en
Feedback
Swahili Quest

Swahili Quest

Open in Telegram

Jifunze tena na tena. Endeleza ujuvi, Bobea. Furahia matokeo Kubadili Maisha yako.

Show more
The country is not specifiedEducation35 532
5 005
Subscribers
No data24 hours
-107 days
-5230 days
Posts Archive
Familia, Kupata anajua Mola. Letu moja tu. Tuendelee kuzalisha bila kuchoka. Wiki njema.

Kwa zaidi ya miaka4 nimesaidia coaches na creators na hasa vijana wengi wa Kitanzania kutumia ujuzi na vipawa vyao vya ndani
Kwa zaidi ya miaka4 nimesaidia coaches na creators na hasa vijana wengi wa Kitanzania kutumia ujuzi na vipawa vyao vya ndani kuingiza kipato mtandaoani. Nimechukua mafunzo, mbinu na uzoefu wangu wote na kukuwekea kwenye Ebook 1. Hii ni moja ya project ambayo imechukua muda wangu mwingi sana. Hii ni Ebook yako pendwa ya #WeweNiMgodi. Rasmi itaingia sokoni muda wowote kuanzia sasa na itaanza kwa watu 50 tu. Humu ndani utajifunza A-Z jinsi ya kubadili Akili, Maarifa, Kipaji au Uzoefu kuwa Pesa. Ni kitabu ambacho kila Online Hustler hatakiwi kukikosa. Ili kuwa miongoni mwa watu 50 wa mwanzo ambao watajinyakulia kitabu hiki kitakapotoka na BONASI zake zaidi ya 20. Bofya link hapa chini kijisajili: https://forms.gle/kzwRNd2Rr257RhYs9

Familia, Huhitaji maombi, unahitaji kufanya kazi. Huhitaji mipango, unahitaji kuchukua hatua. Huhitaji kozi ya ziada, unahitaji kuanza Huhitaji kitabu cha ziada, wewe anza leo. Wewe anza tu itafahamika mbele ya safari. Nimekuja kubaini tunapoteza muda mwingi sana kwenye mipango na maisha yanahitaji movements. Maisha yanahitaji vitendo zaidi. JUST KEEP GOING.

Kama ndio umemaliza chuo na upo hapa, Kama bado hujapata kazi na upo hapa, Nina ujumbe kwako: UNAHITAJI KUJIFUNZA UJZUI WA THAMANI. Tunavipenda vyeti ndio. Ni muhimu kuwa navyo lakini sio lazima vikusaidie kusogeza maisha. Unawafahamu wangapi tofauti na walimu na madaktari wanaofanya kazi za kusomea shule? Ni muda sasa wa kuiongeza. Na bahati nzuri ni kuwa intaneti inawapa kila mtu uwezo wa kufanya kile anaweza na kulipwa. Uwe na kipaji, ujuzi, maarifa, uzoefu. Na kwa njia hii huhitaji mtaji wowote. Ni wewe kuamua tu. Jifunze ujuzi na uwe na md¨saada kwenye maisha ya watu. Na hivyo ndivyo utakwepa shimo la wasio na kazi. Ni muhimu kuwaza nje ya box. Kujifunza namna ya kuzalisha thamani kwa kufanya expert business karibu link ya bahati:👇🏿 https://mind-money-machine.grwebsite.com/

Kwa zaidi ya miaka4 nimesaidia coaches na creators wengi ndani na nje nchi kutumia ujuzi na vipawa vyao kuingiza kipato mtand
Kwa zaidi ya miaka4 nimesaidia coaches na creators wengi ndani na nje nchi kutumia ujuzi na vipawa vyao kuingiza kipato mtandaoani. Nimechukua mafunzo, mbinu na uzoefu wangu wote na kukuwekea kwenye Ebook 1. Hii ni moja ya project ambayo imechukua muda wangu mwingi sana. Hii ni Ebook yako pendwa ya #WeweNiMgodi. Rasmi itaingia sokoni muda wowote kuanzia sasa na itaanza kwa watu 50 tu. Humu ndani utajifunza A-Z jinsi ya kubadili Akili, Maarifa, Kipaji au Uzoefu kuwa Pesa. Ni kitabu ambacho kila Online Hustler hatakiwi kukikosa. Ili kuwa miongoni mwa watu 50 wa mwanzo ambao watakaojinyakulia kitabu hiki kitakapotoka na BONASI zake zaidi ya 20. Bofya link hapa chini kijisajili: https://forms.gle/kzwRNd2Rr257RhYs9 #WEWENIMGODI

