en
Feedback
Forextanzania

Forextanzania

Open in Telegram

Hii Chanel ni kwaajili ya kujifunza Forex (FREE) @felixfx12

Show more
The country is not specifiedThe category is not specified
3 113
Subscribers
No data24 hours
No data7 days
No data30 days
Posts Archive
Deriv/binary _DEPOSIT_ Minimum deposit 1 usd _WITHDRAW_ Minimum withdraw 1 usd (No mpesa fee) Deposit/Withdraw method M-PESA,TIGOPESA, AIRTELMONEY,halopesa N.K Open account https://track.deriv.com/_lqJT4ErqONh0QQMXeD9If2Nd7ZgqdRLk/1/ Whatsapp 0712939986

register and deposit kwa link hii👆🏽 nikuadd kwenye group la signal na mafunzo ya kutrade Kwa msaada @Marketmaker017

Kwa wale ambao hawafahamu kuhusu broker binary Basi nimekuwekea hapa maelezo mafupi yanaweza kukusaidia 📌📌 📌Ni broker anayetumia platform ya MT5 , yeye hatumii Ile platform tuliyozoea ya MT4. 📌Ukimtumia broker huyu utaweza kutrade currencies na index Kama ilivyo volatility index 75 ambayo inatoa mpunga mwingi Sana kwa lotsize ndogo ya 0.01 , pia usisahau ukipata loss inakuwa kubwa 📌 Faida moja ya kutrade indexs Hakuna news pia hakuna likizo Yani hata weekend unatrade , soko la index halifungwi , 📌Usihofu kuhusu verification ya account yako , binary huitaji kutuma documents yoyote ili kuverify account yako , Yani utafungua account real na utatrade bila matatzo yoyote na utatoa hela zako Kama kawaida bila verification yoyote.. Ila siku utakapohitaji kuwithdraw amount ya $10,000 kwenda juu Basi hapo watakuhitaji uwatimie documents zako kwa ajili ya kuverify. But chini ya $10,000 huitaji kuverify 📌 Kuhusu methods za deposit na withdraw wanatuma methods zilezile tunazozijua Kama Skrill, bank card, netteller nk, Ila pia Kuna njia mpya ambayo nimeiona kwao na ndo Ni njia rahisi Zaid ya kufanya transaction zako, Ni kumtumia local agents ambao wameidhinishwa na binary ,, kazi za Hawa maagents Ni kushughulikia deposit na withdraw za wateja ,, mfano unahitaji kudeposit unachofanya wewe Ni kuwasiliana na agents atakuuliza unataka deposit $ ngap , then atakuambia umtumie kwa mpesa au njia yoyote mtakayokubaliana, then utampa details ya account yako , atadeposit chap kwa haraka Pia ukihitaj kuwithdraw unamchek agent atawithdraw ye hela atakutumia kwa mpesa au njia yoyote mtakayokubaliana , kumbuka unavyotoa au kudeposit kupitia agents Kuna makato unakwata but sio makubwa km ilivyo njia zingine skrill nk.. Uaminifu wa maagents Ni mkubwa Sana so usihofu juu ya Hilo. 📌 minimum deposit na withdraw Ni $1 Unaweza kufungua account yako ya binary Leo kwa kubofya link hapo chini https://track.deriv.com/_lqJT4ErqONh0QQMXeD9If2Nd7ZgqdRLk/1/

Hellow forex trader nimekuletea broker ambaye unaweza kutrade pair za index ambazo unaweza kutrade hadi WEEKEND 24/7 days (V75 ,V100 na Nyingine) pair hizi zina move kwa pips ndani ya mda mfupi. N.B unaweza deposit by skill ambayo utatumia M-pesa kudeposit STEPS ON CREATING AN ACC 1. Enter email adress and signup 2. Comfirm registration email in your email adress 3. Creat new virtual account and upgrade to the real account 4. Click menu, then trade open and click meta trader5, click real account then synthetic indicies for volatilities, boom and crash or standard account for forex curencie. Creat main psword then comfirm. 5. Download Mt5 trading platform then log in and start trading 7. Trading start soon no need of verification documents you can start trading Link ya broker https://track.deriv.com/_lqJT4ErqONh0QQMXeD9If2Nd7ZgqdRLk/1/

☝️Link ya broker unayeweza kudeposit na withdraw kwa njia ya M-PESA Vitu unavyohitaji kuwa navyo ili kufungua account kwake 1/kitambulisha cha mpiga kura au cha taifa 2/bank statement au affidavity

2 Kisha nenda registration
2 Kisha nenda registration

1. Click hapo ili kuwenda kwenye registration page
1. Click hapo ili kuwenda kwenye registration page

Habari njema kwa wanaohitaji broker mwenye deposit na withdraw method kwa njia ya M-PESA.nimekuwekea link hapa chini register Kwa msaada whatsapp 0712939986 @felixfx12

photo content

https://t.me/forextanzania endelea kushare link kwa wanaohitaji

Kwa msaada Whatsapp 0712939986 @felixfx12

For education purpose

Strategy-ZRT(SUPPLY AND DEMAND +BTMM) Pair: USDZAR 1.Price ilitengeneza supply zone kwenye Daily timeframe 2.Price ilirud kur
Strategy-ZRT(SUPPLY AND DEMAND +BTMM) Pair: USDZAR 1.Price ilitengeneza supply zone kwenye Daily timeframe 2.Price ilirud kuretest kwenye supply Zone 3.ENTRY COMFIRMATION entry comfirmation ilipatikana kwenye timeframe ya 15M kwa kuangalia london stophunt pattern zilizotusaidia kupata entry za mapema(sniper entry) trade1 270pips trade2 230pips trade3 215pips total 715pips

Gold 300+ pips analysis according to supply and demand + pattern. Jifunze kupitia hii video https://youtu.be/kCbWOsa6dhs
Gold 300+ pips analysis according to supply and demand + pattern. Jifunze kupitia hii video https://youtu.be/kCbWOsa6dhs

kabla ya kuendelea mbele nitakuwekea video inayoelezea haya tuliyojifunza ili uelewe zadi kabla sijaendelea na vitu vingine. unachotakufanya niku subscribe kisha turn on post notification ili usipitwe. link ya youtube chanel https://www.youtube.com/channel/UCl8Id_mmsIXXTASkTbAKWBA?view_as=subscriber

photo content

Continuation pattern nzuri huundwa na ERC candle kwenye Rally na kwenye BASE huundwa na 50% candle.Tazama mfano hapa chini👇🏾