en
Feedback
Elimika🧠

Elimika🧠

Open in Telegram

Learn something new every day Contact @Elimikabongo for businesses

Show more
The country is not specifiedEducation21 677
8 673
Subscribers
-624 hours
-707 days
-29030 days
Posts Archive
1,000,000 USDT awaits you! Toobit Ready to win 1,000,000 usdt rewards? Come to join Win the World event on Toobit. Ad. 18+
1,000,000 USDT awaits you! Toobit Ready to win 1,000,000 usdt rewards? Come to join Win the World event on Toobit. Ad. 18+

1,000,000 USDT awaits you! Toobit Ready to win 1,000,000 usdt rewards? Come to join Win the World event on Toobit. Ad. 18+
1,000,000 USDT awaits you! Toobit Ready to win 1,000,000 usdt rewards? Come to join Win the World event on Toobit. Ad. 18+

Watch and Earn 1,000,000 USDT Toobit Sports season. Come to grab 1,000,000 usdt on Toobit! Ad. 18+
Watch and Earn 1,000,000 USDT Toobit Sports season. Come to grab 1,000,000 usdt on Toobit! Ad. 18+

🧠 AINA 3 ZA AKILI ZINAZOKUONGOZA KILA SIKU Watu wengi huamini kwamba maamuzi yao yote hutokana na mawazo wanayoyafahamu. Lak
🧠 AINA 3 ZA AKILI ZINAZOKUONGOZA KILA SIKU Watu wengi huamini kwamba maamuzi yao yote hutokana na mawazo wanayoyafahamu. Lakini saikolojia inaonyesha kuwa akili ya binadamu ina viwango tofauti vinavyoathiri namna tunavyofikiri, kuhisi na kutenda. 1️⃣ CONSCIOUS MIND (Akili ya Ufahamu) Hii ni sehemu ya akili unayotumia kwa sasa kusoma ujumbe huu. 💡 Kila unapochagua utakula nini, utaenda wapi au kujibu swali, unatumia Conscious Mind. ━━━━━━━━━━━━━━ 2️⃣ SUBCONSCIOUS MIND (Akili ya Chini ya Ufahamu) Hii ni hifadhi kubwa ya kumbukumbu, uzoefu, mazoea, imani na hisia ulizokusanya tangu utotoni. 💡 Mara nyingi kile unachojiambia kila siku hujengeka ndani ya subconscious mind na baadaye huathiri namna unavyoishi. ━━━━━━━━━━━━━━ 3️⃣ UNCONSCIOUS MIND (Akili ya Kina) Hii ndiyo sehemu ya ndani zaidi ya akili ambayo huwezi kuifikia moja kwa moja. 💡 Wakati mwingine mtu anaweza kuchukia au kuogopa jambo fulani bila kujua sababu yake halisi; wataalamu wa saikolojia huona hili kama ushawishi wa michakato ya unconscious mind

photo content

📚 UNAJITAMBULISHA KUNDI GANI? Katika mijadala kuhusu dini na uwepo wa Mungu, mara nyingi utakutana na makundi haya manne. Ha
+1
📚 UNAJITAMBULISHA KUNDI GANI? Katika mijadala kuhusu dini na uwepo wa Mungu, mara nyingi utakutana na makundi haya manne. Haya ndiyo maana zake kwa ufupi: 🔹 THEIST (Muumini) Ni mtu anayeamini kwamba kuna Mungu au miungu inayotawala ulimwengu. 💬 "Ninaamini Mungu yupo." ━━━━━━━━━━━━━━ 🔹 ATHEIST (Asiyeamini Mungu) Ni mtu ambaye haamini kuwepo kwa Mungu au miungu yoyote. 💬 "Sioni sababu ya kuamini kwamba Mungu yupo." Kutokuwa atheist hakumaanishi lazima mtu hana maadili au hana msimamo wa maisha; ni mtazamo kuhusu uwepo wa Mungu. ━━━━━━━━━━━━━━ 🔹 AGNOSTIC (Asiye na Uhakika) Ni mtu anayesema hajui kama Mungu yupo au hayupo, au anaamini kuwa suala hilo haliwezi kuthibitishwa kwa uhakika. Agnosticism ni msimamo wa kutokuwa na uhakika, si lazima kukataa au kuamini. ━━━━━━━━━━━━━━ 🔹 PAGAN (Mpagani) Ni mtu anayefuata dini za jadi au imani za kale zinazohusisha miungu, mizimu, roho au nguvu za asili. Katika historia, neno "mpagani" lilitumika kuelezea watu walio nje ya dini kuu kama Ukristo na Uislamu.

