en
Feedback
800
Subscribers
No data24 hours
No data7 days
-130 days
Posts Archive
Audio from Nuren Athman

8️⃣ Swali: 8. Kwa mfano mzazi akiwa na mtoto kama miaka mitatu hvi, mzazi akasilimu kw kutamka shahada, mtoto pia yuapaswa kutamkishwa shahada? Shukran

Audio from Nuren Athman

7️⃣ Swali: 7. Assalam alaykum. Kama tutapata faida ya kilichotokea Ghadir Khum na mnasaba wa mashia kuunganisha tukio hilo kama uteuzi wa Ali ibn Abi Twalib (r.a) kumrithi mtume. Mbona huwakufurisha maswahaba wakubwa na kuwatukana na kuwalaani?? Baarakallahu fiykum.

Audio from Nuren Athman

6️⃣ Swali: 6. Hawa mashia wa huku makwetu African Hawa practice ushia kama Iran, Iraq na zile nyinginezo, jee ni SAWA wote kuwafananisha SAWA na kuwaita makafir wote, kwa dalili ya ayaa na Hadith, shukran

Audio from Nuren Athman

5️⃣ Swali: 5. I had many job offers but those in charge want me to give them some cash before getting them.... Is this Haram? Bribing?

Audio from Nuren Athman

4️⃣ Swali: 4. Naomba nijuwe mana ya riba

Audio from Nuren Athman

3️⃣ Swali: 3. Naomba masharti ya ruqya... Na jinsi ya kujismoea

Audio from Nuren Athman

2️⃣ Swali 2. Mke mkuu aweza jitolea idhini?

Audio from Nuren Athman

1️⃣ Swali: 1. Eda la kufiwa wakati mwanamke amemaliza siku zake za hilo Eda lapokelewa vipi? Namaanisha kunao sherehe zozote zinazo fanywa kama vile Kupikwa kama wanavyo fanya wengine, wanadai wafanya Dua (Tausia)

Assalamu alaikum warahmatullahi wabarakatuh, Yafuatayo ni majibu ya maswali ya wiki iliopita👇

sticker.webp0.12 KB

15th Jumaada-l Ulaa 1446 - 17th Nov. 2024 #Dont_forget_to_share_the_calender. #That_who_guides_to_good_is_like_the_one_who_do
15th Jumaada-l Ulaa 1446 - 17th Nov. 2024 #Dont_forget_to_share_the_calender. #That_who_guides_to_good_is_like_the_one_who_does_it.

13th Jumaada-l Ulaa 1446 - 15th Nov. 2024 #Dont_forget_to_share_the_calender. #That_who_guides_to_good_is_like_the_one_who_do
13th Jumaada-l Ulaa 1446 - 15th Nov. 2024 #Dont_forget_to_share_the_calender. #That_who_guides_to_good_is_like_the_one_who_does_it.