en
Feedback
DUBWANA TECH

DUBWANA TECH

Open in Telegram

Join to get more VPN

Show more
The country is not specifiedTechnologies & Applications40 436
803
Subscribers
No data24 hours
-37 days
-2530 days
Posts Archive
πŸ”₯ *JE, UNAJUA SIMU YAKO INAWEZA KUFANYA MAMBO ZAIDI YA KUIANGALIA TU NA KUPIGA SIMU?* Leo tunakuletea *trick rahisi* ambayo wengi hawaijui – lakini inaweza kusaidia sana! πŸ“² *JINSI YA KUJUA KAMA SIMU YAKO INA VIRUSI AU MALWARE* 1️⃣ *Nenda kwenye Play Store* 2️⃣ Search: *β€œMalwarebytes Security”* 3️⃣ Install, fungua na scan simu yako πŸ” App hii hutambua app zilizo hatari, spyware na hata zile zinazotuma data zako bila ruhusa. βœ… Inaaminika na haina matangazo ya usumbufu. *Faida:* - Inaongeza ulinzi wa data zako - Inasaidia simu kuwa nyepesi - Inazuia udukuzi wa kificho πŸ’¬ *Ulishawahi scan simu yako? Ama unatembea na spyware mfukoni?* Toa maoni au uliza maswali hapa! πŸ” *DubwanaTech*

wadau habar za jioni

Clickworker ni jukwaa la kazi mtandaoni linaloruhusu watu kufanya kazi ndogondogo (microtasks) na kulipwa kwa kila kazi wanayofanya. Kampuni hii ni ya Ujerumani na hutoa fursa kwa watu duniani kote, wakiwemo Watanzania, kufanya kazi kupitia simu au kompyuta. --- βœ… Kazi Unazoweza Kufanya Clickworker 1. Kuandika makala (Text creation) 2. Kuhariri maandishi (Text editing) 3. Utafiti mtandaoni (Web research) 4. Kujibu maswali ya surveys 5. Kutambua picha au video (AI training tasks) 6. Kuingiza data (Data entry) 7. Kusikiliza na kutafsiri sauti (audio transcription) 8. Kutoa maoni kwenye programu au tovuti (app testing) --- πŸ’° Malipo Malipo hulipwa kupitia PayPal au SEPA bank transfer (kwa nchi zinazounga mkono). Unaweza kuingiza kipato kulingana na idadi ya kazi unazofanya. Mfano: kazi moja inaweza kulipa kuanzia $0.01 hadi $10 au zaidi. --- πŸ“± Jinsi ya Kuanza 1. Tembelea tovuti yao: https://clickworker.page.link/vHokK3Q7hV5qyrdU7 2. Jisajili kwa kujaza taarifa zako. 3. Fanya majaribio (assessment) kupata kazi zaidi. 4. Anza kufanya kazi zilizopo kwenye dashboard. 5. Pata malipo baada ya kazi kukaguliwa. > Dubwana Tech

Usipolipwa hapa kwa kufanya research rudi useme Dubwana muongo.... Mzigo wa uhakika unaolipwa mpaka euro 20 kwa wiki https://clickworker.page.link/vHokK3Q7hV5qyrdU7 Nimetoa invitation hivyo ukiulizwa kuhusu kualikwa chagua Yes

*Jinsi ya kutumia Google Lens kutafsiri maandishi moja kwa moja kwa kamera ya simu*. 1. Fungua Google Lens app au kamera kwenye Google app. 2. Elekeza kamera kwenye maandishi unayotaka kutafsiri. 3. Chagua lugha, utaona tafsiri papo hapo kwenye skrini! Ulishawahi kujaribu hii? > Dubwana Tech

TANGAZO, sasa Dubwana Tech inatoa huduma ya bulk sms, pia Sender ID Bulk sms.. uwezo wa kutuma sms zaidi ya moja kupitia njia
TANGAZO, sasa Dubwana Tech inatoa huduma ya bulk sms, pia Sender ID Bulk sms.. uwezo wa kutuma sms zaidi ya moja kupitia njia ya mtandao Sender ID.. Kutuma sms kupitia jina lako/biashara/kampuni. Mfano wa Sender ID.. M-PESA,POLISI, TAKUKURU,STAPELIKI na majina mengine mengi Sms hizi zikitumwa haziandiki namba ya mtumaji bali Jina la mtumaji Hivyo Dubwana Tech inatoa huduma ya kukusaidia we kujisajili na kupata jina lako Je unataka kusajili biashara au kampuni yako. Wasiliana sasa na Dubwana Tech 0622679984 au whatsapp 0755687783..

wadau habar za wakati huu

Leo nmeamua kutoa OFFER kwa mafΓΉnzo ya Technologia,, 1. Jiunge na channel yetu ya WhatsApp https://whatsapp.com/channel/0029Vb5ZrQWDzgTChIUkLk1C 2. Jiunge na group letu la whatsap https://chat.whatsapp.com/Bqamw5iQVKqBsjlWQzSL0r 3. Jiunge na channel yetu ya Telegram t.me/mastervpndubwanatech Baada ya kukamilisha hayo nicheki DM whatsapp kisha andika neno Tayari https://wa.link/3dpxvo Kikubwa zaidi share link kwa watu wengi ili wanufaike na Technologia