BC.Game Airdrop Reward 🚀 BC GAME Instant Crypto Rewards, Fast Payout 🎁 Play Now to Claim 360% Deposit Bonus! Ad. 18+
BC.Game Airdrop Reward 🚀 BC GAME Instant Crypto Rewards, Fast Payout 🎁 Play Now to Claim 360% Deposit Bonus! Ad. 18+

BC.Game Airdrop Reward 🚀 BC GAME Instant Crypto Rewards, Fast Payout 🎁 Play Now to Claim 360% Deposit Bonus! Ad. 18+
BC.Game Airdrop Reward 🚀 BC GAME Instant Crypto Rewards, Fast Payout 🎁 Play Now to Claim 360% Deposit Bonus! Ad. 18+

Owner 1win 1win Do you know the secret to 1win's success? Its a a simple rule: if a player wins — they pay him quickly. It do
Owner 1win 1win Do you know the secret to 1win's success? Its a a simple rule: if a player wins — they pay him quickly. It doesn’t matter if it’s $100 or $20 million — payouts are processed instantly. This is how companies trusted by millions of players operate. If you’re curious how a crypto casino really works, check out the 1win owner’s channel. Ad. 18+

Join the ASRA ecosystem, ASRA token Assetara ASRA is the Assetara.ai ecosystem token for those who want not only to hold cryp
Join the ASRA ecosystem, ASRA token Assetara ASRA is the Assetara.ai ecosystem token for those who want not only to hold cryptocurrency but also to participate in the network’s activities. By purchasing ASRA, you gain access to staking, the internal betting economy based on market scenarios, and opportunities to build your own referral network around the product. Growth potential and bonuses Ad. 18+

Join the ASRA ecosystem, ASRA token Assetara ASRA is the Assetara.ai ecosystem token for those who want not only to hold cryp
Join the ASRA ecosystem, ASRA token Assetara ASRA is the Assetara.ai ecosystem token for those who want not only to hold cryptocurrency but also to participate in the network’s activities. By purchasing ASRA, you gain access to staking, the internal betting economy based on market scenarios, and opportunities to build your own referral network around the product. Growth potential and bonuses Ad. 18+

Big Bang Theory ni nadharia ya kisayansi inayoeleza jinsi ulimwengu ulivyoanza ni tofauti kabisa na ile ya kidini 🌌 Maelezo
Big Bang Theory ni nadharia ya kisayansi inayoeleza jinsi ulimwengu ulivyoanza ni tofauti kabisa na ile ya kidini 🌌 Maelezo rahisi Big Bang inasema kwamba: Ulimwengu wote ulianza kama kitu kidogo sana, chenye joto kali sana na msongamano mkubwa sana Kisha ulilipuka (sio mlipuko wa kawaida, bali upanuzi) na kuanza kupanuka Tangu hapo hadi leo, ulimwengu unaendelea kupanuka 🕰️ Ilitokea lini? Takribani miaka bilioni 13.8 iliyopita 🔬 Nini kilitokea baada ya Big Bang? Sekunde za mwanzo: nishati na chembe ndogo zilianza kuundwa Dakika chache baadaye: atomi rahisi kama hidrojeni na heliamu Miaka milioni kadhaa: nyota na galaksi zilianza kutengenezwa Baadaye: mifumo kama jua na sayari (ikiwemo Dunia) 🧠 Ushahidi wa Big Bang Wanasayansi wanaamini nadharia hii kwa sababu ya: Upanuzi wa ulimwengu (galaksi zinaenda mbali na sisi) Mionzi ya zamani (cosmic microwave background) – mabaki ya mlipuko wa mwanzo Uwiano wa gesi kama hidrojeni na heliamu

