en
Feedback
Millard Ayo

Millard Ayo

Open in Telegram

BLUE BOY WA KISHUA Journalist Award winning TV/Radio Personality | Amplifaya @CloudsFMTZ |Journalist from Africa | I 💙 TIGO PESA APP | Bookings millard@millardayo.com www.youtube.com/watch?v=g3NCUIuMVI0

Show more
The country is not specifiedThe category is not specified
5 023
Subscribers
No data24 hours
No data7 days
No data30 days

Data loading in progress...

Tags Cloud
No data
Any problems? Please refresh the page or contact our support manager.
Incoming and Outgoing Mentions
---
---
---
---
---
---
Attracting Subscribers
December '24
December '24
+38
in 1 channels
November '24
+36
in 0 channels
Get PRO
October '24
+18
in 1 channels
Get PRO
September '24
+3
in 0 channels
Get PRO
August '24
+55
in 1 channels
Get PRO
July '24
+247
in 0 channels
Get PRO
June '24
+228
in 0 channels
Get PRO
May '24
+249
in 0 channels
Get PRO
April '24
+365
in 1 channels
Get PRO
March '24
+195
in 0 channels
Get PRO
February '24
+109
in 1 channels
Get PRO
January '24
+17
in 0 channels
Get PRO
December '23
+1
in 0 channels
Get PRO
November '230
in 0 channels
Get PRO
October '230
in 0 channels
Get PRO
September '230
in 0 channels
Get PRO
August '230
in 0 channels
Get PRO
July '230
in 0 channels
Get PRO
June '230
in 0 channels
Get PRO
May '230
in 0 channels
Get PRO
April '230
in 0 channels
Get PRO
March '230
in 0 channels
Get PRO
February '230
in 0 channels
Get PRO
January '230
in 0 channels
Get PRO
December '22
+106
in 0 channels
Get PRO
November '22
+114
in 0 channels
Get PRO
October '22
+159
in 0 channels
Get PRO
September '22
+161
in 0 channels
Get PRO
August '22
+149
in 0 channels
Get PRO
July '22
+189
in 0 channels
Get PRO
June '22
+218
in 0 channels
Get PRO
May '22
+220
in 0 channels
Get PRO
April '22
+215
in 0 channels
Get PRO
March '22
+253
in 0 channels
Get PRO
February '22
+174
in 0 channels
Get PRO
January '22
+256
in 0 channels
Get PRO
December '21
+189
in 0 channels
Get PRO
November '21
+129
in 0 channels
Get PRO
October '21
+230
in 0 channels
Get PRO
September '21
+224
in 0 channels
Get PRO
August '21
+377
in 0 channels
Get PRO
July '21
+430
in 0 channels
Get PRO
June '21
+518
in 0 channels
Get PRO
May '21
+386
in 0 channels
Get PRO
April '21
+478
in 0 channels
Get PRO
March '21
+132
in 0 channels
Get PRO
February '21
+104
in 0 channels
Get PRO
January '21
+136
in 0 channels
Get PRO
December '20
+4 450
in 0 channels
Date
Subscriber Growth
Mentions
Channels
21 December0
20 December0
19 December0
18 December0
17 December+3
16 December+1
15 December+4
14 December+1
13 December+4
12 December+6
11 December+1
10 December+2
09 December+1
08 December+3
07 December+1
06 December+2
05 December+3
04 December0
03 December+1
02 December+5
01 December0
Channel Posts
T.I.D Mnyamaaa ndani ya Show leo! Warembo visiki leo watapewa makavu na mzee kigogo mpaka watakubali kuondoka na wana watakaopanda stejini😂Usikose kutazama #HelloMrRightShow4 Jumamosi ya leo kuanzia saa 4:00 usiku na Marudio ni siku ya Jumapili kuanzia saa 8:00 Mchana ndani ya @STBongoTV CH 161 (antena) CH 401 (Dish) kwenye @STarTimesTZ.Bonyeza link kwenye bio @startimestz kupakua StarTimes ON kuangalia kiganjani#HelloMrRightShow4 #NiZamuYako #najiaminikinoma