> KAA TAYARI MCHONGO WA PESA UNAKUJA KWA AJILI YAKO

Kama bado ujajiunga na channel yetu ya WhatsApp tumia link hii https://whatsapp.com/channel/0029Vb5ZrQWDzgTChIUkLk1C Telegram tumia hii t.me/mastervpndubwanatech

Wasiliana na dubwanatech kupitia link hii https://wa.link/3dpxvo

HII NDO LINK YA CHANNEL YETU YA WHATSAPP JIUNGE SASA Follow the DUBWANA TECH channel on WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029Vb5ZrQWDzgTChIUkLk1C

Sasa unaweza kupata sni bug host kwa ajili ya kutengenezea file zako za VPN host zinapatikana katika APK yetu kipengele cha VPN APK download hapa https://www.mediafire.com/file/2dua5fmrorsvjev/Dubwana_Tech_Software_App.apk/file

Website ya kupata Proxy https://mtpro.xyz/mtproto

Telegram haifanyi kazi Tanzania bila kutumia VPN kwa sababu imefungiwa au kuzuiwa na mamlaka za mawasiliano nchini. Sababu kuu za kufungiwa: 1. Usimamizi wa mawasiliano na usalama: Serikali inaweza kuzuia huduma kama Telegram wakati wa matukio maalum (mfano uchaguzi, maandamano) kwa madai ya kulinda usalama wa taifa au kudhibiti habari. 2. Kudhibiti mawasiliano ya faragha: Telegram inajulikana kwa kutumia usimbaji fiche (end-to-end encryption), ambao unazuia serikali kufuatilia mawasiliano. Hii huweza kuleta wasiwasi kwa baadhi ya serikali. 3. Kutokufuata masharti ya nchi: Inawezekana Telegram haijazingatia baadhi ya masharti ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), kama vile kusajili huduma zao au kushirikiana katika ufuatiliaji wa makosa mtandaoni. Njia za kutumia Telegram: VPN: Hii ndiyo njia maarufu ya kufungua Telegram Tanzania. Proxy za Telegram: Telegram ina uwezo wa kutumia MTProto proxy, ambazo hufanya kazi kama VPN. Ntakuelekeza hatua kwa hatua jinsi ya kutumia proxy za Telegram (MTProto proxy) bila kutumia VPN: --- 1. Fungua Telegram Fungua app ya Telegram kwenye simu yako au kompyuta. --- 2. Ingia kwenye Settings Bofya Menu (alama ya mistari mitatu upande wa juu kushoto). Nenda kwenye Settings > Data and Storage > Proxy Settings. --- 3. Weka MTProto Proxy Washa sehemu ya Use Proxy. Kisha bonyeza Add Proxy > chagua MTProto Proxy. --- 4. Weka taarifa za Proxy Utahitaji kujaza hizi sehemu: Server: (mfano: 149.154.167.50) Port: (mfano: 443) Secret: (mfano: ee112233aabbccddeeff001122334455) Kama unavyofahamu, Telegram imefungiwa Tanzania, na njia ya kuipata bila kutumia VPN ni kupitia MTProto proxy. Hapa chini kuna orodha ya proxy mpya zinazofanya kazi vizuri nchini Tanzania, pamoja na maelekezo ya kuzitumia: --- πŸ” MTProto Proxy Mpya kwa Telegram (Mei 2025) 1. Server: 87.229.100.252 Port: 443 Secret: eeRighJJvXrFGRMCIMJdCQ 2. Server: 65.108.45.218 Port: 65 Secret: 1320PuNyHw_LQKT_Y7XNJw== 3. Server: 185.213.20.244 Port: 443 Secret: f1ec0625459f73cd22d1895ce895c1df 4. Server: 51.77.34.30 Port: 443 Secret: 0d93fb55ed19861749160a397953f464 5. Server: 65.21.213.224 Port: 8443 Secret: 1320PuNyHw_LQKT_Y7XNJw== --- πŸ“² Jinsi ya Kuweka Proxy kwenye Telegram 1. Fungua app ya Telegram kwenye simu au kompyuta. 2. Nenda kwenye Settings > Data and Storage > Proxy Settings. 3. Washa sehemu ya Use Proxy. 4. Bonyeza Add Proxy > chagua MTProto Proxy. 5. Weka Server, Port, na Secret kama ilivyo hapo juu. 6. Bonyeza Save na hakikisha imeunganishwa.

Inaonyesha mpira kwa uboraΒ waΒ HD

APP hii haina matangazo ila unatazama mechi zote za nje LiveπŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†

-Dubwana_Tech_Sports_18744294.apk31.78 MB

APP hii haina matangazo ila unatazama mechi zote za nje LiveπŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†