Forextanzania
Open in Telegram
Hii Chanel ni kwaajili ya kujifunza Forex (FREE) @felixfx12
Show moreThe country is not specifiedThe category is not specified
3 113
Subscribers
No data24 hours
No data7 days
No data30 days
Posts Archive
3 113
continuation pattern hutumika kupata entry point in trending market.Nitazielezea kwa undani zaidi katika vipindi vya mbele
3 113
-Kwa Demand zone huundwa na RALLY-BASE-RALLY kwenye BASE ndio consolidation
n.b kwenye base ndipo tunapochora demand zone
tazama mfano👇
3 113
Entry point tunapata price inaporudi kuretest kwenye zone iliyokwisha kutengenezwa (sell)
3 113
2.sehemu ambapo price ina consolide( CONTINUATION PATTERN)
-Kwa supply zone huundwa na DROP-BASE-DROP kwenye ndio consolidation
n.b kwenye base ndipo tunapochora supply zone
tazama mfano👇
3 113
🔵DEMAND ZONE(VALLEY) hutengenezwa wakati ambao price inabadili uelekeo wa kutoka kwenda chini na kuanza kwenda juu(DROP-BASE-RALLY)
n.b Kwenye base ndipo tunapochorea demand zone
Tazama mfano hapa chini👇🏾
3 113
Huwa tubaingia kwenye trade price inaporud tena kugusa zone ilivyokwisha kutengenezwa(SELL)
3 113
1.Kwa kuangalia Price inapobadili uelekeo(VALLEY AND PEAK)
🔵SUPPLY ZONE(PEAK) hutengenezwa endapo price itabadiliuelekeo kutoka kwenda juu na kuanza kushuka chini(RALLY-BASE-DROP)
n.b kwenye base ndipo tunapochorea supply zone
tazama mfano hapa chini👇🏾
3 113
🔵🔵JINSI YA KUZITAMBUA SEHEMU AMBAZO KUNA SUPPLY OR DEMAND KWA KUANGALIA PRICE YA NYUMA🔵🔵
