ch
Feedback
EFATHA CHURCH

EFATHA CHURCH

关闭频道

EFATHA CHURCH OFFICIAL CHANNEL # Healing & Deliverance by the Blood of Jesus

显示更多
未指定国家宗教与灵性85 281
435
订阅者
无数据24 小时
-37
-1730
帖子存档
NAIBARIKI IJUMAA YANGU. Maadui zangu watasalimu amri, maana Mimi NIMEBARIKIWA na BWANA, maana Mimi ni Masihi wa BWANA, maana
+5
NAIBARIKI IJUMAA YANGU. Maadui zangu watasalimu amri, maana Mimi NIMEBARIKIWA na BWANA, maana Mimi ni Masihi wa BWANA, maana Mimi ni Mteule wa BWANA. NAIBARIKIi Ijumaa Yangu.

NAIBARIKI JUMATANO YANGU. Maana Mimi ni Mbarikiwa, Mimi ni MRITHI, Mimi nina vya KUMILIKI, maana Mimi ni MBARIKIWA.
+1
NAIBARIKI JUMATANO YANGU. Maana Mimi ni Mbarikiwa, Mimi ni MRITHI, Mimi nina vya KUMILIKI, maana Mimi ni MBARIKIWA.

NAIBARIKI JUMATATU YANGU. Nimebarikiwa Niingiapo, Nimebarikiwa na Nitokapo, Wema na Fadhili za BWANA hakika zitanifuata, Siku
+4
NAIBARIKI JUMATATU YANGU. Nimebarikiwa Niingiapo, Nimebarikiwa na Nitokapo, Wema na Fadhili za BWANA hakika zitanifuata, Siku zote za Maisha Yangu ili niutazame Uzuri wa BWANA na kutafakari Hekaluni MWAKE, Mimi NIMEBARIKIWA.

NAIBARIKI IJUMAA YANGU. BWANA ni Nuru yangu na Wokovu wangu. BWANA ni Ngome ya Uzima wangu. Mimi ni Mshindi, Hakuna cha Kunis
+1
NAIBARIKI IJUMAA YANGU. BWANA ni Nuru yangu na Wokovu wangu. BWANA ni Ngome ya Uzima wangu. Mimi ni Mshindi, Hakuna cha Kunishinda. Ijumaa Yangu IMEBARIKIWA na BWANA.

NAIBARIKI ALHAMISI YANGU. BWANA ndiye Mchungaji wangu, katika Malisho ya Majani mabichi hunilaza, kando ya Maji ya Utulivu hu
+1
NAIBARIKI ALHAMISI YANGU. BWANA ndiye Mchungaji wangu, katika Malisho ya Majani mabichi hunilaza, kando ya Maji ya Utulivu huniongoza. Mimi Sitapungukiwa na Kitu. Asante YESU, Nakupenda BWANA.

NAIBARIKI JUMATANO YANGU. Ni Siku ya Kuchukua Urithi wangu. Nimefunguliwa Mlango Mkubwa wa Kufaa sana. Mimi ni Mmiliki. Halel
NAIBARIKI JUMATANO YANGU. Ni Siku ya Kuchukua Urithi wangu. Nimefunguliwa Mlango Mkubwa wa Kufaa sana. Mimi ni Mmiliki. Haleluya, Asante YESU, WEWE ni Mzuri BWANA.

NAIBARIKI JUMAMOSI YANGU. Sifi kwa magonjwa au ajali wala kwa mapenzi ya yule mwovu ama ya wanadamu. Nitamaliza Safari yangu
+1
NAIBARIKI JUMAMOSI YANGU. Sifi kwa magonjwa au ajali wala kwa mapenzi ya yule mwovu ama ya wanadamu. Nitamaliza Safari yangu salama na nitafikisha Umri ambao BWANA amenipangia ili Atukuzwe!!! BWANA, asante, Nakushukuru. Jumamosi yangu Imebarikiwa na BWANA.

NAIBARIKI IJUMAA YANGU. Adui zangu wote wamewekwa chini ya Miguu Yangu maana Bwana YESU aligongomelewa hatia zote dhidi Yangu
+1
NAIBARIKI IJUMAA YANGU. Adui zangu wote wamewekwa chini ya Miguu Yangu maana Bwana YESU aligongomelewa hatia zote dhidi Yangu na hukumu zake katika Msalaba pale Kalvari. Aliweka madai yao yote chini ya Miguu Yake na Akashangilia, na Mimi leo NASHANGILIA. Asante, YESU.

NAIBARIKI ALHAMISI YANGU. YESU ni Mzuri; Kwangu hakutapungua Kicheko, Sherehe, Furaha, Tafrija, Karamu na Utele. Hakutakuwa n
+1
NAIBARIKI ALHAMISI YANGU. YESU ni Mzuri; Kwangu hakutapungua Kicheko, Sherehe, Furaha, Tafrija, Karamu na Utele. Hakutakuwa na kulala njaa au kubangaiza Chakula bali nitakula Vinono. Haleluya, Asante YESU. Alhamisi yangu Imebarikiwa na BWANA.

NAIBARIKI JUMATANO YANGU. Mimi ni Mrithi, Mimi ni Mmiliki. Haleluya, YESU asante. Jumatano yangu Imebarikiwa na BWANA.
+1
NAIBARIKI JUMATANO YANGU. Mimi ni Mrithi, Mimi ni Mmiliki. Haleluya, YESU asante. Jumatano yangu Imebarikiwa na BWANA.

