ch
Feedback
EFATHA CHURCH

EFATHA CHURCH

关闭频道

EFATHA CHURCH OFFICIAL CHANNEL # Healing & Deliverance by the Blood of Jesus

显示更多
未指定国家宗教与灵性85 281
435
订阅者
无数据24 小时
-37
-1730

数据加载中...

标签云
无数据
有任何问题?请刷新页面或联系我们的客服
进出提及
---
---
---
---
---
---
吸引订阅者
六月 '26
六月 '260
在0个频道中
五月 '260
在0个频道中
Get PRO
四月 '260
在0个频道中
Get PRO
三月 '26
+4
在0个频道中
Get PRO
二月 '26
+5
在0个频道中
Get PRO
一月 '26
+6
在0个频道中
Get PRO
十二月 '25
+5
在0个频道中
Get PRO
十一月 '25
+4
在0个频道中
Get PRO
十月 '25
+11
在0个频道中
Get PRO
九月 '25
+5
在0个频道中
Get PRO
八月 '25
+4
在0个频道中
Get PRO
七月 '25
+3
在0个频道中
Get PRO
六月 '25
+8
在0个频道中
Get PRO
五月 '25
+10
在0个频道中
Get PRO
四月 '25
+3
在0个频道中
Get PRO
三月 '25
+4
在0个频道中
Get PRO
二月 '25
+3
在0个频道中
Get PRO
一月 '25
+8
在0个频道中
Get PRO
十二月 '24
+3
在0个频道中
Get PRO
十一月 '24
+4
在0个频道中
Get PRO
十月 '24
+22
在0个频道中
Get PRO
九月 '24
+7
在0个频道中
Get PRO
八月 '24
+20
在0个频道中
Get PRO
七月 '24
+27
在0个频道中
Get PRO
六月 '24
+26
在0个频道中
Get PRO
五月 '24
+37
在1个频道中
Get PRO
四月 '24
+21
在0个频道中
Get PRO
三月 '24
+21
在0个频道中
Get PRO
二月 '24
+12
在0个频道中
Get PRO
一月 '24
+14
在0个频道中
Get PRO
十二月 '23
+14
在0个频道中
Get PRO
十一月 '23
+4
在0个频道中
Get PRO
十月 '23
+22
在0个频道中
Get PRO
九月 '23
+13
在0个频道中
Get PRO
八月 '23
+12
在0个频道中
Get PRO
七月 '23
+28
在0个频道中
Get PRO
六月 '23
+28
在0个频道中
Get PRO
五月 '23
+70
在0个频道中
Get PRO
四月 '23
+23
在0个频道中
Get PRO
三月 '23
+17
在0个频道中
Get PRO
二月 '23
+16
在0个频道中
Get PRO
一月 '23
+19
在0个频道中
Get PRO
十二月 '22
+17
在0个频道中
Get PRO
十一月 '22
+19
在0个频道中
Get PRO
十月 '22
+356
在0个频道中
日期
订阅者增长
提及
频道
24 六月0
23 六月0
22 六月0
21 六月0
20 六月0
19 六月0
18 六月0
17 六月0
16 六月0
15 六月0
14 六月0
13 六月0
12 六月0
11 六月0
10 六月0
09 六月0
08 六月0
07 六月0
06 六月0
05 六月0
04 六月0
03 六月0
02 六月0
01 六月0
频道帖子
NAIBARIKI IJUMAA YANGU. Maadui zangu watasalimu amri, maana Mimi NIMEBARIKIWA na BWANA, maana Mimi ni Masihi wa BWANA, maana
+5
NAIBARIKI IJUMAA YANGU. Maadui zangu watasalimu amri, maana Mimi NIMEBARIKIWA na BWANA, maana Mimi ni Masihi wa BWANA, maana Mimi ni Mteule wa BWANA. NAIBARIKIi Ijumaa Yangu.

