en
Feedback
Copywriting University

Copywriting University

Open in Telegram

Helping People (Tanzanians) Make an Awesome Living As a Freelancer (Copywriter)

Show more
The country is not specifiedBusiness21 866
4 314
Subscribers
No data24 hours
-107 days
-3930 days

Data loading in progress...

Tags Cloud
No data
Any problems? Please refresh the page or contact our support manager.
Incoming and Outgoing Mentions
---
---
---
---
---
---
Attracting Subscribers
February '25
February '250
in 0 channels
January '25
+4
in 0 channels
Get PRO
December '24
+20
in 0 channels
Get PRO
November '24
+27
in 0 channels
Get PRO
October '24
+62
in 0 channels
Get PRO
September '24
+142
in 0 channels
Get PRO
August '24
+178
in 0 channels
Get PRO
July '24
+253
in 0 channels
Get PRO
June '24
+139
in 0 channels
Get PRO
May '24
+118
in 0 channels
Get PRO
April '24
+130
in 0 channels
Get PRO
March '24
+209
in 0 channels
Get PRO
February '24
+119
in 0 channels
Get PRO
January '24
+59
in 0 channels
Get PRO
December '23
+61
in 0 channels
Get PRO
November '23
+10
in 0 channels
Get PRO
October '23
+31
in 0 channels
Get PRO
September '23
+15
in 0 channels
Get PRO
August '23
+50
in 0 channels
Get PRO
July '23
+3 959
in 0 channels
Date
Subscriber Growth
Mentions
Channels
27 February0
26 February0
25 February0
24 February0
23 February0
22 February0
21 February0
20 February0
19 February0
18 February0
17 February0
16 February0
15 February0
14 February0
13 February0
12 February0
11 February0
10 February0
09 February0
08 February0
07 February0
06 February0
05 February0
04 February0
03 February0
02 February0
01 February0
Channel Posts
Masterclass Itafanyika Siku 2...(Tar 7 & 8 December) ... Itafanyika ONLINE...(YouTube Live) Kila Kitu KITAREKODIWA na utabaki na Access ya Videos Milele Mwisho wa Kulipia ni IJUMAA ya 06/12...(11:59PM) Wahi Nafasi Yako SASAHIVI Kwa Kutuma Tshs 55,000 Tu Kwenda Namba Hizi Hapa Chini 👇 M-PESA/ TIGOPESA 0767-912-157/0679-912-157 Jina: Amosi Nyanda Equity Bank: 300-2111-553-347 Jina: Amosi Nyanda Kisha: Nitumie Uthibitisho wako wa MUAMALA wa Malipo WhatsApp Ili Nikuunge Kwenye Group Tayari Kwa Kusubiri Masterclass Yako! PS: Kumbuka Kabla Hujaamua Kulipia Mwisho Kuna Watu Zaidi 16,000 Wanasoma Tangazo Hili Sasahivi na Nafasi Zilizopo ni 50 Tu na Mwisho wa Kulipia ni IJUMAA 06/12...(11:59pm) See you soon Ciao! Amosi Nyanda!

2
Soma Hii Kama Kweli Unataka Kutengeneza Kuanzia Tshs 60M+ Mtandaoni Ndani Ya Mwaka 2025...(Hata Kama Hauna Biashara Yoyote Kwa Sasa) Rafiki Mpendwa... Je Unataka Kuingia 2025 Huku Ukiwa na ramani Mkononi yenye Kukuonesha EXACTLY ni Nini ufanye Ili uweze Kutengeneza Kiasi Chochote Cha Pesa Unachokitaka? ...kama Umejibu Ndio basi Tenga Dkk zako 3 Tu kisha soma Ujumbe Huu Mpaka Mwisho Kwani: ...Kile unachoenda kukisoma Ndani ya Sekunde 60 Zijazo kimenichukua Zaidi ya Miaka 5 Kukigindua na Kukifanyia majaribio Kwanini ni Muhimu Kwako?... Kwasababu: "Ndizo Siri Zilizonisaidia Kutengeneza Zaidi ya Tshs 69,895,167M+ Ndani ya Miezi 11... Pamoja na Kununua Gari yangu ya Kwanza Mwezi October, 2024" NA: ...Hiyo Ndio Sababu iliyonifanya Niandae MASTERCLASS Hii inayoitwa: "2025 MONEY PLAN" ...Na Hizi ni Nusu Tu Siri Unazoenda Kuzigundua Ndani ya Masterclass yako ya "2025 Money Plan! 1. [MODULE 01] : Mindset Shift -Hapa Utajifunza Jinsi ya Kuondoa Vikwazo Vyote Vinavyokuzuia Kuyafikia Malengo Yako Kwa Kutumia Formula ninayoiita "Blocks Unlock-Mindset" (Bila Hii Mindset Mpya ni Ngumu kutoboa) 2. [MODELE 02] : Jinsi ya Kutabiri Kiwango Cha Pesa Utakachotengeneza Ndani ya 2025 Guaranteed -Utajifunza Lists ya Vitu Unavyohitaji Kuviuza Ili Kuyafikia Malengo Yako na Mbinu Mpya za Kuuza 3. [MODULE 03] : Jinsi ya Kuongeza FAIDA X 10 Zaidi Katika Biashara Yako Mtandaoni Kwa Kutumia Siri Hizi 5 Zilizopuuzwa 4. [MODULE 04] : Siri ya Kuandika Mtandaoni yenye Uwezo wa Kuteka & Kushikilia Attention ya Mtu yeyote Ili asome Hadi Mwisho na afanye Chochote unachotaka nimeipa Jina la "CHA & FAS" (Hints: Siri Hii Ndio iliyonisaidia Kukuza Akaunti yangu ya Twitter Kutoka O Followers Mpaka 70K Ndani ya Miaka 2tu ...na Ndio Silaha yangu ya Siri ninayoitumia Kwenye Matangazo yangu yote) 5. [MODULE 05] : Jinsi Ya Kugundua Biashara Yenye Uhakika wa Kufanikiwa Katika Soko Lolote (Hints: Biashara Zote zilizofanikiwa Katika Soko Lolote zina Sifa Hizi 3 zilizojificha... Kwahiyo Utajua Exactly uwekeze Kwenye Biashara Gani Mwaka 2025) 6. [MODULE 06] : Formula Mpya ya Kutengeneza Offers Ambazo Mteja Hawezi kukataa inayoitwa "The 8 Step Offer Gun" .... Pamoja na Siri Zingine Kibao! Well...Kutokana na Umuhimu wa Masterclass Hii nilikuwa na Chaguo Mbili... Aidha nicharge Tshs 200,000 Ili nipate Watu Wachache Tu watakaoweza Kumudu Gharama Au: ... nicharge Tshs 55,000 Tu Ili Kila Mtu Ambaye yupo Serious aweze Kumudu Gharama na Kujifunza Nikaamua Kwenda na Chaguo la 2: Kwanini?... "Ili Kila Mtu Mwenye Nia ya Kujifunza aweze Kumudu Gharama na Bei isiwe Kikwazo" (Seriously Tshs 55,000 si Chochote ukilinganisha na Malengo unayoenda kuyatimiza Kupitia Siri Hizi utakazojifunza Ndani ya Masterclass Hii) Kwahiyo: ... Badala ya Tshs 200,000 Leo Utaweza Kupata Access ya Kushiriki Katika Masterclass ya "2025 Money Plan" Kwa Malipo Kidogo Ya: "Tshs 55,000 Tu" NA: Kupata Nafasi ya Kushiriki Mpaka Uwahi sana... Kwasababu: "Nafasi Zilizopo ni 50 Tu... LIMITED" (Na Zaidi ya Watu 16,000 Wanasoma Sasahivi Tangazo Hili Kwenye Magroup yangu 15 ya WhatsApp & Telegram) PIA... ...Nitakupa Box Lililojaa Hizi BONUSES Hapa Chini BURE Kabisa BONASI # 1: Nitakufundisha Jinsi ya Kufanya Majaribio ya Matangazo ya Kulipia Fb & Insta Kwa Kutumia Formula ninayoiita "The RFT Framework"...(Baadae Itauzwa Tshs 130,000 kama Kozi) BONASI # 2: Nitakupa Template ya Siri ya Kuandika Matangazo ya Kulipia Fb & Insta Ndani ya DKK 15 Tu itakayokupa Mafuriko ya Wateja...(Inauzwa Tshs 57,000) (Utakopi Tu & Kupesti then Boom) Sio Hivyo Tu: ...Bado Kuna Zaidi!... BONASI # 3: Nitakuunga BURE Kwenye VIP & Private WhatsApp Group Linaloitwa "2025 Money Plan"....(Wengine watalipia Tshs 150,000 Kila Mwezi) ...Kwa ajili ya Mentorship, Ushauri, Motivations na Kufuatiwa Mpaka Upate Matokeo Ndani ya Miezi 6! Thamani ya BONUSES Zote ni Tshs 337,000! ...Zote Hizo Utazipata Kwa Leo Kwa Malipo Kiduchu ya: "Tshs 55,000 Tu"
