en
Feedback
FM facts

FM facts

Open in Telegram

Maajabu Yote ya Duniani, Simulizi za Kusikitisha, Kutisha Zote Zinapatikana Hapa.

Show more
The country is not specifiedReligion & Spirituality48 162
2 262
Subscribers
No data24 hours
+27 days
+1430 days

Data loading in progress...

Tags Cloud
No data
Any problems? Please refresh the page or contact our support manager.
Incoming and Outgoing Mentions
---
---
---
---
---
---
Attracting Subscribers
December '24
December '24
+12
in 0 channels
November '24
+22
in 0 channels
Get PRO
October '24
+30
in 0 channels
Get PRO
September '24
+13
in 0 channels
Get PRO
August '24
+33
in 0 channels
Get PRO
July '24
+7
in 0 channels
Get PRO
June '24
+5
in 0 channels
Get PRO
May '24
+15
in 0 channels
Get PRO
April '24
+23
in 0 channels
Get PRO
March '24
+34
in 0 channels
Get PRO
February '24
+20
in 0 channels
Get PRO
January '24
+31
in 0 channels
Get PRO
December '23
+23
in 0 channels
Get PRO
November '23
+12
in 0 channels
Get PRO
October '23
+16
in 0 channels
Get PRO
September '23
+62
in 0 channels
Get PRO
August '23
+19
in 0 channels
Get PRO
July '23
+15
in 0 channels
Get PRO
June '23
+28
in 0 channels
Get PRO
May '23
+11
in 0 channels
Get PRO
April '23
+16
in 0 channels
Get PRO
March '23
+17
in 0 channels
Get PRO
February '23
+21
in 0 channels
Get PRO
January '23
+122
in 0 channels
Get PRO
December '22
+11
in 0 channels
Get PRO
November '22
+7
in 0 channels
Get PRO
October '22
+22
in 0 channels
Get PRO
September '22
+24
in 0 channels
Get PRO
August '22
+23
in 0 channels
Get PRO
July '22
+101
in 0 channels
Get PRO
June '22
+68
in 0 channels
Get PRO
May '22
+17
in 0 channels
Get PRO
April '22
+50
in 0 channels
Get PRO
March '22
+20
in 0 channels
Get PRO
February '22
+44
in 0 channels
Get PRO
January '22
+22
in 0 channels
Get PRO
December '21
+48
in 0 channels
Get PRO
November '21
+18
in 0 channels
Get PRO
October '21
+105
in 0 channels
Get PRO
September '21
+144
in 0 channels
Get PRO
August '21
+3 777
in 0 channels
Date
Subscriber Growth
Mentions
Channels
21 December0
20 December+2
19 December+3
18 December0
17 December0
16 December+1
15 December+1
14 December+1
13 December0
12 December0
11 December0
10 December+1
09 December0
08 December0
07 December0
06 December0
05 December+1
04 December+1
03 December+1
02 December0
01 December0
Channel Posts
MKAKATI KUPITISHA DINI MOJA CHINI YA MATRIX! ABRAHAMIC RELIGION! Kama unawaza aagh mda Bado acha tuendelee kula bata kidogo then badae badae tutamrudia MUNGU! Uko nje ya time! Mpaka sasa wewe umelala usingizi mzito sana na SYSTEM inakupeleka inavyotaka! Inshort unatembea mule mule kwenye MSTARI WA MATRIX! Kipindi umeletewa intertainment kibao, mipira, betting, music na kumbi za starehe na mambo mengine ya ajabu ajabu kukukeep.busy, huko wanaendelea kupanga mipango na kuitekeleza kukuangamiza! Tayari mpaka sasa Kuna utaratibu wa kufanya Dunia nzima iwe chini ya System moja, kuanzia