Wateja wako hawajali kuhusu swaga zako, pigo kali au uzuri wako. Maisha yako ni yako na wao wana mahitaji yao. Unapojenga personal brand yako na kusimamia mitandao yako ya kijamii, kumbuka kwamba si kila kitu kinapaswa kupostiwa. Wateja wanataka kujua thamani unayoweza kuwapatia, si matumizi yako ya hivi karibuni. Zungumzia wewe na bidhaa zako. Onesha vile unatatua changamoto. Onesha vile unasaidia wateja wako. Onesha upekee wako sokoni. Onesha ushuhuda wa kile ulichofanya na unachoweza kufanya. Ukweli ni kwamba, ingawa ni vizuri kuposti kuhusu likizo, safari, na matukio ya kila siku, wateja wako hawakufuatilii kwa ajili ya mtindo wako wa maisha. Wanakufuata kuona jinsi unavyoweza kutatua matatizo yao. Kama unajiuliza kwa nini wateja hawanunui bidhaa zako? Jiulze unakwama wapi? Je umegeuza mitandao kuwa galarey yako? Au unapost kuwafanya wajione wako nyuma na wewe umetoboa? Usipoteze muda. Uza thamani yako, acha blaa blaa. Kujfunza jinsi ya kuzalisha thamani. Link ya bahati: 👇🏿 https://mind-money-machine.grwebsite.com/

Pesa Hufuata Thamani. Watu wengi hawatambui kuwa pesa ni matokeo tu ya thamani unayoweka mezani. Hakuna njia nyingine ya kuingiza kipato tofauti na hii. Otherwise utaiba au kujihusisha na vitu haramu. Unapomsaidia mtu kwa kutatua tatizo, kukidhi hitaji, au kurahisisha maisha yake, atakuwa tayari kulipia huduma hiyo. Ni rahisi hivyo: toa suluhisho, na utalipwa. Kadri unavyotatua tatizo kubwa zaidi, ndivyo unavyoweza kupata zaidi. Ndio maana mimi huweka wazi: usitafute tu kazi kwa sababu una haja nayo. Tafuta fursa ambapo unaweza kuleta mabadiliko ya kweli na kutoa thamani halisi. Waajiri, wateja, na biashara wanatafuta watu ambao wanaweza kuchangia kuongeza mapato na sio mtu wa kujaza nafasi tu bila malengo. Kukimbilia kazi au gigs bila dhamira ya kuchangia kweli au kuleta mabadiliko hakutakufikisha mbali. Sio tu suala la kuwa na kazi nyingi; ni kuunda thamani inayobadili maisha ya watu/biashara. Ukweli ni kwamba, ukijikita kwenye kuboresha ujuzi wako, kuwa bora zaidi katika unachofanya, na kutafuta njia za kutoa suluhisho halisi, pesa zitakuja kwa urahisi. Si uchawi; ni matokeo ya moja kwa moja ya juhudi unazoweka kwenye kutoa kitu cha thamani. Ukipenda kujifunza hii dhana kwa kina na kuzalisha thamani: Kwenye MMM Ndimo Kuna shule ya Kuzalisha Thamani: Ingia hapa kujifunza 👇🏿 https://mind-money-machine.grwebsite.com/

NANI ANAKUZUNGUKA? Unajizunguka na marafiki ambao ni walevi, wahuni, na watengenezaji wa matatizo, halafu unaenda kanisani ukiomba utajiri wa ghafla. Hebu nikuulize—inaingia akilini kweli? Wakati mwingine, tunayo macho lakini hatuoni. Tunashindwa kutambua mazingira tunayojitengenezea na kisha tunashangaa kwa nini mambo hayabadiliki. Kama unataka mambo yako yanyooke, anza kwa kujizunguka na watu wanaoakisi maisha unayotaka. Kuwa na watu wanaoleta impact kwenye maisha yako. Ni wakati wa kufungua macho na kujiangalia kwa kina marafiki zako na machaguo yako kila siku. Usitarajie matokeo tofauti wakati unaendelea kushikilia watu wenye ushawishi mbaya karibu nawe. Kumbuka unakuwa wastani wa watu 5 wanaokuzunguka kila siku.