584
3
Ghafla Nikashtuka Usingizini... Nikashuka kitandani... Kuangalia Muda ni 2:17am Haikuwa Jambo la Kawaida Kwasababu nimezoea kuamka 4:00 am Kila Siku ...na Kazi Zangu Nyingi Huwa Nafanya Muda Huo Nilifanya Utafiti Nikagundua Ndio Muda Ambao nakuwa More PRODUCTIVE Zaidi Kuliko Muda Wowote Hakuna kelele... Kila Mtu amelela Nafikiri Vizuri na FOCUS yangu inakuwa 100% Kwenye Kazi...(hakuna Kushika Simu) Nakushauri pia Jifanyie Tathmini Kisha Angalia Muda Ambao Unakuwa Productive Zaidi halafu Hakikisha hakuna Mtu anayecheza na Huo Muda Anyway Hilo halikiwa lengo la Makala Hii... Lengo la Makala Hii ni: "Kukupa FORMULA Fupi ya Kuandika Copy Itakayokuuzia Kitu Chochote Mtandaoni" Hii Ndio Formula ya Siri aliyoitumia Legendary Copywriter Gary Halbert Kuandika Tangazo la Kwenye Gazeti Miaka ya 90's ... Tangazo ambalo lilimtengenezea Mwenye Bidhaa Pesa Nyingi Mpaka Akanunua Timu ya Basketball Marekani Yes... Hilo ni Tangazo MOJA Tu Hiyo Ndio Nguvu ya Copywriting Skills Kwahiyo: Kama Unauza Chochote Online...Hii Ndio Itakuwa Silaha Yako ya SIRI! Formula Hii Inaitwa: "4-Step Framework" Step # 1: Waambie Walengwa Wako Utawapa Nini Step # 2: Waambie Hicho Kitu Unachowapa Kitaenda Kufanya Nini Kwenye Maisha Yao Step # 3: Waambie Kwanini Wanatakiwa Kuchukua Hatua Muda Huo...(Wape Sababu ya Kuchukua Hatua) Step # 4: Waambie Kwanini ni Salama Kununua Hicho Kitu Kutoka Kwako Muda Huo Nimekuchanganya? Usijali...Huu Hapa Mfano: Hi, Jina Langu ni Amosi Nyanda... Naweza Kukusaidia Kuandika Tangazo Litakalokuuzia Bidhaa/Huduma Yako Mtandaoni (Waambie Utawapa Nini) Haijalishi Unauza Kitu Gani na Kwa Bei Gani... Tangazo nitakalokuandikia Litaenda Kukutengenezea Pesa X 10 Zaidi ya Matangazo Yako yote unayotumia Sasahivi (Waambie Hicho Kitu Kitafanya Nini Kwenye Maisha Yao) Kuna Nafasi 3 Tu Zimebaki na Mwisho ni Kesho 4:00pm (Waambie Kwanini Wanatakiwa Kuchukua Hatua Muda Huo) NA: Kama ikitokea Tangazo Nililokuandikia halitauza ...basi nitakuandikia Lingine FREE na Lingine Tena Mpaka pale tutapopata lile linalouza Zaidi... Kwahiyo Hakuna RISK yoyote Upande wako (Waambie Kwanini ni Salama Kununua Hicho Kitu Kutoka Kwako) Then Booom STAMPEDE! Umeona Jinsi ilivyo Rahisi?... Na Unaweza Kutumia Formula Hii Kwenye Kitu Chochote Kinachohusu Kumshawishi Mtu Mwingine Kufanya Kile Unachokitaka Hata Kwenye Mahusiano So Chukua Hiyo Nitakuwa Na-share nawewe Kila Kitu ninachohisi kitakusaidia kutumiza Malengo Yako ya Kifedha Especially Kwenye Biashara PS: By the way Kuna SIRI Nzito Pia nimekuwekea Ndani ya Hii eBook Yangu Mpya inaitwa "$1M CONVO" ...kama bado hujaisoma Unaweza Kuipata Ndani ya DKK 2 Tu Kwenye WhatsApp yako Pamoja na BONUSES zake Zote Bofya Link Hapa Chini Kisha soma Mpaka Mwisho 👇 >>>https://amosinyanda.lpages.co/1m-convo/ eBook Ina Pages 55 Tu Unaweza Kuisoma na Kuimaliza Hata Leo baada ya Lunch au Dinner Kuanzia 01/11 Haitakuwa Tena Online Kwasababu Lengo Lilikuwa ni Kuiuza Exclusively Kwa Watu 100 Tu na Tayari Nafasi zilishaisha kitambo So Wahi Nyakuwa eBook Yako SASAHIVI Kupitia Hii Link Hapa Chini 👇 >>>https://amosinyanda.lpages.co/1m-convo/ Uwe na Siku Njema Ciao! Your Rich Uncle Amosi Nyanda!
735
4
Pesa Zako Mtandaoni Zipo Kwenye Hizi Herufi 5 Zinazoitwa: "THRMS" Lakini... ...Kabla ya kukwambia Maana ya Hizo Herufi 5 nataka Kwanza nikwambie Kitu Hiki KIMOJA "Njia Pekee ya Kutengeneza Pesa Mtandaoni ni KUUZA Vitu" (The ONLY Way To Make Money Online Is To Sell Stuff) Kivipi?: Nitakwambia Hapa Chini... Miaka ya 90's Legendary Copywriter Gary Halbert aliwahi Kuandika Maneno yafuatayo Kwenye Barua yake ya Siri: "All Money Is Made By Somebody Selling Something to Somebody Else" Yaani: Pesa Zote Zinatengenezwa Kwa Mtu Fulani Kumuuzia Kitu Mtu Mwingine Kwahiyo: Huwezi Kutengeneza Pesa Popote Bila Kuuza Kitu... Uwezo wako wa Kuuza Ndio Utakaoamua kiwango Cha Pesa Utakachotengeneza Sokoni Swali ni Je....Unauza Nini? Well... Kuna Vitu VITATU Vya Kuuza Mtandaoni Ili Kutengeneza Pesa Muda wowote Popote... 1). Digital Products Hizi ni Bidhaa zinazoweza Kudanlodika Mtandaoni....(Downloadable Products) ...na mara Nyingi Hizi ni Information Products Mfano eBooks, Videos nk 2). Physical Products Hizi ni Kinyume Cha Digital Products... Ni Zile Bidhaa unazoweza Kuzishika, Kuzigusa na Kuzihisi Mfano: "Cream, Viatu, Nguo, Electronics nk" 3). Digital Services Hapa ni pale unapouza Ujuzi Wako wowote Mtandaoni Kwa Njia yoyote Ile NA: .... Kutokana na Utafiti wa Wataalamu Wengi Mtandaoni Kuna Maeneo Makuu Matano yaliyobeba Pesa Nyingi Zaidi kama Utaamua Kuuza Kitu Na Hapo ndipo tunaporudi Kwenye Zile Herufi 5 zetu Zinazoitwa: "THRMS" THRMS ni Kifupisho Cha Haya Maneno Hapa Chini... T-Travel H-Health R-Relationship M-Money S-Sex Umegundua Nini? Ndio Upo Sahihi...Hizo ni NICHES Zenye Pesa Nyingi Zaidi kama Utapata Kitu Cha Kuuza kinachohusu hayo Maneno Matano Kwahiyo: Tafuta Kitu Chochote Cha Kuuza kinachohusu Hayo Maeneo Aidha Katika Mfumo wa: "Digital Products, Physical Products au Digital Services" Utakuwa na Uhakika wa Kuandika Cheki Yako ya Pesa Mtandaoni I hope Umepata Kitu! P. S: By the way Baada ya Kukaa Sokoni Kwa Zaidi ya Miaka 5 na Kutumia Zaidi ya Tshs 39.7M Kwenye Knowledge nimechambua Siri 9 Ambazo Wataalamu Wengi Hawataki Uzijue zinazohusu Copywriting, Marketing, Sales, Offers, Pesa & Biashara... ...na Zote zimezikusanya na Kukuwekea Ndani ya Hii eBook Mpya Hapa Chini 👇 >>>https://amosinyanda.lpages.co/1m-convo/ Baada ya Kubofya Hiyo Link Utapelekwa Moja Kwa Moja Kwenye Landing page na utaweza Kupata eBook Yako Ndani ya DKK 2 Tu Kwenye WhatsApp yako Pamoja na BONUSES zake Zote Zenye Thamani ya Tshs 861,789 BURE Kabisa Ciao! Amosi Nyanda!