Kidini, kiserikali, kiuchumi na maisha yote Kwa ujumla! (NEW WORLD ODER) Na kama mambo mengine yanavyofanyiwa kazi, Msingi wa SYSTEM YA KISHETANI ni kupitia DINI anatumia Dini kupitisha Mafundisho yake na system zake za kishetani! Na Sasa anazitumia zile dini alizozianzisha kuzileta pamoja kutengeneza DINI MOJA ITAKAYOUNGANISHA WATU KUABUDU SIKU MOJA! Mpaka sasa hilo zoezi limeanza na kimetengenezwa kitu kinaitwa ABRAHAMIC RELIGION! inaunganisha UISLAM, UKRISTO NA JUDAISM. Makao makuu ya hii dini yako ABU DHABI yanaitwa ABRAHAMIC FAMILY HOUSE! Viongozi wa Dini zote walikutana na kusign documents za kukubali kuunganisha na kuanzisha hii DINI, Akiwepo kiongozi wa Wakristo PAPA, na viongozi wa Dini zingine ISLAM n.k! ABRAHAMIC FAMILY HOUSE ilianza kutumika 1 MARCH 2023, mpaka Sasa watu wanaenda hapo kufanya ibada. Lengo lao ukiwaskiliza wanajifichia kwenye swala la kuifanya Dunia kuwa sehem salama, kuleta amani na kujali umoja lakini behind the scenes ni agenda ya kuwa chini ya utawala wa kishetani! Unaeza sema mimi nko huku haitaniaffect chochote lakin muda unakuja utafata Kila watakachosema wao, na kila sheria itakayowekwa either Kwa hiari au kwa lazima!

2
+2
No text...
745
3
Januari 22, 1987 Mweka Hazina wa Jiji la Pennsylvania Nchini Marekani, Robert Budd Dwyer Alijiua kwa Risasi Akiwa Kwenye Mkut
Januari 22, 1987 Mweka Hazina wa Jiji la Pennsylvania Nchini Marekani, Robert Budd Dwyer Alijiua kwa Risasi Akiwa Kwenye Mkutano na Waandishi wa Habari Uliokuwa Unaruka LIVE Kwenye Televisheni Baada ya Kupatikana na Hatia ya Kupokea Rushwa. Alikuwa Amepangwa Kupandishwa Kizimbani Siku iliyofuata.
772
4
Ndege ya Korean Air Flight 858 mali ya serikali ya korea kusini ilikumbana na hali mbaya Novemba 29, 1987 ilipolipuka angani kutokana na bomu lililotegwa na maajenti wawili raia wa Korea Kaskazini ndani ya chumba cha abiria cha ndege hiyo. Tukio hilo la kusikitisha lilisababisha hasara na vifo vya abiria wote 104 na wafanyakazi 11 waliokuwa kwenye ndege hiyo. Kwa kufuata maagizo ya serikali ya Korea Kaskazini, inaelezwa kuwa maajenti hao walitega kilipuzi hicho wakati ndege hio ipo katika kituo cha kwanza cha kusimama huko Abu Dhabi, Umoja wa Falme za Kiarabu, kabla ya wao kuteremka kutoka kwenye ndege hiyo ambayo ilikuwa inatoka Baghdad Iraq ikielekea Seoul Korea Kusini. Wakifuatiliwa hadi Bahrain, washambuliaji hao wawili (mwanaume na mwanamke) wakigundua kuwa walikuwa karibu kukamatwa, walimeza vidonge vya sumu vilivyokuwa vimefichwa kwenye vipisi vya sigara sigara. Mwanamume alikufa kwa sumu hiyo ya vidonge huku mwanamke Kim Hyon-hui akinusurika na baadaye kukiri wazi kwamba alikuwa amekuhusika na shambulio hilo. Kufuatia kesi yake ya shambulio hilo alihukumiwa kifo nchini Korea kusini, lakini baadaye alisamehewa na Rais wa Korea Kusini Roh Tae-woo. Msamaha huo ulitolewa kwa misingi ya kwamba mwanamke huyo alikuwa amekubali makosa na kuwa tayari kwa adhabu zote. FM facts
761
5
No text...
