Forextanzania
Open in Telegram
Hii Chanel ni kwaajili ya kujifunza Forex (FREE) @felixfx12
Show moreThe country is not specifiedThe category is not specified
3 113
Subscribers
No data24 hours
No data7 days
No data30 days
Posts Archive
3 113
Kisha nenda certification utakuta option ya Ku upload document uta upload kisha utasubmit
3 113
link nimeambatanisha hapa chini chini👇🏽utapelekwa moja kwa moja kwenye form ya ku-sign up
https://secure.templerfx.com/main?rid=107311
Ambapo utajaza vitu vifuatavyo
a) jina lako
b) email adress yako
c) namba ya simu ambayo ni ya vodacom utaanza na +255 mfano +2557485xxx
Utabonyeza kibox kilichoambatana na maneno I'm not a robot...ukibonyeza kitaload then kitakuletea picha na utapewa maelezo kwa juu mfano select all picture that has bridge au cars au street sign kwa hiyo utabonyeza picha kulingana na maelezo uliyopewa baada ya hapo utabonyeza verify ukifanya hivyo km hukukosea hiko kiboksi kitaweka tick
Then utabonyeza kibox kidoo kinachofuata alafu unamaliza na creat account au (start trading)
Ukimaliza kubonyeza creat akaunt(start trading) kuna email utatumiwa na Templerfx ikiwa na kichwa cha habari MEMBER AREA CREDENTIALS ambapo katika hiyo email utapewa vitu hivi
Login (ambayo ni email yako)
Password(ipo katika format hii forex87 au forex5 nk)
Viandike hivyo vitu pembeni kisha bonyeza ii link 👇🏽 https://secure.templerfx.com/login?rid=107311 na ujaze email na password ulogin au shuka chini katika hiyohiyo email utakuta sehemu wameandika LOGIN imezungukwa na rangi ya blue bonyeza hapo itaload kisha itakuletea sehemu ujaze login na password hapo utajaza email yako na password utajaza passoword ukiyopewa ambayo ipo katika mfumo wa forex54au forex31 nk
Kwa kufanya hivyo utakuwa umelogin kwenye akaunt yako
Sasa jinsi ya kuverify na kufungua demo au live account na kupata bonus angalia video hapo chini👇🏽
3 113
Jinsi ya kufungua REAL ACCOUNT NA KUPATA BONUS (no deposit)
Bonus hii ni kwa wateja wapya ambao hawana account
3 113
-Ili kupata confidence ya kutrade kwa kutumia supply and demand zones tumia DEMO ACCOUNT OR BONUS ACCOUNT(with good risk management)
3 113
Kwa maoni au ushauri unaweza kuwasiliana na mimi kupitia
Instagram : https://www.instagram.com/felixfx12/
Whatsapp : 0712939986 (felix)
@felixfx12
3 113
Kaa teyali kwa muendelezo wa supply and demand strategy
Nimewaandalia youtube chanel kwaajili ya maelezo zaidi
Ninachohitaji ni support yako kwa subscribe kwenye youtube chanel link nimekuwekea hapa
Tukifika subscriber 2k+ nitaanza kuweka maelezo na video nilizoandaa i hope zitakusaidia sana kuielewa vizuri strategy🙏
3 113
🔵🔵JINSI YA KUZITAMBUA SEHEMU AMBAZO KUNA SUPPLY OR DEMAND KWA KUANGALIA PRICE YA NYUMA🔵🔵
3 113
😅 Kwa traders wapya wa supply and demand levels maelezo hayo yanaweza kukupa mwanga kidogo
Tunazitambua SUPPLY AND DEMAND LEVEL KWA KUANGALIA PRICE YA NYUMA
3 113
Entry point zipo za aina mbili
🔵conservative entry(wait for confiramation)
🔵Aggresive entry(without wait for confirmation)
*conservative entry ni ambapo price ikirudi kwenye zone husubiri ishara(signal)
-ishara huwa formation ya candlestick pattetn kama railway track,bearish/bullush engulf n.k pitia vipind vya nyumba kuzifahamu
*Aggresive entry huchukua entry baada ya price kurudi kuretest kwenye zone bila kusubiri signal yoyote
3 113
*Point ambayo price imetengeneza movement kwa kuelekea juu huitwa demand level
Entry point tunaipata price inapokuja kuretest kwenye zone(BUY)
3 113
*Point ambayo price imetengeza movement kwa kuelekea chini huitwa supply zone
Entry point tunaipata price inaporud kuretest kwenye zone
3 113
Supply and demand zone tunazi indicate kwa kutumia horizontal line na pamoja na rectangle👇🏿
3 113
🔵Continuationa pattern(CP PATTETN)
-hizi huundwa na Rally-base-rally au drop-base-drop hizi tunazipata wakati wa trending market hutumika kupata entry point wakati wa trending market