814
5
Mwaka 2025 Unakaribia... Kwahiyo: Naomba unisikilize Kwa Makini Sana ..Ndio najua Kila Mtu anakushauri Nini Cha Kufanya Ndani ya Mwaka 2025 LAKINI: ....Makala Hii haitakwambia Nini Cha Kufanya Ndani ya Mwaka 2025 Badala yake... ... Inaenda Kukwambia Exactly Nini USIFANYE: Cha kwanza Kabisa: "Usiweke Kabisa Kitu Kinachoitwa: "New Year Resolutions" . Kivipi Nyanda?... Utauliza Nitakwambia Hapa Chini... "Utarudi Kwenye Circle Ile Ile ya Kupata Matokeo yale yale kama ya Mwaka Jana" ... na Hiyo ni Kutokana na Kitu Kinachoitwa "Analysis Paralysis" Ubongo wa Binadamu ukipewa Options Nyingi Huwa Unaacha Kabisa Kufanya Kazi...hali Hiyo inaitwa Analysis Paralysis Kwahiyo: "New Year Resolutions"...Hazifanyi Kazi: Badala yake: "Tengeneza KITU KIMOJA" Yes...Kitu KIMOJA Tu Kisha Kikuze Hicho Kitu Kimoja! Natamani Mtu angeniambia Kitu Hiki Miaka Kadhaa Iliyopita ...ila ukweli ni Kwamba waliniambia ila sikuelewa na Hata kama nilielewa basi sikuingiza Kwenye Vitendo Kwahiyo: ...Usiwe kama Mimi...usifanye MAKOSA kama Yangu! "JENGA KITU KIMOJA KIKUBWA NDANI YA MWAKA WOTE 2025" Mfano: Kitu KIMOJA nitakachofanya Ndani ya Mwaka 2025 ni Kutengeneza COURSE Moja ya Copywriting Skills na Kuitangaza na Kuiuza East Africa Nzima Mpaka Ilete Tshs 500M Ndani ya Miezi 12" Sijui Kuhusu Kitu Hicho KIMOJA Kuhusu Wewe... ILA: ... Njia Rahisi ya Kupata Kitu Hicho KIMOJA ni: "Kuchagua Kitu KIMOJA Ambacho Una Uwezo wa Kukifanya Vizuri Zaidi Kuliko Vingine Vyote na Tayari Kinakupa Matokeo Kwa Sasa Halafu Kifanye Kwa Ukubwa Zaidi" Kisha: Jiwekee TARGET na Muda wa Kupata MATOKEO ya Hicho Kitu Kitu Chochote usipokipa Ukomo wa Muda Huwezi Kukikamilisha NA: Ili Kukamilisha hili Kumbuka Hiki Kitu Kimoja Hapa Chini... "Focus ni Kujenga Kitu KIMOJA Ambacho Kinakupa Matokeo Kwa Sasa...Usianzishe Wala Kutafuta Kitu Chochote Kipya... Badala yake: ...Chukua Kitu KIMOJA Ambacho Tayari Kinakupa Matokeo Kwa Sasa Halafu Kifanye Kwa UKUBWA Zaidi" Pia... Hudhuria Seminars, Nunua Courses, Soma Vitabu, Ingia Kwenye Coaching & Masterminds nk (Upgrade your Knowledge) Hii ni Muhimu sana sana! Kivipi?... utauliza Ukweli ni Kwamba: Tofauti Kati ya watu Wanaopata Matokeo Makubwa Kwenye Chochote na Wengine ni: "MAARIFA & VITENDO" (Knowledge & Action) MAARIFA yanaanza Kwanza Kwasababu: ... Huwezi Kuingiza Kwenye VITENDO Kitu Usichokijua Kwahiyo: Endelea Kuwekeza Kichwani Mwako ...kwani Huo Ndio Uwekezaji Mkubwa Zaidi utakaoufanya Katika Maisha Yako alisema "Warren Buffett" Cha Mwisho: Kiu Yako ya Kujifunza Ndio Itakayoamua Kiwango Cha Ubora wa Maisha Yako Ndani ya Miaka 5 Ijayo Usiache Kujifunza Pesa Unayoitumia Kununua MAARIFA Sio Matumizi ni "UWEKEZAJI" Tupo Kwenye "Information Era" Era Ambayo TAARIFA ni DHAHABU! Mungu atusaidie sote! Ciao! Your Cousin... Amosi Nyanda P. S: By the way Baada ya Kuwa Kwenye Information Marketing Kwa Zaidi ya Miaka 5... ...nimekusanya SIRI Ambazo Wataalamu Wengi Hawataki uzijue zinazohusu "Copywriting, Marketing, Sales, Offers , Business & Money" NA: Kuziweka Ndani ya eBook Yangu Mpya inayoitwa "$1M CONVO" ...Mwanzoni nilikiuza Exclusively Kwa Watu 100 Tu na kama ulikosa hizo Nafasi 100 basi Kwa Sasa Unaweza Kukipata Ndani ya DKK 2 Tu Kwenye WhatsApp yako Kwa Kubofya Hii Link Hapa Chini 👇 >>>https://amosinyanda.lpages.co/1m-convo/ (Kuna Nafasi 50 Tu za Nyongeza) Baada ya Kubofya Hiyo Link Utapelekwa Moja Kwa Moja Kwenye Landing page Kisha soma Mpaka Mwisho halafu Nyakua OFA Yako Kabla Nafasi 50 za Nyongeza Hazijaisha Tena! ...nje ya Kitabu Unapata Pia na BONUSES Zenye Thamani ya Tshs 861, 789 BURE Kabisa So Wahi Nyakua SASAHIVI Hapa 👇 >>>https://amosinyanda.lpages.co/1m-convo/
851
6
[HABARI NJEMA] :Nafasi 7 Za Nyongeza! Rafiki Mpendwa... Kama unavyojua... ...Mwisho wa Kulipia Kitabu Pamoja na Masterclass ya Leo ilikuwa ni Jana 11:59pm! LAKINI: Watu Wengi wamenifuata Inbox Leo Asubuhi na Kuniambia: . Jana walikuwa Kwenye "Land Rover Festival-Arusha" ...so hawakuwa Online Kabisa Na kama mnavyonijua: . Mimi Natamani Kuona Watu Wote wanajifunza SIRI Hizi 9 Nilizoziweka Ndani ya eBook Hii Mpya Hivyo Basi: Nimeamua Kuongeza Nafasi 7 Za Upendeleo za Kulipia eBook Mpya ya "$1M CONVO" Pamoja NA: ...Kupata BURE BONASI zake Zote Zenye Thamani ya Tshs 861,789! Ikiwemo Kuhudhuria BURE Kwenye MASTERCLASS ya Leo Usiku...(21:00pm) NA: ... Mwisho wa Kulipia ni Leo Saa 8:00pm Ili Kuwahi Kwenye Masterclass Kwahiyo: Wahi Bofya Link Hapa Chini SASAHIVI Ili Kupata Kitabu Chako Ndani ya DKK 2 Tu Kwenye WhatsApp yako Pamoja na Kuingia Kwenye Group Tayari Kwa Kusubiri Masterclass ya Leo Usiku na Wengine👇 >>>https://amosinyanda.lpages.co/1m-convo/ KUMBUKA: Nafasi za Nyongeza ni 7 Tu...na Mwisho wa Kulipia ni Leo Saa 8:00pm! So Bofya Hii Link Hapa Chini SASAHIVI 👇 >>>https://amosinyanda.lpages.co/1m-convo/ Baada ya Kubofya Link Utapelekwa Moja Kwa Moja Kwenye Landing page Kisha soma Mpaka Mwisho Ili Kupata Utaratibu wa Kulipia Kitabu Chako Pamoja na BONUSES zake Zote! Uwe na Jioni Njema! Your Cousin... Amosi "$1M Convo" Nyanda!
982
7
TAHADHARI: Kesho Ndio Mwisho Wa Kulipia eBook Mpya Ya: "$1M CONVO" Pamoja na Hizi BONUSES Hapa Chini Zenye Thamani ya Tshs 861,789 BURE... 1). Utaingia BURE Kwenye Exclusive MASTERCLASS inayoitwa "$1M Masterclass" ... Masterclass Hii ni Maalumu Kwa wale Tu watakaopata Kitabu ...Ambapo nitachambua na kuelezea Kila Point iloyopo Kwenye Kitabu Pamoja na Kujibu Maswali yote Live (Kwahiyo kama hupendi Kusoma Kitabu Bado Utajifunza Kupitia Masterclass Hii) 2). Nitakupa BURE PDF yenye Mkusanyiko wa Formulas zote za Kuuza Bidhaa Za: -Afya -Urembo -Viwanja -Usafi -Supplements za Network Marketing -Vitabu -eBooks & Courses nk ... Huwa naiita "$1M FUNNELS"....(nilinunua Tshs 367,789) 3). Nitakupa Link ya Website ya Siri ya Kupata AUDIENCE waliofichika wa Kuwatumia Kwenye Matangazo Yako ya Kulipia Facebook & Instagram Ambao Washindani wako hawatakaa Wajue...(nililipia Tshs 237,000 Kupata Access yake) Sio Hivyo Tu: PIA: 4). Nitakupa BURE RECORDED Masterclass ya Jinsi ya Kuandika Copy Pamoja na Kutengeneza Landing page...(Hii itauzwa Tshs 150K kama Kozi) Sitaishia Hapo: Pia Bado... 5). Nitakupa BURE PDF inayoitwa "Facebook Appeal Templates"...(nilinunua Tshs 107K) ...Hizi ni Scripts 9 za Siri za Kuwatumia Meta Ili wakufumgulie Akaunti Yako ya Facebook & Instagram Ndani ya Masaa 24 Tu...(Hata kama ilikuwa Permanently DISABLED) Kwahiyo: BOFYA link Hapa Chini SASAHIVI Ili Kunyakuwa Kitabu Chako Pamoja na BONUSES zake Zote 👇 >>>https://amosinyanda.lpages.co/1m-convo/ NA: Kitabu unatumiwa Kwenye WhatsApp yako Ndani ya DKK 2 Tu baada ya Malipo ...na BONUSES Zote Utazipata Siku ya MASTERCLASS....(13/10) (Siku ya JUMAPILI) P.S: Kumbuka eBook Hii Inauzwa Exclusively Kwa Watu 50 Tu...(LIMITED) Nafasi 100 zikishaisha hautoona Tena Matangazo yanayohusu eBook Hii ....na Tayari Mpaka Sasa Zaidi ya 70% ya Nafasi Zimeshachukuliwa Kwahiyo: Wahi Bofya Link Hapa Chini SASAHIVI Kujinyakulia eBook Yako Mapema Kabla Nafasi 100 Hazijaisha Zote 👇 >>>https://amosinyanda.lpages.co/1m-convo/ Well... Kabla Hujaamua Kupuuza Ujumbe Huu na Kuondoka.... Tenga Sekunde zako 60 Tu Kisha Soma Huu Ujumbe Muhimu Hapa Chini 👇 P. P. S: "Bei ya eBook Hii Mpya ya $1M CONVO ni Tshs 30,000 Tu... ...Hiyo ni Sawa Kabisa na Pea Moja ya Jeans Pale Mtaa wa Kongo Kariakoo ILA: ...Kitu Kimoja Kuhusu Jeans ni Kwamba Utaivaa, Itapauka, itaisha na utaitupa Siku Moja ...ila Ujuzi unaoenda Kujifunza Ndani ya Kitabu utakukutengenezea Pesa Milele Hembu Nambie: Ni Maamuzi Gani Sahihi Kwako?... Kununua Jeans Ambayo Utaivaa na kuitupa Siku Moja... Au: Kununua Kitabu Hiki Ambacho Kitakupa Ujuzi wa Kutengeneza Pesa na Kuwa Huru Milele Chaguo ni Lako Rafiki yangu! ILA: ...kama Utafanya Maamuzi Sahihi basi BOFYA link Hapa Chini 👇 >>>https://amosinyanda.lpages.co/1m-convo/ Ciao! Amosi Nyanda!