2
NAIBARIKI JUMATANO YANGU. Maana Mimi ni Mbarikiwa, Mimi ni MRITHI, Mimi nina vya KUMILIKI, maana Mimi ni MBARIKIWA.+1
NAIBARIKI JUMATANO YANGU. Maana Mimi ni Mbarikiwa, Mimi ni MRITHI, Mimi nina vya KUMILIKI, maana Mimi ni MBARIKIWA.
0
3
NAIBARIKI JUMATATU YANGU. Nimebarikiwa Niingiapo, Nimebarikiwa na Nitokapo, Wema na Fadhili za BWANA hakika zitanifuata, Siku+4
NAIBARIKI JUMATATU YANGU. Nimebarikiwa Niingiapo, Nimebarikiwa na Nitokapo, Wema na Fadhili za BWANA hakika zitanifuata, Siku zote za Maisha Yangu ili niutazame Uzuri wa BWANA na kutafakari Hekaluni MWAKE, Mimi NIMEBARIKIWA.
0
4
NAIBARIKI IJUMAA YANGU. BWANA ni Nuru yangu na Wokovu wangu. BWANA ni Ngome ya Uzima wangu. Mimi ni Mshindi, Hakuna cha Kunis+1
NAIBARIKI IJUMAA YANGU. BWANA ni Nuru yangu na Wokovu wangu. BWANA ni Ngome ya Uzima wangu. Mimi ni Mshindi, Hakuna cha Kunishinda. Ijumaa Yangu IMEBARIKIWA na BWANA.
0
5
NAIBARIKI ALHAMISI YANGU. BWANA ndiye Mchungaji wangu, katika Malisho ya Majani mabichi hunilaza, kando ya Maji ya Utulivu hu+1
NAIBARIKI ALHAMISI YANGU. BWANA ndiye Mchungaji wangu, katika Malisho ya Majani mabichi hunilaza, kando ya Maji ya Utulivu huniongoza. Mimi Sitapungukiwa na Kitu. Asante YESU, Nakupenda BWANA.
0
6
NAIBARIKI JUMATANO YANGU. Ni Siku ya Kuchukua Urithi wangu. Nimefunguliwa Mlango Mkubwa wa Kufaa sana. Mimi ni Mmiliki. Halel
NAIBARIKI JUMATANO YANGU. Ni Siku ya Kuchukua Urithi wangu. Nimefunguliwa Mlango Mkubwa wa Kufaa sana. Mimi ni Mmiliki. Haleluya, Asante YESU, WEWE ni Mzuri BWANA.
0
7
NAIBARIKI JUMAMOSI YANGU. Sifi kwa magonjwa au ajali wala kwa mapenzi ya yule mwovu ama ya wanadamu. Nitamaliza Safari yangu+1
NAIBARIKI JUMAMOSI YANGU. Sifi kwa magonjwa au ajali wala kwa mapenzi ya yule mwovu ama ya wanadamu. Nitamaliza Safari yangu salama na nitafikisha Umri ambao BWANA amenipangia ili Atukuzwe!!! BWANA, asante, Nakushukuru. Jumamosi yangu Imebarikiwa na BWANA.
0
8
NAIBARIKI IJUMAA YANGU. Adui zangu wote wamewekwa chini ya Miguu Yangu maana Bwana YESU aligongomelewa hatia zote dhidi Yangu+1
NAIBARIKI IJUMAA YANGU. Adui zangu wote wamewekwa chini ya Miguu Yangu maana Bwana YESU aligongomelewa hatia zote dhidi Yangu na hukumu zake katika Msalaba pale Kalvari. Aliweka madai yao yote chini ya Miguu Yake na Akashangilia, na Mimi leo NASHANGILIA. Asante, YESU.
0
9
NAIBARIKI ALHAMISI YANGU. YESU ni Mzuri; Kwangu hakutapungua Kicheko, Sherehe, Furaha, Tafrija, Karamu na Utele. Hakutakuwa n+1
NAIBARIKI ALHAMISI YANGU. YESU ni Mzuri; Kwangu hakutapungua Kicheko, Sherehe, Furaha, Tafrija, Karamu na Utele. Hakutakuwa na kulala njaa au kubangaiza Chakula bali nitakula Vinono. Haleluya, Asante YESU. Alhamisi yangu Imebarikiwa na BWANA.
0
10
NAIBARIKI JUMATANO YANGU. Mimi ni Mrithi, Mimi ni Mmiliki. Haleluya, YESU asante. Jumatano yangu Imebarikiwa na BWANA.+1
NAIBARIKI JUMATANO YANGU. Mimi ni Mrithi, Mimi ni Mmiliki. Haleluya, YESU asante. Jumatano yangu Imebarikiwa na BWANA.
0
11
NAIBARIKI JUMANNE YANGU. Ni Siku ya Familia; Furaha ya BWANA itatuzunguka, Amani ya BWANA haitatupungukia. Hakutakuwa na mago+1
NAIBARIKI JUMANNE YANGU. Ni Siku ya Familia; Furaha ya BWANA itatuzunguka, Amani ya BWANA haitatupungukia. Hakutakuwa na magomvi wala magonjwa wala vifo wala ukata. Maisha yetu yatakuwa Mazuri na Kicheko. Sisi tumebarikiwa na BWANA. Haleluya, Asante YESU.
0
12
NAIBARIKI JUMATATU YANGU. Mimi ni wa Mambo Makubwa na sio madogo; Kazini nitafanya Makubwa, kwenye Biashara nitafanya Makubwa+1
NAIBARIKI JUMATATU YANGU. Mimi ni wa Mambo Makubwa na sio madogo; Kazini nitafanya Makubwa, kwenye Biashara nitafanya Makubwa, kwenye Kilimo nitafanya Makubwa, kwenye Uvuvi nitafanya Makubwa, kwenye Ufugaji nitafanya Makubwa, Shuleni nitafanya Makubwa, kwenye Utumishi wangu nitafanya Makubwa. Mimi ni wa Mambo Makubwa na sio Madogo. YESU asante.
0
13
NAIBARIKI IJUMAA YANGU. BWANA amenipa kuwa Kichwa, BWANA amenipa kuwa wa Kwanza, BWANA amenipa kuwa Juu, BWANA amenipa Kushin+6
NAIBARIKI IJUMAA YANGU. BWANA amenipa kuwa Kichwa, BWANA amenipa kuwa wa Kwanza, BWANA amenipa kuwa Juu, BWANA amenipa Kushinda. Mimi ni Mshindi, hakuna cha kunishinda. Asante YESU.
0