E-PLUS MEDIA
Open in Telegram
1 307
Subscribers
+124 hours
-27 days
-1330 days
Posts Archive
1 307
MANARA NDIE ALIEFANYA WATU WENYE UALBINO KUHESHIMIKA
Ameandika Sanitizer TZ ✍️
"Miaka 48 Haji Manara , Amejitunza sana 💪 ni mara chache sana kuona watu wenye ulemavu wa Ngozi (Albinism) kuishi miaka mingi ni mara chache sana
Haji Manara alileta thamani kwa albinism , alifanya watu wenye ulemavu wa ngozi kuheshimika , alifanya Familia hata wakijifungua Albinism wanahisi jambo la kawajda tu tofauti na Zamani "@sanitizer_tz
follow ukurasa wetu wa Instagram kuona Mengi Zaidi 👇
https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW40cmNtdXV0OWZ2
1 307
Picha Msanii Mkongwe wa Bongofleva Lady Jaydee akiuaga mwili wa Marehemu Captain G Habash.
Ikumbukwe Gadner G Habash Aliwahi kufunga ndoa na Lady Jadee na Wote wawili walipoachana Gadner Hakuwahi kuoa Tena na Lady Jadee pia aliamua kuishi peke yake bila Mwenza
1 307
Huyo mzungu ndiyo Dorotia mwenyewe, Kama uliwahi kusikia Ngoma ya Dorotia toka Kwa Jose Chameleon.Alikua Mpenzi wa Jose na walizaa mtoto mmoja aitwaye Ayla Mayanja
.
Dr. Jose Chameleon aliivuruga East Africa na ngoma kali sana hit baada ya hit yani tunabandua Ugali tunabadika maharage yani hakuna kuzima moto.
.
Ngoma ipi ilikubamba toka Kwa Jose?
.
1.Jamilla
2.Dorotia
3.Shida za Dunia
4.Bahati yangu
5.Sauti ya Thabu
6.Bombo Clat Ft Weasel
7.Bei Kali
8.Ndivyo sivyo Ft Prof Jay
9.Tubonge
10.Mama Roda Ft Bushoke
11.Valuvalu
1 307
Mpiga Picha na Mwandishi wa Habari wa @millardayo @ayotv_ Noel Mwingila (Zuchy) amefariki dunia Alfajiri ya leo Baada ya Kupata ajali ya Pikipikii Maeneo ya Makonde - Mbezi, Dar es salaam ( Chanzo cha Karibu Kimethibitisha)
Zuchy alikua ni mmoja kati ya wapigapicha Mahiri kwenye Tasnia ya Habari na Matukio .
Mungu ailaze Roho yake mahali pema 🙏
FULL VIDEO FOLLOW INSTAGRAM..👇👇
https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW40cmNtdXV0OWZ2
1 307
GARDNER G HABASH, THE INFOTAINER
MTANGAZAJI wa redio mwenye sauti iliyomvutia kila mtu. Msanii wa sauti (the voice-over artist), aliyenakshi jingles. Mwendesha shughuli (MC), mwenye sanaa kubwa.
Gardner Gabriel Habash. Tangu Mzee wa Kujinafasi hadi Babu Vipensi. Kutokea Gardner G mpaka Babu G. Mtangazaji wa dansi katika Afrika Bambataa, kisha akawa haiba ya Bongo Flava, kabla ya kugeuka Captain wa drive-time shows. Gardner, the versatile.
Jahazi la Clouds FM, halafu Maskani ya Times FM, ikafuata Ubaoni EFM, kisha tena Jahazi Clouds FM. Gardner kwenye microphone, sauti ikichakatwa na mixer. Transmitter ikimsafirisha hadi ulipo. Kwa ubunifu na utundu wa kucheza na maneno. Gardner, hakuna aliyesogea anga zake.
Gardner ni role model wa vijana waingiza sauti za matangazo. Sauti na swagger za Gardner kwenye utangazaji, vimo ndani ya watangazaji wengi. Gardner ni nembo ya utangazaji wa kisasa Tanzania. Gardner ni mwanamageuzi, pia mwanamapinduzi wa tasnia ya habari Tanzania.
Unazijua habari za Midas? Ni mfalme wa Phrygia, Ugiriki ya Kale. Midas alikuwa na karama ya ajabu, kila alichoshika, alipotaka, aliweza kukibadili kuwa dhahabu.
Gardner, the Midas, kila kipindi alichokifanya kiligeuka dhahabu. Hii ilitafsiri nguvu na nyota yake. Afrika Bambataa kwenye dansi, vipindi vya Bongo Flava Clouds FM, na ule u-Captain aliojitengenezea katika shows za jioni.
Gardner, the music executive. Katika maisha yake amesimamia wanamuziki wengi ambao walipata mafanikio makubwa. Gardner, the music contributor. Maneno yake yalitumika kunogesha nyimbo nyingi za Swahili Rap na Bongo Flava.
Miaka ya 1990, Bongo Flava haikuwa mainstream music. Mageuzi makubwa yalifanyika early 2000, kuipeleka Bongo Flava mainstream. Gardner alikuwa major player, kama mtangazaji na music executive, akitoa mchango mkubwa kuifikisha Bongo Flava kwenye mainstream.
Gardner, aina yake ya utangazaji wenye swagger za kiburudani, ulifanya taarifa alizotoa zipenye na kufika kwa urahisi. Kama taarifa na burudani ni infotainment. Gardner ndiye infotainer.
Alisema Steve Jobs: “Kifo ni hatima ambayo wote tunaichangia.” Gardner ametangulia. Tuliobaki, muda wetu waja.