The Inner Circle Awaits. KLUB28 Welcome to KLUB28 - the private crypto casino built for those who play at the highest level.
The Inner Circle Awaits. KLUB28 Welcome to KLUB28 - the private crypto casino built for those who play at the highest level. Live baccarat, blackjack, and roulette with real dealers. No limits. Instant withdrawals. 100% first deposit bonus for new VIP members. Your seat at the table is waiting. Ad. 18+

High-Limit Tables. Await You. KLUB28 KLUB28 - Where high rollers play with no limits. Live dealers. Private tables. Instant c
High-Limit Tables. Await You. KLUB28 KLUB28 - Where high rollers play with no limits. Live dealers. Private tables. Instant crypto payouts. 100% deposit match for new VIP members. Join the elite. Ad. 18+

Life is a Gamble. Play to Win. KLUB28 KLUB28 - Premium crypto casino for elite players. Live dealer tables running 24/7. Bacc
Life is a Gamble. Play to Win. KLUB28 KLUB28 - Premium crypto casino for elite players. Live dealer tables running 24/7. Baccarat. Blackjack. Roulette. Crypto deposits and instant payouts. First deposit 100% matched. Built for players who refuse to settle for less. Join the inner circle today. Ad. 18+

Pay for Games with Crypto Pay2.House Buy games, subscriptions and in-game items using crypto. 💳 Virtual card for Steam, Play
Pay for Games with Crypto Pay2.House Buy games, subscriptions and in-game items using crypto. 💳 Virtual card for Steam, PlayStation, Xbox ✔ Fast issue ✔ Works online 💰 Issue — $5 🔸 Start from $50 Ad. 18+

Play for Fun - 15 Seconds to Win! Playw3 Most Popular 2025 Social Gaming Platform, Join Now (no VPN) Ad. 18+
Play for Fun - 15 Seconds to Win! Playw3 Most Popular 2025 Social Gaming Platform, Join Now (no VPN) Ad. 18+

PIGA SIMU au text 0628314490 kuna hela yako nzuri hapa
PIGA SIMU au text 0628314490 kuna hela yako nzuri hapa

