MWANACHUO FORUM UPDATES
Open in Telegram
🕹Pata Updates mbalimbali zinazohusu 🔹Elimu 🔹Nafasi za Kazi 🔹Selections 🔹Scholarships 🔹Matokeo ya Mitihani Wasiliana nasi 👉@mwanachuo PIA TEMBELEA SITE YETU HAPA www.mwanachuo.com
Show moreThe country is not specifiedEducation90 201
1 457
Subscribers
No data24 hours
No data7 days
No data30 days
Posts Archive
KIKOSI CHA YANGA DHIDI YA MAMELODI LEO TAR 05/04/2024
KIKOSI CHA YANGA DHIDI YA MAMELODI LEO TAR 05/04/2024. Mamelodi Sundowns inacheza na Young Africans kwenye Mechi ya Mchujo ya Ligi ya Mabingwa Afrika mnamo Aprili 5. Mechi hiyo itaanza saa 21:00 kwa saa za kwenu.
Mamelodi Sundowns (pia inajulikana kwa jina la M. Sundowns) na Young Africans (hujulikana kama Yanga au Yanga SC) zinakutana…
SOMA HAPA 👉 https://www.mwanachuoforum.com/blog/kikosi-cha-yanga-dhidi-ya-mamelodi-leo-tar-05-04-2024/
JIUNGE NASI KWA MORE UPDATES
WhatsApp Channel 👇
https://whatsapp.com/channel/0029Va7sn930rGiF04EpP52D
Telegram Group 👇
https://t.me/mwanachuo
ASANTE 👍
GAMONDI: LENGO LETU NI MOJA TU KWENDA NUSU FINAL
Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi amesema kuwa timu yake imekwenda Afrika Kusini kwa lengo moja tu la kutafuta ushindi na kufuzu kwenda nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika na si vinginevyo.
Gamondi amesema hayo jana Alhamisi Machi 4, 2024 wakati akizungumza kwenye mkutano na wanahabari kuelekea mchezo wa robo fainali ya michuano hiyo…
SOMA HAPA 👉 https://www.mwanachuoforum.com/blog/gamondi-lengo-letu-ni-moja-tu-kwenda-nusu-final/
JIUNGE NASI KWA MORE UPDATES
WhatsApp Channel 👇
https://whatsapp.com/channel/0029Va7sn930rGiF04EpP52D
Telegram Group 👇
https://t.me/mwanachuo
ASANTE 👍
MATOKEO YA SIMBA SC DHIDI YA TANZANIA PRISON (Tar. 06. 03.2024)
MATOKEO YA SIMBA SC DHIDI YA TANZANIA PRISON. Katika ukurasa utapata Matokeo na uchambuzi wa mchezo wa ligi kuu Tanzania bara kati ya Mnyama Simba Sc dhidi ya Wajelajela Tanzania Prisons Mchezo uliofanyika katika Uwanja wa Jamuhuri Morogoro
UCHAMBUZI WA MWISHO WA MCHEZO SIMBA SC DHIDI YA TANZANIA PRISON
Uchambuzi na George Ambangile
Nafikiri kocha…
SOMA HAPA 👉 https://www.mwanachuoforum.com/blog/matokeo-ya-simba-sc-dhidi-ya-tanzania-prison-tar-06-03-2024/
JIUNGE NASI KWA MORE UPDATES
WhatsApp Channel 👇
https://whatsapp.com/channel/0029Va7sn930rGiF04EpP52D
Telegram Group 👇
https://t.me/mwanachuo
ASANTE 👍
MATOKEO YA SIMBA SC DHIDI YA TANZANIA PRISON (Tar. 06. 03.2024)
MATOKEO YA SIMBA SC DHIDI YA TANZANIA PRISON. Katika ukurasa utapata Matokeo na uchambuzi wa mchezo wa ligi kuu Tanzania bara kati ya Mnyama Simba Sc dhidi ya Wajelajela Tanzania Prisons Mchezo uliofanyika katika Uwanja wa Jamuhuri Morogoro
UCHAMBUZI WA MWISHO WA MCHEZO SIMBA SC DHIDI YA TANZANIA PRISON
