en
Feedback
π—¦π—”π— π—”π—Ÿπ—˜π—‘ π—§π—˜π—–π—› πŸ›œ

π—¦π—”π— π—”π—Ÿπ—˜π—‘ π—§π—˜π—–π—› πŸ›œ

Open in Telegram

KARIBUNI SANA KWENYE CHANNEL HII HAPA TUNAHUSIKA NA πŸ‘‰ FREE INTERNET πŸ‘‰ APP ZILIZOHACKIWA πŸ‘‰ MOVIES MPYA SERIES NA SINGLE πŸ‘‰ CORRECT SCORES BURE πŸ‘‰ TECH UPDATES πŸ‘‰ MAUJANJA MBALIMBALI πŸ‘‰ KUPATA PESA ONLINE πŸ‘‰ PROGRAM ZA PC. πŸ‘‰GAMES. YOUTUBE:SAMALEN TV βœ“

Show more
The country is not specifiedTechnologies & Applications43 315
783
Subscribers
No data24 hours
No data7 days
+230 days
Posts Archive
WEWE CONTENT CREATOR au kama unapost kazi zako mitandaoni usiache kusoma hii https://www.instagram.com/p/C574nYEs9fh/?igsh=NT
WEWE CONTENT CREATOR au kama unapost kazi zako mitandaoni usiache kusoma hii https://www.instagram.com/p/C574nYEs9fh/?igsh=NTdxdDFzaXRmOXVv Share na kwa mwingine πŸ™Œ

WEWE CONTENT CREATOR au kama unapost kazi zako mitandaoni usiache kusoma hii https://www.instagram.com/p/C574nYEs9fh/?igsh=NTdxdDFzaXRmOXVv Share na kwa mwingine πŸ™Œ

Jipatie simu ya ndoto yako dukani kwetu agiza simu yoyote kwa Bei nafuu kuanzia iPhone 6- IPhone 15 Pro Max ⭐️SAMALEN SHOP βœ…F
Jipatie simu ya ndoto yako dukani kwetu agiza simu yoyote kwa Bei nafuu kuanzia iPhone 6- IPhone 15 Pro Max ⭐️SAMALEN SHOP βœ…Free Charger & Free EarPhone βœ…Free Cover & Free Protector βœ…1-Year Warrant CoverdπŸ€™CASHβœ…EXCHANGEβœ…TOP^UP ☎️Call/WhatsApp_+255788016006 ⛳️Location-Arusha

KUTOKA KWENYE VIDEO NILIYOTOA JUZI (SAMALEN TV) views 3.3K+ KESHO MPINGA KRISTO (MASIH DAJJAL) ANAACHWA RASMI-MWISHO UMEKARIBIA Muda umefika Internet inazima, hutoweza kutumia simu wala mitandao Haitokuwa milele ila ni siku 3 mpaka miezi mwezi hivi, Tunaweza kuishi na tatizo hili Tunza maji, tunza chakula giza kubwa linakuja Kupatwa kwa jua kuna kuja, ni ishara ya kutoka kwa mpinga kristo Wanajua kinachokuja, wanajua wanachokifanya lakini wanataka tusijue Wanajua Mungu na Yesu wapo kweli ila wanatupumbaza tupuuzie Wanajua muda umekwisha, wanajua kila kitu kitaanguka Ukweli umejidhihirisha lakini tunapuuzia, kila kitu kinatokea na vita nyingi zinakuja hivyo jiandae (weka chakula na maji). Kwenye katuni ya Simpsons episode 24, imetabiri hili Jua likipatwa hakutakuwa na umeme, Internet na kila kitu kitaacha kufanya kazi. Matatizo yatatokea, giza kubwa litatanda. Ni tarehe 8 ya mwezi wa nne mwaka yaani (kesho). Maeneo ya siri yatafunikwa kabisa na giza ili kukamilisha utabiri wa biblia kuja kwa mpinga kristo (Ant Christ). Hii sio conspiracy theory ila ni ishara pekee ya mwisho ambayo inaashiria mwisho wa dunia. Wanasayansi na elites (kikundi cha siri) wanapinga kimawazo ili kuvuruga watu, lakini wote lengo lao ni moja kupumbaza dunia na watu kutokujua nini kinaendelea. Ndio maana movie baada ya movie zinatoka, series baada ya series, music baada ya music na zote ni nzuri zinazovutia attention yako. Ukweli ni kwamba matukio haya yote ya kupatwa kwa jua, kukosa Internet, giza, yote yanahusiana na kuukaribisha ulimwengu wa New World Order, Kumkaribisha Mpinga kristo (Masih Dajjal) na kubadilisha kitu kitu kuongozwa kishetani. Kwenye Mathayo 12 Yesu anasema "Mtaitafuta ishara hamtaiona isipokuwa ya ishara ya Yona". Tukio la mwaka huu litatokwa kwenye constellation cetus yenye maana ya NYANGUMI ambaye ni mnyama aliyemmeza yona alipokaidi maagizo ya Mungu. Yesu anajaribu kutuambia kitu. HIZI NI NYAKATI ZA MWISHO anasema Mwishowadunia Maji ya bahari yatakuwa na rangi nyeusi, viumbe wa ajabu watatoka kwenye maji, vita zitaanza na kabla ya mwisho wa mwaka huu msanii maarufu aliyefariki atajitokea na kusema aliigiza kifo chake. Kila kitu kimepangwa na huyu Shetani, yeye ni mtawala hapa. Unadhani Mark Zuckerberg kajenga handaki kwa bahati mbaya? Vita kubwa itakwenda kutokea, vitu vya ajabu vitainuka wote tutaona. Movies, katuni, music vyote vinatabiri lakini bado mko mbali na Mungu. Hili suala linaloenda kutokea ni la kiroho na sio akili, kihisia wala kisayansi. Ukitaka kujua zaidi weka jeuri, kiburi na ujuaji pembeni kwa sababu hivyo haviwezi kukupa ukweli. Njia ya kuishi kwenye nyakati hizi mbaya, ni kuwa na akiba ya maji ndani, weka lita 5 kwa mtu mmoja kila siku, chakula kisichoharihika, jiko la mkaa, gasi na kuni, tunza chanzo cha mwanga kama mishumaa na tochi, jenerata, mafuta, powerbank, first aid kit, silaha kujilinda, sabuni, sanitizer, toilet paper, tishu.. Kujiandaa ni bora kuliko kusubiria kuona utakavyosurvive. Baada la giza la muda unaokadiriwa kuwa wa siku 3 - 5, jua litarudi na hicho kipindi kitaitwa "Mwanzo wa kizazi cha dhahabu" Na hii ni mwanzo wa NEW WORLD ORDERE. Kumbuka Mungu wako sio bora kuliko Mungu wa mwingine, Dini yako sio Bora kuliko Dini ya mwingine, Huna haki kuzidi mwingine. Mungu ni mmoja tu na yeye ndiye atakayetoa Hukumu. Fuatilia video kufahamu zaidi youtu.be/Coy1wZtFDBo UPATAPO TAARIFA HII SHARE NA KWA WENGINE ⚠️

