Forextanzania
Open in Telegram
Hii Chanel ni kwaajili ya kujifunza Forex (FREE) @felixfx12
Show moreThe country is not specifiedThe category is not specified
3 113
Subscribers
No data24 hours
No data7 days
No data30 days
Posts Archive
3 113
link nimeambatanisha hapa chini ukiingia utapelekwa moja kwa moja kwenye form ya ku-sign up
https://secure.templerfx.com/main?rid=107311
Ambapo utajaza vitu vifuatavyo
a) jina lako
b) email adress yako
c) namba ya simu ambayo ni ya vodacom utaanza na +255 mfano +2557485xxx
Utabonyeza kibox kilichoambatana na maneno I'm not a robot...ukibonyeza kitaload then kitakuletea picha na utapewa maelezo kwa juu mfano select all picture that has bridge au cars au street sign kwa hiyo utabonyeza picha kulingana na maelezo uliyopewa baada ya hapo utabonyeza verify ukifanya hivyo km hukukosea hiko kiboksi kitaweka tick
Then utabonyeza kibox kidoo kinachofuata alafu unamaliza na creat account au (start trading)
Ukimaliza kubonyeza creat akaunt(start trading) kuna email utatumiwa na Templerfx ikiwa na kichwa cha habari MEMBER AREA CREDENTIALS ambapo katika hiyo email utapewa vitu hivi
Login (ambayo ni email yako)
Password(ipo katika format hii forex87 au forex5 nk)
Viandike hivyo vitu pembeni kisha bonyeza ii link 👇🏽 https://secure.templerfx.com/login?rid=107311 na ujaze email na password ulogin au shuka chini katika hiyohiyo email utakuta sehemu wameandika LOGIN imezungukwa na rangi ya blue bonyeza hapo itaload kisha itakuletea sehemu ujaze login na password hapo utajaza email yako na password utajaza passoword ukiyopewa ambayo ipo katika mfumo wa forex54au forex31 nk
Kwa kufanya hivyo utakuwa umelogin kwenye akaunt yako
Sasa jinsi ya kuverify na kufungua demo au live account na kupata bonus angalia video hapo chini👇🏽
3 113
Jinsi ya kupata BONUS (no deposit)
Bonus hii ni kwa wateja wapya ambao hawana account
3 113
-Ili kupata confidence ya kutrade kwa kutumia supply and demand zones tumia DEMO ACCOUNT OR BONUS ACCOUNT(with good risk management)
3 113
-Technical indicator zitumike kama confiramation ya taarifa ambayo price action imekwambia ufanye
3 113
This is the way of result and opportunity for those who are willing to take action you just get what you put in.
Whatever you do in life(now) it will return 10x(later)
3 113
-If you think supply&demqnd is the way you want to trade
🔵Take time to learn the rules(there is no shortcut☺️)
🔵Be patience&believe in what your doing
3 113
🚶♂SUPPY AND DEMAND + PRICE ACTION NI MOJA YA STRATEGY NZURI UNAYOTAKIWA KUTUMIA KATIKA ANALYSIS ZAKO🚶♂
3 113
zone ya juu imekuwa confirmed kuwa supply zone baada ya movement ya candlestick kuelekea chini
3 113
ILI kutambua trending market unatakiwa kutumia timeframe kubwa kuanzia 4H,DAILY NA WEEKLY
(maelezo mengne pitia vipind vya nyuma ili kuelewa zaidi)
Ukishatambua trending market unatakiwa kuzingatia vitu vifuatavyo
📈Kama ni bullish market(UPTREND) unatakiwa kutafutafuta opportunity za kubuy
📉kama ni bearish market(downtrend) unatakiwa kutafuta opportunity za kusell
**HII ni kwasababu utakiwi kutrade kinyume na trend kama sio mzoefu
(trend is your friend)