676
6
'Black Friday' ilikuwa ni siku maarufu America ambapo watumwa weusi walikuwa wakiuzwa kwa njia ya mnada kwa bei ya punguzo. S
'Black Friday' ilikuwa ni siku maarufu America ambapo watumwa weusi walikuwa wakiuzwa kwa njia ya mnada kwa bei ya punguzo. Siku hii ilianza kupata umaarufu miaka ya 1800. Mnada huu ulikuwa ukifanyika kila siku za Ijumaa. Baadaye kuanzia miaka ya 1900 Waamerika weusi wakaigeuza siku hii iliyokuwa siku ya machungu kwao miaka hio, na kuifanya kuwa ni siku maalumu kwao kuomba na kutoa misaada kwa watu mbalimbali wenye uhitaji. @fm_facts
705
7
Novemba 29, 2013, ndege ya LAM Mozambique Airlines Flight 470 ilianguka katika Hifadhi ya Kitaifa ya Bwabwata nchini Namibia,
Novemba 29, 2013, ndege ya LAM Mozambique Airlines Flight 470 ilianguka katika Hifadhi ya Kitaifa ya Bwabwata nchini Namibia, katikati ya safari yake ikielekea Luanda, Angola na kupoteza maisha ya abiria 27 na wafanyakazi 6 wa ndege waliokuwa ndani. Inaelezwa kwamba ajali hiyo ilitokana na 'kujitoa mubanga' kwa rubani ambaye alijifungia ndani ya chumba cha ndege kwa makusudi na kisha kuizima ndege baada ya rubani mwenza kuondoka kwa muda kwenye chumba cha hicho marubani. @fm_facts
619
8
Julai 1947 Meli ya “Exodus 1947” ilisafiri Kutoka Sète, Ufaransa ikiwa na Zaidi ya Abiria 4,500 Wayahudi Walionusurika Kwenye
Julai 1947 Meli ya “Exodus 1947” ilisafiri Kutoka Sète, Ufaransa ikiwa na Zaidi ya Abiria 4,500 Wayahudi Walionusurika Kwenye Mauwaji Huko Ujerumani. Hapa Walikuwa Wakielekea Palestina Huku Katika Meli Hiyo Wakiwa na Ujumbe Unaosomeka “Wajerumani Wamezimaliza Familia Zetu, Msiharibu Matumaini Yetu.”
560
9
Mwaka 1967 Bondia Muhammad Ali Alivuliwa Taji Laake la Uzito wa Juu Aliloshinda na Kuhukumiwa Kifungo cha Miaka 5 Jela Kisa t
Mwaka 1967 Bondia Muhammad Ali Alivuliwa Taji Laake la Uzito wa Juu Aliloshinda na Kuhukumiwa Kifungo cha Miaka 5 Jela Kisa tuu Alikataa Kulitumikia Jeshi la US Katika Vita vya Vietnam (1955-1975) Alisema: "Kwa nini nipigane nao? Hawajawahi kunifanyia ubaya wowote, na wala hawajawahi kuniita mchafu."
533
10
+7
NDANI YA 18 - 1s.mp3
423
11
Serum Vitamin E ni 8,000/= https://chat.whatsapp.com/CgRsXdGYI9cBRHH7DNCnql 🌹Huondoa Weusi makwapani 🌹 Huondoa Weusi mapaja
Serum Vitamin E ni 8,000/= https://chat.whatsapp.com/CgRsXdGYI9cBRHH7DNCnql 🌹Huondoa Weusi makwapani 🌹 Huondoa Weusi mapajani 🌹 Huondoa Weusi kwenye macho 🌹 Huondoa Weusi kwenye VIWIKO VYA MAGOTI 🌹 Huondoa Sugu vidoleni 🌹 Huondoa Magaga Miguuni 🌹Ulainisha ngozi ILIYOSINYAA 🌹 Ulainisha ngozi iliyokakamaa 🌹Ni mafuta ya asili 🌹 Hayana chemicals 🌹 Hayachubui kabisa 🌹 Wanauume na wanawake wanapaka 🌹USOFTISHA NGOZI ngumu 🌹 Huondoa madoa mwilini https://chat.whatsapp.com/CgRsXdGYI9cBRHH7DNCnql 👉call 0769205818 au 0624132540
614
12
+7
NDANI YA 18 - 6.mp3
541
13
+4
NDANI YA 18 - 1.mp3
565
14
No text...
