cookie

We use cookies to improve your browsing experience. By clicking «Accept all», you agree to the use of cookies.

avatar

دار الحديث كيغامبوني

DURUUS, FAWAAID, NAKALA ZA KIELIMU, MIHAADHARA, KHUTBAH NA MENGINE MENGI KUIHUSU MARKAZ DAR UL HADEETH KIGAMBONI ILIYO CHINI YA USIMAMIZI NA ULEZI WA AL 'ALLĀMAH AL MUHADDITH SHEIKH SALIIM BIN I'ID AL HILAALIY《ALLĀH AMUHIFADHI NA AMLINDE 》•

Show more
The country is not specifiedThe language is not specifiedReligion & Spirituality55 436
Advertising posts
1 439
Subscribers
+524 hours
+247 days
+12830 days

Data loading in progress...

Subscriber growth rate

Data loading in progress...

🔵 فضل صيام يوم عاشوراء : 🔵Fadhila ya kufunga siku ya Ashuraa: ▪️قَال "صَلى الله عَليه وسلَّم": {صِيَامُ يَوْمِ عَرَفَةَ، أَحْتَسِبُ عَلَى اللهِ أَنْ يُكَفِّرَ السَّنَةَ الَّتِي قَبْلَهُ، وَالسَّنَةَ الَّتِي بَعْدَهُ، وَصِيَامُ يَوْمِ عَاشُورَاءَ، أَحْتَسِبُ عَلَى اللهِ أَنْ يُكَفِّرَ السَّنَةَ الَّتِي قَبْلَهُ} ◾️Amesema Mtume Swallallah Alaihi Wasallam”:{Funga ya siku ya Arafa,nataraji kwa Allah kusamehe madhambi ya mwaka uliopita na mwaka ujao, na Funga ya siku ya Ashuraa nataraji kwa Allah kusamehe madhambi ya mwaka uliopita} 📙صحيح مسلم 📙Sahih Muslim 📕تحري النبي ﷺ على صيامه : ▪️عن ابن عباس رضي الله عنهما قال : ما رَأَيْتُ النبيَّ ﷺ يَتَحَرّى صِيامَ يَومٍ فَضَّلَهُ على غيرِهِ إلّا هذا اليَومَ، يَومَ عاشُوراءَ، وهذا الشَّهْرَ يَعْنِي شَهْرَ رَمَضانَ. 📒 صحيح البخاري 📕Alikuwa na pupa Mtume Swallallah Alaihi Wasallam katika kuifunga siku hii: ◾️Kutoka kwa Ibn Abbas Radhi za Allah ziwe juu yao Amesema:Sijawahi kumuona Mtume Swallallah Alaihi Wasallam akizingatia funga ya siku bora katika siku nyingine ispokuwa siku hii ya Ashuraa na mwezi huu yaani mwezi wa Ramadhan. 📒Sahih Bukhari 🔵سبب صيام يوم عاشوراء: 🔵Sababu ya kufunga siku ya Ashuraa: ▪️عَنِ ابْنِ عَبَّاسٍ رَضِيَ اللهُ عَنْهُمَا، قَالَ: قَدِمَ رَسُولُ اللهِ صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ الْمَدِينَةَ، فَوَجَدَ الْيَهُودَ يَصُومُونَ يَوْمَ عَاشُورَاءَ فَسُئِلُوا عَنْ ذَلِكَ؟ فَقَالُوا: هَذَا الْيَوْمُ الَّذِي أَظْهَرَ اللهُ فِيهِ مُوسَى، وَبَنِي إِسْرَائِيلَ عَلَى فِرْعَوْنَ، فَنَحْنُ نَصُومُهُ تَعْظِيمًا لَهُ، فَقَالَ النَّبِيُّ صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ: «نَحْنُ أَوْلَى بِمُوسَى مِنْكُمْ فَأَمَرَ بِصَوْمِهِ» 📒 صحيح مسلم ◾️Kutoka kwa Ibn Abbas Radhi za Allah ziwe juu yao Amesema:Alipofika Mtume Swallallah Alaihi Wasallam Madina,akakuta mayahudi wanafunga siku ya Ashuraa akawauliza juu ya kufunga kwao? Wakasema;Hii ni siku ambayo Allah alimdhihirisha Musa na Bani Israili kwa firauni na Sisi tunafunga siku hii kuitukuza,Akasema Mtume Swallallah Alaihi Wasallam:«Sisi ni bora zaidi kwa Nabii Musa kuliko nyinyi na akaamrisha kufunga(Siku hii)». 📒Sahih Muslim Imenukuliwa Kutoka 👇🏻 https://t.me/fawaid_almeah1
Show all...
قناة درر وفوائد علمية

◾قناة سلفية متميزة ⤵ نهتم بنشر الفوائد العلمية المتفرقة المنتقاة من الكتاب والسنة ومن أقوال علماء الأمة مع تحري ذكر المصدر ونسأل الله الإخلاص والقبول للاستفسار 👇 @abo_hamam1 👍جزى الله خيرا كل من شارك وساهم بنشر الفوائد

