E-PLUS MEDIA
Open in Telegram
1 307
Subscribers
+124 hours
-27 days
-1330 days
Posts Archive
1 307
FULL VIDEO NA MATUKIO MAZIMA UTAYAPATA KWA KU BONYEZA HAPA KWENYE INSTAGRAM LINK:-https://instagram.com/e_plus_media?utm_medium=copy_link
FACEBOOK PAGE FOLLOW:-https://www.facebook.com/eplusmediatv/
1 307
FULL VIDEO NA MATUKIO MAZIMA UTAYAPATA KWA KU BONYEZA HAPA KWENYE INSTAGRAM LINK:-https://instagram.com/e_plus_media?utm_medium=copy_link
FACEBOOK PAGE FOLLOW:-https://www.facebook.com/eplusmediatv/
1 307
"Mume wangu ananipa kila ninachotaka kiukweli namshukuru kwa hilo na hata tulivyomaliza kujenga nilimwambia asante kwa kazi kubwa ambayo umeifanya na kila siku huwa namshukuru" amesema Mke wa Mwijaku.
Toa maoni yako
1 307
β I donβt want to hear anything like Big 3 . There is big 2 and then there is BURNA BOY β
Tafsiri isiyo rasmi π
"Sipendi kusikia Mtu anakuambia kuwa Afrika kuna wasanii wakubwa watatu, mwambie kuna wasanii wakubwa wawili ambao ni Wizkid na Davido alafu kuna Msanii anaitwa Burna Boy"
Hayo ni maneno ya Msanii Burna Boy aliyozungumza usiku wa mkesha wa mwaka mpya kwenye moja ya "Club" ya starehe huko Mjini Lagos Nchini Nigeria baada ya kupewa nafasi ya kupanda kwenye Jukwaani na kuzungumza na Mashabiki, lakini pia usiku huo Burna Boy alikutana na Msanii Wizkid kwenye "club" hiyo na kisha kufurahi pamoja usiku mzma.
Toa maoni yako
1 307
Chukua hii
Msanii maarufu wa muziki Nchini Colombia na Dunia kwa ujumla, Shakira alinunua haki zote (copyright) za Tamthilia (Serie) iitwayo "Oasis" ya mwaka 1994 ambapo Msanii huyo alishiriki (alicheza).
Shakira alinunua haki ya Tamthilia hiyo (Telenovela) ili isionyeshwe sehemu yoyote ile kwa madai kuwa hataki ionyeshe mahali popote pale ila hakutoa sababu rasmi ya kukataa kuonyeshwa lakini habari ziliripotiwa kwamba hapendi ionekane kufuatia ukubwa alionao kwa sasa ukilinganisha na ubora wa Tamthilia hiyo.
Toa maoni yako
1 307
Orodha ya Wasanii wa muziki kumi (10) bora kwa mujibu wa Music Base Africa.
1. Burna Boy (Nigeria π³π¬)
2. Davido (Nigeria π³π¬)
3. Asake (Nigeria π³π¬)
4. Fally Ipupa (DR Congo π¨π©)
5. Rema (Nigeria π³π¬)
6. Omah Lay (Nigeria π³π¬)
7. Libianca (Cameroon π¨π²)
8. Shatta Wale (Ghana π¬π)
9. Diamond Platnumz (Tanzania πΉπΏ)
10. Tyla (Afrika Kusini πΏπ¦)
Toa maoni yako
1 307
TBC KUONYESHA MICHUANO YA AFCON
Shirika la Utangazaji Tanzania ( TBC) limetangaza kuwa Litawaletea matangazo mbashara ya mechi za AFCON 2023.
Michuano hiyo itaruka mubashara kupitia televisheni, redio na kurasa za mitandao ya kijamii ya TBC Bure kabisa Bila malipo Kwa muonekano wa picha ang'avu yaani (FULL HD).
1 307
Nyumba mpya ya Mwijaku.
Unadhani hela kapata kwenye Uchawa au kuna biashara nyingine?.
Harmonize na kuimba kwake hana nyumba.
Diamond naye hana kama hii
Alkiba naye hana iweje Mwijaku ajenge nyumba hii wakati hela za Uchawa wanampa wao?
