Swahili Quest
Open in Telegram
Jifunze tena na tena. Endeleza ujuvi, Bobea. Furahia matokeo Kubadili Maisha yako.
Show moreThe country is not specifiedEducation35 532
5 005
Subscribers
No data24 hours
-107 days
-5230 days
Posts Archive
5 005
POTEA KWA MIEZI 6 - "Tafuta Kesho Yako" 🫡
1. Kula kwa afya
2. Kamua sana tizi
3. Say No to betting
4. Jenga nidhamu
5. Jifunze ushawishi
6. No soda & energy
7. Jifunze ujuzi mpya
8. No porn & punyeto
9. Ishi na malengo yako
10. Jifunze kuona maono yako
+ Mrudie Mungu
#WeweNiMgodi
KUSAPOTI KAZI ZANGU 👇🏿
https://nisapoti.com/Millambo
5 005
Wataalam,
Humu nimeeleza Kwanini watu wengi hawawezi kufikia malengo yao na jinsi ya kufanya ili KUFANIKIWA.👇
https://youtu.be/U7uOjR9Piho?si=jlfIcODqi3W2hyM1
5 005
Zimesalia saa 5 tu.
Hakikisha umejinyakulia eBook yako ili uweze kushiriki masterclass.
2025 ni mwendo wa high ticket tu.
Tukutane kesho Kwenye Masterclass. 👇
wewenimgodiebook.gr-site.com
5 005
Zimesalia siku 2 kufanya masterclass ya Wewe Ni Mgodi.
Hakikisha umejinyakulia eBook yako ili uweze kushiriki masterclass hii ambayo ni karakana ya ya kuchakata thamani.
Plus: Bonasi 15+ za zaidi ya 800,000/-
Mwisho wa kulipia ni kesho 13-12-2024 saa 5:59 usiku.
Wahi nafasi yako sasa hivi:
Link: https://wewenimgodiebook.gr-site.com/
5 005
Kadri siku zinavyokwenda ndivyo umuhimu wa kujenga chapa mtandaoni unaongezeka.
Sidhani kama kuna ushauri bora kwa mtu anayetaka kuuza mtandaoni. Wekeza kwenye kujenga chapa yako.
Kuna mambo mengi yanakuja na kuondoka. Brand yako itabaki. Hiyo ni chapa yako mwenyewe.
Badala ya kujikuta unatumia matangazo zaidi, kumbuka, watu wananunua kwa watu. Watu wanataka kuhusiana na wewe ni muweze kufanya kazi pamoja.
Watu hawatanunua bidhaa zako, huduma zako wala chochote unachofanya, kama kujajiposition vyema kuweza kuwavutia kwa chapa yako.
Kadri chapa yako inavyokuwa bora zaidi. Ndivyo unavyokaribisha bahati, na kila fursa maana watu wananunua watu. Kuwa mmoja wao.
Hivi karibuni nilikataa baadhi ya kazi za makampuni ambayo yalikuwa yanataka kujitanganza kupitia mimi.
Ni muhimu kwa kila chapa kuwekeza kwenye weledi na kusimamia misingi iliyowakuza. Haina maana kukua kama wa personal development , halafu ghafla tu uanze kupost vitu vinavyokinzana kisa pesa.
Utaua brand yako.
Utafikia huu uwezo pale ambapo utakuwa umejizatiti na kuajua kile unafanya.
Ushauri wangu:
>Anza kujenga brand yako mtandaoni leo.
>Unaweza kuogopa kuwa ni kazi ngumu. Ni kweli.
>Inahitaji muda na uwekezaji.
Lakini matunda yake yatakufaidi siku zote za maisha yako.
Ingia X, Instagram, LinkedIn – Jenga brand yako ili ije ikunyanyue kwa siku ya kesho.
Jifunze kuandika na kutengeneza maudhui.
Chagua staili unayoweza: maandishi, video au sauti.
Kuwa mtu wa thamani.
Wasaidie watu kuwa bora,
Kuwa na mchango chanya kwa jamii.
Ishi na kile unaweza kukifanya kwa uhuru.
Lipa gharama leo, kesho uweze kulipa bei yoyote.
