E-PLUS MEDIA
Open in Telegram
1 307
Subscribers
+124 hours
-27 days
-1330 days
Posts Archive
1 307
⚠️🥰 Picha rasmi za muonekano wa Zaiylisa na Manara wakati wakifunga ndoa leo
Kwenye comments kumuona zaidi Zaiylisa
1 307
"TBT-Unapoona Mke wa mwanaume asiye na kazi wala kipato chochote anajifungua watoto mapacha wakati mke wa tajiri anaomba apate mtoto kwa miaka kadhaa sasa, basi Muogope sana Mungu.
Wakati Mhitimu wa Chuo kikuu akiajiriwa na mtu ambaye hakumaliza hata shule ya msingi basi usiidharau Elimu, bali thamini sana UTU.
Wakati yule mnayemuita mwanamke wa kawaida anaolewa na Mwanaume ambaye ana kila kitu katika maisha na yule mwanamke mnayemuona ni mzuri ni miaka sasa hajaolewa, basi fahamu kwamba, sio kwa uzuri au ubaya, Ndoa ni Neema tu!
Maisha ni safari ndefu! Maisha yanafundisha Masomo yanayoumiza. Fikiriria vitu unavyofanya, fikiria namna unavyowa-treat watu. Kujikweza hua hakudumu. Wakati wa Malipo hufika.
Kile apandacho mtu ndicho atakachovuna.
Ubinadamu utakapeleka mbali sehemu ambapo elimu wala fedha haviwezi kukupeleka. Rehema na Baraka za Mungu zitakuinua na kufikia mahali ambapo uzuri ama majigambo hayawezi kukufikisha.
Kuwa mpole...haitakugarimu chochote. Yusufu hakuomba kuwa waziri Mkuu wa Misri. Mariamu hakuomba kumzaa Yesu Kristo na Petro hakumualika Yesu katika boti.
Baraka, Rehema na huruma ziliwafuata mahala walipo. Mbio za mafanikio hazijawahi kuwa ni za kibinadamu pekee ama nyota kama wengine wanavyoamini. Ni Mungu pekee ndiye atakaekuchagua! Be blesed Aliciousm " - Mwijaku, Mwigizaji wa filamu na Mtangazaji.
Toa maoni
1 307
MANGE KIMAMBI ACHAFUKWA BAADA YA HAJI MANARA KUMSHTAKI DULLAH MAKABILA.
Baada ya sekeseke lao kutrend kwa siku kadhaa, likiwahusisha Hajji Manara na Dulla Makabila huku chanzo kikiwa ni kumshare Zaiylissa. Inaelezwa Tayari Hajji Manara amemshtaki Makabila kwenye kituo cha polisi Oysterbay akidai Dulla kamchafua kwa kumuita Mzungu.
Baada ya taarifa hizo kusambaa, Mange Kimambi amekuja juu na kumtetea Dulla Makabila akidai kwamba Dulla hana kosa kwasababu kama kosa ni kumuita Hajji Mzungu yeye mwenyewe Hajji alishawatania na kuwatusi watu wengi hasa alipokuwa kwenye usemaji Simba na Yanga. Mange amesema atasimama upande wa Makabila kwasababu haoni kosa na hiyo imemfanya azidi kumchukia Hajji na kumuona muoga wa kupindukia.
1 307
MC PILIPILI AMLILIA MKE WAKE AMBAYE AMEKATA MBUGA BAADA YA MC PILIPILI KUSHUKA KIMAISHA.
Ni vilio na majonzi kwa MC Pilipili ambaye ni MC, Mchungaji lakini pia ni Mchekeshaji. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Pilipili ameposti video fupi ya zamani kidogo ikimuonyesha akiwa amepiga goti huku akilia kwa uchungu alipokuwa anamvalisha pete ya uchumba mkewe huyo kisha kuandika
"Nikikumbuka nililia😭😭😭 naishiwa nguvu za miguu, Mke wangu Mke wangu Mke wanguuuu nakuita mara tatu, kwanini umeniblock na namba zako hupatikani?"- ameandika Pilipili
Inadaiwa chanzo cha mwanamke huyo kuikimbia Ndoa ni baada ya MC Pilipili kulegalega kimaisha kutoka kula milo mitatu kwa siku hadi mlo mmoja na nusu.
Habari hii pia unaweza kuipata Instagram na kutufollow
1 307
KANISA LIMENISHINDA SASA HIVI NAHUBIRI MTANDAONI, BIBLIA HAIJASEMA TUSIENDE CLUB; MC PILIPILI
"Ni kweli sasa hivi sina kanisa, pale tulipokuwa tunakutana Jumapili hapapo tena😭 hata hivyo hiyo haijatuzuia kuendelea na maombi, tunaangalia kuja na njia mpya ya kuhubiria watu ambapo tunakuja na njia ya kuhubiri mtandaoni ili kuwafikia watu wengi zaidi. Yani watu watakuwa wanatoka kwenye makanisa yao kama kawaida alafu wakirudi wanaingia mtandaoni wanakutana na mafundisho yangu"
"Maneno yamekuwa mengi mimi kuonekana Club Element kweli tukio la Hajji Manara, mimi nilienda pale kumsapoti Manara na sikuangalia kama niko Club, biblia haijasema tusiende Club na kama ingekuwa hivyo basi hata Super Dome watu wasingeenda kufanyia shughuli zao, kikubwa unaenda kufanya nini? Mimi kweli nilikuwa Element na nilikuwa nacheza kwasababu hata Diamond alikuwa anacheza, we umekaa na Diamond utashindwa hata kutikisika? Nilikuwa nacheza kidogo tulikuwa tumekaa na akina Zuchu ila pombe sikutumia"
"Chanzo cha kugombana na mke wangu sio kuzaa na Mwanaume mwingine kama watu wanavyosema, tumepishana kwa mambo yetu mengine na tunazungumza ili kuyamaliza"- amesema MC Pilipili
1 307
KUOLEWA KWA ZAIYLISSA DULLAH MAKABILA ASHINDWA KUVUMILIA AMUWAKIA HAJI MANARA.