The Pentagon. Leo tuongelee kuhusu huu mjengo tata wenye sifa Kama zote duniani. Pentagon ni mjengo wa offisi za idara kuu ya ulinzi wa marekani. Lilijengwa tarehe 11/09/1941 na ilipofika tarehe 15/01/1943 mjengo huo ulikuwa umekamilika. Kwa ufupi lilijengwa kwa miezi kumi na sita 16. Yaani mwaka na miezi NNE. Pentagon lilidizainiwa na bwana George Bergstrom na kujengwa na bwana John Mcshain. 👉 Pentagon Ina ukubwa wa mita za mraba 620.000 yaani futi ( 6.636 360 ). Na heka 27 za parking ya magari. 👉 Pentagon Ina orofa 7 tano za juu ya ardhi na mbili chino ya ardhi. Ina pembe tano na kila pembe Ina urefu wa mita 281 . pembe zake tano ndiomana ikaitwa The Pentagon. 👉 The pentagon iligharimu serekali ya marekani dollar za kimarekani million 83 miaka iyo sawa na dollar billion 1.19 mwaka 2021. 👉 The Pentagon Ina waajiriwa wa kijeshi 45.000 na 3000 RAIA wakawaida. 👉 The Pentagon imekuwa Mjengo mkubwa zaidi duniani kiofissi kwa miaka 80. Na hapo nibaada ya India kuzindua mjengo wao wa kioffissi za serekali hapo juni 20 mwaka huu. BACKGROUND YAKE. Vita kuu vya dunia vilipotokea pale ulaya Idara ya ulinzi ya marekani ilijikuta kupungukiwa na offisi kutokana na harakati zake nyingi za kijeshi. Hivyo aliekuwa the Secretary of state kipindi iko alitoa ombi kwenye bunge lawatu wazima lakutaka kuongezwa kwa offisi za kijeshi. 👉 Hivyo ombi lilikubalika bila kipingamizi na kusema Idara ya ulinzi kuu Ijengwe pale Arlington Virginia washington karibu na mtoni. MATUKIO PENTAGON. Tarehe 15/02/1967 Pentagon lilikabiliwa na waandamanaji zidi ya vita vya Vietnam. Kundi LA wanawake 2.500 walizingira eneo hilo uku wakishikilia mabango yaliohashiria amani Kati ya watu wazima USA na Vietnam. 👉 Tarehe 21 /10/1967 kundi LA anti war prontester wapatao 35.000 waliandamana kwenye offisi ya mkuu wa idara ya ulinzi uku wa kipigwa vimbola vya kutoa machozi. 👉 mwaka 19/05/1972 shirika LA hali ya hewa LA chini ya ardhi lilishambulia orofa ya NNE ya mapumzikio ya mjengo wa The Pentagon mwishoni mwa vita yao na Vietnam. 👉 mwaka 17/03/2007 watu wapatao 15.000 walihandamana zidi ya vita Kati ya USA na Iraq. Huku msafara wao ukianzia kutoka kwenye jengo LA ukumbusho LA lincolin hadi kwenye ukingo wa the Pentagon. 👉 11/09/2001 siku ya kusherekea miaka 60 ya The Pentagon Jengo hili lilishambuliwa na wanaume watano walioiteka ndege ya the american air line 77 na kuipigisha kwenye ukuta wa magharibi wa The Pentagon. 👉 Tukio hili lilitokea majira ya asubuhi 09;45 na kusababisha vifo vya watu 3000 na kuanguka kwa mijengo miwili ya the world trade center. 👉Hili limekuwa tukio lakwanza kuwai kutokea ndani ya marekani tangu taifa ilo kujinyakulia Uhuru wake 1776, ambalo limesababishwa na Sera za nje. 👉 Pamoja na kwamba ndilo jengo lenye ulinzi tata duniani baada ya The white house waajiriwa wengi siku iyo hawakukuwa kwenye offisi zao. Maana badala ya waajiriwa 45.000 siku hiyo walikuwepo waajiriwa 800 pekee hivyo wale ma alqaida wakapata mwanya na kupenya katika radari za ulinzi za The Pentagon. 👉 ikumbukwe mbali nakwamba baada tu ya uchaguzi wa urais huko Misri, Cairo watazindua offisi yao ya ulinzi mpya kubwa zaidi duniani itakayoitwa The Octagon yenye pembe nane , Ilisikika waziri wa ulinzi wa misri akitamka yakwamba The Pentagon itabaki kuwa Unbeaten katika nyanya zote maana imejengwa kwa ustadi usio wakaida. 👉Mwaka 2011 The pentagon liliboreshwa upya katika miundo mbinu ya hali ya juu yakisasa ya kuistamili makombora ya aina yoypte ikiwemo hata Yale yanayobeba vichwa vya nuclear. Marekani imekuwa inachukuwa sifa nyingi katika maswala ya ulinzi nikutokana na uchokozi wake pamoja wivu anaowekewa na nchi jerani pamoja na nchi zenye utawala wa kimabavu. USA ndio imekuwa nchi namba moja katika maswala ya ulinzi katika idara zote hadi The withe house pamoja na msafara wa rais wake unaojulikana Kama The Beast. Umeambiwa hapo ikulu yake bomo LA nuclear halipenye 60 km angani. Imepenya hii au niongezee nyundo.??.

photo content