ELITE FILE πΉπΏ
Open in Telegram
β β£ππππ ππππππππ. β β£πΌππΏππππΏ ππππ $ ππππΎππ β β£πΎπππππππ ππππππ β β£πππ½πππ πππππ½ππππππππππ β β£πππΌπππππ ππππππΌππ β β£πππΏππΏ πΌπππ [πππππππ π]
Show more1 215
Subscribers
-224 hours
-87 days
-4330 days
Posts Archive
1 215
ESIM BUNDLES
1GB = kwa 1000 3GB = kwa 2500 10GB = kwa 9000 20GB = kwa 12,000UNLIMITED
WEEK = 15000 β οΈ Mwezi = 35000 β οΈ
MWEZI SPECIAL = 35000 Data, sms , calls Gb 20 Sms 200 Calls 200
1 215
WhatsApp itaacha kufanya kazi kwenye Android β¦β¦.
WhatsApp hivi karibuni itaacha kufanya kazi kwenye simu za Android zenye version chini ya 6.0 Yani Android 5.1 kushuka chini. kuanzia september 8.
WhatsApp itaendelea kuleta feature mpya lakini ili zifanye kazi vizuri zinahitaji simu zenye uwezo mzuri na mkubwa.
Hii ina maana simu zote za zamni zinaweza kushindwa kuhimili features mpya pia zinaweza kuzuia WhatsApp kuongeza maboresho mapya.
WhatsApp inasemekana pia inachukua feature fulani kutoka facebook Messenger.
Taarifa hii haijatolewa na CEO moja kwa moja bali iliripotiwa na WABetainfo hawa ni watu wanaofuatilia Updates za WhatsApp na mara nyingi wanapata taarifa mapema kabla ya mtu yoyote.