NAIBARIKI JUMANNE YANGU. Ni Siku ya Familia; Furaha ya BWANA itatuzunguka, Amani ya BWANA haitatupungukia. Hakutakuwa na mago
+1
NAIBARIKI JUMANNE YANGU. Ni Siku ya Familia; Furaha ya BWANA itatuzunguka, Amani ya BWANA haitatupungukia. Hakutakuwa na magomvi wala magonjwa wala vifo wala ukata. Maisha yetu yatakuwa Mazuri na Kicheko. Sisi tumebarikiwa na BWANA. Haleluya, Asante YESU.

NAIBARIKI JUMATATU YANGU. Mimi ni wa Mambo Makubwa na sio madogo; Kazini nitafanya Makubwa, kwenye Biashara nitafanya Makubwa
+1
NAIBARIKI JUMATATU YANGU. Mimi ni wa Mambo Makubwa na sio madogo; Kazini nitafanya Makubwa, kwenye Biashara nitafanya Makubwa, kwenye Kilimo nitafanya Makubwa, kwenye Uvuvi nitafanya Makubwa, kwenye Ufugaji nitafanya Makubwa, Shuleni nitafanya Makubwa, kwenye Utumishi wangu nitafanya Makubwa. Mimi ni wa Mambo Makubwa na sio Madogo. YESU asante.

NAIBARIKI IJUMAA YANGU. BWANA amenipa kuwa Kichwa, BWANA amenipa kuwa wa Kwanza, BWANA amenipa kuwa Juu, BWANA amenipa Kushin
+6
NAIBARIKI IJUMAA YANGU. BWANA amenipa kuwa Kichwa, BWANA amenipa kuwa wa Kwanza, BWANA amenipa kuwa Juu, BWANA amenipa Kushinda. Mimi ni Mshindi, hakuna cha kunishinda. Asante YESU.

NAIBARIKI ALHAMISI YANGU. Mimi Nimebarikiwa. Kwangu hakutapungua Amani, Kicheko, Furaha, Karamu, Sherehe, Tafrija na Utele. T
+7
NAIBARIKI ALHAMISI YANGU. Mimi Nimebarikiwa. Kwangu hakutapungua Amani, Kicheko, Furaha, Karamu, Sherehe, Tafrija na Utele. Tutakula Vinono. YESU ni Mzuri, Asante BWANA.

NAIBARIKI JUMANNE YANGU. Kwangu ni Kwema; hakutakuwa na magomvi wala magonjwa wala vifo, wala ukata. Maisha yetu yatakuwa maz
+4
NAIBARIKI JUMANNE YANGU. Kwangu ni Kwema; hakutakuwa na magomvi wala magonjwa wala vifo, wala ukata. Maisha yetu yatakuwa mazuri kwa kuwa TUMEBARIKIWA na BWANA. Jumanne yangu Imebarikiwa na BWANA. Asante YESU.

IBADA YA JUMAPILI, KANISA LA EFATHA MWENGE Somo: Umoja wa Familia na Uponyaji Mhubiri: Mtume Betson Kikoti YouTube: https://youtu.be/OmcJyzBdMrg?si=YUXCZYICB89VyUQO Online Radio: https://efatha.mixlr.com

NAIBARIKI JUMATATU YANGU. Mimi ni Kichwa na sio mkia. Ni wa Juu tu na sio wa chini. Ni wa Kwanza na sio wa mwisho. Ni wa kile
+6
NAIBARIKI JUMATATU YANGU. Mimi ni Kichwa na sio mkia. Ni wa Juu tu na sio wa chini. Ni wa Kwanza na sio wa mwisho. Ni wa kileleni na sio wa bondeni. YESU asante, WEWE ni Mzuri BWANA.

NAIBARIKI IJUMAA YANGU. Nafurahi katika BWANA; Mimi sijalaaniwa, Mimi Nimebarikiwa, Mimi Mtakatifu wa BWANA, Mimi ni MSHINDI,
+1
NAIBARIKI IJUMAA YANGU. Nafurahi katika BWANA; Mimi sijalaaniwa, Mimi Nimebarikiwa, Mimi Mtakatifu wa BWANA, Mimi ni MSHINDI, hakuna cha kunishinda. Haleluya, YESU ni Mzuri.

NAIBARIKI ALHAMISI YANGU. Mimi nimebarikiwa na BWANA. Kwangu hakutapungua Kicheko, Sherehe, Furaha, Tafrija, Karamu na Utele.
+6
NAIBARIKI ALHAMISI YANGU. Mimi nimebarikiwa na BWANA. Kwangu hakutapungua Kicheko, Sherehe, Furaha, Tafrija, Karamu na Utele. Hakutakuwa na kulala njaa au kubangaiza Chakula bali nitakula Vinono. Haleluya, YESU ni Mzuri.

NAIBARIKI JUMATANO YANGU. Mimi ni Mtakatifu wa BWANA, Mimi ni Mbarikiwa wa BWANA; Nitamiliki Mjini, Nitamiliki Mashambani. Mi
NAIBARIKI JUMATANO YANGU. Mimi ni Mtakatifu wa BWANA, Mimi ni Mbarikiwa wa BWANA; Nitamiliki Mjini, Nitamiliki Mashambani. Mimi ni Mmiliki, Mimi ni Mtawala. Haleluya, YESU ni Mzuri.