(Cc: Ndimi Luqman MALOTO)
1 307
Kwa mujibu wa Jarida la Skytrax World Airport Awards, hii ndio orodha ya Viwanja bora vya Ndege Duniani.
1. Doha (Qatar)
2. Singapore Changi (Singapore)
3. Seoul Incheon (Japan)
Barani Afrika
1. Cape Town International Airport (Afrika Kusini)
2. King Shaka International Airport (Durban, Afrika Kusini)
3. O.R. Tambo International Airport (Johannesburg, Afrika Kusini)
4. Casablanca Mohamed V International Airport (Morocco)
5. Sir Seewoosagur Ramgoolam International Airport (Mauritius)
6. Marrakesh Menara Airport (Morocco)
7. Bole Addis Ababa International Airport (Ethiopia)
8. Kigali International Airport (Rwanda)
9. Cairo International Airport (Misri)
10. Jomo Kenyatta International Airport (Kenya)
1 307
Hii hapa orodha ya Wanawake wazuri (warembo) barani Afrika kwa mujibu wa Insider Monkey.
1. Ethiopia
2. Nigeria
3. Tanzania
4. Kenya
5. Afrika Kusini
6. Ghana
7. Zimbabwe
8. Misri
9. Congo Brazzaville
10. Cote d’Ivoire
11. Rwanda
12. Somalia
13. Morocco
14. Namibia
15. Cameroon
NB : Insider Monkey wameangali zaidi Nchi ambazo zimebaki na asilia yao kuliko kutumia bidhaa za kubadilisha muonekano ikiwemo upasuaji (yaani surgery).
Toa maoni yako
1 307
"Tatizo la wasanii kwenda kupiga picha msibani bado ni kubwa na halina dalili za kukoma, nimejionea kwenye msiba huu wa Gadna, wasanii wanaenda msibani badala wafate kilichowapeleka wanaenda wanapiga picha wanaondoka, tujirekebishe hii sio nzuri"- Steven Nyerere, Mwigizaji wa filamu Tanzania.
Toa maoni yako
1 307
"Juzi nilifurahi sana baada ya kuona radio yangu ikicheza nyimbo za Diamond Platnumz. Ndio maana nilipokuwa nikiifungua media yangu nikasema hii ni ya kila mtu na si ya familia."
"Crown fm itacheza nyimbo za Diamond na Harmonize bila kubagua. Natamani pia Wasafi Media wafanye hivyo kwa wasanii wengine"- Alikiba, Msanii wa muziki Tanzania na Mmliki wa Redio ya Crown FM
Toa
1 307
Ameandika Babu Tale
"NIMEAMKA NA MAUA YA ISARITO.
Leo nimechuma maua yenye Oksijeni ya pongezi nyingi Juu ya Kijana Mwenye juhudi ziliandikwa kwa mpango wa jasho.
Acha leo nimpe mauwa yake huyu mwamba japokuwa mimi sijawahi kumuona uso kwa uso, ila nimejikuta tu nakuwa Shabiki yake kwa kile anachokifanya kwenye kila kazi yake ya Sinema.
Ndugu yangu @isarito_tmt najua unajua kuwa Mimi sikujui hata chembe, lakini nataka ufahamu kuwa, Mimi ni Shabiki yako namba moja kwa sasa.
Naomba upige kifua chako na ujue kuwa, Wewe ni Mkali haswaa na nakuona mbali sana katika safari ya heshima na mafanikio.
Kikubwa endelea kusimamia kile ambacho Mungu amekupa kwani naamini lazima kitatoa matunda kwako, familia yako na Nchi kwa ujumla.
Endelea kukaza kwakuwa jasho la haki ya kazi yako litakulipa thamani ya heshima itakayoishi vizazi na vizazi. #theblackgodfather " - Babu Tale, Mbunge na Meneja wa Diamond Platnumz na WCB Wasafi wa jumla.
Toa maoni yako
1 307
JIUNGE KWENYE GROUP LA E PLUS MEDIA UWEZE KUTOA MAONI NA KUCHAT...KWA KU BONYEZA HAPA KWENYE LINK👉https://t.me/EplusMediaTz
1 307
JIUNGE KWENYE GROUP LA E PLUS MEDIA UWEZE KUTOA MAONI NA KUCHAT...KWA KU BONYEZA HAPA KWENYE LINK👉https://t.me/EplusMediaTz
1 307
JIUNGE KWENYE GROUP LA E PLUS MEDIA UWEZE KUTOA MAONI NA KUCHAT...KWA KU BONYEZA HAPA KWENYE LINK👉https://t.me/EplusMediaTz
1 307
JIUNGE KWENYE GROUP LA E PLUS MEDIA UWEZE KUTOA MAONI NA KUCHAT...KWA KU BONYEZA HAPA KWENYE LINK👉https://t.me/EplusMediaTz
1 307
KUTOKA MITANDAONI
Kwa habari zaidi SUBSCRIBE kupitia YOUTUBE channel yetu kwa ku bonyeza hapa chini.👇.kwenye link
https://youtube.com/@E-PlusMediaTv?si=JjehK80_nkzrHGNK
1 307
JIUNGE KWENYE GROUP LA E PLUS MEDIA UWEZE KUTOA MAONI NA KUCHAT...KWA KU BONYEZA HAPA KWENYE LINK👉https://t.me/EplusMediaTz
1 307
KUTOKA MITANDAONI
Follow ukurasa wetu wa Twitter👇
https://twitter.com/EplusMediaTv?t=OOCtdqDd1L27Uq8rLZ1UJg&s=09
