en
Feedback
TechMinded

TechMinded

Open in Telegram

🚩 Channel was restricted by Telegram

Show more
No data
Subscribers
-824 hours
-737 days
-15730 days
Posts Archive
Repost from TechMinded
"HTTP INJECTOR (SSH/Proxy/V2Ray) VPN" https://play.google.com/store/apps/details?id=com.evozi.injector ☣️ TTCL Hasubui 06:00 - 09:00am

Unahitaji Kutengeneza Pesa Online? Karibu Kwenye Hii Chaanel https://t.me/Techanyohustler

Habari, Kama Unatumia Premium Telegram Naomba Unisaidie Kuboost Channel Yetu https://t.me/boost/Tech_Minded

Somo Lijalo Ni Kutengeneza File La Socksip Kwa Udp Likes 100 Natuma Video Tukitoka Hapo Tutahamia HTPP CUSTOM @Tech_minded @Anyonymo

Hii Ni Video Namba Mbili Usipoelewa Hizi Video Basi Unakichwa Kigumu😄 @Anyonymo @Tech_minded

Hii Ni Video Namba Moja Namba Mbili Ni Hii Ya Chini👇👇👇 @Tech_minded @Anyonymo

Nawaandalia Video Ya Kutumia Socksip, Reaction Zikifika 20 Tu Nawatumia, No File Ni Just Connected Tu Hata Kwa Mtu Asiyejua Kutengeneza Au Kutumia Mafile @Tech_Minded @Anyonymo #Tips

Nawatumia Video Ya Kutengeneza Udp Kwa Socksip Video Itakayofuata Baada Ya Hii Itakua Ya Http Custom

Je Ni Kweli Yasemwayo Telegram Uku Kwetu Ishafungiwa?
Anonymous voting

Nataka Mtu Mmoja Anayetumia Halotel Aje Nimtumie Bando { MBS 1024 Sawa Na Gb 1 } Kwa Tsh. 1300 Tu Hizo Gb Zitakua Za Siku Moja Tu, Ukiwa Interested Niambie Hapa Kwenye Comment, Inbox Yangu @SalimNasserBot Au WhatsApp +255742486916 📱Mtu Mmoja Tu👍

Mpaka Sasa Kama Ulishindwa Kupata Hela $Dogs Basi Hata Usijali Tuna Michongo Miwili Au Mitatu Ambayo Tunaona Mwezi Huu Wa Tisa Itatema Pesa Ila Mmoja Ni Uhakika Kabisa Kwani Hadi Tarehe Ya Kuingiza Sokoni Ishawekwa 26/09 HAMSTER KOMBAT https://t.me/hamster_kombaT_bot/start?startapp=kentId6008109164 BLUM https://t.me/blum/app?startapp=ref_r0E8fDbWBw Hizi Mbili Tuhangaike Nazo Kwani Lazima Ziteme Tu

#Habari Mpya: 🇫🇷 Pavel Durov ameachiwa huru kutoka kwa ulinzi na ametolewa kwa dhamana ya €5,000,000. sawa na TZS 15,103,583,805.00 @Tech_Minded | #Durovisfree

Kwa Kua Sasa Hivi Telegram Imekua Na Changamoto Kwenye Upande Wa Kuingia Bila Ya Vpn Au Proxy Nakutambulisha Hii Channel Kama
Kwa Kua Sasa Hivi Telegram Imekua Na Changamoto Kwenye Upande Wa Kuingia Bila Ya Vpn Au Proxy Nakutambulisha Hii Channel Kama Hauna Vpn Ya Kulogin Huku Ingia Kwenye Hii Channel Chagua Proxy Moja Connect Itakuja Kama Kwenye Mshale Hapo Juu Hivyo Itakusaidia Katika Kuperuzi Uku Telegram Bila Ya Vpn Channel Yenyewe Hii Hapa: @ProxyMTProto 📱@Tech_Minded #Proxy

Mueke Hata Kwenye Group Kama Kuna Mtu Mwingine Anajua Atajibu😄

Na Kuconnect Na Wallet Kama Ulichelewa Ndio Basi Tena😂😜, Kwa Sasa Haipo Tena Ilikua Mwisho Tarehe 23, Kwa Sasa Ni Kwa Wale Tu Walioconnect Na Wallet Zao

Na Ukija Inbox Uwe Umeconnect Na Wallet Iwe Inasoma Either Kwenye Telegram Wallet Ton Keeper Na Kadharika Mfano Kwenye Picha
Na Ukija Inbox Uwe Umeconnect Na Wallet Iwe Inasoma Either Kwenye Telegram Wallet Ton Keeper Na Kadharika Mfano Kwenye Picha Hapo👆👆👆

Kama Upo Na Usd Ambazo Umezipata Kwenye Dogs Na Haujui Unazitoaje Hela Yako Sema Hapo Kwenye Comment Au Nicheki Inbox Mwisho Tarehe 29/08/2024 @SalimNasserBot

MGEKUWA WATULIVU NINGEWAPA CODES ZAKU TAKE DOWN ANY WEBSITE SHIDA MKIPEWA MTA HACK HADI WEBSITE YA TRA TANZANIA 😂😂 MSILIPE TAX 😳

#Sorry - TMD samahanini sana sana mpaka sasa sijawapa video kuusu ku Crack Zip Password.. - Sasa nitaandaa maelezo tu coz mambo ni mengi sana pia kuusu Wifi Hack msijali njia nyepesi Duniani ni BRUTEFORCE ATTACK kwa wanao elewa. Pia nayenyewe taelezea kikubwa tuombeane uzima Tool ninayo @Tech_Minded #tip