en
Feedback
🔥𝐇𝐔𝐃𝐔𝐌𝐀 𝐘𝐀 𝐌𝐔𝐍𝐆𝐔 𝐏𝐀𝐌𝐎𝐉𝐀 𝐍𝐀𝐒𝐈 (𝐔𝐅𝐔𝐍𝐔𝐎 21:3)🇮🇱

🔥𝐇𝐔𝐃𝐔𝐌𝐀 𝐘𝐀 𝐌𝐔𝐍𝐆𝐔 𝐏𝐀𝐌𝐎𝐉𝐀 𝐍𝐀𝐒𝐈 (𝐔𝐅𝐔𝐍𝐔𝐎 21:3)🇮🇱

Open in Telegram

✝️𝐓𝐮𝐧𝐚𝐟𝐮𝐧𝐝𝐢𝐬𝐡𝐚 𝐧𝐞𝐧𝐨 𝐥𝐚 𝐌𝐮𝐧𝐠𝐮 𝐤𝐰𝐚 𝐧𝐣𝐢𝐚 𝐲𝐚⤵️ ➖𝐌𝐭𝐚𝐧𝐝𝐚𝐨 ➖𝐒𝐞𝐦𝐢𝐧𝐚 ➖𝐊𝐨𝐧𝐠𝐚𝐦𝐚𝐧𝐨 ✝️𝐓𝐚𝐟𝐬𝐢𝐫𝐢 𝐳𝐚 𝐧𝐝𝐨𝐭𝐨 𝐤𝐢𝐛𝐢𝐛𝐥𝐢𝐚 🔥𝐊𝐰𝐚 𝐦𝐬𝐚𝐚𝐝𝐚 𝐰𝐚 𝐑𝐨𝐡𝐨 𝐌𝐭𝐚𝐤𝐚𝐭𝐢𝐟𝐮

Show more
The country is not specifiedReligion & Spirituality47 735
1 801
Subscribers
No data24 hours
-127 days
-4930 days

Data loading in progress...

Similar Channels
No data
Any problems? Please refresh the page or contact our support manager.
Tags Cloud
No data
Any problems? Please refresh the page or contact our support manager.
Incoming and Outgoing Mentions
---
---
---
---
---
---
Attracting Subscribers
September '25
September '250
in 0 channels
August '25
+5
in 0 channels
Get PRO
July '25
+2
in 0 channels
Get PRO
June '25
+9
in 0 channels
Get PRO
May '25
+15
in 0 channels
Get PRO
April '25
+20
in 0 channels
Get PRO
March '25
+12
in 0 channels
Get PRO
February '25
+6
in 0 channels
Get PRO
January '25
+12
in 0 channels
Get PRO
December '24
+38
in 0 channels
Get PRO
November '24
+29
in 0 channels
Get PRO
October '24
+5
in 0 channels
Get PRO
September '24
+10
in 0 channels
Get PRO
August '24
+18
in 0 channels
Get PRO
July '24
+8
in 0 channels
Get PRO
June '24
+43
in 0 channels
Get PRO
May '24
+56
in 0 channels
Get PRO
April '24
+8
in 0 channels
Get PRO
March '24
+43
in 0 channels
Get PRO
February '24
+2 026
in 0 channels
Date
Subscriber Growth
Mentions
Channels
02 September0
01 September0
Channel Posts
➖ Bwana Yesu Kristo asifiwe. ➖Nasikia neno hili moyoni mwangu likijirudia rudia. 📖Danieli 11:24 [24] Wakati wa amani atapaingia mahali palipofanikiwa sana pa wilaya hiyo; naye atatenda mambo ambayo baba zake hawakuyatenda, wala babu zake; atatawanya kati yao mawindo, na mateka, na mali; naam, atatunga hila zake juu ya ngome, hata wakati ulioamriwa. ➖ Tuendelee kumuita Mungu, wakati ulioamriwa na Mungu wa ushindi wetu dhidi ya watenda hila, umekaribia.