Anza leo kuishi ndoto yako:
Karibu kupata mwongozo wa kujenga brand na kufanikiwa mtandaoni: 👇🏿
https://wewenimgodiebook.gr-site.com/
5 005
Kwenye Kitabu cha Mwanzo Imeelezwa…
Chukua hii na uishi nayo…👇🏿
1. Zipo njia nne za kuzalisha thamani:
Ziko njia 4 za kuingiza kipato. Njia 1 itakufanya masikini, utachelewa.
Kwenye eBook ya Wewe Ni Mgodi utajifunza jinsi ya kuikwepa njia hii na kutumia njia namba 3 itakayokupa uhakika wa kuzalisha kidogo na kuuza zaidi huku ukiwa umemama...
Hii utapata kujifunza UK...22 kwenye kitabu chetu.
2. Kila mtu ana thamani ndani yake ambayo alipewa imsaidie kuishi.
Unaweza kuwa na thamani kubwa lakini hujui kama ndio tobo lako.
Hapa utajifunza aina 2 za Kuzalisha thamani ambazo zitakuweka mbele ya muda...
UK...37 wa Wewe Ni Mgodi utajifunza njia 2 za kubadili uzoefu ama ujuzi wako kuwa bidhaa za thmani.
3. Kadri unavyozidi kukopi ndio unazidi kupoteza thamani yako.
Kuna njia 8 za zitakazokuza uwezo wa wako wa kipekee ili kujitofautisha na kila mtu na kutumia zawadi zako kuingiza kipato...
UK...50 wa Wewe ni Mgodi nimechambua kwa kina jinsi ya kuwa wewe na kujitofautisha na washindani wako sokoni.
4. Persona branding ni uwezo wa kujibadili kutoka kuwa mtu wa kawaida na kuwa mtu anaeheshimika kwa misimamo yake.
Siri za kujenga umahiri na kuwa miongoni mwa watu wenye mamlaka kwenye niche yako tofauti na wengi wanaofanya kwa mazoea...
Siri hizi zitakunyanyua kwa kiasi fulani.
Hii utapata kujifunza pale UK...78.
5. Unahitaji kabila lako kukua mtandaoni, kama huna - sahau kukua.
Kama unataka kukua kwa kasi mtandaoni, jenga kabila lako ambalo daima litakusapoti na kukua na wewe.
Pia… Ni muhimu kuhakikisha unajenga kijiji chako ambacho kitakuwa chini yako kwa maelekezo maalum.
Ukisema kitu wafate. Ukileta bidhaa wanunue...
Hizi utaisoma UK...92, 95. Nimeeleza kwa kina kabisa.
6. Muda ni mali Lakini Attention ni pesa.
Siri iliyojificha kenye aina mpya ya pesa - Attention ambayo hapo utajifunza mbinu sahihi za kukamata attention na kuhakikisha watu wanakuzingatia bila kutukana wala kujivua nguo.
UK...90..utajifinza ABC za kuandika na kukamata attention, kuishikilia na kui-monetise.
Na ukumbuke: Zimebaki siku 3 za kujinyakulia eBook yako.
Na hapa ni watu 50 tu kwa mwaka 2024.
Ukijipatia eBook hii utapata nafasi pia ya kuhudhuria MASTERCLASS ya kujifunza live yaliyomo kwenye kitabu. BUREE kabisa.
Utapata pia Bonasi zaidi ya 15, zenye thamani ya zaidi ya 700,000/- na zingine za surprise.
Kuwahi siti yako: Bofya hapa sasa hivi: 👇🏿
https://wewenimgodiebook.gr-site.com/
5 005
Kwenye Kitabu cha Mwanzo Imeelezwa…
Chukua hii na uishi nayo…
1. Zipo njia nne za kuzalisha thmani:
Ziko njia 4 za kuingiza kipato. Njia 1 itakufanya masikini, utachelewa.
Kwenye eBook ya Wewe Ni Mgodi utajifunza jinsi ya kuikwepa njia hii na kutumia njia namba 3 itakayokupa uhakika wa kuzalisha kidogo na kuuza zaidi huku ukiwa umemama...
Hii utapata kujifunza UK...22 kwenye kitabu chetu.
2. Kila mtu ana thamani ndani yake ambayo alipewa imsaidie kuishi.
Unaweza kuwa na thamani kubwa lakini hujui kama ndio tobo lako.
Hapa utajifunza aina 2 za Kuzalisha thamani ambazo zitakuweka mbele ya muda...
