en
Feedback

Don't get caught by a cheater! Telemetrio finds and tags such channels 👉 If you want to see the tag, subscribe 👈

E-PLUS MEDIA

E-PLUS MEDIA

Open in Telegram

Get the latest news,videos,and more everyday.

Show more
1 307
Subscribers
+124 hours
-27 days
-1330 days
Posts Archive
***Nyumba design hizi ziliingia kwa kasi sana* Sasa wengi waliojenga hizi wanaanza Kujuta* Je kwa nini wanajuta?***
***Nyumba design hizi ziliingia kwa kasi sana* Sasa wengi waliojenga hizi wanaanza Kujuta* Je kwa nini wanajuta?***

Edward & Regina Lowasa 😢
Edward & Regina Lowasa 😢

Nashukuru Mungu kwa kumpa ujasiri mtoto wa ndugu yetu na aliyekuwa mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya ziwa Marehemu Alphonce Mawa
Nashukuru Mungu kwa kumpa ujasiri mtoto wa ndugu yetu na aliyekuwa mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya ziwa Marehemu Alphonce Mawazo alietutoka takribani wiki sasa. Binti yetu Precious Alphonce Mawazo kamaliza mitihani yake ya darasa la nne. Ninampa pongezi na kumtakia kila la kheri katika elimu yake.-LOWASSA

😃😃
😃😃

Mke wa Hayati Lowassa Mama Regina Lowassa Akiwa Hapa Karimjee Hall Kwenye Ibada ya Shukrani ya Maisha Ya Mme Wake Hayati Edwa
Mke wa Hayati Lowassa Mama Regina Lowassa Akiwa Hapa Karimjee Hall Kwenye Ibada ya Shukrani ya Maisha Ya Mme Wake Hayati Edward Lowassa #Lowasa #RestInPeaceLowassa

“Tatizo la nchi hii Mnazungumza mambo Ila hakuna Utekelezaji. Kuna Uswahili mwingi wa kukaa bila kutekeleza mambo, mnaamua ha
“Tatizo la nchi hii Mnazungumza mambo Ila hakuna Utekelezaji. Kuna Uswahili mwingi wa kukaa bila kutekeleza mambo, mnaamua halafu hamtekelezi. Kinatakiwa chombo kinachoweza kufanya maamuzi Magumu yanayotekelezeka kweli kweli” Edward Lowassa akiwa Bungeni.

"Mambo ya pengo halitazibika ni ulaghai mtupu. Kufa uone watakavyoziba pengo lako hata kabla ya mazishi." - Askofu wa KKKT, D
"Mambo ya pengo halitazibika ni ulaghai mtupu. Kufa uone watakavyoziba pengo lako hata kabla ya mazishi." - Askofu wa KKKT, Dayosisi ya Karagwe, Dkt. Benson Bagonza

Valentine Day Kutoka Kwa Fiston Mayele 🇨🇩 Na Familiar yake
Valentine Day Kutoka Kwa Fiston Mayele 🇨🇩 Na Familiar yake

