en
Feedback

Don't get caught by a cheater! Telemetrio finds and tags such channels 👉 If you want to see the tag, subscribe

E-PLUS MEDIA

E-PLUS MEDIA

Open in Telegram

Get the latest news,videos,and more everyday.

Show more
1 307
Subscribers
+124 hours
-27 days
-1330 days
Posts Archive
Hii ilikuwa 2017 Kipindi hicho 👈 Loveness akiwa na mwonekana wa kike kabla hajaenda gym kujikomaza na kuwa na muonekano kama
Hii ilikuwa 2017 Kipindi hicho 👈 Loveness akiwa na mwonekana wa kike kabla hajaenda gym kujikomaza na kuwa na muonekano kama wa kiume huu alionao Sasa🙌

ENDEleeni kula maandazi ya vifungashio..😅
ENDEleeni kula maandazi ya vifungashio..😅

Picha ya juu ni 🇲🇼Gabadihno Mhango na binti wa kocha wa timu ya taifa ya Malawi, Anita Mabedi. 😬 Mshambuliaji huyo ametemw
Picha ya juu ni 🇲🇼Gabadihno Mhango na binti wa kocha wa timu ya taifa ya Malawi, Anita Mabedi. 😬 Mshambuliaji huyo ametemwa kwenye Kikosi Cha timu ya taifa na kocha Patrick Mabedi baada ya kuchelewa kufika Uwanja wa ndege. Patrick Mabedi anasema amemtema kocha huyu Kwa sababu ya nidhamu mbaya ....Hata hivyo Mhango amekanusa Hilo kwamba yeye ni mzalendo wa timu yake ya Taifa. Wazeee wa Cuba washajua chanzo ni Mtoto wa kocha Anita Mabedi ambaye ameonekana kula kuku Kwa Mrija na Gabadihno Mhango 🤪🤪. Licha ya juhudi za kujaribu kujiunga na kambi, Mabedi alisema hatamruhusu kuwa sehemu ya timu. 🤪🤪Baba wawatu kanuna vibaya mno 😁. #mpekeo_mtandala

BRING PELLEGRINO HOME 🇹🇿 Miaka 11 iliopita Amahl Pellegrino alikua anafatilia michezo ya Taifa lake la asili la Tanzania am
BRING PELLEGRINO HOME 🇹🇿 Miaka 11 iliopita Amahl Pellegrino alikua anafatilia michezo ya Taifa lake la asili la Tanzania ambapo Taifa Stars ilikuwa ikicheza dhidi ya Morocco Mwaka 2013 na pia dhidi ya Gambia mwaka 2012. TAKWIMU ZA AMAHL PELLEGRINO 🇸🇯🇹🇿 LIGI KUU NORWAY MSIMU HUU 👕— 27 Mechi ⚽— 23 Magoli 🅰️— 14 Assists ♟️— 37 Total G&A 🏆— Bingwa wa Msimu Wazazi wake wote wana asili ya Tanzania na Hajawai kuitwa timu ya Taifa ya Norway hivyo ana nafasi kuja kuchezea Tanzania. @tanzaniafootballers x@tanfootball @awp.90

Hali ya ki afya ya Mwigizaji Grace Mapunda "Tesa wa Huba" yaendelea kudhorota siku hadi siku.
Hali ya ki afya ya Mwigizaji Grace Mapunda "Tesa wa Huba" yaendelea kudhorota siku hadi siku.

MANGE KIMAMBI AMUUMBUA DIVA KWEUPEE "Nasikia miss delulu kapanick huko sababu nimemwaribia kiki yake ya nyumba feki. Nyambafuuu unafanya kazi tangu enzi za askari wanavaa kaptura mpaka leo hata kiwanja huna, gari yenyewe unaendesha crown ya mkopo wa kazini. Loveness na kujifanya matawi kooote in 2023 unaendesha crown ya mkopo? unakaa kwenye apartment ya msaada? seriously?" "Alafu eti ooh I'm highest paid female presenter, highest paid female presenter hata pakulala msaada? Unaita media ndani ya apartment ya mtu unajitia ni kwako, hivi unajua Diva una matatizo ya akili wewe? nakusubiri siku ya kuhama kwenye hiyo apartment utakavyotengeneza story mpya ooh nimeona I need more space kumbe mwenye nyumba kachukua apartment yake" "Ona wenzio kina Dida Shaibu ulioanza nao game leo wanacho cha kuonyesha baada ya kuhenyeka kwenye maredio, wewe sasa mafanikio yako ni mawigi ya plastic yaliyokakamaa kama stili waya. Ila Mungu alijua kukupa mume unaeendana nae, eti nimemshindwa Abdul nimehamia kwako, kati yangu mimi na wewe nani kamshindwa Abdul? uko so desperate na ndoa mpaka unaendelea kuishi na mwanaume anabaka mpaka house girl wako, anabaka wasaidizi na bado umeng'ang'ana nae" "Ooh alafu mambo ya wazazi mnayaanzaga wenyewe, nikianza kumtukana mzee Malinzi hapa nitaonekana mbaya, nyambafuuu nyumba sio yako, huna nyumba wala kiwanja sehemu yoyote nyau wewe, kitu unachomiliki hapa duniani ni mawigi ya plastic, Bye miss delulu"- Mange Kimambi

