فــتــاوۑ الـمــرأة المسلمة 🌼🌷
نهدف الى جمع فتاوى أهل العلم في بيان كل ما تحتاجه المرأة من أحكام دينها لتعلم الواجب فتلتزمه والمنهي عنه فتجتنبه ! Subscribe to our YOUTUBE CHANNEL ⤵️ https://youtube.com/channel/UCf1RaeE_PrHMEW8ffVHi9-Q
Show more1 628
Subscribers
+524 hours
+187 days
+10630 days
- Subscribers
- Post coverage
- ER - engagement ratio
Data loading in progress...
Subscriber growth rate
Data loading in progress...
*[Twalibul ilm na; adabu na tabia bora]*
Alisema Al imaam Maalik- Allah amrehemu:
_Ni haki juu ya (anastahiki) anayetafuta ilm awe na waqaar (utulivu na upole wa kinafsi) na sakiinah (utulivu wa kimwili), na awe mwenye kufuata athar (mwenendo) wa waliopita kabla yake._
Hasan/hadith ya Abil fadhl Az-Zuhry 544
_Vipi lau ataona imaam Maalik yanayotokea leo miongoni mwa matusi na kupeana majina na qadhf katika nyumba za Allah, kwa jina la ilm._
✍🏿Sheikh Dr. Arafaat Al Muhammady -Allah amhifadhi.
════ ❁✿❁ ════
*Salafi Da'wah East Africa (Salafi Da'wah Afrika Mashariki)*
❤ 1
Repost from Nahjusalaf Online
MUABUDU MOLA WAKO MPAKA IKUJIE YAKINI (KIFO)
👉 Mola wa ramadhani ndio huyo huyo mola wa mfungomosi na miezi mingine yote ya mwaka
🎙️🎙️Sheikh Swaalih Al-Fawzaan حفظه الله
Tarjama: Al-Akh Abuu Ayman Al-Shiraaziy حفظه الله تعالى
👍 1