877
8
Jana Jioni Mida ya 4:17pm ...Wakati naperuzi Instagram Nikakutana na Matangazo Mawili ya Watu Tofauti ILA: ...yote yalikuwa yanauza Bidhaa ya Aina MOJA nayo ni: "Tiba Ya Vidonda Vya Tumbo" Kwa Wateja wale wale...na Bei Ile Ile Na Kila Tangazo Lilikuwa na OFFER Inayosomeka Hivi: Offer "A" "Dawa Hii Inatibu Vidonda Vya Tumbo Wahi OFA Yako Sasahivi Blah...blah...blah" Offer "B" "Tiba Hii ya Vidonda Vya inaitwa "KAUSHA" ...ni Maalumu Kwa wale Tu wanaosumbuliwa na Vidonda Vya Tumbo Sugu! ...inaenda kutibu na kukausha Vidonda Sugu Ndani ya Siku 29 Tu...(Hata kama umeshatumia Kila Dawa na imeshindikana) Blah..blah...blah... Kama Kweli unasumbuliwa na Vidonda Vya Tumbo ungevutiwa na OFFER Ipi... "A au B?" Nina Uhakika Utawahi Kulipia "Offer B" Kwanini?... Well... Kuna SIRI Kuu 2: 1). Offer yenye JINA Ina Thamani Kubwa Mbele ya Mteja Kuliko Offer Ambayo Haina Jina (Hii inaitwa KAUSHA) ....ukiipa Offer Yako Jina Maalumu Tayari Utakuwa umeshajitoa Automatically Kwenye Ushindani Kwanini?... ... Kwasababu Wateja watajua Kabisa Hawawezi Kupata Tiba kama Yako Popote Ndio Maana umeipa Jina Maalumu Kwahiyo: Offer Yako itaongezeka Thamani X 10 Zaidi Mbele ya macho ya Wateja wako kama utaipa Jina Maalumu 2). Siri ya Pili na Kubwa Zaidi ni Hii niliyokuwekea Katika Page # 25 Mwa eBook Mpya inayoitwa: "$1M CONVO" (Hint: imetumika Kwenye Offer B ila Huwezi Kugundua kama Huijui) Ukweli ni Kwamba: Ukitumia Siri Hizi Mbili Pekee Kwenye Offer yako Utakuwa na 99% ya Kuuza Bidhaa Yako Katika Soko Lolote... ...na hautawaza Kabisa Kuhusu Ushindani Milele I hope Umejifunza Kitu! By the way Nafasi Zinaendelea Kunyakuliwa na Muda wa OFA ya Kupata eBook Mpya Ya "$1M CONVO" unakaribia Kuisha ... kwani Mwisho wa Kulipia ni JUMAMOSI Hii na Nafasi Zilizotolewa ni 100 Tu...(LIMITED) Kwahiyo: Kama Bado hujanyakuwa Kitabu Chako Bofya Link Hapa Chini SASAHIVI Kisha Soma Mpaka Mwisho 👇 >>>https://amosinyanda.lpages.co/1m-convo/ Baada ya Kubofya Hiyo Link Utapelekwa Moja Kwa Moja Kwenye Landing page yenye Maelezo yote na Jinsi ya Kulipia na Kupata Kitabu Chako Ndani ya DKK 2 Tu Kwenye WhatsApp yako ...pamoja na BONUSES Zote Unazoenda kuzipata ikiwemo FREE Exclusive MASTERCLASS ya Jumapili...(13/10) Kitabu kimeandikwa Kwa Lugha ya Kiswahili na kina Pages 55 Tu...Unaweza kukisoma Ndani ya DKK 45 ukamaliza So Wahi Bofya Link Hapa Chini SASAHIVI Ili Kuchukua Nafasi Yako Mapema Kabla Hazijaisha👇 >>>https://amosinyanda.lpages.co/1m-convo/ P. S: Kumbuka Nafasi ni 100 Tu...(LIMITED) na Zinaendelea Kunyakuliwa Kwa KASI Mno! ...so Wahi Ingia Hapa Chini SASAHIVI 👇 >>>https://amosinyanda.lpages.co/1m-convo/ Uwe na Siku Njema Ciao! . Amosi "$1M Convo" Nyanda!
772
9
Je Ungeingia Wapi?... Tusema umeenda Kutembea mjini... ... baada ya Muda njaa ikawa inakuuma Kutupa Jicho kushoto Kwako... ...ukaona Restaurant 2! Na restaurant zote zinauza Chakula kinachofanana -Menu ya Vyakula inafanana -Wali nyama Upo kote kote -Michemsho kote Ipo Kwa kifupi ni Kwamba: Kila Kitu Kinafanana: LAKINI: Kuna Utofauti Mmoja Mkubwa unaonekana Sehemu ya Kuingilia... Kila Restaurant imeweka BANGO lake pale Juu Mlangoni NA: Kila BANGO Linasomeka Hivi: Restaurant "A" "Chakula Kipo, Karibuni Sana" Restaurant "B" "Chakula Kipo, Karibu Nunua Chochote Kabla ya 5:00pm Upate Maji Makubwa BURE" Hembu kuwa Mkweli... Ungeingia Restaurant A au B?.... Ofcourse Hata Kichaa angaingia Restaurant B Kwanini?... Kwasababu ya Kitu Hiki KIMOJA Tu... "OFFER" Na Hiki Ndicho kinachotokea Katika Biashara Nyingi ... Mtandaoni na nje ya Mtandao! Hata Siku Moja Huwezi kushindana na Mtu anayejua Kutengeneza OFFER katika Biashara yake ...na Ndio njia pekee ya Kuua Ushindani bila Kushindana Sasahivi Biashara Nyingi zinaigana karibia Kwenye Kila Kitu ILA: . Kuna Kitu KIMOJA Tu ambacho hakuna Mshindani anayeweza Kuiga Wala Kukopi Kutoka Kwako Nacho ni: "Uwezo Wako wa Kutengeneza OFFER" ...na Uhitaji Kuwa na Degree Wala Masters Ili Utengeneze OFFER itakayokutengenezea Pesa Nyingi Katika Biashara Yako . Kitu pekee unachotakiwa Kufanya ni: . "Kukopi na Kupesti Hii FORMULA niliyokuwekea Katika Page # 40 Mwa eBook yangu Mpya inayoitwa "$1M CONVO" Kama Bado Hujapata eBook Yako...basi wahi Bofya Link Hapa Chini SASAHIVI Kabla Nafasi Hazijaisha 👇 >>>https://amosinyanda.lpages.co/1m-convo/ NA: ...kama unavyojua eBook Hii inauzwa Exclusive Kwa Watu 100...(LIMITED) MASTERCLASS yake Itafanyika Online Live Siku ya JUMAPILI...(13/10) ...na ITAREKODIWA! Nitachambua Kwa Kina Siri Zote Muhimu za Kwenye Kitabu na Kujibu Maswali Yako yote So Wahi Nyakuwa Kitabu Chako SASAHIVI Hapa 👇 >>>https://amosinyanda.lpages.co/1m-convo/ Mwisho wa Kulipia ni JUMAMOSI...(11:59pm) ...ila Nafasi 100 zikiisha nasimamisha Link ya Kununua Kitabu Muda Huo Huo Uwe na Siku Njema See you soon! Amosi Nyanda!