2
No text...
220
3
🛑 TANGAZO KUHUSU MAGROUP YA HUDUMA. ➖Bwana Yesu Kristo asifiwe. ➖Hili ni group kuu la awali,ila tuna magroup mengine kwa makusudi mbalimbali⤵️ 1⃣.Group la maombi ya maombi ya kufunga. https://t.me/maombi_ya_kufunga 2⃣.Group la tafsiri za ndoto. https://t.me/tafsiri_za_ndoto 3⃣. Group la tafakari ya sura za Biblia. https://t.me/tafakari_ya_neno_la_uzima 4⃣. Group la mafundisho ya neno. https://t.me/nenolauzima7 5⃣. Group la mafundisho ya kuukulia wokovu. https://t.me/neemayawokovu ➖ Mungu azidi kutubariki sote, kwa jina la Yesu Kristo,Amina. ☑️ Tafsiri za ndoto kwa ufupi huwa natuma mtandao wa thread. https://www.threads.net/@mwalimu_rose_damian?invite=0
207
4
TANGAZO KUHUSU WASAA WA FARAGHA KIMAOMBI. ➖Bwana Yesu Kristo asifiwe.. ➖Nipo katika kipindi cha ukimya,ktk maombi, naweza nisipatikane kwa muda mrefu hata ikibidi mwaka mzima kuna hatua lazima nikamilishe mbele za Mungu,ili niweze kutembea sawasawa katika neema aliyonipatia Mungu. ➖Yapo mambo mengi sana Mungu ametufundisha,pitia group zetu zote kuna mambo mengi utaendelea kujifunza,mpaka Mungu atakaponipa neema kutoka kwenye ukimya huo,nitarejea katika ratiba za huduma. ➖Endeleeni kuniombea.
165
5
https://t.me/maombi_ya_kufunga
182
6
Bwana Yesu Kristo asifiwe. Link ya group kwa ajili ya maombi ya kufunga kwa ajili ya maombi ya toba ya vizazi hii hapa.⤵️
177
7
🎚️ Bwana Yesu Kristo asifiwe wapendwa. ✍️ Kongamano letu la Maombi ya Kitaifa Dodoma mwaka huu, litafanyika tar 29/07 Hadi tar 01/08 - Kufika Tar 28/07 - Kuondoka Tar 02/08 ✍️ Ada ya Kongamano ni tsh 120,000/- ✍️ Lipa Kwa Njia ya Benk au Kwa Wakala na Hakikisha unajaza na fomu na unapewa risiti na zote zipigwe muhuri. - Ukilipa tunza risiti zako au mpelekee Mratibu wako wa Wilaya. - Unaweza kulipa kidogo kidogo. ✍️ Account za Kongamano ni NMB, Diana Christopher Mwakasege - 40801617495 na CRDB, Christopher & Diana Mwakasege. - 01J2035480802 MAWASILIANO 0754388745 0783388745 KIZIGHA MRATIBU KILIMANJARO.
265
8
3️⃣ 𝗦𝗛𝗨𝗞𝗥𝗔𝗡𝗜.. ⭕📖Zaburi 65:2  [2]  Wewe usikiaye kuomba, Wote wenye mwili watakujia. ⭕📖Isaya 65:24 [24] Na itakuwa ya kwamba, kabla hawajaomba, nitajibu; na wakiwa katika kunena, nitasikia. ➖ Mungu mwenyezi,unayeishi milele,ambaye hapana wa kufananishwa wala kulinganishwa nawe (📖Isaya 40:28,25-26). Ninakushukuru kwa kuwa wewe ni Mungu makuu na Mfalme mkuu juu ya miungu yote,peke yako umestahili kuabudiwa na kusujudiwa milele yote (📖Zaburi 95:2-3,6). ➖Wewe ni Mungu unayesikia kuomba,na kabla sijaomba umejibu,nikiwa katika kunena umesikia, asante kwa kusikia,umesamehe na kujifunua mimi na vizazi vyangu na ardhi yetu,umeketi,unatawala na kumiliki wewe peke yako kwa jina la Yesu Kristo,pokea utukufu wote maana umestahili peke yako. Tunakushukuru kwa kuwa tangu sasa wewe ni Mungu juu ya ardhi yetu,kwa jina la Yesu Kristo. Utukufu, heshima na adhama zina wewe Mungu wetu , uliyehai milele na milele, vizazi na vizazi,kwa jina la Yesu Kristo, Amina.
194
9
