SPORTS LITE
Fahamu na pata Kujua mambo mengi mbalimbali yahusuyo Michezo Ndani na Nje ya Nchi ya Tanzania
Show more1 274
Subscribers
No data24 hours
+127 days
+2430 days
- Subscribers
- Post coverage
- ER - engagement ratio
Data loading in progress...
Subscriber growth rate
Data loading in progress...
Photo unavailableShow in Telegram
prince dube ameshaombewa tayari kwa kazi moja tu kutupia...๐๐
Photo unavailableShow in Telegram
Mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Liverpool na timu ya Taifa ya Brazil, Roberto Firmino amegeukia uchungaji akishirikiana na mke wake Larissa Pereira baada ya kufungua kanisa la Kiinjilist huko kwao Brazil.
Photo unavailableShow in Telegram
๐จ๐จ๐๐จ๐ ๐๐ ๐ช๐ ๐ฃ๐ฅ๐๐ก๐๐ ๐๐จ๐๐
Ujumbe wa kwanza wa Prince Dube alioandika kwenda kwa Wanayanga.
New chapter โ๏ธ๐๐
New journey awaits.
"Familia ya WANANCHI ๐๐๐ nataka tu kusema, Asanteni kwa Upendo wenu wote and the warm welcome"
๐ NASHUKURU SANA ๐๐
MAKUBENJALO NKOSI YAMI"
ยฉ๏ธ Prince Dube Via Instagram.
๐๐๐ธ๐ฒ๐๐ฝ๐ฑ๐ฎ๐๐ฒ๐
Photo unavailableShow in Telegram
๐จ๐๐ก๐ ๐๐๐ฅ๐ฆ๐ ๐ฆ๐๐๐: AZIZI KI KUBAKI YANGA NI 60% KWA 40%
"Ni ngumu sana kwetu kumpoteza mchezaji kama Ki Aziz, siwezi kusema tunampoteza lakini kuna ofa nyingi za vilabu vingi vikiwemo vya hapa Afrika Kusini"
"Majadiliano yetu kuhusu mkataba mpya yanaendelea vizuri sana, lakini hadi sasa hakuna kilichokamilishwa.
"Mchezaji anataka kubaki lakini pia nguvu za fedha zinaweza kubadilisha mawazo yake kwasababu Mpira ni biashara"
"Naweza kusema hadi sasa ni 60% kwa 40%"
Rais wa Young Africans ๐น๐ฟ Eng Hersi Said kuhusu hatma ya Aziz KI ๐ง๐ซ
๐๐๐ธ๐ฒ๐๐ฝ๐ฑ๐ฎ๐๐ฒ๐
๐จ๐๐ฌ๐ ๐ง๐๐ ๐
Mwana wa Mfalme siku ya kwanza kazini ๐ ๐๐๐๐๐๐๐ฅ๐ฐ๐ช๐ฝ
๐๐๐ธ๐ฒ๐๐ฝ๐ฑ๐ฎ๐๐ฒ๐
Photo unavailableShow in Telegram
Bavbra Gonzalez Alikuwa Sehemu ya Walikuwepo kwenye Orientation ๐ค๐ค๐ค๐๐ฝ๐๐ฝ
Roho ya wanasimba, kipenzi cha wanasimba..
Huyu ndiye Role Model wa Engeneer Hersi Said..
Ukibisha angalia njia ya Bavbra utakuta nyayo za Engeneer Hersi zilizomfata Kwenda kuomba Ushirikiano na Vilabu Vikubwa Africa.
๐๐๐ฅ๐๐๐๐ข๐ข ๐๐๐ฅ๐๐ฌ : Kwa Vikosi hivi, ni timu gani hapa itachezea Mvua ya Magoli.?๐คAnonymous voting
- Yanga
- Simba
Photo unavailableShow in Telegram
๐๐๐ฅ๐๐๐๐ข๐ข ๐๐๐ฅ๐๐ฌ : Kwa Vikosi hivi, ni timu gani hapa itachezea Mvua ya Magoli.?๐ค
Photo unavailableShow in Telegram
Simba Queens ๐ฆ ๐ด imebeba wachezaji watatu muhimu wa Young Princess
โก๏ธ Saiki Atinuke ๐ณ๐ฌ
โก๏ธ Wincate Kaari ๐ฐ๐ช
โก๏ธ Precious Christopher ๐ณ๐ฌ
Choose a Different Plan
Your current plan allows analytics for only 5 channels. To get more, please choose a different plan.