MATOKEO YA SIMBA SC DHIDI YA…
https://www.mwanachuoforum.com/blog/matokeo-ya-simba-sc-dhidi-ya-tanzania-prison-tar-06-03-2024/
🚨LIVE UPDATE: Simba Sc Vs Tanzania Prisons
LIVE UPDATE: Simba Sc Vs Tanzania Prisons. Leo Tarehe 06/03/2024 katika muendelezo wa Ligi kuu Tanzania Bara Simba Sports Club ya jijini Dar es salaam itamkaribisha mgeni wao Tanzania Prisons kutoka jijini Mbeya katika uwanja wa Jamuhuri Morogoro saa 10 jioni
Simba Sc Vs Tanzania Prisons
MATOKEO WALIVOKUTANA (HEAD TO HEAD) Simba Sc Vs Tanzania…
https://www.mwanachuoforum.com/blog/live-update-simba-sc-vs-tanzania-prisons/
KIKOSI CHA SIMBA KINACHOANZA LEO DHIDI YA TANZANIA PRISONS Tar 06/03/2024
KIKOSI CHA SIMBA KINACHOANZ LEO DHIDI YA TANZANIA PRISONS. KIKOSI cha Simba kitakachoanza leo dhidi ya Tanzania Prisons Uwanja wa JAMUHURI, MOROGORO Leo Tar 06/03/2024 saa 10 jioni
https://www.mwanachuoforum.com/blog/kikosi-cha-simba-kinachoanza-leo-dhidi-ya-tanzania-prisons/
KIKOSI CHA SIMBA KINACHOANZ LEO DHIDI YA TANZANIA PRISONS Tar 06/03/2024
KIKOSI CHA SIMBA KINACHOANZ LEO DHIDI YA TANZANIA PRISONS. KIKOSI cha Simba kitakachoanza leo dhidi ya Tanzania Prisons Uwanja wa JAMUHURI, MOROGORO Leo Tar 06/03/2024 saa 10 jioni
https://www.mwanachuoforum.com/blog/kikosi-cha-simba-kinachoanz-leo-dhidi-ya-tanzania-prisons/
UKWELI WA MKATABA WA DUBE NA AZAM FC UPO HIVI “HAKUNA MIL 700 ..SIASA TUPU…”
UKWELI WA MKATABA WA DUBE NA AZAM FC UPO HIVI “HAKUNA MIL 700 ..SIASA TUPU…”. Aliyekuwa Mkurugenzi wa Sheria na Wananchama wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Eliud Mvela, amesema kuwa, hakuna anayeufahamu mkataba wa mshambuliaji wa Azam FC, Prince Dube na klabu yake hiyo.
Mvela amesema kuwa huenda hata hizo Tsh milioni 700 wanazotaka…
https://www.mwanachuoforum.com/blog/ukweli-wa-mkataba-wa-dube-na-azam-fc-upo-hivi/
BENCHIKHA:- KWA CHAMA HUYU BADO HAMJASEMA NA MTASEMA
BENCHIKHA:- KWA CHAMA HUYU BADO HAMJASEMA NA MTASEMA. Miezi michache iliyopita Clatous Chama alikalia kuti kavu katika kikosi cha Simba, kutokana na tuhuma za utovu wa nidhamu uliomfanya asimamishwe kwa muda usiojulikana kabla ya kwenda fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon) 2023 zilizofanyika Ivory Coast akiwa na kikosi cha timu ya taifa ya…
https://www.mwanachuoforum.com/blog/benchikha-kwa-chama-huyu-bado-hamjasema-na-mtasema/
KAMWE: TUPO FITI AJE YEYOTE ROBO FINAL TUNARUKA NAE
KAMWE: TUPO FITI AJE YEYOTE ROBO FINAL TUNARUKA NAE. WAKATI Yanga wakijiandaa na mchezo wao dhidi ya Namungo FC, Ofisa habari wa klabu hiyo, Ally Kamwe ameweka wazi kuwa wanahitaji zaidi kukutana na Asec Mimosas ya Ivory Coastkatika hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika .
Amesema kati ya timu tatu Petro de…
https://www.mwanachuoforum.com/blog/kamwe-tupo-fiti-aje-yeyote-robo-final-tunaruka-nae/
KAMWE: TUPO FITI AJE YEYOTE ROBO FINAL TUNARUKA NAE
TUPO FITI AJE YEYOTE ROBO FINAL TUNARUKA NAE. WAKATI Yanga wakijiandaa na mchezo wao dhidi ya Namungo FC, Ofisa habari wa klabu hiyo, Ally Kamwe ameweka wazi kuwa wanahitaji zaidi kukutana na Asec Mimosas ya Ivory Coastkatika hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika .
Amesema kati ya timu tatu Petro de Luanda,…
https://www.mwanachuoforum.com/blog/kamwe-tupo-fiti-aje-yeyote-robo-final-tunaruka-nae/
NGOMA NGUMU KWA NOVATUS HUKO SHAKHTAR DONESTSK
NGOMA NGUMU KWA NOVATUS HUKO SHAKHTAR DONESTSK. Mambo yamebadilika kwa kiungo wa kimataifa wa Tanzania, Novatus Dismas huko Ulaya ambako anacheza soka la kulipwa akiwa na FC Shakhtar Donetsk, tofauti na awali ambapo alikuwa akipata nafasi ya kucheza mara kwa mara kwa sasa amejikuta akisugua benchi kiasi cha wadau mbalimbali kuhoji nini kimemkuta.
NGOMA NGUMU…
https://www.mwanachuoforum.com/blog/ngoma-ngumu-kwa-novatus-huko-shakhtar-donestsk/
KIMENUKA BRUNO GOMES ATIMUKA SINGIDA FOUNTAIN GATE SABABU ZOTE ZAELEZWA
Bruno Gomes Atimuka Singida Fountain Gate. Kiungo mshambuliaji wa Singida Fountain Gate, Mbrazili Bruno Gomes ametangaza kuachana na klabu hiyo kwa makubaliano ya pande mbili.
Nyota huyo aliyeitumikia timu hiyo kwa misimu miwili akitokea klabu ya Jacobinense EC ya kwao Brazil, amethibitisha taarifa za kuondoka kwake kupitia mtandao wake wa kijamii wa Instagram.
KIMENUKA BRUNO…
https://www.mwanachuoforum.com/blog/bruno-gomes-atimuka-singida-fountain-gate/
YANGA WANAWEZA KUPANGWA KUKIPIGA NA HAWA ROBO FAINAL YA CAF
Yanga wanaweza Kupangwa kikipiga na hawa Robo Fainal ya CAF. Baada ya Yanga kumaliza sehemu ya kwanza ya misheni iliyokuwa nayo ya kuvuka hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, japo ilimaliza kwa kupoteza mechi ya mwisho dhidi ya watetezi wa taji na vinara wa Kundi D, Al Ahly mashabiki wa timu hiyo leo…
https://www.mwanachuoforum.com/blog/yanga-wanaweza-kupangwa-kukipiga-na-hawa-robo-fainal-ya-caf/
🚨 MATOKEO 2023 CSEE - KIDATO CHA NNE
Baraza la mtihani Tanzania NECTA latangaza matokeo kidato cha nne 2023
Tazama hapa 👇
https://www.mwanachuoforum.com/necta-csee-results/
🗣️ NECTA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2023 KUTANGAZWA LEO
Tazama Hapa ☞
https://www.mwanachuoforum.com/necta-csee-results/
MWANACHUO FORUM UPDATES:
🗣 Ajira Mpya Jeshi la Magereza Tanzania 2024
Apply Hapa ☞ https://www.mwanachuoforum.com/ajira-mpya-jeshi-la-magereza-tanzania-2024/
SAIDIA KUSHARE KWA WENGINE
🚨 Jinsi Ya Kuangalia Matokeo Ya Kidato Cha Nne NECTA 2023/2024 – Step By step
Check Hapa👇
https://www.mwanachuoforum.com/how-to-check-necta-form-four-results/