450
15
Mchungaji TD Jakes kutoka Marekani azua gumzo Kenya, kupata nae chakula inakugharimu zaidi ya mil 1.7 za Kitanzania : Gharama
Mchungaji TD Jakes kutoka Marekani azua gumzo Kenya, kupata nae chakula inakugharimu zaidi ya mil 1.7 za Kitanzania : Gharama za kupata chakula cha usiku na askofu wa marekani TD Jakes zawa gumzo Kenya. Askofu huyo ambaye jina lake halisi ni Thomas Dexter Jakes alikua katika mkutano mkuu wa viongozi na wafanyabiashara uliofanyika eneo la Kasarani jijini Nairobi. Ili kuingia eneo hilo utapaswa kulipia kiasi cha Dola 750 za kimarekani sawa na elfu sabini na tano za kenya ili tu waweze kuwa eneo moja na Askofu huyo. Hata hivyo limeibuka gumzo mtandaoni kuhusu watu kulipa pesa ili kupata mlo na mchungaji huyo mwenye umaarufu mkubwa duniani. “Mchungaji abaki kuwa mchungaji jamani”, pesa yote hiyo kulikoni? moja ya maoni mtandaoni. : Chanzo BBC
564
16
Dikteta wa Haiti François Duvalier Aliingia Madarakani kwa Mapinduzi ya Kijeshi Mwaka 1957. Miaka Minne Baadae Akaitisha Ucha
Dikteta wa Haiti François Duvalier Aliingia Madarakani kwa Mapinduzi ya Kijeshi Mwaka 1957. Miaka Minne Baadae Akaitisha Uchaguzi wa Haki, Kwenye Karatasi ya Kupigia Kura Raia Waliulizwa: Je! Unakubali Dkt Duvalier Kuwa Rais? Chaguo Lilikuwa ni Moja tu Ambalo ni "Ndio". Alifariki Mwaka 1971
666
17
Kaburi la Kiyeyeu, lipo Njiapanda ya Mlolo pembezoni kabisa mwa barabara iendayo Mkoani Mbeya ukitokea Iringa lipo upande wako wa kulia, katika Halmashauri ya Wilaya ya Iringa. Hili ni kaburi alilozikwa mtu mmoja aliyekuwa Mganga maarufu wa jadi katika ukanda mzima wa maeneo ya mkoa huo, ambaye alifariki dunia miaka ya nyuma kidogo lakini hadi leo hii kaburi hilo ukiliona ni kama limejengwa jana. Ukiangalia kwa makini picha hii utaweza kuona jinsi nyaya za umeme wa Tanesco zilivyokwepa kaburi la Martin Kiyeyeu kisha mbele ya barabara kurudi tena katika upande ambao nguzo zilipitoshwa Baada ya kufariki dunia mganga huyu, alizikwa kwa kufuata taratibu na mira za Machifu ambapo alizikwa kwa kusindikizwa na mtu aliye hai, aliyejitolea kwa ajili ya kuzikwa naye akiwa hai ili kumsindikiza, ambapo inadaiwa mtu huyo aliketi na kumpakata mganga huyo aliyezikwa huku akiwa amekaa. Kaburi hilo limekuwa liwashangaza watu waliowengi na hata ndugu wa marehemu huyo kutokana na kuwa na maajabu na miujiza isiyoisha kana kwamba mtu huyo amezikwa mahala hapo jana. Moja kati ya maajabu makubwa yaliyowahi kutokea mahala lilipo kaburi hilo ni wakati Shirika la umeme lilipokuwa katika zoezi la kuweka Nguzo za umeme pembezoni mwa barabara hiyo na kutokana na kaburi hilo