"Sema nimegundua we mzee mnafiki sana unaongea mkavu kabisa yani unagoma kuwa hujanishtaki wakati wewe ndio umeenda kunishtaki alafu umejichanganya unatengeneza mazingira ya kujisafisha kwa kufanya interview na kusema haujanipeleka Polisi baada ya kuona Watanzania wamejua kama nimeitwa polisi na wote macho yote kwangu
Sasa sikiliza nikwambie, mimi sikuogopi wewe, najua haki yangu na najua nini nafanya, kwenye wimbo wangu hakuna sehemu uliyotajwa wala kuimbwa, nimeona niongee ukweli Watanzania wajue kile kinachoendelea na wajue kuwa wewe ndio umekimbilia polisi kulalamika ila umebadilisha dakika za mwisho ionekane sio wewe dah😂😂😂😂😂
Na wewe kinachokuchanganya haujawahi kushindwa na vita, vita zako zote huwa unawaatakk watu ambao wanaogopa kushusha heshima zao, ila mimi sikuogopi unavyotaka nataka kama vipi nipeleke tena huko nipo tayari ila sio unakaa unajisafisha kwa Wananchi uonekane mwema, KAMA NAKUKERA SANA NENDA POLISI"- Ameandika Dulla Makabila
1 307
⚠️😳🥰 Peter Msechu amejitosa kuachia mapicha kisha kueleza yafuatayo wakati mke wake alipohitimu degree yake chuo kikuu cha Dar es salaam
"Huu ni Mwaka 2014🥲🥲 Huu mwaka sitousahau kwani Mama Lolo ndio alikuwa anapata degree yake pale UDSM na hii ni siku ya mahafali yake🙏🙏 hii ilikuwa siku ya tofauti kwani ni baada ya kuahirisha mwaka mzima wa 2013 kwa sababu alipata ujauzito wa Lolo🥲 katika siku zilizokuwaga ngumu kwetu ni mwaka huu 2013 baada ya Mama Lolo kugundua ameshika mimba yakaja maswali bado anasoma itakuwaje??
mimi sina la maana kipindi hicho umaarufu ndio umenitawala ubishoo na uhuni juu kujifanya sina muda na familia hela yenyewe sina ni kuunga unga show hakuna hela yenyewe ya kula muda mwingine nategemea boom la mama ndio tuishi🥲🥲🥲🥲
Tuliwaza sana mpaka tukataka kufikia hatua mbaya tuharibu ujauzito maana ni kama tutafeli ila tulikubaliana tukae chini tukomae na ujauzito bila kujali yatakayo kuja hapo nakaaa kwenye geto moja Changanyikeni chumba kimoja choo hapo hapo mweeeeh🙆🏿♂️🙆🏿♂️🙆🏿♂️🙆🏿♂️🙆🏿♂️
ukiangalia hizo picha hapo utaona Lolo anavimba kwa tv😅😅😅😅😅 baada ya kupata mtoto wetu Lolo mwaka na kuhakikisha ameinukia Mama Lolo akarudi chuo na kumalizia Degree yake ya Biashara🙏🙏🙏
Hii siku ilikuwa ya furaha sana sana kwani aliona kama amekamilisha ahadi yake kwake maisha yake mtoto wake Lolo na zaidi kwa Mama yake Mzazi (Mkwe)
Cha kushangaza sasa mpaka leo hakuna mambo aliyosomea yanampa hela ameamua zake Kuuza Samaki "
Kwenye comments section kuona picha zaidi za wanandoa hao wanaopendana kwa dhati ambao wameshusha mjengo wa kisasa baada ya kudunduliza kimalengo
1 307
⚠️🥰 Ukaribu wa uzuri wa Zaiylisa ambao tunaambiwa umesababisha Dullah Makabila aweweseke njiani, majukwaani, mitandaoni asubuhi hadi usiku wa manane kwa kuachwa na mrembo aliyeamua kujiweka kwa Manara
1 307
⚠️🥰 Zaiylissa na Manara wafunga ndoa
Hii itakuwa ndoa ya 6 kwa Haji Manara wakati kwa Zaiylisa yeye hii sio chini ya mara ya pili kuolewa
1 307
"Unayempenda nae ana mpenzi wake, mpenzi wake nae ana kidemu chake, kidemu chake nae ana bwana ake, bwana ake nae ana mke wake, mke nae ana boyfriend wake, boyfriend nae ana demu wake na demu wake nae ana mume wake. Mapenzi mchanganyiko, wewe upo upande gani?"- Rammy Galis
1 307
Tayari umeshanyoa upara kumuunga mkono Lamata na Juakali kwenye challenji ya Free Cancer? au utanyoa kesho.