1 307
"Kuna watu wananitabiria mabaya wanasema siwezi kufika mbali, mara Diamond kapata hasara, yanaumiza lakini uzuri ni kwamba nipo chini ya mtu ambaye yeye mwenyewe anatukanwa kila siku, akifanya jema anatukanwa akikosea ndio usiseme. Cha muhimu sisi tunaangalia biashara yetu inaendaje, kikubwa ni kuhakikisha ile mipango na madhumuni yetu yanatimia"
"Hakuna aliyeingia kwenye mziki na akafanikiwa siku hiyohiyo, inahitaji mchakato kuyafikia malengo, mimi nawaacha tu wanitukane wanavyotaka nitachambua yale mazuri wanayonishauri na mabaya nitayapotezea"-D Voice
1 307
Martha Mwaipaja Akiwa na binti yake anayeitwa Joanitha..
Comment β€οΈβ€οΈβ€οΈ
1 307
"Sifa za Mwanamke wangu, ana sura nzuri (babyface), shepu nzuri, Npambanaji au Nalkia wa nguvu, Super Star na Tajiri " - Rommy, Mume na Mpigapicha wa Shilole.
Toa maoni yako
1 307
Unapendekeza kipi kiongezwe au kipunguzwe kwenye Sheria ya Uchaguzi wa Madiwani, Wabunge na Rais?
1 307
β οΈπ³ JE WAJUA HAYA KUHUSU JIJI LA TANGA, TANZANIA?
1. Reli ya Kwanza Tanzania Bara - Tanga 1893.
2. Shule ya kwanza ya Sekondari- Tanga 1890 (Tanga Old School).
3. Shule ya Kwanza (Anglikana) Tanzania 1848 - Tanga Magila Muheza.
4. Taasisi ya Kwanza ya Utafiti wa Malaria Duniani - Tanga Muheza, Ubwari 1949.
5. Hospitali ya Kwanza (1st Modern Hospital) - Tanga, Cliff Block 1895
6. Hoteli ya Kwanza ya Kisasa Tanzania - Tanga, Kaiserhof Hotel 1906.
7. Upandaji wa Mkonge wa Kwanza Afrika - Tanga, Pangani 1900.
8. Nembo ya Benki Kuu ya Tanzania ni msukumo kutoka kwa Kiwanda cha Mkonge Tanga kwani kilichangia zaidi ya asilimia 60 ya Pato la Taifa.
9. Tanga lilikuwa jiji la kwanza kuwa Manispaa mwaka 1891.
10. Tanga ilikuwa na Soko la kwanza la kisasa nchini Tanzania - 1903 Soko la Uzunguni.
11. Risasi ya kwanza ya Vita Kuu ya Kwanza ya Afrika ilipigwa Tanga - Novemba 1914.
12. Tanga ilikuwa na kanisa la kwanza Tanzania - Magila Msalabani Muheza - 1840s.
13. Tanga ilitoa padre mzaliwa wa kwanza (Mlutheri) nchini Tanzania, Jacob Lumwe (1880 - 1970).
14. Zaidi ya 95% ya Kata za Jiji la Tanga zina maji ya kutosha, hivyo kuwa jiji pekee nchini.
15. Tanga ina mfumo wa maji taka kongwe na unaofanya kazi Afrika Mashariki.
16. Tanga inashikilia rekodi ya jiji lenye mpangilio mzuri zaidi Afrika Mashariki.
17. Tanga inashikilia rekodi ya kuwa na maktaba ya kwanza ya umma nchini Tanzania miaka ya 1950.
18. Tanga ina mtambo wa kwanza wa kufua umeme nchini Tanzania tangu mwaka 1905 huko Muheza Amani.
19. Bandari ya Tanga ndiyo bandari inayohudumu kwa muda mrefu zaidi Afrika Mashariki (Rejelea Mtandao wa Bandari ya Tanga).
20. Tanga ina mnara wa saa kongwe zaidi nchini Tanzania (pengine Afrika) 1901
LA MWISHO KABISA:
Tanga ina KARIBU haina KWAHERI π€£"
Posted as received