644
10
Nyakuwa Hizi BONASI Zenye Thamani ya Tshs 861,789 BURE! So juzi niliitambulisha Kwako eBook yangu Mpya inayoitwa: "$1M CONVO" Ni eBook yenye Mkusanyiko wa Siri Zote Nzito Nilizotumia Zaidi ya Tshs 39.7M Kujifunza Kwa Miaka 5 zinazohusu: 1). Biashara 2). Copywriting 3). Offers 4). Mauzo 5). Masoko Nk... ...na nje ya Kupata Kitabu Utapata na Hizi BONUSES Hapa Chini BURE Kabisa: "1). Utaingia BURE Kwenye Exclusive Masterclass inayoitwa "$1M Masterclass" ... Masterclass Hii ni Maalumu Kwa wale Tu watakaopata Kitabu Ambapo nitachambua na kuelezea Kila Point iloyopo Kwenye Kitabu Pamoja na Kujibu Maswali yote Live (Kwahiyo kama hupendi Kusoma Bado Utajifunza Kupitia Masterclass Hii) 2). Nitakupa BURE PDF yenye Mkusanyiko wa Formulas zote za Kuuza Bidhaa Za: -Afya -Urembo -Viwanja -Usafi -Supplements za Network Marketing -Vitabu -eBooks & Courses nk ... Huwa naiita "$1M Funnels"....(nilinunua Tshs 367,789) 3). Nitakupa Link ya Website ya Siri ya Kupata AUDIENCE waliofichika wa Kuwatumia Kwenye Matangazo Yako ya Kulipia Facebook & Instagram Ambao Washindani wako hawatakaa Wajue...(nililipia Tshs 237,000 Kupata Access yake) Sio Hivyo Tu: PIA: 4). Nitakupa BURE RECORDED Masterclass ya Jinsi ya Kuandika Copy Pamoja na Kutengeneza Landing page...(Hii itauzwa Tshs 150K kama Kozi) Sitaishia Hapo: Bado Pia... 5). Nitakupa BURE PDF inayoitwa "Facebook Appeal Templates"...(nilinunua Tshs 107K) ...Hizi ni Scripts 9 za Siri za Kuwatumia Meta Ili wakufumgulie Akaunti Yako ya Facebook & Instagram Ndani ya Masaa 24 Tu...(Hata kama ilikuwa Permanently DISABLED) Kwahiyo: BOFYA link Hapa Chini SASAHIVI Ili Kunyakuwa Kitabu Chako Pamoja na BONUSES zake Zote 👇 >>>https://amosinyanda.lpages.co/1m-convo/ NA: Kitabu unatumiwa Kwenye WhatsApp yako Ndani ya DKK 2 Tu baada ya Malipo ...na BONUSES Zote Utazipata Siku ya MASTERCLASS....(13/10) (JUMAPILI Ijayo) P.S: eBook Hii Nimepanga Kuiuza Exclusively Kwa Watu 50 Tu...(LIMITED) Nafasi 50 zikishaisha hautoona Tena Matangazo yanayohusu eBook Hii Kwahiyo: Wahi Bofya Link Hapa Chini SASAHIVI Kujinyakulia eBook Yako Mapema Kabla Nafasi 50 Hazijaisha Zote 👇 >>>https://amosinyanda.lpages.co/1m-convo/ See you soon Uwe na weekend Njema! Ciao Amosi Nyanda!
817
11
Story Ya Kutisha Ya Mwanamke Aliyeponea Chupu Chupu Kupoteza Zaidi Ya $300M Ndani Ya Siku Moja… …jina lake ni “Tong Wenhang” Alipokuwa na miaka 30 aliomba Kazi Katika Kampuni ya “Alibaba” LAKINI: …kulikuwa na Tatizo Moja! Hakuwa na Vigezo Kabisa vya Kazi aliyoomba—(namaanisha Ujuzi wala Uzoefu) …alikuwa anakataliwa kwenye Kila Kazi aliyokuwa anaomba! Lakini: Tong Wenhang hakukata tamaa Kabisa… …aliendelea kujaribu kuomba nafasi mbali mbali ndani ya Kampuni ya Alibaba Kwasababu: ...Hakuna na Kazi yoyote…na ndoto yake Kubwa Ilikuwa ni Kufanya Kazi Alibaba! Siku moja aliamua Kuacha kabisa kuomba Kazi za ngazi ya juu Pale Alibaba …kwasababu Kila Kazi ya Juu aliyokuwa anaomba Alikuwa anaikosa! Akaamua kuomba Kazi ya chini kabisa …akaomba Kazi ya “RECEPTIONIST” Yaani mtu wa Mapokezi! Awamu Hii akapata Kazi! ILA: Baada ya kufanya kazi kwa Siku chache Tu… …akaichoka na akataka kuacha kwasababu Alikuwa hapendi kupelekeshwa Lakini: …kuna kitu KIMOJA kilitokea ambacho kilimfanya asiache ile Kazi Kitu gani?… Well...Hiki hapa chini… “Jack Ma, Mmiliki wa Alibaba aligawa Hisa kwa wafanyakazi wake wote… …na Tong Wenhang alipata 0.2% ya Hisa za Alibaba Jack Ma akamwambia Tong Kampuni ikienda Public hiyo 0.2% ya Hisa zake zitakuwa Sawa NA: “$100Million” …YES…Dola Milioni Mia za Kimarekani Tong akaendelea Kusubiri kwa Miaka Kadhaa ili Kampuni iende Public apate Pesa zake …lakini Kukawa kimya! 2004 akamuuliza Jack Ma—Kampuni inaenda lini Public? Jack Ma akajibu... . “Hivi Karibuni” 2006, Miaka miwili baadae akamuuliza Tena Jack Ma, Akajibu tena... “ Hivi Karibuni” Akaendelea kusubiri kwa Miaka Kadhaa na Kila anapomuuliza Jack Ma—Jibu lake ni lile lile… …”Hivi Karibuni” Hatimaye September 2014, Alibaba ilipoenda Public Thamani ya Kampuni ilikuwa ni Sawa Na: "$25 Billion” NA: …Mwanzo walipofanya Hesabu ile 0.2% ya Share za Tong Wenhang zilikadiriwa Kuwa na Thamani ya $100M ... ila sasa Zikawa na Thamani Ya: “$300 Million” …hiyo ni Mara 3 zaidi ya Thamani iliyokadiriwa mwanzo “Na Hiyo ni Ndani ya Siku Moja” Sasahivi Tong Wenhang ni Bilionea… ...na ni Makamu wa Raisi wa Kampuni ya Alibaba …hiyo Ndio Nguvu ya KUSUBIRI na TAARIFA Sahihi! Utofauti Kati ya Matajiri na Masikini Upo Kwenye: “SUBIRA & TAARIFA” Matajiri huwa wanashinda kwasababu wanacheza Michezo ya Muda Mrefu—Tofauti Kabisa na Masikini NA: Maneno yanayowapa MAMILIONI ya Pesa Matajiri Katika Biashara zao ni Haya Hapa Mawili niliyoyaweka Katika Page # 3 Mwa eBook Mpya ya “$1M CONVO” Na Kama Bado Hujapata eBook yako Pamoja na BONUSES zake ikiwemo FREE Masterclass ya 13/10 ….basi wahi BOFYA Link Hapa chini Kisha Soma Mpaka Mwisho 👇 >>>https://amosinyanda.lpages.co/1m-convo/ P. S: Kumbuka eBook Hii inauzwa EXCLUSIVELY kwa watu 100 Tu! …eBook Ina Pages 55 Tu unaweza kuzisoma na Kumaliza leo leo jioni Wahi Nyakuwa Kitabu chako SASAHIVI Hapa Chini 👇 >>>https://amosinyanda.lpages.co/1m-convo/ Uwe na jioni Njema! Voila Amosi Nyanda!
833
12
Nilianza Rasmi Kufanya Biashara Mtandaoni Mwaka 2019... Hiyo ni Miaka 5 ya Jasho na damu... NA: ...Mwezi wa 7 niliamua kukaa Chini na Kufanya Hesabu ya Pesa zote nilizotumia Kwenye Kununua: -Vitabu -Courses -Coaching -Masterclasses Na -Mentorships ...Kutoka Kwa Wataalamu Mbali Mbali Duniani kote Imekuja Jumla ya: "T͟s͟h͟s͟ ͟3͟9͟,͟7͟6͟9͟,͟5͟6͟0͟ "YES...ni Tshs 39.7M" ...Ndani ya Miaka 5! Kwahiyo: Ili kukuepusha na Msoto wa Miaka 5 Pamoja na Kupoteza Zaidi ya Tshs 39.7M Kwenye Kujifunza Vitu Nilivyojifunza Mimi ...nimeamua Kukusanya SIRI Zote Nzito Ambazo WATAALAMU Wengi hawataki uzijue Kuhusu: 1). Biashara . 2). Copywriting . 3). Closing . 4). Offers . 4). Marketing & Pesa ...na Kukuwekea Zote Kwenye eBook Hii MPYA inayoitwa: "$͟1͟M͟ ͟C͟O͟N͟V͟O͟ (Imeandikwa Kwa Kiswahili) NA: Nimepanga Kuiuza Exclusively Kwa Watu 100 Tu Na hiyo Ndio Itakuwa ZAWADI yangu Kwako Kwa Ajili ya Mwaka Mpya! Unaweza Kuwahi Kuipata Mapema na Kuisoma Kwa Kubofya Link Hapa Chini SASAHIVI 👇 >>>https://amosinyanda.lpages.co/1m-convo/ Baada ya Kubofya Hiyo Link Hakikisha Unasoma Mpaka Mwisho Ili Kupata Utaratibu wa Kuipata Pamoja na BONUSES zake Zote P. S: eBook Hii Ina Pages 55 Tu Unaweza Kuisoma na Kuimaliza Hata Leo Usiku baada ya Chakula Cha Usiku ...Wahi Bofya Link Hapa Chini Kujinyakulia eBook Yako Mapema Kabla Nafasi 100 Hazijaisha 👇 >>>https://amosinyanda.lpages.co/1m-convo/ Uwe na Jioni Njema! See you soon Voila! Amosi Nyanda!