Kabla ya kuwa mfalme alikuwa akifahamika kwa jina la Ras Tafari Makonnen, hapa namzungumzia Haile Selassie, ambaye kimaisha ya Dunia alizaliwa Julai 23, 1892 na kufariki Agosti 27, 1975. Katika uhai wake alipata kuwa Kaisari wa Ethiopia na jina lake hilo jipya alilopewa baada ya kuwa mfalme lilikuwa na maana ya Utukufu wa Utatu Mtakatifu. Alifahamika pia kwa jina la Simba wa Yuda, Mfalme wa wafalme, Bwana wa Mabwana, Baba yake alikuwa akiitwa Ras Makonnen ambaye alikuwa ni Gavana wa Harar, mwenye familia ya watoto wapatao 11, Mkristo muumini wa dhehebu la Orthodoksi ya Ethiopia. Mwaka 1907, Haille Sellasie akiwa bado kijana alipewa cheo cha Ugavana wa Jimbo la Sidamo na ilipofika mwaka 1911 akarithi nafasi ya gavana wa Harar. Baada ya kifo cha Malkia Zauditu 1930, Ras huyu akapokea taji na cheo cha Negus Negeste chenye maana ya “mfalme wa wafalme” wa Ethiopia, kisha hapo ndipo alipoamua kujiita jina la Haile Selassie. Hapo habari zake zikaenea kote duniani na kusababisha kuibuka kwa imani mpya ya Rastafari iliyopokea jina kutoka kwake, ingawa mwenyewe alibaki mwamini wa Kanisa la Orthodoksi, akiwa na daraja ya shemasi. Hii ilipelekea Watu weusi wa Jamaika, ambao waliokuwa wajukuu wa watumwa wa asili ya Afrika kusikia kwa mara ya kwanza ya kwamba kuna Mwafrika anaheshimiwa na wafalme wa Ulaya, wakaona huyo atakuwa ni mwokozi aliyetumwa na Mungu kuja kuwakomboa watu weusi. Sababu ya Jamii kirasta kutumia jina lake pamoja na mafundisho yake ni kutokana kuheshimiwa kwake pamoja na maono makubwa aliyokuwa nayo juu ya Bara la Afrika, ili kujikomboa katika utumwa wa kiakili kwa kujitambua vilivyo na ndio maana halisi ya mitazamo na imani za kirasta duniani kote. Hata hivyo, Haile Selassie alifukuzwa nchini Ethiopia mwaka 1936 baada ya Italia kuvamia Ethiopia lakini wakashindwa, ndipo akarudi mwaka 1941 kwa msaada wa Uingereza iliyowaondoa Waiitalia nchini humo katika Vita Kuu ya Pili ya Dunia. Hakika utawala wa Haile Selassie uliifanya Ethiopia kuwa kitovu cha Mataifa yote ya Afrika katika harakati ya kulikomboa bara zima kujipatia uhuru, hivyo kufanya umoja wa Mataifa huru ya Afrika kujengwa nchini humo katika jiji la Addis Ababa.

photo content

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria imependekeza Serikali ione umuhimu wa kufanya ununuzi wa ndege nyingine za viongozi, ili kuboresha utoaji huduma za usafiri wa anga kwa viongozi wakuu wa kitaifa. Mwenyekiti wa kamati hiyo, Dk Joseph Mhagama amesema hayo leo Jumanne, Februari 13, 2024 wakati akiwasilisha taarifa ya shughuli za kamati hiyo kwa mwaka 2023. Amesema kamati imebaini kuwepo kwa ndege tatu zinazowahudumia viongozi wa kitaifa ambapo ndege moja aina ya Gulfstream G550 inamuhudumia Rais. Nyingine ni Fokker F50 na Fokker 28 zinawahudumia Makamu wa Rais na Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), Waziri Mkuu, Makamu wa kwanza na wa pili wa Rais wa SMZ na viongozi wengine wa kitaifa. Amesema kamati imebaini kuwa ndege aina ya Fokker 28 ambayo ilinunuliwa mwaka 1978 ilitumika kuwahudumia viongozi wakuu wa kitaifa hadi kufikia mwaka 2015. Amesema ndege hiyo imefanya kazi ya kuwahudumia viongozi wa kitaifa kwa miaka 39 na kwa sasa ndege ya Fokker F50 inaendelea kuhudumia viongozi wakuu wa kitaifa isipokuwa Rais. “Hali hii husababisha wakala kutekeleza jukumu la kuwahudumia viongozi kwa kuchelewa pindi zinapotokea safari za viongozi wote kwa wakati mmoja,” amesema Dk Mhagama. (Imeandaliwa na Sharon Sauwa & Merciful Munuo)