Moja ya kitu najifunza kwa gharama kubwa ni uwezo wa kutumia energy kwenye maeneo ya msingi tu. Sometimes doing less is more.
Moja ya kitu najifunza kwa gharama kubwa ni uwezo wa kutumia energy kwenye maeneo ya msingi tu. Sometimes doing less is more. Wakati mwingine projects nyingi ni distractions. Mikutano mingi ni distractions. Malengo mengi ni distractions. Funnel nyingi distractions. Kila kitu kinahitaji kufanya kwa calculations. Unaweza kufanikiwa ukiwa na biashara 1, na kushinda wenye 5. How?... energy channeling. Najifunza tunaweza kufanikiwa kwa kuwekeza nguvu zetu kwenye vitu vichache zaidi kwa muda kuliko kushika kimoja na kuacha na kushika kingine. Mwisho wa siku unajikuta umepiga mark-time. ENERGY IS THE WORD.

Wataalamu kuna watu wangapi humu wanapenda kuuza taarifa mtandaoni? Au tayari wanafanya au wanataka kuanza?

Akili ya mwanadamu huwa inasahau 70% ya mambo iliyojifunza ndani ya saa 24 tu. Kupitia video hii: Nimeshare mbinu ninazotumia kukumbuka madini yote ninajifunza. Ukichukua 2 tu zitakufikisha mbali sana. Repost iwafikie wana 🙏 https://youtu.be/216larwWmvM?si=5ymGqpWwtab9kt3s

FANYA

USIJARIBU.

FANYA KWA MOYO WOTE

KUFANYA JAMBO

UKIAMUA

Kuna MTU anahitaji kusikia hii leo. JIAMIINI. AMINI. AMINI UWEZO WAKO. AMINI. HAKUNA KAMA WEWE.

Unajua kwanini huwezi Ku-FOCUS? Na unajua ufanye nini ili uweze Ku-FOCUS? Nimetoa somo la kufungia mwaka hapa 🫵 👇 https://youtu.be/NEUJQv3vPtw?si=n52FitIbpb30eluC

MUDA UNAOJIWEKEA KUFANYA JAMBO - NDIO UNAOTUMIA KUKAMILISHA HILI JAMBO. Hivi unaamini unaweza kutumia siku 100 tu kufikia malengo yako ya mwaka mzima? Ndio... Inawezekana. Kwa siku 100 kuanzia leo nitakuongoza kumalisha malengo yako yote ya mwaka 2024 ndani ya siku 100. Najua umeshakata tamaa kwamba hakuna linalowezekana tena kukamilika kwa muda uliobaki. Mimi ninakuahidi kuwa kwa pamoja tutakamilisha malengo yako ya mwaka ndani ya siku 100. Bila kujali umefanya managapi na uko nyuma kiasi gani. Kazi yako ni kuamua na kufikia. Iko hivi: Subconscious mind haijui ipi kweli na ipi ni uongo. Subconscious mind haijui ipi imetokea na ipi bado. Maana yake nini? CHOCHOTE TUTAKCHOPANDA AKILINI NA KUAMINI NA KUKIFUTA 100% LAZIMA UTAKIPATA. Fikiria haya maneno sana... Ombeni nanyi mtapewa, Tafuteni, nanyi mtapata, Bisheni mlango, nanyi mtafunguliwa... Mat: 7:7 Hivi ndivyo 97% ya walimwengu wote walivyo. Ni kuishi kwa woga na hofu. Ni kuishi kwa kuunga unga. Watu wanaishi bila kujua wanaelekea wapi. Watu wanaishi bila malengo na mikakati. Watu wanaishi bila kujua kusudi. Na haya mambo yameingia ndani mpaka kwenye subconscious mind. Utajiri ni roho, Ufukara pia ni roho. Kama matendo yako ya kusaka maisha hayana haraka wala hayana muunganiko na risk ndani yake, umasikini unapiga hodi na utakaa sana mlangoni mwako. Pambana sana kuweza kubadili vile unavyochakata taarifa zako na kuchukua maamuzi. Badili mindset yako leo na ufikie kile unataka. AHADI YANGU: Kwa siku 100 tu, nitakuongoza kufikia malengo yako ya mwaka 2024. Hii ni... #100DAYSTOCREATEANDMANIFEST