cookie

We use cookies to improve your browsing experience. By clicking Β«Accept allΒ», you agree to the use of cookies.

avatar

COLLEGE OF LEARN

🚩 Channel was restricted by Telegram

Show more
The country is not specifiedThe language is not specifiedTechnologies & Applications9 202
Advertising posts
8 845
Subscribers
-624 hours
+17 days
-10930 days

Data loading in progress...

Subscriber growth rate

Data loading in progress...

Prohibited content
AYA KUMEKUCHA SASA WALE WAPOTEZAJI SIMU NA WAANGUSHAJI SIMU NIMEWALETEA APPLICATION HII HAPA INAITWA IMEI TRACK Itakuonesha Location Simu Yako Ilipo Itakupa Information Baadhi Kama Vile Mtandao Uliowekwa Kwenye Simu Yako Na Vingine Muhimu Ndani Ya Simu Itakupa Live Location Itakupa Follow Location Pia Itakupa Permission Ya Kufunga Simu Yako Kwa Biometric IYO APPLICATION INATOKA KWA ELFU 40 Piga Simu 0788347810 Karibu Inbox πŸ‘‰ @Teacher_Of_Teacherss
Show all...
πŸ‘ 5🀩 3❀ 2πŸ˜‡ 1
JINSI YA KUJILINDA BAADA YA KUIBIWA 1. Zuia laini ya simu Kabla ya kupiga simu benki, kujaza ripoti ya tukio au hatua nyingine yoyote, piga simu operator na uzuie laini ya simu. Hili ndilo litakalomzuia mhalifu kufanya aina yoyote ya uhalifu kwenye simu au kupokea ujumbe mfupi wa maandishi. Kumbuka nambari ya itifaki ambayo inathibitisha ombi la kuzuia. 2. Zuia shughuli za benki Kisha piga simu benki ili kuomba kuzuia shughuli zote zilizofanywa na simu ya mkononi au kompyuta. "Hatua hizi mbili peke yake tayari hutoa ugumu mkubwa kwa wahalifu, ambao mara nyingi huenda kwenye kifaa kinachofuata," anaelezea mtaalam. 3. Futa data ya simu yako ya mkononi Hata kama kifaa chako hakikuibiwa skrini ikiwa imefunguliwa, ni muhimu kufuta data yake. Ikiwa kifaa chako ni Android, una chaguzi nne za kufanya hivi: - Tumia ukurasa wa Google wa "Tafuta kifaa changu"; - Fikia programu ya "Tafuta kifaa changu" kutoka kwa kifaa kingine; - Tafuta sehemu ya "Akaunti Yangu" ya Google; - Fanya utafutaji wa Google wa "Tafuta kifaa changu". Ikiwa simu ni iPhone, ambayo hutumia mfumo wa iOS, tumia tovuti ya iCloud (kupatikana kupitia kivinjari chochote cha wavuti) au programu ya Utafutaji, ikiwa una kifaa kingine cha Apple, ili kufuta data. 4. Rejesha akaunti zako Kisha mtaalamu anapendekeza ubadilishe manenosiri ya programu yako na uangalie ni vifaa gani vimeingia katika akaunti hiyo - kama vile barua pepe, kwa mfano. Kisha tenganisha akaunti hizi kutoka kwa kifaa kilichoibiwa. Kwa vile ubadilishanaji wa nenosiri unahitaji SMS, ni muhimu kuwa na chip mpya. 5. Peleka ripoti polisi Ni muhimu kukamilisha hatua zote zilizoelezwa hapo juu kabla ya kwenda kituo cha polisi, kutokana na muda unaoweza kuchukua kwa kuandikisha taarifa polisi - saa ambazo zinaweza kutumiwa na wezi kuendelea kuiba data. Ikiwa mhalifu amejaribu kutapeli kupitia mitandao yao ya kijamii, ni muhimu kutoa taarifa hii polisi.
Show all...
πŸ‘ 6πŸ‘ 1
TAFITI Kumchukia Ex Wako Kunasababisha Ugonjwa Moyo
Show all...
πŸ‘ 8
SERIKALI Hawa Watu Wanaoumwa Mara Kwa Mara Wakamatwe Maana Hakuna Asiejua Madhara Ya Kunywa Pombe Kupita Kiasi Madhara Ya Uvutaji Wa Sigara Madhara Ya Kula Viepe Au Vitu Vyenye Mafuta Mengi Madhara Ya Kufanya Mapenzi Bila Kinga Madhara Ya Kutoa Mimba
Show all...
πŸ‘ 13❀ 3🀩 1
TAFITI Wale Wana Israel Waliokaa Jangwani Miaka Mingi Ni Watanzania Ndo Maana Tabia Zao Ni Zile Zile Kama Uamini Nenda Kasome Luca 25 Mstari Wa 5 Mpaka 24
Show all...
πŸ‘ 7
AYA YANAYOONGELEKA MTANDAONI NI YA KWELI KWAMBA JOE BIDEN SIO MWANADAMU MWENYEWE ALISHAKUFAGA MUDA TU?
Show all...
πŸ”₯ 5πŸ†’ 2
MTANDAO: VODACOM VPN: HA TUNNEL PASSWORD: Amina EXPIRE TIME: NO Ukiona File Kwako Alifanyi Kazi Jiulize Mara 10 10
Show all...
BABA AMINA.hat0.01 KB
❀‍πŸ”₯ 25πŸ‘ 18πŸ”₯ 4πŸ‘ 4
MTANDAO: VODACOM VPN: HA TUNNEL PASSWORD: Teacher EXPIRE TIME: NO SPEED: πŸ”₯ ENJOY
Show all...
COLLEGE OF LEARN .hat0.01 KB
πŸ”₯ 25πŸ‘ 13πŸ‘ 7✍ 6❀ 6πŸ’― 2❀‍πŸ”₯ 1
COLLEGE OF LEARN .hat0.01 KB
VODACOM FILE LOADING... VPN: HA TUNNEL NO EXPIRE
Show all...
πŸ†’ 19πŸ‘ 7❀ 5πŸ”₯ 5πŸ‘ 4
Choose a Different Plan

Your current plan allows analytics for only 5 channels. To get more, please choose a different plan.