799
13
Je Lengo La ADUI Yako ni Lipi?... . Nitakwambia Hapa Chini: . Lengo la Adui Huwa ni MOJA Tu.... . "Ni Kukufanya Uwe Mjinga Kuhusu Vitu Vitakavyobadilisha Maisha Yako" . Na Hivi ndivyo inavyokuwa: . Ukishagundua Vitu Vya Kufanya Ili Kubadilisha Maisha Yako...yeye anahakikisha Huchukui Hatua Kabisa . ...Yaani Unaghairisha Mambo Bila Sababu! . Ukifanikiwa Kuchukua Hatua Kwenye hivyo Vitu... Kazi yake inabaki kuhakikisha Haufanyi hicho Kitu Kila Siku Ili Kupata Matokeo . Je Anawezaje Kufanya Hivyo?... . Nimefurahi Umeuliza! . Na Hivi ndivyo inavyokuwa: . -Anakuweka Busy na Simu, Mitandao ya Kijamii, Habari, Movies nk . -Kukutia Uvivu na kukuondolea Mood ya Kufanya Kazi . -Kukutia wasi wasi na kutojiamini Kwenye Chochote unachokifanya . -Kudhoofisha Uwezo wako wa Kuchukua Hatua Kwa kukuonesha Vitu kama Video za ngono, Punyeto nk . ILA: . Ukweli ni Kwamba: . "Kama utafanikiwa Kufanya Vitu Sahihi Ambavyo Vina Uwezo wa Kuyabadilisha Maisha Yako Kila Siku Bila Kuyumbishwa... . ...basi Uhakika wa Kuwa MSHINDI ni 100% . Kwanini Nakwambia yote Haya?... . Well... ukweli ni Kwamba: . Katika Kizazi Hiki Cha Internet, Mitandao ya Kijamii & Movies... . ...Bila neno hili MOJA Hapa Chini Hutoboi . "FOCUS" . Bila FOCUS Kila Kitu utakifanya Nusu Nusu... . Siku zitasogea... . Miezi itaisha.. . ...na hatimaye Miaka . Unajikuta upo pale pale Unafanya Vitu Vile vile . Inafika December unakuta Malengo yote ulioyaandika January hujatimiza Hata Moja . Unapaniki... . Unaanza Kulaumu Kila Mtu na kuita Watu FAKE friends . Unajipa Moyo Tena Kwa kujiambia... . "Huu Mwaka ni Wangu" . Unaweka kabisa na ule wimbo wa Dayoo... Unaoitwa "Mwaka wa Kufosi" . LAKINI: . Unaanza Mwaka Kwa Speed ya Hatari... . Mwezi wa 1, 2, 3.... . Speed inaanza kupungua Tena . Mwishowe unarudi kwenye Duara lile lile la Mwaka Jana . Message yangu Leo Kwako ni Hii Hapa Chini: . "FOCUS, FOCUS, FOCUS" . Focus na Vitu vile Tu Vinavyoongeza Thamani Kwenye Maisha Yako na kukusogeza Karibu na Malengo Yako . Na Leo ni 01.10. 2024 . Bado Miezi 2 Tu Mwaka Uishe . Je Mpaka Sasa Malengo yako Uliyoyaandika January yameshatimia Kwa % Ngapi? . Majibu Unayo Mwenyewe . Just FOCUS my Friend! . Kaa Mbali Kabisa na DISTRACTIONS . Muda hausubiri na Umri unaenda . Ni hayo Tu Kwa Leo . Happy NEW Month Champions . P.S: By the Nimerudi nilipotea kidogo Ila Habari njema ni Kwamba: . ... nilipotea Kwa Ajili Yako Kwasababu nilikuwa Nakusanya Siri Zote Nzito nilizojifunza Ndani ya Miaka 5 Kuhusu Copywriting, Business, Offers, Marketing, Sales & Pesa . ...na Kila Kitu nimekiweka Kwenye eBook yangu Mpya yenye Pages 55 inaitwa "$1M CONVO" . Inatoka Rasmi Kesho na Itauzwa Kwa Watu 100 Tu . Utaratibu wa Jinsi ya Kuipata Nitautoa Kesho! . Ciao! . Amosi Nyanda!
977
14
So Leo Nataka Tuongee Kuhusu: W͟h͟a͟t͟s͟A͟p͟p͟ ͟M͟A͟R͟K͟E͟T͟I͟N͟G͟ 1). Je WhatsApp Marketing ni Nini? 2). Je Unawezaje Kutengeneza Pesa Kupitia WhatsApp Marketing? Well: Ndani ya Sekunde 60 zijazo utaenda Kupata Majibu yote ya hayo Maswali Mawili hapo juu... . WhatsApp Marketing-ni Ujuzi wa Kutangaza na Kuuza Bidhaa/huduma kupitia WhatsApp yako ya Mkononi NA: Unaweza Kutangaza na Kuuza Bidhaa yako Kwenye WhatsApp yako Kupitia Hizi Sehemu 5 Hapa Chini: 1). WhatsApp Status 2). WhatsApp Groups . 3). WhatsApp Inbox 4). WhatsApp Broadcasting Lists Na… 5). WhatsApp Channels Na Hicho Kitu Kinawezekana endapo Tu una Kitu Hiki Kimoja Kinachoitwa: "N͟A͟M͟B͟A͟ ͟Z͟A͟ ͟S͟I͟M͟U͟" YES—ili uweze Kutangaza na Kuuza Kwenye WhatsApp yako Lazima uwe na namba ya Simu... . ....ya WhatsApp ya Mtu unayetaka kumtangazia na kumuuzia Bidhaa/huduma yako NA: Siri Kubwa Zaidi ya Kuuza Kwenye WhatsApp ambayo Watu Wengi hawaijui ni Hii Hapa Chini: “Watu Watakaonunua Bidhaa/huduma yako Sio Wale Unaowajua—(a.k.a Ndugu & Marafiki) . ...Bali ni Watu USIOWAJUA utakaowapata Mtandaoni" …aidha kupitia Kwenye Matangazo ya Kulipia au Organic Contents . Je Unapataje Namba kutoka kwa Watu USIOWAJUA?… Ni rahisi sana! . “Ni Kuwapa Kitu Chenye UTHAMANI BURE” . Mfano wa Kitu chenye UTHAMANI... . ...Unachoweza kukitoa BURE ili Kupata Namba zao FREE ni Pamoja Na: -PDF Bure -Makala Bure -Free Masterclass -Free Reports -Free Samples NK… Kwahiyo: Utachagua njia unayotaka kuitumia Kutangaza na Kuuza Bidhaa yako Kwenye WhatsApp yako... . Aidha ni Kupitia: -WhatsApp Status -WhatsApp Groups -WhatsApp inbox -WhatsApp Broadcasting lists au -WhatsApp channels Baada ya Hapo Unatengeneza Kitu Kinachoitwa: “F͟U͟N͟N͟E͟L͟" FUNNEL- ni Mfumo Maalumu wa kuwatoa wateja kutoka... . ...Mtandaoni Kama Facebook, Instagram, X, YouTube nk …na kuwapeleka kwenye Kijiwe chako ili Kuwabadilisha Kuwa wateja Huku ukiendelea kuwapa Thamani Katika Hatua zote Na Hivi ndivyo FUNNEL yako Itakavyoonekana: CHAMBO➡️UTHAMANI ➡️ UZA Mfano: . Kama lengo lako ni Kuja Kuuza kwenye WhatsApp Status... . ...basi Utafanya Hivi: Unatengeneza PDF Ndogo yenye Thamani kwa Walengwa Kisha Unaitangaza Mtandaoni FREE Hii tunaita CHAMBO! Baada ya hapo unaweka Link ya WhatsApp yako—Wale Wote Wenye Interest na Kile... . ...Ulichokiweka kwenye PDF yako watakuja Moja kwa moja kwenye WhatsApp yako Kabla ya Kuwatumia Waambie wa-save Namba yako nawewe una-save yake Baada ya hapo ndio unawatumia hiyo PDF Uliyoahidi Kwanini ni LAZIMA wa-save kwanza Namba Kabla hujawatumia PDF? . Ili waweze Kuona WhatsApp Status zako Baada ya hapo Anza Kutoa FREE Value kupitia Status zako Kila Siku—(Usiku ndo Muda Mzuri) Wataanza Ku-VIEW Status zako Kila Siku Then: -Watakujua Vizuri -Watakupenda na -Watakuamini Kisha: Watakuwa ADDICTED na Contents zako na watataka Kuona Status zako Kila siku Tayari una ATTENTION yako kwa 100% ...Baada ya Kupata Attention ya watu tunajua kinachofuata si Ndio? “KUUZA Bidhaa/huduma Zetu” Hii Kitaalamu inaitwa: “K͟L͟T͟B͟" (Know, Like, Trust, Buy) . NA: . Kuna Aina za CONTENTS unazotakiwa Kuzipost kwenye Status yako ili Wawe ADDICTED Kuview Kila Siku... . ...na Hapo ndipo utakapotengeneza Pesa Kirahisi . Je Pesa Zipo Wapi Sasa? . Nimefurahi umeuliza . Pesa zako zipo kwenye NAMBA za Simu za Watu USIOWAJUA . Hii Kitaalamu inaitwa: . “LIST” . Ukiwa na Namba nyingi za Simu za Watu Wenye Interest zinazofanana—Tayari una Biashara Mkononi . Nina Imani Umepata Kitu . PS: By the way Kama Unataka Kujifunza Kiundani Kuhusu "WhatsApp Marketing" Pamoja Na... . ...Kuuza na Kutangaza Biashara Yako Kupitia WhatsApp yako BOFYA link Hapa Chini Sasahivi 👇 . https://amosinyanda.lpages.co/whatsapp-mkwanja-lp . Uwe na Jioni Njema . Amosi Nyanda!
