Cinemafrik
Closed channel
4 338
Subscribers
No data24 hours
-57 days
-2430 days
Posts Archive
4 338
Repost from CastillaMoviesNseriesπ¬π₯
Nyingine hii kutoka Afrika. Hii ni Drama ila ina matukio ambayo hayafai kwa watoto.. ina story kali sana
1-10 Final
BEI 3000Tsh
Link ya WhatsApp π
https://wa.me/255678481563
Link ya Telegram π
https://t.me/castillaMoviesNseries
4 338
Repost from CastillaMoviesNseriesπ¬π₯
Unajua ni kwanini watoto hawaruhusiwi kuangalia hii?
Kwasababu, humu kumesheheni mission town, harakati na undava wa kila aina. Tena naweza kusema hii ni babkubwa kwakua story ya humu ni ya kweli kabisa..
Humu utamuona, Malcolm X, Mohamed Ali na mzee mzima Bumpy Johnson.. kali sana
WEKA MBALI NA WATOTO
IMETAFSIRIWA
BY_BABU_DJ
IPO COMPLETE
BEI @3000Tsh
Link ya WhatsApp π
https://wa.me/255678481563
Link ya Telegram π
https://t.me/castillaMoviesNseries
4 338
Repost from CastillaMoviesNseriesπ¬π₯
Katika series kali za kikorea ambazo zimetafsiriwa hivi karibuni baasi hii naipa namba moja. Hii kali sana story yake ni majnuni, action zake ni extraordinary, mission zake ni zenye uweredi. Ama kwa hakika imesheheni ubora na uzuri uliotumika.
Ina ep 45 tu
Zote lipia @3000Tsh
Badala ya @4000Tsh
Link ya WhatsApp π
https://wa.me/255678481563
Link ya Telegram π
https://t.me/castillaMoviesNseries
4 338
Repost from CastillaMoviesNseriesπ¬π₯
Wenzetu walijua kutunza historia yao. Na inaeleweka vizuri. Hivyo ni rahisi hata kuihadithia kupitia movie kama hivi.. wapo mbali kidogo..
Leo tupo na hii inayohusu kisa cha mfalme Gaa na vitimbwi vyake.. kali sana!
Ni single movie
IMETAFSIRIWA
BY_MACK_DJ
BEI @1500Tsh
Link ya WhatsApp π
https://wa.me/255678481563
Link ya Telegram π
https://t.me/castillaMoviesNseries
4 338
Repost from CastillaMoviesNseriesπ¬π₯
Kuna hii mpya ya kikorea.
Huyu mwamba wengi tunamfahamu shughuli yake. Hususani kwenye hizi movie za ki-detective hanaga mpinzani huku.
Leo kaja na hii, story inahusu wanandoa wawili wapelelezi kila mmoja akiwa hamjui mwenzie vizuri ila ni wanandoa na wanapika na kupakua.. nini hatima yao, fanya tukutane inbox
Ep 45 Final
ZOTE 4000Tsh
BEI YA MWISHO 3000TSH
Link ya WhatsApp π
https://wa.me/255678481563
Link ya Telegram π
https://t.me/castillaMoviesNseries
4 338
Repost from CastillaMoviesNseriesπ¬π₯
Tuna movie za kila aina, na huduma yetu ni uhakika. Wale wote waliojaribu kufanya biashara na sisi waliishia kufurahia Huduma na kualika wengine waje kufurahi na wao.. wewe unasubiri nini?
HII NI SERIES
IMETAFSIRIWA
BY_OMMY_D
EP 8 FINAL
BEI @3000TSH
Link ya WhatsApp π
https://wa.me/255678481563
Link ya Telegram π
https://t.me/castillaMoviesNseries
4 338
Repost from CastillaMoviesNseriesπ¬π₯
MUENDELEZO JOY OF LIFE S2
Ipo kuanzia mwanzo. Kwa tuliokwisha kuianza tufanye tukutane inbox kwa ajili ya muendelezo
Kwa sisi ambao bado kabisa pia hatujachelewa.. ipo kuanzia moja hvyo nasi tujongee inbox
Link ya WhatsApp π
https://wa.me/255678481563
Link ya Telegram π
https://t.me/castillaMoviesNseries
4 338
Repost from CastillaMoviesNseriesπ¬π₯
Hii ni kwa wote wanaotumia kivuli cha kuuza Movie online kusambaza picha za wenzenu wakiwa uchi au wakifanyiwa vitendo vya udhalilishaji nyie mnaita CONNECTION
Naomba nichukue nafasi hii kuwakumbusha kua hicho mnachokifanya ni kinyume na sheria za nchi hii na mnachafua taswira ya hii biashara na wafanya biashara wote walio serious na hii kazi
Ombi langu kwenu, acheni mara moja mjisafishe na mrudi tuuze movie biashara ikue na kila mtu afurahi.
Hicho mnachofanya ni unprofessional na hakivutii hata kidogo.. rudini tuuze movie.
NB
CastillaMoviesNseries, hatuuzi wala hatujawahi wala hatufikirii kuja kuuza au kusambaza hizo connection.
4 338
Repost from CastillaMoviesNseriesπ¬π₯
Humu kuna #Sex #Horror #Maystery #Drama...
ZIPO EP 10
ZIMETAFSIRIWA
BY_BABU_DJ
BEI @3000Tsh
Link ya WhatsApp π
https://wa.me/255678481563
Link ya Telegram π
https://t.me/castillaMoviesNseries
4 338
Repost from CastillaMoviesNseriesπ¬π₯
1-30 FINAL.