اl| بِسْـﻣِـ اللَّهِ الرَّحْمَنِ الرَّحَيِـﻣِـ |lا 🌴🌴🌴 ‌▪️⁩‌▫️⁩‌▪️⁩ ‌▫️⁩‌▪️⁩ ‌▪️⁩ ■ Tofauti kati ya Mwanafunzi wa Elimu wa zamani na wa sasa. ✨ Ibn Qutaybah Allāh Amrehemu Amesema: وكان طالب العلم فيما مضى يسمع ليعلم ويُعلم ، ليعمل ويتفقه في دين الله ، لينتفع وينفع ، فقد صار طالب العلم الآن يسمع ليجمع ، ويجمع ليذكر ، ويحفظ ليغالب ويفخر. ➖● ❝ Zamani, mwanafunzi wa elimu alikuwa akisikiliza ili kujifunza, na kujifunza kutenda (kuifanyia kazi elimu aliyoipata) na kupata ufahamu wa dini ili kujinufaisha yeye na wengine. ➖● Lakini sasa imekuwa kwamba mwanafunzi wa elimu wanasikiliza ili [tu] kukusanya elimu, na wanakusanya hio elimu ili watajwe (kwa sifa), na wanakariri au wanahifadhi ili kuwashinda [wengine] na kujisifu.❞ ‎الاختلاف في اللفظ والرد على الجهمية والمشبهة, Pg.18 Imehakikiwa na Abu Humeid Ally. ════❁(🔘) ❁════ 🎙KWA FAIDA ZAIDI JIUNGE; 🪐 WHATSAPP 🪐 https://chat.whatsapp.com/GyB4N5BFGE054UR0GtAF6U 🪐 TELEGRAM 🪐 https://t.me/darulhadeeth_songani_daresalaam
Show all...
دار الحديث كيغانبوني ٣ (3)

WhatsApp Group Invite

sticker.webp0.26 KB
اl| بِسْـﻣِـ اللَّهِ الرَّحْمَنِ الرَّحَيِـﻣِـ |lا 🌴🌴🌴 ✨Al 'Allāmah Sheikh Uthaymeen Allāh Amrehemu: Hata hivyo, na hii inasikitisha sana, baadhi ya waume, na ninamaanisha wanaume, hawatimizi wajibu wao kwa wake zao. Bali huyo mume anamchukulia mke wake kama mtumishi tu bila kusudi lolote isipokuwa tu kukidhi matamanio yake au kumtumia katika kazi za nyumbani. Yeye mume kamwe haonyeshi uso wa furaha kwake, hata siku moja bali anaongea nae kwa jeuri tu na anamdharau. Walakini, licha ya hili, huyo mume anamtarajia mkewe kutimiza wajibu wake kwake. Je, hii ni haki au dhuluma? Hakika huu ni udhalimu! (Na ishi nao ...) Kutoka pande zote mbili (... kwa wema.) Surat Nisa :19 Ikiwa mume badala yake atatimiza wajibu wake na akiwa kama Mtume wetu (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alikuwa katika kuisaidia familia yake, Alikuwa ﷺ akiwakamua maziwa kondoo kwa ajili ya familia yake. Alikuwa akitengeneza nguo zake na kujitengenezea viatu vyake na akasema ﷺ: ❝ Walio bora katika nyinyi ni wale walio bora kwa familia zao (wake zao). Na mimi ni mbora wenu kwa familia yangu.❞ Imehakikiwa na Abu Humeid Ally. ┈┈•••❀◈📮◈❀•••┈┈ ✨ Mtume Muhammad ﷺ kasema: ❝Fanya mambo mepesi na usifanye ugumu kwenye mambo. Toa bishara njema na wala usifukuze watu ..❞ [متفق عليه.] ‏•• ══ ༻✿༺══ •• 🪐 WHATSAPP 🪐 No:1 https://chat.whatsapp.com/BXYvdixg2pdDlKTafGyB3R No:2 https://chat.whatsapp.com/GyB4N5BFGE054UR0GtAF6U No:3 https://chat.whatsapp.com/C46gV4nIxOm6GB3qXLJ779 🪐 TELEGRAM 🪐 https://t.me/darulhadeeth_songani_daresalaam
Show all...
👍 3

00:53
Video unavailableShow in Telegram
TIMIZA WAJIBU WAKO KWA MKEO! Al 'Allāmah Sheikh Uthaymeen. https://t.me/darulhadeeth_songani_daresalaam TARJAMA KWA KISWAHILI: 👇👇👇🔻🔻👇👇👇 🔻
Show all...
3.53 MB
👍 1💯 1🤝 1
00:53
Video unavailableShow in Telegram
TIMIZA WAJIBU WAKO KWA MKEO! https://t.me/darulhadeeth_songani_daresalaam TARJAMA KWA KISWAHILI: 👇👇👇🔻🔻👇👇👇 🔻
Show all...
3.53 MB
sticker.webp0.75 KB
sticker.webp0.41 KB
sticker.webp0.49 KB
Choose a Different Plan

Your current plan allows analytics for only 5 channels. To get more, please choose a different plan.