photo content

CR7 alitumia meno yake kulegeza kamba za njumu ya mchezaji mwenzie. CR7 ndiye Binadamu mwenye wafuasi wengi duniani kwenye mi
CR7 alitumia meno yake kulegeza kamba za njumu ya mchezaji mwenzie. CR7 ndiye Binadamu mwenye wafuasi wengi duniani kwenye mitandao ya kijamii na ni role model wa vijana wengi duniani kutokana na ubora wake wa kusakata kabumbu Ni maarufu aswaaaa

Dar es salaam Tanzania
Dar es salaam Tanzania

FULL VIDEO NA MATUKIO MAZIMA UTAYAPATA KWA KU BONYEZA HAPA KWENYE INSTAGRAM LINK:-https://instagram.com/e_plus_media?utm_medi
+9
FULL VIDEO NA MATUKIO MAZIMA UTAYAPATA KWA KU BONYEZA HAPA KWENYE INSTAGRAM LINK:-https://instagram.com/e_plus_media?utm_medium=copy_link FACEBOOK PAGE FOLLOW:-https://www.facebook.com/eplusmediatv/

photo content

#KufuzuKombeLaDunia - Shughuli ndio imeanza,Tanzania wanaondoka na alama zote tatu mbele yw Niger. FT’ Niger 0-1 Tanzania ⚽️M
#KufuzuKombeLaDunia - Shughuli ndio imeanza,Tanzania wanaondoka na alama zote tatu mbele yw Niger. FT’ Niger 0-1 Tanzania ⚽️M’mombwa. Mna lolote?

Matokeo ya Mechi 6⃣ za Taifa Stars 🇹🇿 chini ya kocha Adel kwa mechi za hivi karibuni ➖Uganda 0-1 Tanzania FT √ ➖Tanzania 0-
Matokeo ya Mechi 6⃣ za Taifa Stars 🇹🇿 chini ya kocha Adel kwa mechi za hivi karibuni ➖Uganda 0-1 Tanzania FT √ ➖Tanzania 0-1 Uganda √ ➖Niger 0-1 Tanzania √ 🤙Algeria 0-0 Tanzania 🤙Sudan 1-1 Tanzania ➖Niger 0-1 Tanzania (leo)√ Toa maoni yako

CHARLES M'MOMBWA (25) NI NANI Charles M'mombwa ni mchezaji mwenye asili ya Tanzania ambaye hapo awali amelitumikia taifa la A
CHARLES M'MOMBWA (25) NI NANI Charles M'mombwa ni mchezaji mwenye asili ya Tanzania ambaye hapo awali amelitumikia taifa la AUSTRALIA 🇦🇺. Kwa Mara ya kwanza ameitwa kwenye kikosi cha TANZANIA na ameanza dhidi ya Niger Charles M'mombwa anacheza nafasi ya kiungo mshambuliaji kwenye klabu ya MACARTHUR FC Inayoshiriki ligi kuu Australia 🇦🇺. Charles M'mombwa mwaka 2017 alikuwa Central Coast Mariners FC -na mwaka 2021 akaibukia > Macarthur FC mpaka sasa anakipiga kwenye klabu hiyo inayoshiriki ligi kuu Australia.

Muonekano mpya wa Snoop Dogg baada ya kutangaza kuacha kutumia bangi na sigara.
Muonekano mpya wa Snoop Dogg baada ya kutangaza kuacha kutumia bangi na sigara.