photo content

Mtuhumiwa wa mauaji ya mkewe, Kevin Kinyanjui Kang'ethe ambaye alitoroka mikononi mwa polisi nchini Kenya Februari 7, 2024, amekamatwa tena. Kang'ethe alitoroka katika Kituo cha Polisi cha Muthaiga Nairobi alipokuwa ameshikiliwa akisubiri kurudishwa nchini Marekani kujibu shtaka la mauaji. Kang’ethe alikamatwa katika eneo la Embulbul, Ngong siku ya Jumanne jioni alipokuwa akitafuta hifadhi katika nyumba moja ya jamaa zake.Mkuu wa polisi wa Nairobi Adamson Bungei alithibitisha kukamatwa kwa watu wengine. “Tumemkamata tena. Yuko kizuizini na tunawashukuru wote waliosaidia katika hili,” alisema. Alifikishwa Nairobi chini ya ulinzi mkali kabla ya kufikishwa mahakamani. Kang'ethe alitoroka kutoka kituo cha polisi cha Muthaiga mnamo Februari 7 katika kisa kilichoshangaza wengi. Alikuwa anasubiri kurejeshwa Marekani kufuatia waranti ya kukamatwa kwake iliyotolewa Massachusetts. Alikamatwa katika mtaa wa Westlands mnamo Januari 30 na alipaswa kurejeshwa Marekani alipotoroka kutoka kizuizini. Kang'ethe, 40, alikuwa amezuiliwa akisubiri uamuzi wa iwapo anafaa kurejeshwa Marekani ili kujibu shtaka la mauaji ya daraja la kwanza kuhusiana na kifo cha mke wake Margaret Mbitu mnamo Oktoba 31, 2023. Polisi wa Jimbo la Massachusetts walisema mapema Novemba 2023, Kang'ethe aliacha mwili wa marehemu mkewe kwenye gari kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Logan na kupanda ndege kuelekea Kenya.

photo content

KUTOKA MITANDAONI Kwa habari zaidi SUBSCRIBE kupitia YOUTUBE channel yetu kwa ku bonyeza hapa chini.👇.kwenye link https://yo
+4
KUTOKA MITANDAONI Kwa habari zaidi SUBSCRIBE kupitia YOUTUBE channel yetu kwa ku bonyeza hapa chini.👇.kwenye link https://youtube.com/@E-PlusMediaTv?si=JjehK80_nkzrHGNK

KUTOKA MITANDAONI Kwa habari zaidi SUBSCRIBE kupitia YOUTUBE channel yetu kwa ku bonyeza hapa chini.👇.kwenye link https://youtube.com/@E-PlusMediaTv?si=JjehK80_nkzrHGNK

Kwa mara ya tatu Mfululizo, Makocha wazawa wanabeba Kombe la AFCON. 2023: Emerse Faé (Côte d’Ivoire 🇨🇮) 2021: Aliou Cisse (
Kwa mara ya tatu Mfululizo, Makocha wazawa wanabeba Kombe la AFCON. 2023: Emerse Faé (Côte d’Ivoire 🇨🇮) 2021: Aliou Cisse (Senegal 🇸🇳) 2019: Djamel Belmadi (Algeria 🇩🇿) #AFCON2023⚠️ Baada ya taarifa za kupigika kimaisha , Stivo Simpo Boy mwanamuziki maarufu Kenya aachia muonekano wake huo akila kipande cha mkate huku akishushia na maji ya machungwa kisha kusema.. "Maisha ni polepole ukilazimisha utakufa"

Kiongozi wa kanisa Katoliki Baba Mtakatifu Papa Francis amekutana na Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kwenye Ikulu ya Kit
Kiongozi wa kanisa Katoliki Baba Mtakatifu Papa Francis amekutana na Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kwenye Ikulu ya Kitume mjini Vatican, Italy.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango, amefika nyumbani kwa Waziri Mkuu mstaafu, Hayati
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango, amefika nyumbani kwa Waziri Mkuu mstaafu, Hayati Edward Ngoyai Lowassa, aliyefariki dunia februari 10, 2024, kwa ajili ya kutoa salamu za pole kwa na kusaini kitabu cha maombolezo.

***Baada ya The rock kununua Ndege yake aina ya Bombardier yenye Thamani Ya Dola Million 64 ambazo ni zaidi ya billlion 160 z
***Baada ya The rock kununua Ndege yake aina ya Bombardier yenye Thamani Ya Dola Million 64 ambazo ni zaidi ya billlion 160 za Kibongo akaichukua familia yake akaruka nayo hadi ufaransa kupata kifungua kinywa (breakfast) Tu then wakarudi marekani kuendelea na mishe zao***