en
Feedback

Don't get caught by a cheater! Telemetrio finds and tags such channels 👉 If you want to see the tag, subscribe

E-PLUS MEDIA

E-PLUS MEDIA

Open in Telegram

Get the latest news,videos,and more everyday.

Show more
1 307
Subscribers
+124 hours
-27 days
-1330 days
Posts Archive
SIASA KUCHANGANYWA NA SOKA Na Jemedary Said Mwaka 2005, Didier Drogba alimaliza vita ya miaka 5 ya wenyewe kwa wenyewe kwao Ivory Coast 🇨🇮 alipofunga goli lililosaidia Ivory Coast kuifunga Madagascar. 🇲🇬 Aliomba mchezo uchezwe Bouake eneo ambalo ni ngome ya waasi, akafunga halafu akawapigia magoti waasi waachane na vita na waasi walikubali vita ikaisha. FUNZO Michezo inaunganisha watu wenye itikadi tofauti na kuwa kitu kimoja, ndio maana mashirikisho ya Kidunia ya michezo mingi kama sio yote yamekataza wanachama wao na vilabu kuingiza mambo ya siasa kwenye michezo. Mfano Didier Drogba timu yake ya Taifa ya Ivory Coast ingekuwa inajihusisha na siasa za nchini kwao namna yoyote manake waasi wangemchukulia yeye na timu ya Taifa kama “maadui” na wasingemsikiliza wala vita isingeisha kirahisi. Wote tunafahamu faida ya vita kuisha na hizo faida zililetwa na Drogba kupitia soka. Hapa nchini kwetu pia nimeona tabia ya kutumia picha, mabango na majina ya wanasiasa kwenye mechi au shughuli za vilabu na timu za taifa imeanza kushamiri hasa wakati huu tunapoelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 ambapo kutakuwa na uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Tanzania nzima. Natoa rai kwa wahusika kuchukua hatua za haraka na mapema kuondokana na hiki kinachoendelea kwakuwa soka inatuunganisha watu wenye itikadi tofauti tofauti, kwahiyo sio wote watakaokuwa na mapenzi na hisia sawa. Tusifike kule ambako sanaa na wasanii nchini wamefika. Niko tayari kukosolewa. BIN KAZUMARI (The voice of the voiceless)

photo content

Anaitwa Kwesi Zion Pira Kawawa, Amezaliwa Tarehe 5 Dec 2001 mahali alipozaliwa ni Enskede _ Sweden, Umri wake ni Miaka 21 ila ifikapo tarehe 5 Dec 2023 mwaka huu atatimiza miaka 22 Kamili. Timu anayo itumikia kwa sasa ni Karlslunds IF FK inayo shiriki Ligi Daraja la Pili Nchini Sweden, Je, ni wapi alipoanzia safari yake? Ameitumikia Djurgarden under 17 Kisha 1 Jan 2019 akapelekwa Djurgarden under 19, kisha tarehe 1 Jan 2021 akasajiliwa na Hammarby nayo ya Sweden kwa uwamisho huru, tar 27 Jan 2022 akasajiliwa na Orebro kisha Mwaka huu tarehe 24 Jan 2023 ndiyo amejiunga na Karlslunds ya Sweden na timu zote alizopitia ni za hapo hapo nchini Sweden. Nini ambacho tulikuwa tunakihitaji kutoka kwake?tulitaka tumuone akiwa Ajax au Monaco na akiitumikia timu ya Taifa ya Sweden kisha tuanze kujisifu kama ambavyo tunafanya kwa Yussuf Poulsen kwa kuamua kwake kuichagua Timu ya Taifa ya Denmark !!? Au tulitaka tuanze kuleta lawama kama ambazo tumezitoa dhidi ya Bernald Kamungo Kwenda kuitumikia timu ya Taifa ya Marekani!!? Muhimu ni Kumpa Heshima kama yeye alivyo amua kutupatia, kumtia Moyo na Kumuonesha upendo sababu ndiyo kwanza tunaianza safari tukiwa pamoja naye. By Baba Careen 📝.

