en
Feedback
E-PLUS MEDIA

E-PLUS MEDIA

Open in Telegram

Get the latest news,videos,and more everyday.

Show more
1 307
Subscribers
+124 hours
-27 days
-1330 days
Posts Archive
Goodluck-Gozbert-Ipo-siku.mp32.71 MB

Ben Pol x Wyse Napenda Nipate Lau Nafasi (hearthis.at).mp33.59 MB

Ben Pol - Ebenezer.mp33.81 MB

Ben Pol x Wyse Napenda Nipate Lau Nafasi (hearthis.at).mp33.59 MB

Goodluck-Gozbert-Shukurani.mp32.14 MB

Chukua tahadhari homa ya nyani ipo watu 506 wameshakufa mpaka sasa
Chukua tahadhari homa ya nyani ipo watu 506 wameshakufa mpaka sasa

+7
MAKALA HURU:-SODOMA & GOMORA, MIJI ILIYOANGAMIZWA KWA HASIRA YA MUNGU.

+9
MAKALA HURU:-TOP 10: KAULI ZA JPM ZILIZOTIKISA, TAZAMA UNIAMBIE IPI ILIKUKOSHA ZAIDI!

+1
MAKALA HURU:-MWANZO- MWISHO : Siri Na Maajabu Ya BIBLIA Ya SHETANI

"Wanasheria wetu wa chama wanaanda mashtaka chama kiwashtaki #Shosti Nyahoza na Haji Juma Haji kwa majina yao #walipe fidia y
"Wanasheria wetu wa chama wanaanda mashtaka chama kiwashtaki #Shosti Nyahoza na Haji Juma Haji kwa majina yao #walipe fidia yote ikiwa ni pamoja na #Wanachama wetu waliopigwa ambao bado wapo kwenye mahospitali mbalimbali nchini wakiendelea na matibabu. """"Tutawashtaki kwa majina yao namm nitaongoza mapambano mahakamani ~Mhe.Tundu LISSU Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Taifa.✍️✌️🇹🇿

KIJANA AFARIKI AKIWA ANASHIRIKI TENDO LA NDOA BURUNDI 🇧🇮 Umuonae pichani Anaitwa Ikoriciza Eric kijana mwenye umri wa miaka
+1
KIJANA AFARIKI AKIWA ANASHIRIKI TENDO LA NDOA BURUNDI 🇧🇮 Umuonae pichani Anaitwa Ikoriciza Eric kijana mwenye umri wa miaka 23 amefariki dunia huku akiwa akijamiana ( ku sex) na binti mwenye umri wa miaka 17 aitwae Kezimana Grace. 🗣️ Inasemakana kua kifo chake kilisababishwa na vidonge ambavyo alitumia kwa lengo la kuongeza nguvu za kiume maarufu Burundi vinavyoitwa (Viagra💊) « Sijui chochote Mimi tulivyokua tunashiriki tendo nilimwona mwenzangu analala Fofofo» Grâce Kezimana Amesema 🙍‍♀️⛓‍💥Kezimana Grace kwa sasa amewekwa ndani kwa uchunguzi zaidi kuhusu kifo cha mpenzi wake Eric .

Angekua uchi ungeshare lakini kwa kuna anajituma hutaki ku share hebu share picha hii kwa wanawake wengine nao wajifunze
Angekua uchi ungeshare lakini kwa kuna anajituma hutaki ku share hebu share picha hii kwa wanawake wengine nao wajifunze

KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Threads👇 https://www.threads.net/@e_plus_media
+8
KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Threads👇 https://www.threads.net/@e_plus_media

KUTOKA MITANDAONI Zaidi follow ukurasa wetu wa instagram hapa kwenye link👇👇 https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW4
+9
KUTOKA MITANDAONI Zaidi follow ukurasa wetu wa instagram hapa kwenye link👇👇 https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW40cmNtdXV0OWZ2

KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Twitter👇 https://twitter.com/EplusMediaTv?t=OOCtdqDd1L27Uq8rLZ1UJg&s=09
+1
KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Twitter👇 https://twitter.com/EplusMediaTv?t=OOCtdqDd1L27Uq8rLZ1UJg&s=09

KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Threads👇 https://www.threads.net/@e_plus_media
+4
KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Threads👇 https://www.threads.net/@e_plus_media

JIUNGE KWENYE GROUP LA E PLUS MEDIA UWEZE KUTOA MAONI NA KUCHAT...KWA KU BONYEZA HAPA KWENYE LINK👉https://t.me/EplusMediaTz
JIUNGE KWENYE GROUP LA E PLUS MEDIA UWEZE KUTOA MAONI NA KUCHAT...KWA KU BONYEZA HAPA KWENYE LINK👉https://t.me/EplusMediaTz

BAADHI YA MASTAA MBALIMBALI WALIOHUDHURIA KWENYE MSIBA WA MANDOJO....
+3
BAADHI YA MASTAA MBALIMBALI WALIOHUDHURIA KWENYE MSIBA WA MANDOJO....

TBT MANDOJO..
+1
TBT MANDOJO..

Diva afunguka kwa uchungu baada ya kifo cha Mandojo "Kama Mtangazaji Mkongwe katika Tasnia Ya Habari Na Utangazaji , Nilikuwa
Diva afunguka kwa uchungu baada ya kifo cha Mandojo "Kama Mtangazaji Mkongwe katika Tasnia Ya Habari Na Utangazaji , Nilikuwa Mtangazaji wa kike Tanzania Kupitia airwaves za 88.4 Clouds FM Kutangaza Kifo Cha Steven Charles Kanumba kupitia kipindi cha "Leo Tena" mchana ambayo ilikuwa siku Ya sikukuu Nilikuwa mdogo sana Kipindi Kile sikuweza Kuhimili Kutangaza Msiba wa Supastaa Mkubwa kama Steven Kanumba , Nilikuwa maarufu sana Mahiri katika Utangazaji lakin kuwasha MIC na Kutangaza Breaking News ile ambayo Niliambiwa na Boss wangu Ruge Mutahaba kuwasha MIC na Kutangaza Msiba ule it was very hard for me Lakin hakukuwa na watu wa news kwa muda huo hivyo ilinilazimu Kutangaza Msiba Wa Kanumba Huku nikiwa natetemeka tena bila kuamini kama kweli hatukuwa nae wakati ule. Niliwasha MIC nikiwa natokwa machozi na niliweza tangaza Kifo hicho kwa Watanzania katika kati Ya Kutangaza amefariki dunia nilishindwa kuendelea nikiwa live nilielezea msiba huo nikiwa nalia Tulipoteza Tanzania One Tanzania sweetheart back then baada Ya Hapo Playlist Nilicheza Ya Kwanza Ni "Kazi Yake Mola Haina Makosa" Ya Mandojo Na domokaya wakiwa wameshirikishwa na Madee Kila Kunapo tokea Msiba wimbo huu ndio sisi watu wa Radio Personality huwa tunacheza wimbo huu na nyingine za maomboleo , tena Misiba Mizito Ya viongoz wasanii na watu Mashuhuri sauti Ya Mandojo husikika sana wakati ambao huwa tunagubikwa na huzuni ... a little sneak Peak on how his voice touched :) Leo Hii Wimbo Huu umerud tena Kwako Mandojo Kweli Hakika Kazi Yake Mola haina makosa ' angeweza kuzuia kifo chako kwa Jinsi Kilivyotokea ila hakuna ashindwalo kwani dunia Ni Yake anafanya atakalo.RIP NDOJO ' Pumzika Kwa Amani Amani kaka.Asante Kwa Muziki Mzuri uliotubariki Nao wakati wa Enzi za Uhai wako!.🙏" - Diva