π¦ππ ππππ‘ π§πππ π
Open in Telegram
KARIBUNI SANA KWENYE CHANNEL HII HAPA TUNAHUSIKA NA π FREE INTERNET π APP ZILIZOHACKIWA π MOVIES MPYA SERIES NA SINGLE π CORRECT SCORES BURE π TECH UPDATES π MAUJANJA MBALIMBALI π KUPATA PESA ONLINE π PROGRAM ZA PC. πGAMES. YOUTUBE:SAMALEN TV β
Show moreThe country is not specifiedTechnologies & Applications43 315
783
Subscribers
No data24 hours
No data7 days
+230 days
Posts Archive
HELLO NIMEACHIA VIDEO MPYA KARIBUNI TUJIFUNZE KWA PAMOJA Naomba tusaidiane ku share ili na wengine pia wajifunze ujuzi huu π€
https://youtu.be/wW-2AEsCxWM
Tuombe kidogo,
Mungu Tunakuja mbele zako leo weekend kila mtu aliyeifuata page yangu naomba akapate riziki halali kwa kazi anayoifanya angalau asikose hata elfu 10 mfukoni kwa ajili ya matumizi madogo madogo Milango yetu ya baraka ikafunguke ,Amen! π
Cc SAMALEN TV GP π€΄
Tumezindua App yetu leo itakayobeba baadhi ya Platforms zetu SAMALEN TV inaitwa SAMALEN ZONE Hakika hutojutia kuidownload
https://bit.ly/SAMALENZONE App inaendelea kuboreshwa kila wakati
Share kwa rafiki yako π
VIDEO MPYA LEO USAIDIZI KWA AMBAO MMEWAHI KUPOTEZA ACCOUNT ZENU ZA WHATSAPP HASA WATUMIAJI WA GB WASAP
https://youtu.be/zTn01Psatvc?si=-JTm0w4qJUbqmkAt
SHARE KWA RAFIKI YAKO .π€
Hongereni sana Herini ya kuuona mwaka mpya 2024 π«‘ SAMALEN TV MWAKA WA MAFANIKIO
KAMA UNA DATE KUWA MAKINI NA DALILI HIZI 7 ACHANA NAE!
https://samalentv.blogspot.com/2023/12/7-texting-red-flags-in-woman-messages-7.html
Asanteni sana kwa kuwa wafuatiliaji wa SAMALEN TV na SAMALEN TIPS! Nawatakia heri ya Sikukuu ya Krismasi na mwaka mpya 2024 wenye furaha, amani, na mafanikio tele. Mvuke wa mafanikio na baraka ziendelee kuwafuata kila hatua mnayochukua. Karibuni mwaka mpya na matumaini mapya! π
JINSI YA KUPUNGUZA MATUMIZI YA BANDO KATIKA SIMU YAKO KWENYE TELEGRAM.
https://youtu.be/UBUt4-PQ6tE
JINSI BARAKA THE PRINCE ALIVYOSUSIA INTERVIEW KISA ALIKIBA.
https://youtu.be/zU_iK31XPQ0
MDAU KUTOKA KWENYE DISCUSSION GROUP AMEULIZA KUHUSIANA NA KUDUKUA WIFI NJIA RAHISI Isiyohitaji kufahamu hacking ndio hii hapa tulishawahi kuichapisha humu muda mrefu
https://t.me/samalentvtech/844
TUMEREJEA YOUTUBE BAADA YA KUADIMIKA KWA MUDA TUNA SUBSCRIBERS 5.5K Tunaomba sapoti yako kwa kuitazama Video hii kisha SUBSCRIBE LIKE COMMENT
JINSI YA KUFANYA IPHONE YAKO IWE SPIDI ||REDUCE MOTION.
https://youtu.be/o1rNleZ5H0A
http://codepen.io
π₯Codepen Website Inawaruhusu Programmers Na Web Designer Kuweza Kutengeneza Na Kushare Codes ( HTM, CSS, JavaScript, nk )
Unaweza Kuitumia Kuandika Codes Zako, Preview Na Kushare Kama Utaitaji
Wale Wanaohitaji Source Codes Mfano Glassmorphism Cards, 3D Button Zote Utazipata Humo.
π± @Samalen_Tech π‘ #Website π
HABARI TUNAPATIKANA WHATSAPP KUPITIA CHANNEL YETU MPYA YA SAMALEN TV
Unaweza kujiunga kupitia link hii
https://whatsapp.com/channel/0029Va8TpHhIXnlvWRqcxM3Q
Karibu ujiunge na ulimwengu wa Teknolojia π½