Lilian Mwasha ameposti picha hiyo akiwa ndani ya ndege kisha akatoa mtazamo wake juu ya wanaume wanaolamba pipi kijiti hadhar
Lilian Mwasha ameposti picha hiyo akiwa ndani ya ndege kisha akatoa mtazamo wake juu ya wanaume wanaolamba pipi kijiti hadharani kwa kusema... "Jamani naomba nisitupiwe mawe lakini kuna hali flani hivi ya ukakasi naipataga nikiona mwanaume anakula pipi ya kijiti hadharani (Lollypop)...sio kwamba ina ubaya lakini daaah blazaa unafyonzaje pipi ya kijiti tena nyekundu inakuachia kabisa alama mdomoni alafu unaona raaaha mwenyewe" "Au mwanaume kunywa soda zenye rangi ya orange au kipapply papply tena unasokomezea na keki daaah....kwani zile soda zenye weusi zimeisha mjini?. Unless Daktari kasema ule hiyo pipi au hiyo drink, but kama ni wewe tu aaah mwanaume!!"- ameandika Mwasha. Kwa mtazamo wako, kuna ubaya mwanaume kula pipi kijiti au soda zenye rangi ya orange?

Baada ya kuwepo kwa tetesi za muda mrefu kwamba Muna Love amemtelekeza mama yake na anaishi katika mazingira magumu. Muna ame
Baada ya kuwepo kwa tetesi za muda mrefu kwamba Muna Love amemtelekeza mama yake na anaishi katika mazingira magumu. Muna ameamua kuwaziba midomo walimwengu kwa kuposti picha hiyo akiwa na mama yake.

⚠️😳 Jamaa huyo wa Nigeria kwa jina la Saheed Azeez(33) ambaye aliruhusiwa kuishi Manchester, nchini Uingereza baada ya kudai kwamba alikuwa akisakwa na Boko Haram wamfanyie ukatili sababu ni shoga, kisha baadaye kupata watoto 3 na wanawake watatu tofauti aliowapa mimba nchini Uingereza na kumuoa mwanamke wa tatu, kwasasa jamaa huyo amedakwa na vyombo vya sheria nchini Uingereza kwa utapeli wa shilingi milioni 681.2(£220,000) baada ya kujiunga na mtandao wa matapeli wa Kinigeria na kushirikiana nao kutapeli watu nchini Uingereza Na sasa jamaa huyo anasema yeye ni b1sexual kimapenzi anashiriki na jinsi zote wanawake na wanaume Alidakwa na polisi wakati alipompeleka mmoja wa watoto wake shuleni, na aliposhtuka kuwa polisi wanamfuatilia haraka alizitoa simu tatu alizokuwa akizitumia kutapeli watu mbalimbali mitandaoni kwenye masoko ya bidhaa na kuziingiza katika begi la shule la mwanae wahanga takribani 10 waliotapeliwa nae wametoa ushahidi ila ametapeli watu karibia 210 ndani ya mwaka mmoja na miezi miwili. waliotapeliwa walikuwa wakiuza vitu vyao vya thamani mitandaoni kupitia masoko kama eBay , Facebook Marketplace na WhatsApp hivyo yeye na matapeli wenzio walifanya mbinu ya kuzikusanya wao bidhaa za watu waliokuwa wakiuza kisha kwenda kuziuza katika duka la kaka yake Katika maelezo yake awali wakati akiomba hifadhi ya makazi Uingereza alidai alikulia katika familia na mazingira ambayo alinyanyaswa kingono kwa kuingizwa katika mapenzi ya jinsia moja na baadaye akawa anawindwa na Boko Haram kumsulubu lakini kwasasa maelezo yake yametiliwa shaka kutokana na kutoeleweka pamoja na utapeli alioufanya

photo content

NAWAZA PIGO LA KUWAPA YANGA LITAKALO ONDOA MAJIGAMBO YAO "MCH MASHIMO" Amefunguka Mchungaji Mashimo "Haya majigambo walifanya
NAWAZA PIGO LA KUWAPA YANGA LITAKALO ONDOA MAJIGAMBO YAO "MCH MASHIMO" Amefunguka Mchungaji Mashimo "Haya majigambo walifanya @simbasctanzania wakasahau kumshukuru Mungu wangu aliyewapa Neema ya kuongoza ligi na kufanya vizuri, kitendo ambacho kilipelekea kuwatondolea ile furaha yao. Kosa lile la @simbasctanzania na @yangasc ameanza kulifanya tena. Yanga nimewapa ushindi wa kuifunga @simbasctanzania goli 5 lakini hakuna kiongozi yeyote wa @yangasc aliona thamani yangu na kuchukua hatua ya kumshukuru Mungu kupitia Mimi Nabii wake. Badala yake nguvu zao zote wamezielekeza kwenye majigambo. Nawaza pigo la kuwapa litakaloodoa furaha na majigambo yao yote kwenye ligi hii. NI KWELI BAADA YA YANGA KUSHINDA NILIPOKEA ZAWADI YA KUTOKA KWA MASHABIKI. ILA VIONGOZI WA YANGA HAWAJAFANYA KITU MPAKA SASA HIVI Toa maoni yako Hapa ✍️