Harmonize
Open in Telegram
East African πΉπΏ @sayonatanzania & @crdbbankplc Brand Ambassador π KONDE MUSIC WORLDWIDE @ibraah_tz π Booking: Harmonizemanagement@gmail.com
Show moreThe country is not specifiedThe category is not specified
3 523
Subscribers
No data24 hours
No data7 days
+1730 days
Posts Archive
3 523
WE MADE IT HOMIE @kajalafrida β€β€
WWW.CEEK.COM @ceekvr πββοΈπββοΈ YESS @bluediamondtr DID THIS π
3 523
Watu sita wa familia moja wameuawa usiku wa kuamkia leo kwa kukatwa na mapanga sehemu mbalimbali za mwili na Watu wasiojulikana katika Kijiji cha Kiganza wilayani Kigoma Mkoani Kigoma.
Familia hiyo ya Mussa Cheche kwa sasa waliobaki hai ni Mtoto mwenye umri wa miaka 4 ambaye amejuruhiwa na Mtoto mwingine mdogo wa miezi minne ambapo Kaimu Kamanda wa Polisi Kigoma Menrad Sindano amesema chanzo bado hakijafahamika.
Kamanda Sindano amesema βHawa Watu wote wameuawa wakiwa wamelala kwenye vitanda vyao si mauaji ya Mtu mmoja au wawili na kuna vyumba vitatu na miili hiyo imekutwa kwenye vyumba hivyo, na inaonekana wauaji ni zaidi ya Mtu mmoja, uchunguzi bado unaendelea, msako mkali unafanyika kuhakikisha wale wote waliohusika na tukio hili wanakamatwa na kufikishwa kwenye vyombo vya sheriaβ
#MillardAyoUPDATES
3 523
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetoa taarifa kuwa kumetokea changamoto ya manunuzi ya umeme kwenye mfumo wa LUKU leo kuanzia saa 1: 30 usiku ambapo kwa sasa Wateja wanashindwa kufanya manunuzi ya umeme kwa njia zote za mitandao ya simu na njia za kibenki.
βWataalamu wetu wanaendelea na jitihada za kutatua changamoto iliyojitokeza na tutawataarifu maendeleo ya kazi hiyo itakapokamilika, Shirika linaomba radhi kwa usumbufu wowote unaojitokezaβ
#MillardAyoUPDATES
3 523
DEKA IT'S BIGGEST SONG ππ I WAS LUCKING FOR BADEST DIRECTOR IN THE GAME TO KILL THIS π¬ YESS WE HAVE AGREED BADEST BOY @director_kenny MY BROTHER DAY ONE SO PROUD OF WHO YOUR IN THE GAME BELIEVED ON YOU DAY ONE NI WAKATI WANGU WAKU #DEKA SASA HERE WE GO AGAIN π #DEKA VIDEO WE GO ON SET THURSDAY FT @mabantugram KAMA SIO #KENNY UNAHISI NI NANI ...??? π€π€π€
3 523
AUSTRALIA π¦πΊ LET'S GO πΆ πΆββοΈπΆββοΈπ¬π¬
FROM 16 & 17 SEPTEMBER π
3 523
Changamoto & Mitihani & Shida Matatizo Mbalimbali Yapo Mengi Sana Katika Jamii Zetu Hata Uwe Tajiri Kiasi Gani Huwezi Maliza Shida Za Watu Wote ila Tusivunjike Moyo Katika Kutengeneza Faraja Kwa Wahitaji Hatakama Kwa Uchache Kiasi Gani Binafsi Nimefurahishwa Sana Na Hii Movement Ya Brothers Tanzania Football icon @samagoal77 Pamoja Na Tanzania music icon @officialalikiba Binafsi Nilitamani Kushiri Sanaa Kwapamoja Ili Kutengeneza Furaha Zaidi Ila Naamini KONDEGANG F.C Mtaniwakirisha Hiyo Tarehe 18/6/ JUMA MOSSI Na Niwaambie tu Rasmi Kuwa Sisi Ni TEAM #SAMMATA Wana bahati Sanaa Ndo Hivyo Tuu Majukumu Ya kazi ..!!! Nayo Muda Mwingine Ukishakula Hela Za Watu ..!!! Ma Boss washakata Maticket Yao Huko Mjini GOMA CONGO Ila Ninaimani Msimu Ujao Inshallahπ Tutakuwa Wote ..!!! CONGRATS TEAM MAANDALIZI Wanangu Twendeni Tuka Enjoy Twendeni Tukachangie Faraja Ya Wenzetu Waishio Mazingira Magumu β€ #NIFUATE
3 523
GOING ON SET THIS WEEK π¬β½π¬π¬ PENDEKEZA JINA LA DIRECTOR WAKO MKALI UNAEONA AYAUWA ZAIDI CHUPA LA #DEKA ATAKETAJWA SANA NAMPA ACHINJE ...!!!! LET'S GO πΆ
3 523
I WAS IN TURKEY πΉπ· LAST WEEKEND π @jabulant_ GOT MEMORY'S GOMA π¨π© SEE YOU SATURDAY 18/6/
3 523
MY BOO KNOW HOW LAZY π€ͺ IM BUT THE LOVE THAT YOU GUY'S BEEN SHOWING ME INANIPA NGUVU NA KUNIFANYA NIAMKE KILA SIKU KUTENGENEZA MUZIKI ..!!! MPAKA NAONEKANA HARDWORKING KILA SIKU KOPO JUU YA KOPO NIWAHAKIKISHIE TUU HII MIZIKI NA HIZI TUNGO ZIPO NYINGI SANA KIFUANI ...!!! SIJAWAHI TUNGIWA WALA SIJAFIKIRIA KUMTUNGIA MTU YEYOTE ILI MIZIKI IZIDI KUMIMINIKA NA NISIPO ITOA KWA MTILILIKO HUU NAWEZA NIKAPATA CANCER β YA MIZIKIIII MINGI π€£π€£ OYAAAA RUN IT UP DEKA LINK PA BIO @sign_beatz DID THIS SOUND @amherman_ YOUR SO TALENTED @themixkiller_ πππππ LET'S GO ALL DIGITAL PLATFORMS #DEKA
3 523
PROUD OF YOU KING OF NEW SCHOOL
THIS ALBUM GOING TO TELL EVERTHING THEY NEED TO KNOW ABOUT YOU ...!!!!! IM SUPER EXCITED UKICHANGANYA NA KWAMBA ITAKUWA BIRTHDAY YAKO NDO SIJUWI NIONGEE NINI BUT TRUST ME WE ARE GOING TO PARTY FOR THIS BIGGEST ALBUM MY BROTHER CHINGA @ibraah_tz πππ #THEKINGOFNEWSCHOOL β½π¬π¬