2
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) akichukua nafasi ya Maharage Chande ambaye ameteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL).Kabla ya uteuzi huu Nyamo - Hanga aliwahi kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA).Rais Samia amemteua pia Meja Jenerali Paul Kisesa Simuli kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) akichukua nafasi ya Omar Issa ambaye ataendelea na majukumu mengine aliyopangiwa katika Ofisi ya Rais - Tume ya Mipango.Amemteua pia Dkt. Erasmus Fabian Kipesha kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA), kabla ya uteuzi huo, Dkt. Kipesha alikuwa Mkurugenzi wa Huduma za Taasisi (TEA).#MillardAyoUPDATES
0
3
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Mwanahamisi Athumani Munkunda kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mtwara akichukua nafasi ya Hanafi Msabaha ambaye uteuzi wake umetenguliwa.Itakumbukwa Mwanahamisi aliwahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Temeke na kisha July 02,2023 uteuzi wake ukatenguliwa na nafasi yake ikachukuliwa na Mobhare Matinyi.Rais Samia amemteua pia Dkt. Stephen Isaac Mwakajumilo kuwa Mkuu wa Wilaya ya Nanyumbu akichukua nafasi ya Mariam Chaurembo ambaye atapangiwa kazi nyingine.Rais Samia amemteua pia Hassan Bakari Nyange kuwa Mkurugenzi (DED) waMtwara TC, kabla ya uteuzi huu, Nyange alikuwa DAS Wilaya ya Namtumbo na anachukua nafasi ya Kanali Emmanuel Mwaigobeko ambaye atapangiwa kazi nyingine.Rais Samia pia Ametengua uteuzi wa Tatu Said Issike, Mkurugenzi wa Mtwara DC na kumteua Abeid Abeid Kafunda kuwa Mkurugenzi (DED) wa Mtwara DC, kabla ya uteuzi huu, Kafunda alikuwa Mwanasheria katika Ofisi ya mkemia Mkuu wa Serikali.#MillardAyoUPDATES
0
4
@millardayo+1
@millardayo
0
5
Watu wangu wa USA tukae kama watu na hii kutoka @silent_ocean_ltd
Watu wangu wa USA tukae kama watu na hii kutoka @silent_ocean_ltd
0
6
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Abdallah Mohamed Malela, Katibu Tawala Mkoa wa Mtwara na badala yake amemteua Bahati Ibrahim Geuzye kuwa katibu Tawala Mkoa wa Mtwara, kabla ya uteuzi huu, Bahati alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA).Rais Samia pia ametengua rasmi uteuzi wa Hanafi Msabaha, Mkuu wa Wilaya ya Mtwara, itakumbukwa August 28,2023 wakati akifunga mafunzo ya Wakuu wa Mikoa na Makatibu Tawala wa Mikoa, Kibaha Mkoani Pwani, Rais Samia alisema atamfuta kazi Msabaha kutokana na kupeleka mradi mahali ambako haukutakiwa kwenda na kusababisha Wananchi warudishe kadi za Chama.Rais Samia alinukuliwa akisema “Mkuu wa Wilaya anahongwa, mradi anaacha kuupeleka unakotakiwa anaupeleka usikotakiwa, kiasi kwamba Wananchi wanafikia kurudisha kadi za Chama, sisi huku tuna haja kubwa ya mradi mmetuacha mmekwenda kuupeleka kwingine, kadi zenu hizo…… sina imani na DC anayesababisha kadi zirudishwe, Mtwara”“Mkuu wa Wilaya Hanafi (Hanafi Msabaha) namtimua, siwezi kustahimili kadi za Chama zinarudishwa, yeye na DED wake, Mkuu wa Wilaya yupo, DED yupo kadi za Chama zinarudishwa anaulizwa anasema ‘unajua kule wengi Wapinzani’ so what?, si Watanzania wale? hawahitaji kitu!? “#MillardAyoUPDATES
0
7
@millardayo
@millardayo
0
8
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Maharage Chande kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (T
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Maharage Chande kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TICL). Kabla ya uteuzi huu, Chande alikuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na anachukua nafasi va Mhandisi Peter R. Ulanga ambaye atapangiwa kazi nyingine.#MillardAyoUPDATES
0
9
Mfalme mmoja Robot moja la kunirahisishia kazi, kwenye swala la usafi weekend hii ni KING LIMAU sabuni ya Unga toka @azaniagr
