en
Feedback
E-PLUS MEDIA

E-PLUS MEDIA

Open in Telegram

Get the latest news,videos,and more everyday.

Show more
1 307
Subscribers
+124 hours
-27 days
-1330 days
Posts Archive
Umejifunza nini hapa. ,
Umejifunza nini hapa. ,

JE WAJUA RWANDA NA BURUNDI ILIKUA SEHEMU YA TANGANYIKA? (TANZANIA) NA TABORA NDIO ULIKUA MJII MKUU. Mapigano ya Tabora (Kifar
JE WAJUA RWANDA NA BURUNDI ILIKUA SEHEMU YA TANGANYIKA? (TANZANIA) NA TABORA NDIO ULIKUA MJII MKUU. Mapigano ya Tabora (Kifaransa: Bataille de Tabora; 8-19 Septemba 1916 [1]) ilikuwa ni hatua ya kijeshi ambayo ilitokea karibu na mji wa Tabora kaskazini-magharibi mwa Afrika ya Mashariki ya Kijerumani (Tanzania ya leo) wakati wa Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia. Ushiriki huo ulikuwa sehemu ya Kampeni ya Afrika Mashariki na ilikuwa kilele cha Tabora, ambapo kikosi cha Ubelgiji kutoka Kongo ya Ubelgiji kilivuka mpaka na kuteka makazi ya Kigoma na Tabora, (mji mkubwa katika mambo ya ndani ya koloni la Ujerumani), na kulirudisha nyuma jeshi la kikoloni la Ujerumani. Ushindi huo sio tu uliacha sehemu kubwa ya eneo la Ruanda-Urundi chini ya uvamizi wa kijeshi wa Ubelgiji, lakini pia uliwapa washirika udhibiti wa reli muhimu ya Tanganjika, (Reli ya Kati) CREDIT: From Lilanga Fresh. #MYDSwahili

KUTOKA MITANDAONI Zaidi follow ukurasa wetu wa instagram hapa kwenye linkπŸ‘‡πŸ‘‡ https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW4
+4
KUTOKA MITANDAONI Zaidi follow ukurasa wetu wa instagram hapa kwenye linkπŸ‘‡πŸ‘‡ https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW40cmNtdXV0OWZ2

🎧

Beka Flavour - Libebe.mp312.46 MB

Nandy - Kivuruge.mp35.30 MB

natasha-lisimokhadija-nitho-shukurani-goodluck-gozbert-cover.mp35.10 MB

Mack_D_Baisho.mp33.69 MB

Diamond Platnumz - Mbagala(www.tabelltz.com) (hearthis.at).mp33.78 MB

Goodluck-Gozbert-Ipo-siku.mp32.71 MB

Ben Pol x Wyse Napenda Nipate Lau Nafasi (hearthis.at).mp33.59 MB

Ben Pol - Ebenezer.mp33.81 MB

Ben Pol x Wyse Napenda Nipate Lau Nafasi (hearthis.at).mp33.59 MB

Goodluck-Gozbert-Shukurani.mp32.14 MB

+3
MAKALA HURU:-SODOMA & GOMORA, MIJI ILIYOANGAMIZWA KWA HASIRA YA MUNGU.

+9
MAKALA HURU:-TOP 10: KAULI ZA JPM ZILIZOTIKISA, TAZAMA UNIAMBIE IPI ILIKUKOSHA ZAIDI!

+6
MAKALA HURU:-SIRI YA UTAJIRI WA DANGOTE/TAJIRI MKUBWA AFRIKA ''VOLDER''

#UPDATES Mwili wa aliyekuwa msanii wa muziki wa bongo fleva Joseph Francis Michael maarufu kama Mandojo umewasili nyumbani kw
+1
#UPDATES Mwili wa aliyekuwa msanii wa muziki wa bongo fleva Joseph Francis Michael maarufu kama Mandojo umewasili nyumbani kwao wilayani Manyoni mkoani Singida jioni ya Agosti 13, 2024, ambapo mazishi yanatarajiwa kufanyika kesho Jumatano katika makaburi ya Kaloleni Manyoni. Mandojo alifariki siku ya Jumapili Agosti 11 mkoani Dodoma baada ya kupigwa katika moja ya kanisa ambapo hadi sasa Jeshi la Polisi linamshikilia mlinzi wa kanisa hilo kwa uchunguzi zaidi. #EastAfricaRadio

Mwili wa marehemu Mandojo ulivyofika nyumbani kwa mdogo wake kwa ajili ya misa na kuaga kabla ya kwenda kuupumzisha kwenye ny
+2
Mwili wa marehemu Mandojo ulivyofika nyumbani kwa mdogo wake kwa ajili ya misa na kuaga kabla ya kwenda kuupumzisha kwenye nyumba ya milele wilayani Manyoni. Pumzika kwa amani kamanda πŸ•ŠοΈ

Msanii wa Bongo Fleva na mbunge wa viti maalumu kupitia CCM, Keysha akiaga mwili wa marehemu mandojo.
Msanii wa Bongo Fleva na mbunge wa viti maalumu kupitia CCM, Keysha akiaga mwili wa marehemu mandojo.