UK...37 wa Wewe Ni Mgodi utajifunza njia 2 za kubadili uzoefu ama ujuzi wako kuwa bidhaa za thmani.
3. Kadri unavyozidi kukopi ndio unazidi kupoteza thamani yako.
Kuna njia 8 za zitakazokuza uwezo wa wako wa kipekee ili kujitofautisha na kila mtu na kutumia zawadi zako kuingiza kipato...
UK...50 wa Wewe ni Mgodi nimechambua kwa kina jinsi ya kuwa wewe na kujitofautisha na washindani wako sokoni.
4. Persona branding ni uwezo wa kujibadili kutoka kuwa mtu wa kawaida na kuwa mtu anaeheshimika kwa misimamo yake.
Siri za kujenga umahiri na kuwa miongoni mwa watu wenye mamlaka kwenye niche yako tofauti na wengi wanaofanya kwa mazoea...
Siri hizi zitakunyanyua kwa kiasi fulani.
Hii utapata kujifunza pale UK...78.
5. Unahitaji kabila lako kukua mtandaoni, kama huna - sahau kukua.
Kama unataka kukua kwa kasi mtandaoni, jenga kabila lako ambalo daima litakusapoti na kukua na wewe.
Pia… Ni muhimu kuhakikisha unajenga kijiji chako ambacho kitakuwa chini yako kwa maelekezo maalum.
Ukisema kitu wafate. Ukileta bidhaa wanunue...
Hizi utaisoma UK...92, 95. Nimeeleza kwa kina kabisa.
6. Muda ni mali Lakini Attention ni pesa.
Siri iliyojificha kenye aina mpya ya pesa - Attention ambayo hapo utajifunza mbinu sahihi za kukamata attention na kuhakikisha watu wanakuzingatia bila kutukana wala kujivua nguo.
UK...90..utajifinza ABC za kuandika na kukamata attention, kuishikilia na kui-monetise.
Sasa hizi ni chembe tu ya madini utakayopata ndani ya eBook ya Wewe Ni Mgodi.
Na ukumbuke,
Zimebaki siku 3 za kujinyakulia eBook yako.
Na hapa ni watu 50 tu kwa mwaka 2024.
Ukijipatia eBook hii utapata nafasi pia ya kuhudhuria MASTERCLASS ya kujifunza live yaliyomo kwenye kitabu. BUREE kabisa.
Utapata pia Bonasi zaidi ya 15, zenye thamani ya zaidi ya 700,000/- na zingine za surprise.
Kuwahi siti yako: Bofya hapa sasa hivi:
https://wewenimgodiebook.gr-site.com/
5 005
HUHITAJI Vyeti Kuwa Mtaalamu UNAHITAJI “Kiwango cha Chini cha Ujuzi Kutatua Changamoto Tu”
Mwaka 2020 nikiwa nchini Kenya najitafuta ili kuanza upya,
Nilibahatika kujifunza somo la maisha ambalo ni la lazima kwa kila hustler.
Shida ni kuwa mifumo ya kidunia imekuficha ili uendelee kuishi kitumwa.
Twende kazi,
... Nilijifunza somo kubwa na maisha ambalo wengi wanakufa bila kuwahi kulisikia.
Nikwambie tu ni ukweli kuwa,
Kadri unavyopata elimu ndivyo akili inauma kujua jinsi gani utaweza kuibadili elimu hiyo kuwa pesa.
Na hii ndio changamoto kwa wahitimu wengi.
Kwa bahati mbaya wengi hawajui kuwa...
Duniani kuna aina 2 za mifumo ya elimu.
1. Kwenda shule- Kupata vyeti – Kisha, kutafuta kazi.
Mfumo huu ndio umetufikisha hapa tulipo.
Imekuwa kawaida kabisa watu kupata elimu lakini wakashindwa kutumia elimu yao kuingiza kipato.
Yaani una elimu. Umefaulu vyema, GPA kali lakini huwezi kutatua changamoto yoyote.
Kuna sababu kwanini huu mfumo unafanya hivi kazi.
Hii ni mada ya siku nyingine.
Ila kitucha msoingi ni kuwa, kila mtu ni mhanga wa huu mfumo.
Jambo la msingi ni kujua huu ni mtego na kuangalia namna ya kubalance mzani.