Mfalme mmoja Robot moja la kunirahisishia kazi, kwenye swala la usafi weekend hii ni KING LIMAU sabuni ya Unga toka @azaniagroup
0
10
Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Gerson Msigwa kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo.K
Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Gerson Msigwa kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo.Kabla ya uteuzi huo, Msigwa alikuwa Mkurugenzi wa Habari - MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali ambapo nafasi iliyoachwa wazi ya Mkurugenzi wa Habari - MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali itatangazwa baadaye.Rais amemteua pia Said Othman Yakubu kuwa Balozi, kabla ya uteuzi huu, Yakubu alikuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa naMichezo. #MillardAyoUPDATES
0
11
Nimebadili mtindo ili twende sawa kwa kishindo, habari nitazopitisha hapa sio tu za nani kasema nini au nini kimetokea wapi bali hata hizi za wapi pa kwenda ukihitaji nini na nani wa kumuona wapi akutwishe shida za matatizo yako ambapo leo nakuingiza hadi ndani kwenye gereji ya Toyota Tanzania (mwanzoni nilikua najua wanauza magari tu kumbe wanayo hadi gereji ya kisasa).Nilikua naishia tu kuona zile stika za Toyota Tanzania kwenye magari barabarani zikiwa zimebandikwa kwenye vioo nikajua Toyota Tanzania wanajihusisha kuuza magari tu kumbe wamejikita kisawasawa kwenye huduma mbalimbali kama gereji hii ambayo ninaoneshwa leo.Naambiwa moja ya vitu wanavyovifanya @toyota.tanzania ni kutengeneza magari yaliyopata ajali, kupaka magari rangi kitaalamu na wanao Mafundi kutoka ndani ya Nchi na nje ya Nchi ambapo hiyo yote ni kuhakikisha gari lolote lililopita kwenye mikono yao likitoka hapa hakuna anaeweza kuona kasoro wala kugundua kwamba lilipata ajali, fuatilia video hii kufahamu hatua kwa hatua. #MillardAyoAMAZINGS
0
12
@millardayo
@millardayo
0
13
Kabla sijasema chochote naomba kwanza niweke wazi kwamba nimekua Shabiki mkubwa wa Mwigizaji @IreneUwoya8 kwa miaka mingi sana kwahiyo ile kiu yangu ya miaka mitano bila kutazama movie yake aliyosimama yeye kama yeye hatimaye inakwenda kumalizwa kesho hapa Arusha kwenye uzinduzi wa hii movie yake mpya iitwayo OLEMA.Kwenye maongezi yangu na Staa huyu usiku huu ameniambia maana ya OLEMA ni kafara, pili story yake ni ya Mwanamke mmoja aliyekua ameolewa na Mwanaume Tajiri na Mafya wa Arusha lakini baada ya manyanyaso kuzidi akashindwa kuvumilia na kuamua kutimkia kusikojulikana.Siku aliyomtoroka Mumewe ndio siku Mwanaume huyo alirudi nyumbani na vitu vyenye thamani ambavyo Mke huyo aliamua kuviiba akaanze maisha sehemu nyingine, hapo ndio tatizo lilipoanzia kwani vitu hivyo havikua vya Mumewe bali vya Mataita wengine wenye roho mbaya ambao waliishia kumuua Mume na kuanza kumsaka Mwanamke huyo ambaye mwisho wa siku alijikuta amekimbilia umasaini............... na huko umasaini nako pakawa pazito.....Irene ameniambia ana mpango wa kuizindua movie hii kwenye mikoa mbalimbali ukiachia hiyo ya Arusha kesho na kisha baadaye ndio atatangaza wapi Mashabiki wanaweza kuitazama ikiwemo mitandaoni.
0
14
@millardayo
@millardayo
0
15
Kama vile nawaona Watanzania watavyomiminika kwenye Matawi ya NMB kuanzia sasa.... kama vile nawaona Wajanja watavyouchangamk
Kama vile nawaona Watanzania watavyomiminika kwenye Matawi ya NMB kuanzia sasa.... kama vile nawaona Wajanja watavyouchangamkia mchongo huu mchongo huu na ninaomba kuweka wazi kwamba hiyo milioni 150 ni mfano tu lakini NMB wamesema kiwango cha chini Mtu anachoweza kuanza nacho ni shilingi laki mbili na nusu. Kwa maamuzi haya mapya ya @nmbtanzania ni dhahiri kabisa Watanzania wenzangu ambao huwa wanaweka tu pesa kwenye account za kawaida zisizowalipa riba sasa watabadili mchezo na kuvuna pesa za ziada bila jasho jingine kupitia akaunti hii mpya iliyoletwa na NMB iitwayo AKIBA PLUS.Niliuliza tu swali la mfano wa milioni 100 na milioni 150 kuona nikiweka hicho kiasi nitapata faida kubwa kiasi gani na nikajibiwa kuwa kwa milioni 100 nitajikuta na milioni 119 ( faida milioni 19) lakini kwa milioni 150 nitajikuta na milioni 178.4 ambapo hiyo yote ni kutokana na riba nzuri waliyoiweka. #MillardAyoUPDATES