photo content

Baada ya kupata mtihani wa ajali mbaya ya gari iliyopelekea mwenzao mmoja kufariki dunia walipokuwa wakitokea Dar es salaam k
Baada ya kupata mtihani wa ajali mbaya ya gari iliyopelekea mwenzao mmoja kufariki dunia walipokuwa wakitokea Dar es salaam kuelekea Moshi Kilimanjaro kwenye show. Baada ya kutoka salama na kurejea katika hali yake ya kawaida Msanii Chino ameposti picha hizo (ya zamani na ya sasa) akiwa na mama yake mzazi kisha kuandika haya "Love you mom najua unasali sana kuniombea mwanao mpaka nimekuota leo mama yangu, nakupenda sana mama yangu umenifundisha kuwa na furaha na upendo wakati wote kwa watu coz ndio tunachothamini kwenye maisha yetu wakati wote tangu hatuna chochote mpaka leo kidogo MUNGU amesaidia ni mtu wa kufurahi muda wote, nakupenda mno mama sichokagi kukuangalia tabasamu lako❤️"- ameandika Chino

photo content
+9

photo content

FULL VIDEO NA MATUKIO MAZIMA UTAYAPATA KWA KU BONYEZA HAPA KWENYE INSTAGRAM LINK:-https://instagram.com/e_plus_media?utm_medi
+9
FULL VIDEO NA MATUKIO MAZIMA UTAYAPATA KWA KU BONYEZA HAPA KWENYE INSTAGRAM LINK:-https://instagram.com/e_plus_media?utm_medium=copy_link FACEBOOK PAGE FOLLOW:-https://www.facebook.com/eplusmediatv/

Serikali ya Saudi Arabia 🇸🇦 imeandaa mchezo wa kirafiki kati ya Al-Nassr ya Saudi Arabia (Cristiano Ronaldo) dhidi Inter Mi
Serikali ya Saudi Arabia 🇸🇦 imeandaa mchezo wa kirafiki kati ya Al-Nassr ya Saudi Arabia (Cristiano Ronaldo) dhidi Inter Miami ya Marekani 🇺🇸 (Leo Messi) Februari 2024 Mjini Riyadh, Saudi Arabia 🇸🇦 Toa maoni yako

" Mtu anapoamua kuchukua Tuzo usije Seema ni Tuzo kubwa ama ndogo Hakuna Tuzo ndogo aise Ebu tujaribu kuheshimu Mtu anapo chu
" Mtu anapoamua kuchukua Tuzo usije Seema ni Tuzo kubwa ama ndogo Hakuna Tuzo ndogo aise Ebu tujaribu kuheshimu Mtu anapo chukua Tuzo kwani Tuzo kuchukua ni kama bahati maana unachukua Tuzo mbele ya Wanayoitaka Wengi Tumpe Hongera Harmonize Na mambo ya Mabifu siku zote Yanaisha Haiwezekani sisi Tunapambania Mabifu huku Msanii mdogo Wa miaka 23 Rema Wa Nigeria Anajaza Watu kwenye kumbi Marekani Mimi Kwa Sasa Sina mipaka Konde gang ni nyumbani Na kwingineko Na usishangae Hata kuniona King's Music records Ya Alikiba..." - Rayvanny baada ya kufika kwa Harmonize. Toa maoni yako

Inaripotiwa kwamba Mwigizaji maarufu na Mkongwe Tanzania, Grace Mapunda "Tesa" afya yake sio nzuri kufuatia kuugua ugonjwa am
Inaripotiwa kwamba Mwigizaji maarufu na Mkongwe Tanzania, Grace Mapunda "Tesa" afya yake sio nzuri kufuatia kuugua ugonjwa ambao bado hujawekwa wazi.

Pichani ni wakongwe wa sanaa ya Maigizo nchini wakiongozwa na Hidaya Njaidi. Kwa mtazamo wako, kama ingeandaliwa Tuzo ya mkon
Pichani ni wakongwe wa sanaa ya Maigizo nchini wakiongozwa na Hidaya Njaidi. Kwa mtazamo wako, kama ingeandaliwa Tuzo ya mkongwe aliyeisaidia sanaa ya Maigizo kufikia viwango ilivyofikia leo ungempa nani kati ya hao?