KWANZA ASANTENI SANA KWA SUBSCRIBERS 6K Kama upo Miongoni Napenda nitoe shukrani zetu za dhati kwako Tunazidi kukusogezea taarifa na updates mbalimbali GOLI LA YANGA LILILOKATALIWA DHIDI YA MAMELODI LEO 0:0 FT https://youtu.be/7WVrmSPfca0

KABLA HAKIJATOKEA KINACHOENDA KUTOKEA JUMATATU ANGALIA VIDEO HII NINI KITATOKEA TAREHE 8/4/2024 ! youtu.be/Coy1wZtFDBo IMEANG
KABLA HAKIJATOKEA KINACHOENDA KUTOKEA JUMATATU ANGALIA VIDEO HII NINI KITATOKEA TAREHE 8/4/2024 ! youtu.be/Coy1wZtFDBo IMEANGALIWA NA ZAIDI YA WATU 2000+ MWISHO WA DUNIA UMEKARIBIA

New Video now JINSI YA KU SHARE FILES KWENYE PC KWA IPHONES BILA APP AU SOFTWARE 2024|| NI BURE youtu.be/dXXSnmxMiao Watch&Share πŸ™

JINSI YA KUILINDA FACEBOOK ACCOUNT YAKO ISIWEKWE PICHA CHAFU | NJIA MPYA 2024 https://youtu.be/PTXFgyaAe5s

Unatamani kujifunza teknolojia kupitia simu yako ?? Una changamoto yoyote ya simu computer au kifaa chochote kinachotumia umeme na huna mtu wa kukushauri jinsi ya kukitengeneza?? Unatamani kujifunza kutengeneza hela online bila kuwa na kipato chochote ni kwa kutumia tu simu yako ya mkononi?? Suluhisho lako lipo hapa SAMALEN TV TECH kutana na wataalamu mbalimbali wanaoifahamu TEKNOLOJIA kiundani kabisa wasilisha mapendekezo yako changamoto na jifunze bure kabisa kupitia group letu Ukipata link hii ni nafasi ya upendeleo usiwe mchoyo msaidie na mwingine aweze kunufaika sote tulijenge taifa moja Karibuni sana https://chat.whatsapp.com/HsT7V7ovZgS5bqjsSeAa8D Upatapo link hii msambazie na mwingine 🀝

Diamond na Harmonize wakisalimiana, leo kwenye mwaliko wa ftari na Mama Samia. https://youtu.be/uwVsa2ux7Ss

Hongera sana mdau wangu wa SAMALEN TV Be blessed @SamalenTv VIEWS 200K πŸ₯‚
Hongera sana mdau wangu wa SAMALEN TV Be blessed @SamalenTv VIEWS 200K πŸ₯‚

SAMALEN TV INAWATAKIA WANAWAKE WOTE DUNIANI HERI YA SIKUKUU ZA WANAWAKE DUNIANI @SamalenTv #Samalentv
SAMALEN TV INAWATAKIA WANAWAKE WOTE DUNIANI HERI YA SIKUKUU ZA WANAWAKE DUNIANI @SamalenTv #Samalentv

IFAHAMU SAA ANAYOVAA RAISI WA TZ YENYE THAMANI YA MILIONI 111 BVLGARI SERPENTI SEDUTTORI GOLD. https://youtu.be/W464l3VHKOM