Hii haina haja ya kusubiri muendelezo, ep 30 unakua umemaliza movie yako. Na ni kali sanaβ
Hii ni mpya 2024
IMETAFSIRIWA
BY_DJ_SIX_FINGERS
Ina ep 30 FINAL
BEI @3000
Link ya WhatsApp π
https://wa.me/255678481563
Link ya Telegram π
https://t.me/castillaMoviesNseries
4 338
Repost from CastillaMoviesNseriesπ¬π₯
Leo tuwakumbuke wachina kidogo wazee wa Martial arts na story kali kinyamanyama!
Hii ni mpya 2024
IMETAFSIRIWA
BY_DJ_SIX_FINGERS
Ina ep 20
BEI @2000
Link ya WhatsApp π
https://wa.me/255678481563
Link ya Telegram π
https://t.me/castillaMoviesNseries
4 338
Repost from CastillaMoviesNseriesπ¬π₯
Mambo ya Shaka ilembe hayoπ
Ni TV series
HAIJATAFSIRIWA
With English subtitleβ
Ep 12 (complete)
BEI @3000Tsh
Tukutane inbox π₯
Link ya WhatsApp π
https://wa.me/255678481563
Link ya Telegram π
https://t.me/castillaMoviesNseries
4 338
Repost from CastillaMoviesNseriesπ¬π₯
Hatuwez kuwa na movie kali kwenye store zetu hlf tusiwatangazie. Sasa kazi yetu itakua ni nini?..
Hii movie ni kali, ingia TikTok utakutana nayo watu wanaifanyia challenge.. wewe umepata bahati ya kuipata ikiwa mbichi tena imetafsiriwa.. fanya hima usiikose
Ni single movie
Zipo 6
Moja 1500
Zote lipia 3000 tu.
Link ya WhatsApp π
https://wa.me/255678481563
Link ya Telegram π
https://t.me/castillaMoviesNseries
4 338
Repost from CastillaMoviesNseriesπ¬π₯
Action movie 2024
IMETAFSIRIWA
BY_MACK_DJ
BEI @1500Tsh
Link ya WhatsApp π
https://wa.me/255678481563
Link ya Telegram π
https://t.me/castillaMoviesNseries
4 338
Repost from CastillaMoviesNseriesπ¬π₯
Humu kunakuaga na LOVE STORY Pamoja na ACTION. Leo tuna hii mpya 2024 Kutoka India..ni kali sana
Ni single movie
Mpya 2024
IMETAFSIRIWA
BY_BABU_DJ
BEI @1500Tsh
Link ya WhatsApp π
https://wa.me/255678481563
Link ya Telegram π
https://t.me/castillaMoviesNseries
4 338
Repost from CastillaMoviesNseriesπ¬π₯
Humu kuna mixture ya intelligence na undava wa wanajeshi. Kazi kwako
Story inamhusu bwana James. Mwamba ni navy seals na amepoteza wenzake wote katika Special mission huko Afghanistan. Anavyorudi home kutuliza stress, anagundua kua wale walionyuma ya mauaji ya wenzake wako nyuma ya utekaji wa familia yake kwa maana wanamtaka na yeye..
Mbungi inaanzia hapo kwani mwana anaamua kulivalia njuga hili swala na kuanza kumsaka mmoja baada ya mwingine.. si mnawajua hawa special force wakichafukwa!!
Tukutane inbox π₯
Link ya WhatsApp π
https://wa.me/255678481563
Link ya Telegram π
https://t.me/castillaMoviesNseries
4 338
Repost from CastillaMoviesNseriesπ¬π₯
Leo tuhamie huku kidgo, maana tulizimiss hizi burudani za mishale.
Na leo tupo korea
Tambala lina ep 5
Zote BEI @2000Tsh tu
Tukutane inbox π₯
Link ya WhatsApp π
https://wa.me/255758206224
Link ya Telegram π
https://t.me/castillaMoviesNseries
4 338
Repost from CastillaMoviesNseriesπ¬π₯
Dunia ina ma-movie kibao, hata tufanyeje hatuwezi kuyamaliza. Kazi yetu sisi ni kukudokolea zile chache nzuri na zenye utofauti kama hii na kuzileta kwako uzidi kufurahia ulimwengu wa filamu..
Hii ni series
Mpya 2024
IMETAFSIRIWA
BY_BABU_DJ
BEI @3000Tsh
Link ya WhatsApp π
https://wa.me/255678481563
Link ya Telegram π
https://t.me/castillaMoviesNseries
4 338
Repost from CastillaMoviesNseriesπ¬π₯
BASED ON TRUE STORY
Vijana wawili wa kihindi. Hakim na Najib kwa pamoja wanasafiri kwenda Saudi Arabia kutafuta maisha bora ili wasaidie familia zao. Lakini kilichotokea ni kinyume kwani waliishia kuwa watumwa na wafuga mbuzi na kondoo huko jangwani
Hakuna mwanaume mpumbavu, hvyo walipanga mpango wa kutoraka na kwenye mchakato wao wa kuitafuta mjini ndio visanga vinawakuta..
Swali, je watatoboa?
Mpya β 2024
Very emotional π π
IMETAFSIRIWA BY_BABU_DJ
BEI @1500Tsh tu!
Tukutane inbox π₯
Link ya WhatsApp π
https://wa.me/255678481563
Link ya Telegram π
https://t.me/castillaMoviesNseries
4 338
Repost from CastillaMoviesNseriesπ¬π₯
Nyingine Kali hii hapa. Humu ni mission kuanzia mwanzo mpka mwisho.. si unawajua warusi wakiamua kupambana na magaidi wanavyojipanga!!. Kali sana hii
Ni single zipo mbili
ZIMETAFSIRIWA
BY_MACK_DJ
Part 1&2
Zote @2000Tsh
Link ya WhatsApp π
https://wa.me/255758206224
Link ya Telegram π
https://t.me/castillaMoviesNseries