"Kuanzia sasa mimi ndiye boyfriend wa Taifa"- Hajji Manara
"Kuanzia sasa mimi ndiye boyfriend wa Taifa"- Hajji Manara

⚠️😳 Mwanamama huyo kwa jina la Milly ambaye ana watoto 3 na ameolewa tangu 2008 ameibuka kusema kuwa kamwe yeye hawezi kumfulia mume nguo zake chafu na wala hawezi kuitoa pesa yake aliyoitolea jasho kwa kufanya kazi kisha kumpa mume Amesema hata kabla hajaolewa hakuwahi kumfulia nguo mwanaume sababu maisha yake sio kwa ajili ya kuwa mtumwa au kijakazi kwa mwanaume/mume wala hawezi kuvumilia kuishi kwa stress za kusababishwa na mume Amesema yeye pesa yake anayoitafuta kwa jasho lake itasaidia ndani hiki na kile ila sio kuitoa pesa yake halafu ampe mwanaume mkononi, amesema mawazo ya biashara atampa mume afanyeje ili afanikiwe ila sio kumpa pesa mkononi Amesema kama ni kufua mume atapeleka nguo zake katika mashine afuliwe na siku za wikiend mume atafua mwenyewe ila sio yeye mke kufua kwani ana mambo mengine ya kufanya sio kutumikia mume/mwanaume Ameingia ndani zaidi kwa kusema unakuta mke anafanya kazi au biashara kisha pesa yake anaisalimisha kwa mume ilimradi aonekane mtifuu sana. amesema unakuta mume mwenyewe hana malengo pesa aliyopewa na mke imepotelea kusikojulikana hivyo mke anaanza kuyumba kikazi/kiuchumi, mke anajikuta hana jinsi anaanza kuwasiliana na ma ex wake ili wamsaidie kipesa na hapo amekazia kuwa ndio unakuta kuna wanawake wapo ndani ya ndoa ila wanadanga au kufanya umalaya sababu ya kuendekeza waume zao Milly ameolewa tangu 2008 na ana watoto 3

photo content

Kama ulidhani wamemaliza,basi unakosea 😃
+1
Kama ulidhani wamemaliza,basi unakosea 😃

Benjamin Mkapa🏟️ 🇹🇿 na Umetoka Kurekebishwa Hivi Karibuni Tatizo Ubora au Unatumika Sana? 👀 SHUSHA COMMENT YAKO TWENDE SA
+1
Benjamin Mkapa🏟️ 🇹🇿 na Umetoka Kurekebishwa Hivi Karibuni Tatizo Ubora au Unatumika Sana? 👀 SHUSHA COMMENT YAKO TWENDE SAWA 👇👇

Majibu ya @awp.90 kuhusu kuichezea Timu ya Taifa ya Tanzania 🇹🇿
Majibu ya @awp.90 kuhusu kuichezea Timu ya Taifa ya Tanzania 🇹🇿

Baba wa nyota wa zamani wa Liverpool ambaye kwa sasa anacheza Al Ahli ya Saudi Arabia Robert Firmino, José Roberto Oliveira,
Baba wa nyota wa zamani wa Liverpool ambaye kwa sasa anacheza Al Ahli ya Saudi Arabia Robert Firmino, José Roberto Oliveira, amefariki dunia akiwa na miaka 62 baada ya kupata shambulio la moyo usiku wa juzi Jumamosi wakati akiwa kwenye safari ya kifamilia kuelekea Dubai.

PELLEGRINO🇸🇯🇹🇿 LIGI KUU NORWAY MISIMU TOFAUTI Msimu 2020 Goal 25 🥈 Assist 4 Msimu 2022 Goal 25 🥇👟 Assist 10 Msimu 2023
PELLEGRINO🇸🇯🇹🇿 LIGI KUU NORWAY MISIMU TOFAUTI Msimu 2020 Goal 25 🥈 Assist 4 Msimu 2022 Goal 25 🥇👟 Assist 10 Msimu 2023 Goal 27🥇 Assist 13 @tanzaniafootballers @tanfootball