0
16
#MillardAyoMagazeti September 19, 2023+9
#MillardAyoMagazeti September 19, 2023
0
17
Shirika la Bandari Zanzibar (ZPC) leo September 18,2023 limekabidhi rasmi shughuli zote za huduma na uendeshaji wa Bandari ya+4
Shirika la Bandari Zanzibar (ZPC) leo September 18,2023 limekabidhi rasmi shughuli zote za huduma na uendeshaji wa Bandari ya Malindi kwa Mwekezaji Africa Global Logistics kutoka Ufaransa (AGL).Baada ya hafla ya makabidhiano baina ya Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Bandari Zanzibar Nahaat Mohammed na Nicolas Escalin ambaye ni CEO wa ZMT, Nahaat amesema wameweka mikakati madhubuti ya kuifanya Bandari ya Zanzibar kwenda kisasa.Mwenyekiti wa Bodi ya ZPC Joseph Abdallah amesema kilichofanyika leo ni kukabidhiana na baada ya muda mchache Viongozi Wakuu wa Nchi watakutana ili kurasimisha na kuweka baraka zao kwenye makabidhiano hayo juu.#MillardAyoUPDATES
0
18
Usije Dar es salaam ukakosa kuja PALM VILLAGE…. usiishie kuteseka kutafuta Apartment ya kwenda kujipendelea na Mpendwa wako h
Usije Dar es salaam ukakosa kuja PALM VILLAGE…. usiishie kuteseka kutafuta Apartment ya kwenda kujipendelea na Mpendwa wako hata kama ni usiku mmoja ( ni dola 100 tu), nataka pia ukiiwaza tu shopping uje upande huu PALM VILLAGE SHOPPING MALL…. sasa ni rasmi Jiji limepona haswa kwa Kijiji hiki kinachopatikana Mikocheni Warioba 🫶 @palmvillagemikocheni
0
19
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limesema hivi karibuni kumetokea wimbi la Wasanii kuwa na tabia ya kupiga picha, kujirekodi+1
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limesema hivi karibuni kumetokea wimbi la Wasanii kuwa na tabia ya kupiga picha, kujirekodi au ku-rekodiwa video zenye maudhui kinyume na maadili ya Kitanzania kisha kusambaza kwenye mitandao ya kijamii kinyume na sheria na kanuni za uendeshaji wa shughuli za sanaa nchini.“Baraza linatoa onyo kali kwa Wasanii wote kuacha tabia ya kujirekodi au ku-rekodiwa na kusambaza picha au video zisizo na maadili kwenye mitandao ya kijamii kwani kufanya hivyo ni kinyume cha sheria na kanuni za uendeshaji wa shughuli za sanaa na maadili ya Kitanzania”“Baraza halitasita kuchukua hatua Kali ikiwemo kufutiwa leseni na kibali cha kujishughulisha na kazi ya sanaa kwa wote watakaoenda kinyume na tamko hili kwani itatafsiriwa kuwa ni uvunjaji wa sheria”#MillardAyoUPDATES
0
20
Mkurugenzi Mtendaji wa Fountain Gate Academy, Japhet Makau ametolea ufafanuzi kuhusiana na tuhuma zilizotolewa kuhusiana na a+1
Mkurugenzi Mtendaji wa Fountain Gate Academy, Japhet Makau ametolea ufafanuzi kuhusiana na tuhuma zilizotolewa kuhusiana na aliyekuwa Mchezaji wa Fountain Gate Princess, Peris Oside Raia wa Kenya kuwa amepewa ujauzito na mmoja kati ya Viongozi wa Timu hiyo.Makau amesema Mchezaji huyo walishavunja nae mkataba na kumpa stahiki zake na kuhusu tuhuma za kupewa ujauzito, Fountain Gate imezipokea na kumsimamisha kazi mara mmoja Mtuhumiwa wakati uchunguzi ukiendelea na imeahidi kutoa ushirikiano kwa Taasisi husika wakati wote wa uchunguzi kwani Mtuhumiwa amekana kuhusika.“Tunapenda ieleweke kuwa Fountain Gate Princess inapinga vikali tabia hizi na imekuwa ikishirikiana na Asasi za kiraia mbalimbali kwenye kutoa semina za mara kwa mara kwa Wachezaji na Viongozi na kuwapa nafasi Wachezaji kuongea na uongozi wa juu kabisa kama kunaonekana kuwepo dalili zozote za unyanyasaji wa kijinsia au rushwa ya aina yoyote ile”#MillardAyoUPDATES
0