2️⃣) 𝗧𝗢𝗕𝗔 𝗝𝗨𝗨 𝗬𝗔 𝗠𝗔𝗡𝗘𝗡𝗢 𝗬𝗔 𝗞𝗜𝗔𝗣𝗢 𝗡𝗔 𝗔𝗚𝗔𝗡𝗢 𝗝𝗨𝗨 𝗬𝗔 𝗔𝗥𝗗𝗛𝗜. ⭕📖Mhubiri 12:14 [14]  Kwa maana Mungu ataleta hukumuni kila kazi, pamoja na kila neno la siri, likiwa jema au likiwa baya. ⭕📖Ezekieli 17:16 16] Kama mimi niishivyo, asema Bwana MUNGU, hakika mahali pale akaapo mfalme aliyemmilikisha, ambaye alikidharau kiapo chake, na kulivunja agano lake, ndipo atakapokufa pamoja naye kati ya Babeli. ➖Baba wa mbinguni,ninatubu kwa ajili ya maneno yaliyotamkwa juu ya ardhi yakaifanya ardhi yetu iolewe (imilikiwe na kutawaliwa) na miungu mingine. Wewe unasema unaleta hukumuni kila neno likiwa jema au baya,la wazi au la sirini. ➖Yamkini Mungu yapo maneno ya viapo na maagano yamefungamanishwa na ardhi,yakapiga vizazi vyetu,tukawekewa zuio la kumiliki juu ya ardhi, miungu ya nchi ikapata uhalali wa kumiliki. Ninatubu Ee Mungu juu ya maneno ya agano na viapo vilivyoweka uhalali kwa miungu mingine,kuioa ardhi yetu, halafu tukakuasi wewe. ➖Tunatubu kwa ajili ya sadaka zilizoungamanishwa na maneno hayo, yako ndoa kibali cha sisi kumiliki ukivyoyakusudia kwenye maisha yetu, ndoa,kazi,elimu, biashara,fedha na vyote ulivyotumilikisha tangu mwanzo.Damu ya Yesu Kristo iliyomwagika nje ya malango(📖Waebrania 13:11-12),ili kutakasa malango,tunaimwaga kwenye lango ardhi(📖Nahumu 3:13),ili kutakasa,kusafisha na kuondoa chochote kilichosemeshwa kwenye ardhi(📖Yeremia 22:29-30)ambacho wewe Mungu hakuagiza,tunavunja na kukamilisha maneno ya uharibifu na mauti kwa jina la Yesu Kristo,tunaachilia damu ya Yesu kung'oa mapando yote ambayo wewe Mungu hukuyapanda katika ardhi yetu. ➖ Tunaachilia damu ya Yesu Kristo ya agano (📖Mathayo 26:28) kwenye ardhi,ili kutenganisha nafsi zetu na maagano na viapo vya miungu mingine juu ya ardhi (📖Isaya 28:18,📖Kutoka 34:12),kwa jina la Yesu Kristo.Tunaunganisha nafsi zetu na agano jipya katika damu ya Yesu Kristo,(📖Luka 22:20) kwa jina la Yesu Kristo, Amina. ➖Tunaachilia damu ya Yesu iponye ardhi yetu(📖2Nyakati 7:14-16),tunakataa maneno ya mauti juu ya ardhi(📖Yeremia 22:29-30) dhidi ya maeneo yote ya maisha yetu, hakuna kufa wala kuzaa mapooza kwa jina la Yesu Kristo.Tunapanda na kujenga amani, kibali, mafanikio na baraka zote ilizokusudia tuzimiliki kwa ajili ya utukufu wako Mungu uliyehai milele yote, vizazi vyote,kwa jina la Yesu Kristo, Amina. ➖Ee Mfalme wa wafalme,keti,miliki na kutawala wewe peke yako kwenye ardhi yetu(📖Zekaria 14:8-11), upande wa Mama yangu na upande wa Baba yangu,kwa jina la Yesu Kristo, Amina.
167
10
✝️𝗠𝗔𝗢𝗠𝗕𝗜 𝗬𝗔 𝗔𝗪𝗔𝗟𝗜 𝗨𝗡𝗔𝗣𝗢𝗢𝗧𝗔 𝗛𝗜𝗭𝗜 𝗡𝗗𝗢𝗧𝗢 .⤵️⤵️⤵️ 1️⃣)𝗧𝗨𝗕𝗨 𝗞𝗪𝗔 𝗔𝗝𝗜𝗟𝗜 𝗬𝗔𝗞𝗢,𝗔𝗥𝗗𝗛𝗜 𝗡𝗔 𝗩𝗜𝗭𝗔𝗭𝗜 𝗩𝗬𝗘𝗡𝗨. ⭕📖Isaya 57:15  [15]  Maana yeye aliye juu, aliyetukuka, akaaye milele; ambaye jina lake ni Mtakatifu; asema hivi; Nakaa mimi mahali palipoinuka, palipo patakatifu; tena pamoja na yeye aliye na roho iliyotubu na kunyenyekea, ili kuzifufua roho za wanyenyekevu, na kuifufua mioyo yao waliotubu. ➖Ee Mungu uliyehai milele yote,wewe ni Mtakatifu,unakaa mahali palipoinuka patakatifu pamoja na roho iliyonyenyekea na kutubu(📖Isaya 57:15), ninaomba unirehemu kwa kukuasi wewe(📖1Nyakati 5:25,📖Yeremia 5:19,23-25),mimi na vizazi vyetu,tumeabudu miungu mingine na kuitolea sadaka(uzinzi na uasherati kwa miungu mingine),jambo ambalo limesababisha ardhi