2 058
Subscribers
No data24 hours
No data7 days
No data30 days
Posts Archive
2 058
Baada ya mechi ya YANGA, Kocha wa Mamelodi alienda kumpa pole Aziz Ki. Kocha msaidizi wa YANGA Moussa Ndao alipoona tukio hilo akachukia akaenda kwa hasira kumzuia Aziz Ki kuongea na kocha wa Mamelodi. YANGA hawajatendewa haki na hawajaridhika hata kidogo, sasa Wanaiandikia CAF.
2 058
Baada ya mechi ya YANGA, Kocha wa Mamelodi alienda kumpa pole Aziz Ki. Kocha msaidizi wa YANGA Moussa Ndao alipoona tukio hilo akachukia akaenda kwa hasira kumzuia Aziz Ki kuongea na kocha wa Mamelodi. YANGA hawajatendewa haki na hawajaridhika hata kidogo, sasa Wanaiandikia CAF.
2 058
Yanga Sc imetolewa kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa kichapo cha penati 3-2.
FT: 0-0
Agg (0-0)
Penalty. YANGA β
β
βββ
MAMELODI β
β
β
ββ
2 058
βHata mashabiki wa Yanga Hawaamini kama Mpaka saizi wamesuluhu kipindi cha Kwanzaaβ¦βππβ βMdau
2 058
HALF TIME β° : Mamelodi 0οΈβ£β0οΈβ£Yanga sc
- WANANCHI nini kifanyike kipindi cha pili ..!!π
2 058
Picha iko hivi; Yanga wamewaahidi mastaa wao Sh 100Mil kila bao watakalofunga dhidi ya Mamelodi. Kumbuka, Simba na Yanga mpaka sasa zina uhakika wa Sh 2.3Bil kama zawadi kwa kucheza hatua ya robo fainali lakini yoyote atakayefuzu nusu tu mkwanja unaongezeka kufikia Sh 3Bil kwahiyo hata wakichomoa kwenye hiyo bado klabu zitabaki na cha juu.
.
Yanga wakati wanacheza mechi yao ya kwanza nyumbani dhidi ya Mamelodi Sundowns vigogo wao waliwawekea mezani kiasi cha Sh 300Mil endapo itafanikiwa kushinda matajiri hao wa madini lakini mechi hiyo ikamalizika kwa suluhu.
.
Kuhakikisha matokeo ya sare yoyote ya mabao au ushindi yanayohitajika na Yanga ili ifuzu nusu fainali yanapatikana kwenye mchezo wa ugenini utakaopigwa Ijumaa saa 3:00 usiku, Kigogo wa Yanga, GSM ameongeza dau zaidi akiwaambia mastaa wao kuwa kila bao la mchezo huo litakuwa na thamani ya Sh 100Mil.
2 058
Hii ndiyo shida iliyojitokeza na kupelekea tukose Umeme. TANESCO wanasema mtiririko mkubwa wa maji umeingia kwenye Mitambo ya kufua Umeme huko Kidatu na kupelekea Mitambo hiyo kujizima ili Kujilinda, Jambo hili limeathiri Mfumo mzima wa Gridi ya Taifa. Huko kwenu Umeme umerudi?