Sasa,
Kuna aina ya pili ya elimu, 97% hawaifahamu hii.
Hii ni…
2. Kwenda sokoni – Kuangalia mahitaji – Kujifunza Ujuzi Unaohitajika TU.
Hapa formula inatutaka kwenda kwanza kwa walaji na kuwauliza wanataka nini.
Ukishajua mahitaji ya soko ndio unaamua sasa kutafuta ujuzi wa lazima ili kuleta matokeo yanayohitajika.
Elewa ujuzi wa lazima. Sio elimu kubwa.
Hapa unahitaji ujuziwa kutatua ile changamoto yako tu moja.
Kukiwa na mahitaji mengine kadri soko linavyohitaji nawe utajiongeza vivyo hivyo.
Kiukweli maisha yameundwa kwenye uwezo wa kuleta thamani kwenye maisha ya watu.
Unaposhindwa kuwa wa maana mbele za watu, ndio mwanzo wa kuishi umasikini.
Aina hii ya pili ya elimu inawapa fursa watu wote ambao wana nia ya kujifunza na kuingiza kipato.
>> Aina hii ya elimu haihitaji kuwa na vyeti,
>> Haihitaji kuwa na vigezo vya kuingia
>> Aina hii ya elimu haihitaji kuwa na uzoefu,
>> Wala haihitaji kuwa na sifa au connections zozote.
Hapa kitu pekee unahitaji ni kujua soko linahitaji nini na wewe kujiongeza kuupata ujuzi sahihi kutatua changamoto husika.
Mfano. Umeangalia soko ukagundua kuna shida kubwa ya watu kukosa usingizi.
Unaingia mtandaoni na kutafuta walimu ambao watakupa maarifa sahihi.
Unajifunza na kisha kuanza kusaidia watu kupata usingizi huku ukipima mbinu zako na kuboresha.
Baada ya muda tayari unakuwa na ujuzi sahihi kutibu lile tatizo moja tu.
Unaunda huduma zako na kuweka ofa na kuanza kupiga hela.
Huhitaji cheti, GPA, wala mtaji wowote kuweza kutatua changamoto za watu.
Unahitaji tu kuwa na:
Kiwango cha Chini cha Ujuzi Kutatua Changamoto - KICHUKUCHA AKA (Minimum Viable Skill to Solve a Problem - MVSSP)… Millambo.
Sasa utaniuliza,
Napataje huo ujuzi wa KICHUKUCHA?
Naam,
Jambo la msingi ni kuanza na kujua niche, kisha kujifunza ujuzi na kuanza kutatua changamoto.
Na hapa unaweza kutumia kipaji chako, uzoefu wako, ujuzi au hata kitu ulichojifunza online.
Simple.
Na ukiwa na nia ya kweli kutumia aina hii ya elimu.
Nimeakundalia eBook maalumu itakayokuwezesha kupita hatua kwa hatua kuanzia kuchagua wazo la biashara mpaka kuuza bidhaa za taarifa.
Na nitaitoa kwa watu 50 tu kwa mwaka 2024.
Ukijipatia eBook hii utapata nafasi pia ya kuhudhuria kwenye MASTERCLASS ya kujifunza live yaliyomo kwenye kitabu.
Utapata pia Bonasi zaidi ya 15, zenye thamani ya zaidi ya 700,000/- na zingine za surprise.
NB: Ni watu 50 tu kwa mwaka huu.
Kuwahi siti yako: Bofya hapa sasa hivi:
https://wewenimgodiebook.gr-site.com/
5 005
Hivi umewahi kusikia kuwa Dunia ina utajiri wa kuwatosha watu wote na wewe ukiwemo⁉️
Moja ya kosa kuwa kwa mwanadamu ni kuishi bila kujua kwanini anaishi na kwanini yupo duniani.
Earl Nightingale anasema “kipato unachoingiza ni sawa na umhimu wa kile unachofanya, uwezo wako wa kukifanya na ugumu wa kupata mbadala wako."
Watu wengi huwa hawajui kuwa kila mtu ana thamani kubwa ya kutoa dunaini ambayo kwa fidia atalipwa kwa stahiki yake kwa thamani anayozalisha.
Kila mtu ana thamani yake.
Kila mtu hata yule unaemwona ni kichaa anaokota makopo siku akipona atakuja kuzalisha kile ambacho alikuja kufanya duniani.
