yake anayatoa wakati huu jeshi la Israel likiendelea na mashambulio ya ardhini katika ukanda huo kuwasaka wapiganaji wa Hamas.