kuwa karibu kabisa na barabara kubwa. Ndipo ilipoamuliwa kuweka nguzo hizo na kupitisha nyaya za umeme kiubishi.Lakini baada ya kumaliza zoezi hilo walishangazwa kwa kuona kuwa eneo la juu ya kaburi hilo hapakuwa ukipita umeme hali ya kuwa ulipoanzia hadi kabla na baada ya kaburi hilo umeme umejaa tele, ila eneo la juu ya kaburi hilo tu hakuna umeme. Jambo hilo liliwafanya Tanesco kukubali matokeo na kuamua kuchukua uamuzi wa busara kwa kuhamishia baadhi ya nguzo hizo upande wa pili wa barabara ili kukwepa eneo hilo, hivyo nyaya hizo zikavuka barabara kabla ya kufikia kaburi hilo. Baada ya kulivuka kaburi hili, na baada ya kufanya hivyo ummeme huo uliwaka na hadi hii leo unaendelea kuwaka, hivyo Serikali japo haiamini uchawi lakini hapa iliamini uchawi upo. Pia linadaiwa lilishindikana kuondolewa mara mbili na kusababisha vifo vya watu wawili akiwemo aliyeuawa kwa kuvamiwa na nyuki na mwingine kufariki ghafla akiendesha tingatinga alipokuwa akijaribu kuling’oa kaburi hilo. Hata hivyo baadaye kaburi hilo na mengine 21 yaliyokuwa kwenye eneo hilo yaliondolewa na kuhamishiwa upande wa pili wa barabara, ambako kulikuwa na kaburi moja la mtoto wa kike wa Kiyeyeu, ambaye hakuzikwa katika eneo lililokuwa na makaburi ya ndugu zake baada ya mila na matambiko kufanyika.
655
18
Kaburi la Mzee Martin Kiyeyeu aliyefariki mwaka 1974, kama linavyoonekana katika picha kando ya barabara ya Iringa-Mbeya
Kaburi la Mzee Martin Kiyeyeu aliyefariki mwaka 1974, kama linavyoonekana katika picha kando ya barabara ya Iringa-Mbeya
545
19
KABURI MOJA,CITY CENTER POSTA. (KABURI LILOGOMA KUHAMISHWA) Hili kabuli hili historia yake haijaandikwa sehemu yoyote Ni kaburi la aliyekuwa SHARIFA (Kiongozi) wa kipindi Mtawala wa ZANZIBAR, Bwana MAJID BIN SAID ambaye ndiye aliyeanzisha Darra Salaam (Dar es Salaam). Kaburi hili lipo zaidi ya miaka mia mbili na lilianza kujaribiwa kuondelewa na wajerumani ikashindikana waingereza wakashindwa utawala wa  Mwl.Nyerere, Mwinyi,mkapa mpaka mara ya mwisho wakati wa utawala wa Kikwete ilishindikana. Ikumbukwe eneo hilo lilikuwa na makaburi mengi lakini hilo tu ndio liligoma NAMNA LINAVYOJILINDA Mara kadhaa walipokuwa wanapeleka Kijiko (Excavator) au Bull dozer (Tingatinga) walikuwa wamefanikiwa kulitoboa Lakini lilikuwa linatoa  harufu kali mfano wa "SULPHUR"  kutoka ndani ya Kaburi na Kufanya wanaolibomoa Kukohoa sana,Kukosa Pumzi na hata Kupoteza Fahamu Ile harufu kali huenea eneo la Mzingo (DUARA) mpaka umbali wa mita 500 na harufu hudumu kwa ukali uleule kwa siku nyingi bila Kupungua madhara yake. Credit: Elimika
557
20
No text...
495