Sasa wewe ni mzima na upo tu. Umeshindwa kabisa kuamini kuwa unaweza kuzalisha kwa kiwango kikubwa na kulipwa stahili yako. Kweli?
Sasa Nipo hapa kukukumbusha kuwa:
Dunia ina mahitaji kamili kwa wote tuliomo.
Ukiamini kwenye uwezo wako dunia itakulipa itapasyo.
Kama bado kuamini:
Nitakusaidia uamini...
Kwenye eBook ya Wewe Ni Mgodi – Sayansi ya Kubadili Akili, Ujuzi, Maarifa na Kipaji kuwa Pesa nimekufunulia njia 2 zitakazokusaidia kubadili mawazo yako kuwa bidhaa za thamani.
Nimefundisha kwa kina njia 2 za kuzalisha thamani ambazo hujawahi kuzisikia mahali popote. Hii utaipata sura ya 5, uk.35.
Hapa utaweza kuona thamani zako unazoweza kuzalisha duniani na kulipwa.
Ndio maana kitabu kinaitwa #WEWENIMGODI
Kama bado hujapata eBook yako,
Wahi sasa hivi ili kuwa miongoni mwa wachache watakaohudhuria uchambuzi na kujifunza yaliyomo kwenye kitabu live. Hii itakuwa online na itarekodiwa pia.
Ili kujipatia eBook yako + Nafasi ya Masterclass + bonsai zingine zaidi ya 15:
Bofya hapa SASA HIVI:👇🏿
https://wewenimgodiebook.gr-site.com/
5 005
Kwanini umeamua kutumia jina“WeweNi Mgodi –
Sayansi ya Kubadili Akili, Ujuzi, Maarifa na Kipaji kuwa Pesa⁉️
Nimekuwa naulizwa hili swali mara kwa mara,
Kwa kweli nikiri hiki ni kitabu nimekuwa nacho kichwani tangu 2020 nilivyoamua kuachana na eHuduma biashara yangu ya ecommerce.
Nilikuja kubaini kuna sauti imewekwa ndani yangu ambayo ni kwa ajili ya kuwanyanyua walio lala, kuwafungua macho na kufuata ndoto zao.
Kuna sauti ilikuwa inafoka ndani ikitaka itoke na kugusa vijana ili wachukue hatua.
Kuna sauti iliyokuwa na codes za kugusa maisha ya wengine ili kutengeneza kesho yao.
Hapo ndipo niliamua kuachana na eHuduma na tangu 2020 mpaka sasa, nimefanikiwa kwa kiwango kikubwa kuishi kusudi langu na kunyanyua walio wengi.
Sasa hii Ebook imebeba codes na hacks za kufanikiwa kujenga brand mtandaoni na kutumia maarifa ama ujuzi kuingiza kipato kama mtaalamu.
eBook imebeba falsafa nzima na jinsi ya kufanikiwa kwa kutumia Ujuzi, Maarifa, Kipaji au hata taarifa ulizonazo.
Nimeeleza kwa kina jinsi ya kuzalisha thamani, kuzi-package na kuuza.
Humu ndani utajifunza namna sahihi ya kuwa mtaalamu kwenye niche yako.
Kama bado hujapata Ebook yako,
Wahi sasa hivi ili kuwa miongoni mwa wachache watakaohudhuria uchambuzi na kujifunza yaliyomo kwenye kitabu live. Hii itakuwa online na itarekodiwa pia.
Ili kujipatia eBook yako + Nafasi ya Masterclass + bonasi zingine zaidi ya 15:
Bofya hapa SASA HIVI:
https://wewenimgodiebook.gr-site.com/
5 005
So, Jumamosi nili-launch kitabu changu cha:
"Wewe ni Mgodi: Sayansi ya Kubadili Akili, Ujuzi, Maarifa na Kipaji Kuwa Pesa."
Hii ni moja ya feedback kutoka kwa my brother @Sam_instaGuru. Brother kaona isiwe taabu haya madini kula mwenyewe, imebidi alete mentees wake kuja kula madini pia.
Wewe unangoja nini?
Kumbuka: Mpaka sasa nafasi 15 kati ya 50 za kuhudhuria Masterclass ya kujifunza yaliyomo kwenye kitabu kwa vitendo zimeshaondoka.