yetu ikaolewa na miungu mingine,(📖Isaya 62:4)ikaingia kwenye agano la mauti na miungu mingine(📖Isaya 28:18),kiasi ambacho tumewekewa zuio la kumiliki na kutawala juu ya ardhi(📖Mwanzo 1:28), ninaomba utusamehe Ee Mungu,kwa kukuasi wewe uliye kisima cha maji yaliyohai,ninatubu kwa ajili ya machukizo(📖Yeremia 16:17-19)yote yaliyotendwa juu ya ardhi ya upande wa Baba yangu na upande wa Mama yangu,ninaomba utufutie hatia na kutupatia kuhesabiwa haki kwa damu ya Yesu Kristo (📖Warumi 5:9),kwa jina la Yesu Kristo.Damu ya Yesu kristo inene mema(📖Waebrania 12:24)juu yangu, vizazi vyangu na juu ya udongo wa asili wa ardhi yetu,kwa jina la Yesu Kristo,tuoshwe,tutakaswe na kusafishwa sisi na ardhi yetu, kwa damu ya Yesu Kristo, kwa jina la Yesu Kristo. ➖Ee Mungu ninajua ardhi hupokea mapigo na watu walio juu yake endapo kuna roho ya uasi,tusipoyasikiliza maneno yako na kuikataa Sheria yako (📖Yeremia 6:19),Ninaomba uturehemu kwa huruma na fadhili zako (📖Zaburi 145:8),kwa damu ya Yesu Kristo, kwa jina la Yesu Kristo.
137
11
https://t.me/maombi_ya_kufunga
127
12
No text...
126
13
https://t.me/maombi_ya_kufunga
172
14
🛑 WITO MAALUMU. ➖Bwana Yesu Kristo asifiwe. ➖Kuna jambo Mungu amenisemesha kwa msisitizo,si kila fedha inayopita mikononi mwetu ni kwa ajili ya matumizi yetu binafsi,kuna wakati anatutumia kama lango ili kufanikisha kazi yake,na tusipokuwa makini,kuna milango iliyokuwa wazi hufungwa, Mungu akiona hatafanya sawasawa na mapenzi yake. ➖Kuna zoezi Mungu amenipatia, mwezi huu wa tatu,wa nne na wa tano, kutangaza Instagram kuwafikia wenye changamoto ya vifungo vya kimiungu katika kizazi ili wafikiwe,ili tutakapoendelea na maombi mwezi wa sita ya toba ya vizazi, tushirikiane nao,na Mungu ajitwalie utukufu kwa kuwafungua ➖ Mungu amenipatia kibali niwashirikishe,kwa ajili ya anayesikia kibali kufanya kazi pamoja na Mungu kwa njia ya sadaka ili kuwafikia waliokusudiwa na Mungu ,unaweza kutuma ya kila mwezi katika miezi hii mitatu. ➖ Huduma hii ya kulipia matangazo tumekuwa tukifanya watu watatu mpaka sasa,imempendeza Mungu kuwashirikisha nanyi pia mpate sehemu ya mbaraka huo.Mungu azidi kuwabariki sana Mtumishi Elizabeth Makelele na Mtumishi John Nyenza ambao Mungu amewapa kibali kusimama pamoja na kazi yake kwa karibu sana kuhakikisha Mungu anawafikia aliowakusudia kwa ajili ya utukufu wake. ➖ Sadaka itumwe kwa Mtumishi Elizabeth, halafu kila mwisho wa mwezi Machi,Aprili na Mei 2025 ataituma kwangu ili tupeleke injili Instagram.Pia ataandika majina ndivyo nimepokea maelekezo iwe wazi na itakavyotumika itakuwa wazi pia kujua fedha ilivyotumika kwenye matangazo. ➖ Jina ni Elizabeth Makelele, number za kutuma ni; ▪️Mpesa:0758199309 ▪️Tigopesa: 0715822223 ➖ Mungu atubariki sote kwa ajili ya utukufu wake,kwa jina la Yesu Kristo. Amina.
169
15
https://t.me/maombi_ya_kufunga
5
16
https://www.instagram.com/share/p/_ZV3LRPvN
174
17
No text...
167
18
https://www.instagram.com/share/p/_pdUYTL1v
166
19
https://www.youtube.com/live/ZvJuw_LnZ8c?si=7UsWtGZnzewkpdIP
164
20
https://www.instagram.com/p/DGpxSDxIyAw/?igsh=MTB1MGNyeGVmZ3FxZQ==
125