1 111
15
Hii Ndio Aina ya Biashara Itakayokulipa Maisha Yako Yote! . Aina ya Biashara unayoenda Kuisoma Ndani ya Muda Mfupi Ujao... . ...itakulipa Maisha Yako yote Hata kama una Miaka 97+ . Na Hii Ndio Story Fupi: . Siku Kadhaa Zilizopita Rafiki Yangu alinunua King'amuzi Kwa bei anayodhani ni "Ndogo Sana" . Wakati tunaongea akawa anasema: . Hivi Nyanda inawezekanaje Kitu kama Hiki kikauzwa Kwa Bei kitonga Kiasi Hiki?...akatikisa Kichwa . Nilishangaa Rafiki Yangu ameshindwa Kugundua Aina ya Biashara iliyofanyika pale . Ni Kweli Kampuni ya Ving'amuzi ilimuuzia King'amuzi Kwa bei ya HASARA Sana . ... Nina Uhakika hawakutengeneza FAIDA yoyote Ile . Kwanini?... . Jibu ni Rahisi Tu Kwamba: . Ni Kwasababu Wanatumia Aina Hii ya Biashara unayoenda Kuisoma Ndani ya Sekunde 60 Zijazo . ... Kwahiyo utaweza Kuuza Bidhaa/Huduma yako Hata Kwa HASARA na bado Ukatengeneza FAIDA Kubwa baadae . Na Hivi ndivyo inavyofanya Kazi: . Kampuni ya King'amuzi ita-cover Gharama zake Zote Kutokana na Malipo atakayokuwa Anafanya Mteja Kila Mwezi . Mpaka Sasa najua Tayari Utakuwa umeshajua naongelea Biashara Gani...(Wewe una Akili) . Aina Hii ya Biashara inaitwa: . S͟U͟B͟S͟C͟R͟I͟P͟T͟I͟O͟N͟ ͟B͟U͟S͟I͟N͟E͟S͟S͟ ͟M͟O͟D͟E͟L͟ . Na: . Mfano wa Aina Hii ya Biashara ni: . -DSTV . -Azam Tv . -Netflix . -Makampuni ya Simu kama...(Vodacom, Tigo, Airtel, Halotel Nk) . Software Companies Nk! . Pesa za Aina Hii Zinaitwa: . "͟W͟a͟t͟e͟r͟ ͟M͟o͟n͟e͟y͟"͟...(a.k.a Pesa Maji) . Maana yake ni Pesa Zinazotiririka kila Mwezi . Jinsi ya Kufanya Aina Hii ya Biashara ni Rahisi Sana . Fanya Hivi: . 1). Fungua Biashara . 2). Tatua Tatizo Fulani Kwa Watu . 3). Wafanye Hao Watu wakulipe Kila Mwezi Kwa Kutumia Bidhaa/Huduma yako . Then Booom Voila! . Tayari Utakuwa umeshatengeneza Aina ya Biashara inayoitwa: . "S͟u͟b͟s͟c͟r͟i͟p͟t͟i͟o͟n͟ ͟B͟u͟s͟i͟n͟e͟s͟s͟ ͟M͟o͟d͟e͟l͟"͟ . Kila Biashara inaweza Kugeuzwa Kuwa Subscription Business kama utawaza Kwa Kina . Je Unawezaje Kuigeuza Biashara Yako Kuwa Subscription Business? . Waza Kuhusu Hilo . Hiyo ni Homework nakuachia! . Nina Imani itasaidia . Ciao! . Amosi Nyanda!
999
16
No text...
1 068
17
. "T͟s͟h͟s͟ ͟3͟0͟,͟0͟0͟0͟ ͟T͟u͟"͟ . (Hii baadae itauzwa Tshs 150,000 Kama Kozi na Sasahivi Haipo Sokoni Wala Haiuzwi Popote) . Na Hii Ni Exclusive OFA Kwa Watu 10 Tu! . Na Mwisho wa Kulipia ni Kesho 11:59PM!...(JUMAPILI) . So kama Unahitaji OFA Hii Utalipia Tshs 30,000 Tu Kwenda Namba Hizi Hapa Chini 👇 . M-PESA/TIGOPESA . 0767-912-157/0679-912-157 . Jina: Amosi Nyanda . Kisha nitumie Ujumbe WhatsApp Ili nikutumie Access Link ya Masterclass Yako! . Uwe na Jumamosi Njema! . Ciao! . Amosi Nyanda!
948
18
"Iba MFUMO Huu wa Kuuza Mtandaoni Uliomtengenezea Charles Zaidi Ya "͟T͟s͟h͟s͟ ͟3͟0͟,͟8͟0͟0͟,͟0͟0͟0͟ ͟"͟ Ndani Ya Mwezi June" . Ngoja nikurudishe Nyuma Miezi Minne Iliyopita... . Ilikuwa jioni Jumamosi tulivu kama Hii... . Charles alinipigia Simu akiwa na HOFU na Hata Kukata Tamaa Kuhusu Biashara Yake . KWANI: . Mauzo yake Y͟A͟L͟I͟S͟H͟U͟K͟A͟ Zaidi ya 80% . ...Bila Kujua Tatizo ni wapi Hasa . Na Hizi ni Baadhi ya Changamoto alizokuwa anakutana Nazo: . -Alikuwa Anafanya Matangazo ya Kulipia Facebook & Instagram Lakini Mauzo KIDUCHU . Mfano: . Anaweka Budget ya Tshs 200,000 Kwenye Matangazo Lakini anaishia Kupata Mauzo ya Tshs 70,000 Tu . Kwa Lugha ya Kibiashara Huwa tunasema Charles alikuwa Anafanya Biashara yake Kwa: . "H͟A͟S͟A͟R͟A͟" . -Alikuwa anachati na Wateja 100 Kila Siku Kupitia WhatsApp yake Lakini anaishia Kuuza Kwa Wateja 1-2 Tu . Na Wewe kama Unapitia Changamoto kama Hii Kwa Sasa Kwenye Biashara Yako...basi fanya kama Jinsi alivyofanya Charles Ili Kupindua Meza Kabla hujaingia Hasara Zaidi . So Baada ya Kumsikiliza Charles nikamwambia Maneno Haya: . Charles Unahitaji MFUMO utakaofanya Kazi Kwa Niaba Yako Masaa 24... . Unaweza Kuchati na Wateja 1,000 Kwa Wakati Mmoja?.... nikauliza . Akasema... HAPANA Nyanda! . Mfumo Gani Huo?... akauliza . Nikamwambia unaitwa: . "͟L͟a͟n͟d͟i͟n͟g͟ ͟P͟a͟g͟e͟"͟ . Kwa wale Ambao Ndio mara Yao ya kwanza Kuusikia Mfumo Huu...basi Hii Ndio Maana yake Hapa Chini . Landing Page- ni MFUMO wa Kuuza Bidhaa/Huduma Kwa Niaba Yako Mtandaoni Bila ya uwepo wako Wala Wewe Kuongea na Kuchati na Mteja Mmoja Mmoja . MFUMO Huu Unaweza Kuuza Kwa Wateja Zaidi ya 1,000 Kwa Wakati Mmoja . Kwahiyo: . Ukishakuwa na MFUMO Huu kazi Yako Itakuwa ni Kufanya Matangazo Facebook & Instagram Kisha unapeleka MAFURIKO ya Watu Kwenye Hiyo Landing page Yako Halafu unasuburi Messages za MIAMALA Kwenye Simu Yako . Ndio MFUMO Huu Huu pia niliyomtengenezea Isaack Nsumba na Kumtengenezea Zaidi ya: . "͟T͟s͟h͟s͟ ͟1͟4͟7͟,͟0͟0͟0͟,͟0͟0͟0͟"͟ . ... Ndani ya Miezi 6! . Nakuibia Hii Siri Hapa Chini: Huu Hapa Mfumo niliyomtengenezea Isaack Nsumba...(Copy & Landing page) . (>>> https://isaacknsumba.lpages.co/vg/ ) . Wapo Wengi Sana Wanaotumia MFUMO Huu Kutengeneza Mamilioni ya Pesa Mtandaoni Kwa Sasa . Kifupisha Story ni Kwamba: . Charles hakuwaza Mara Mbili akatengeneza Mfumo na akabadilisha Kila Kitu Ndani ya Mwezi Mmoja na sasa Anafanya Biashara yake Bila HASARA na Hii Hapa Chini Ndio SCREENSHOT ya Shuhuda yake! . Kwahiyo: . Fanya Hivi Ili Kutengeneza MFUMO wako pia... . 1). Andika Copy Yako nzuri au Mtafute Mtaalamu yeyote wa Copywriting akuandikie Copy . Kisha: . 2). Chukua Hiyo Copy iweke Kwenye Landing page Yako . Halafu: . Anza Kuwapeleka Watu Kwenye Hiyo Landing page Yako Kupitia Matangazo ya Kulipia Facebook & Instagram au Share Hiyo link Kwenye Magroup Yako ya WhatsApp na Status Kisha subiri Miamala ya Mpesa & Tigopesa! . Kuna OPTION Mbili za Kufanya Vitu Vyote Hivyo: . 1). Ujifunze Mwenyewe Kila Kitu Yaani Kuandika Copy Pamoja na Kutengeneza Landing . Au: . 2). Umtafute Mtaalamu wa Copywriting akufanyie Kila Kitu . Mfano: . "͟M͟i͟m͟i͟ ͟K͟w͟a͟ ͟S͟a͟s͟a͟ ͟N͟a͟c͟h͟a͟r͟g͟e͟ ͟T͟s͟h͟s͟ ͟4͟0͟0͟,͟0͟0͟0͟ ͟T͟u͟ ͟K͟u͟a͟n͟d͟i͟k͟a͟ ͟C͟o͟p͟y͟ ͟P͟a͟m͟o͟j͟a͟ ͟n͟a͟ ͟K͟u͟t͟e͟n͟g͟e͟n͟e͟z͟a͟ ͟L͟a͟n͟d͟i͟n͟g͟ ͟p͟a͟g͟e͟"͟ . Kwahiyo Chaguo ni Lako! . ILA: . Nimeona Tu nikwambie Siri Hii Kwasababu huwenda Kuwa UNAACHA Pesa Nyingi sana Kwa Sasa Kisa Tu hutumii Mfumo Huu wa Landing Page . I hope Hii itasaidia! . PS: By the way Kama Unataka Kujifunza Jinsi ya Kufanya Kila Kitu Mwenyewe Yaani Kuandika Copy Pamoja na Kutengeneza Landing page... . ...basi Kuna RECORDED Masterclass nilifanya Mwezi uliopita naweza Kukusaidia Kuipata Leo Kwa Exclusive OFA ya:
946
19
[TAHADHARI] : Mwisho wa Kulipia MASTERCLASS ya Leo Usiku ni 6:00PM . (Limeshabaki Saa Limoja Tu) . So: . Kama Unataka Kushiriki Kwenye Masterclass ya Leo Usiku...basi wahi Lipia SASAHIVI Nafasi Bado Unayo! . Namba ya Malipo ni Hii Hapa Chini 👇 . M-PESA/TIGOPESA . 0767-912-157/0679-912-157 . Jina: Amosi Nyanda . Kisha nitumie Ujumbe WhatsApp Ili nikuunge Kwenye Group Tayari Kwa Kusubiri Masterclass . See you soon . Amosi Nyanda!