Jumamosi tunafunga dirisha:
Wahi sasa kupata OFA yako👇
https://t.co/LcMv7MilJO
5 005
Leo Zimetimia siku 335 tangu niamue kuandika kitabu hiki January1, 2024.
Ukiniuliza kwanini nimetumia muda mrefu sana kuandika kitabu hiki?
Nitakwambia, ukubwa wa thamani iliomo humu ndani.
Nilikuwa naadika, naongeza, kinakuja kingine, naweka. Yaani mpaka kitabu kimesheheni.
Hii sio E-Book kama tulizozizoea,
Hii ni FURSA kamili ambayo leo naamua kuiweka wazi kwa kila atakaye kujenga brand yake mtandaoni na kuanza kuuza bidhaa zake.
Nilivyompa Mentor wangu kukisoma kitabu hiki, alinambia ni kitabu chenye thamani kubwa kuliko kozi nyingi mtandaoni.
Wengi walitamani kujiunga na coaching program lakini walikwama kwa sababu ya bei.
Sasa ninakupa E-Book iliyoandikwa kwa siku 335.
Ninayo formula ya kuandika E-Book ndani ya siku 24.
Nimeandika nyingi kwa njia hii.
Na ukinunua kitabu hiki nayo utapata kama bonasi.
Lakini kitabu hiki kimechukua muda mrefu ili kuhakikisha vijana wa KiTanzania wanakuwa na Nyenzo maalum ya kuwawezesha kujifunza namna sahihi za kuuza maarifa na vipaji vyao mtandaoni.
Pamoja na bonasi 15 unazopata leo na zingine 5 utakazozipata siku ya MASTERCLASS ya kukisoma kitabu kwa pamoja.
Ukishindwa kutoka kwa fursa hii umependa mwenyewe.
Sasa kitabu kipo rasmi sokoni na kinauzwa kwa watu 50 tu kwa mwaka huu.
50 Tu, Ili niwafanyie MASTERCLASS tukijadili kitabu, nijibu maswali yao ili mwaka 2025 uwe ni mwaka wao wa Baraka.
Ukiwa miongoni mwa watu 50 Utapata Bonasi zote 15, surprise bonsai siku ya MASTERCLASS.
Bofya hapa kuwahi siti yako:
https://wewenimgodiebook.gr-site.com/
5 005
Somo la 2...
A-Z formula ya kubadili Ujuzi au Maarifa kuwa Pesa BILA Mtaji wala Vyeti.
Nenda kaitazame.
Bila kusahau leo kitabu cha WEWE NI MGODI kitakuwa kinatoka rasmi na kuuzwa kwa watu 50 tu wa mwanzo.
Kaa mkao wa kula.
https://youtu.be/saCmOmgGeTE?si=Zt9DeINaUfclXSkl
5 005
Nifanye Aina Gani ya Biashara?
Moja ya swali ambalo huwa naulizwa kila siku ni hili.
Well…
Pengine tunatofautina sana mitazamo.
Binafsi ninaamini kwenye biashara isiyohitaji:
Mtaji
Uzoefu
Elimu wala
Connections.
Kwenye video hii hapa chini nimefundisha jinsi ya kupata wazo lako la biashara ndani ya dakika 60 tu.
LINK YA VIDEO YA SOMO
https://youtu.be/6QoEqOMH_FI
NA…
Ili kupata PDF ua BUREE ya somo hili.
Save number hii 0754087177 au link https://t.co/tE5OBtz4XP
kisha nitumie ujumbe kwenye WhatsApp yangu Sasa Hivi.
Niandikie “MGODI#1”
Ni mimi ninayejali mafanikio yako,
Millambo
#WEWENIMGODI
5 005
Familia,
Ebook yetu ya WEWE NI MGODI ipo hatua za mwisho kabisa. Mwisho wa mwezi itakuwa inatoka rasmi.
Humu tunaongea namna ya kujenga chapa mtandaoni na ku-monetise ujuzi na maarifa yako.
Naomba Favor kutoka kwako: 👇
Niandikie ni mambo gani 2 ambayo yanakutatiza zaidi kwenye kutumia mitandao, kujenga jina na kuuza ujuzi na maarifa yako?
Majibu yako ni muhimu sana kuboresha kitabu hiki.
NAKUBALI!
#WeweNiMgodi