1 084
20
Aliuza Zaidi Ya Nakala Milioni 500 Za Kitabu Chake Ndani Ya Miezi 12 Tu Kutokana na Kitu Hiki KIMOJA . Miaka Kadhaa nyuma nilisoma Makala moja nzuri sana ya Kijana Mmoja ambaye alitaka Kuandika Kitabu na kuuza Mamilioni ya Nakala . ... Kwasababu alijua Kwamba: . Kuna Kitu KIMOJA Tu kitakachomsaidia Kufanya hivyo nacho ni: . "T͟i͟t͟l͟e͟ ͟Y͟a͟ ͟K͟i͟t͟a͟b͟u͟" . LAKINI.... . Tatizo lilikuwa ni: . "Je Atapataje Title Ya Kitabu Chake Itakayouza Mamilioni ya Nakala?" . Bahati yake ni Kwamba: . Tayari alishasoma Kitabu Cha Napoleon Hill Kinachoitwa: . "T͟h͟i͟n͟k͟ ͟a͟n͟d͟ ͟G͟r͟o͟w͟ ͟R͟i͟c͟h͟" . Alishakisoma Zaidi ya Mara 200! . ...na kama tunavyojua Think & Grow Rich Ndio Kitabu Kilichouza Nakala Nyingi Zaidi Duniani Kote . Baada ya kufikiria kwa Muda Mrefu ndipo alipokuja na Jina la Kitabu Chake Kinachoitwa: . C͟h͟i͟c͟k͟e͟n͟ ͟S͟o͟u͟p͟ ͟f͟o͟r͟ ͟t͟h͟e͟ ͟S͟o͟u͟l͟ . Na Hapa tunavyoongea Sasa Tayari wameshauza Zaidi Ya: . Hembu SUBIRI Kwanza! . Kutokana na Data za Kwenye website yao "Chickensoup.com" zinasema Hivi: . Kitabu cha Chicken Soup for the Soul kimetafasiriwa katika Lugha 43 Tofauti, kimeuzwa Katika Nchi ...na Kimeuza Zaidi ya Nakala Milioni 500 100Duniani kote . Ndio! . N͟a͟k͟a͟l͟a͟ ͟M͟i͟l͟i͟o͟n͟i͟ ͟5͟0͟0͟ . Na cha kushangaza ni Kwamba: . Kitabu Cha Chicken Soup for the Soul ni Mkusanyiko wa Stories Tu za Watu Mbali Mbali . Sio Kwamba kuna Kitu cha SPECIAL sana Ndani yake kushinda Vitabu Vingine . Sasa! . Ni Kitu Gani Kilichofanya Kitabu Hiki Kiuze Nakala Zaidi ya Milioni 500 Ndani ya Muda Mfupi Kiasi Hicho?... . Ndio Upo Sahihi: . N͟i͟ ͟T͟i͟t͟l͟e͟ ͟Y͟a͟ ͟K͟i͟t͟a͟b͟u͟ . Kitabu ni Tittle sio Contents za Ndani . NA: . Somo Kubwa la Kujifunza Kutoka Kwenye story Hii ni Kwamba: . "͟K͟a͟m͟a͟ ͟U͟t͟a͟j͟u͟a͟ ͟J͟i͟n͟s͟i͟ ͟Y͟a͟ ͟K͟u͟p͟a͟c͟k͟a͟g͟e͟ ͟T͟A͟A͟R͟I͟F͟A͟ ͟Z͟a͟k͟o͟ ͟K͟w͟a͟ ͟N͟a͟m͟n͟a͟ ͟A͟m͟b͟a͟y͟o͟ ͟I͟t͟a͟w͟a͟v͟u͟t͟i͟a͟ ͟W͟a͟t͟u͟ ͟W͟e͟n͟g͟i͟n͟e͟ ͟K͟u͟s͟o͟m͟a͟.͟.͟.͟b͟a͟s͟i͟ ͟u͟t͟a͟i͟s͟h͟i͟a͟ ͟K͟u͟t͟e͟n͟g͟e͟n͟e͟z͟a͟ ͟P͟e͟s͟a͟ ͟N͟y͟i͟n͟g͟i͟ ͟S͟a͟n͟a͟ ͟M͟t͟a͟n͟d͟a͟o͟n͟i͟"͟ . Na Hiyo Ndio Siri ya Kuuza aina yoyote ya TAARIFA . Aidha ni eBooks, Courses au Seminars nk . Ukweli MCHUNGU ni Kwamba: . Watu Wawili wanaweza Kuandika Kitu Kile Kile... . Ila Bado KIMOJA Kikauza Mamia ya Nakala Kwasababu Tu Kina Tittle nzuri . Na Hilo Litakuwa ni Miongoni mwa Somo Litakalofundishwa Kwenye Masterclass ya Leo 21:00 Usiku . "Jinsi Ya Kutengeneza Title Ya eBook Yenye Kuuza Zaidi" . Mwisho wa Kulipia Masterclass ilikuwa ni jana Saa SITA Kamili Usiku . ILA.... . Kuna Zaidi ya Watu Watano nimekuta wamelipia 4:00pm . Na Wengine Kibao wamekuja inbox wanasema walikuwa Busy mno week nzima hawakuingia Kwenye Group so wameona Tangazo kwa Kuchelewa leo Asubuhi . Na Wote wanataka Kushiriki Kwenye Masterclass . Kama Mnavyonijua Mimi napenda Kila Mtu ajifunze hasa hasa Kwenye Ujuzi Muhimu kama Huu wa Kuandika eBook . So: . Nimeamua Kuongeza Muda Mpaka leo Saa 6:00 Jioni...(Saa 12 Jioni) . Na... . Nafasi Zilizoongezwa ni 15 Tu...(Na 5 Tayari Zimeshachukuliwa Asubuhi) . Kwahiyo: . Kama Ulikosa Nafasi Mwanzo na ungependa Kushiriki Katika Masterclass ya Leo Usiku...basi wahi Lipia SASAHIVI Tshs 30,000 Tu Kwenda Namba Hizi Hapa Chini 👇 . M-PESA/TIGOPESA . 0767-912-157 / 0679-912-157 . Jina: Amosi Nyanda . Baada ya Malipo nitumie Ujumbe WhatsApp Ili nikuunge Kwenye Group Tayari Kwa Kusubiri Masterclass leo Usiku na wengine . P. S: Gharama Bado ni ile ile Tshs 30,000 Tu...na Bado Utapata BONUSES Zote nilizoahidi . Mwisho wa Kulipia ni Leo Saa 6:00 Jioni! . KUMBUKA: Kila Kitu KITAREKODIWA Kwahiyo Hata kama Utapata Dharura Bado Utapata Masterclass Yako Yote Kwenye WhatsApp yako! . Uwe na Jumamosi Njema . See you soon . Amosi Nyanda!
960